Professor Jay Feat Walter Chilambo - Siku 462 (Official Lyric Audio)
Вставка
- Опубліковано 5 лис 2023
- #professorjay #Siku462 #walterchilambo
Professor Jay Ft Walter Chilambo - Siku 462 (Producer & Mastering by BinLaden of Tongwe Studio records (C) 2023 exclusively licensed Under (Professor Jay )
Stream/Download: bfan.link/siku-462
Ashukuriwe Mungu naamini soon sauti pia itakaa sawa.
Kama unaamini Mungu anaweza kufanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya naomba likes 1000k
Sauti haitaweza kurudi vile maana kaimba kwenye nyimbo,walimtoboa koo ili watoe uchafu
I say pole sana kaka pro, Bado twakupenda kama vile mungu anavyo kupenda bado
Pole sn mungu akulinde
Mungu wetu ni mwaminifu hakika sauti itakaa sawa
@@emanuelhingiitarudi tuu kwa uwezo wake Allah hakuna linalo shindikana
Yaani mpaka sauti imepotea duuuuh Mungu fundi apewe sifa usiku na mchana ishi miaka mingi hapa duniani pamoja na familia yako mwanetu 🫂❤️🫶🙏
Aanh we kama una check hii clip, na tena we mtuu kutoka Burundi 🇧🇮, ebana njoo ukagonge "LIKE" 👍🏽
Dah pole sana kaka mungu ni mwema sana ashukurukiwe yeye mungu akupe nguvu tena kama awali ameeeen
Walter you are God sent, professor jay bado hujatimiza lengo na kusudi la Mungu safari yako bado ndefu tumshukuru Mungu Kwa kuendeleza safari yako apa duniani nasema asanti
Huu sio wimbo ni ibaada ya Shukrani,ni ushuhuda ni somo , ni motivation speach , ni kila kitu kwa watu ambae walikua nawe kwenye safari yako ya majaribu ,Mungu atukuzwe siku zote
Amina
Amina
Hakika.Amen
Hakika Mungu ni mwema sana
Hakika Mungu ni mwema sana, mtumikie kwa akili, uwezo, nguvu na moyo wako wote 🙌, Ndiyo shukrani aitakayo Mungu kwako.
Yesu kristo wanazareti aseme neno moja tu na upone.❤❤❤❤
MUNGU yupo na anaishi kweny maisha yetu
Glory to GOD
Amen
In god we trust...allahu akbar☝️
Ya Kipekee
An encouraging testimony
Amen
Lets make this one #1 trending for the OG prof Jay
Mwenyezi mungu azidi kukulinda baba
Nilikuwa nmelala nmeamka nimepatana na notification ya Professor😢To be sincerely this song it's touching 😭,#God has Done #Return Of The Legend
Na irejeee sauti yako kwa jina la Yesuu tena I Rudi yoteeee ikiwa kamili in Jesus Name I pray for you legend 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Alitobolewa koo kwahyo hyo ndio sauti yake ya sasa hawez kuwa na sauti ile tena😢
@@beautyibrahim8428 Sikia huyu Steve Nyerere mwingine
@@beautyibrahim8428 ila Yesu pekee anao uwezo wa kuirejesha
Nimempoteza Baba yangu mzazi kwaajili ya umasikini shida ilikuwa ni figo, njia yetu NI moja IPO siku tutakutana, nakuchukia umasikini Mungu atupambanie atuepushe na umaskini😢 tarehe 10/January/2023 huu mwaka 😢
Daaaah!! Hakika Mungu ni Mkubwa. asante Mungu kwa wema wako.👏👏👏👏👏👏profesa Jay Mungu akupe afya njema zaidi ukae sawa. 👐👐
God is Good brother, Mungu ni mkubwa sana kaka, huu wimbo ni ibada tosha, umeshukuru zaidi hujalalamika. Mungu akuponye urudi katika hali bora na uimara zaidi.
This is not Jay i know, Mungu akuponye Jay . So sad 😭😭😭. You will be back strong
Kweli kabisa hajalalama
Ahsante Mungu kwa kumuwekea mkono wako mpendwa wetu Joseph Haule, bado tunamhitaji sana Baba
Pole Sana mzee wetu mungu yupamoja na wew make mungu ndo kila kitu kwetu sisi wanadamu tunapangiwa na mwenzi mungu pole Sana 👏🏼👏🏼😢😢
Mungu ni mungu Hana mpizani mungu pekeee ahabudiwe ujafa ujaumbika muhim kufnya dua
Everyone who is going through any painful moments this time around don't forget God is always there for you 🙏🙏🙏... We pray for you brother Professor 🙏
Hakika😢😢😢
Amen i gt hope of healing too
Amen Amen Amen.
I salute JESUS ❤❤❤
Long live professor Jay..... glory to God.....Sauti yako ndo yaniliza mm😭 nikikumbuka #rap yako#Kikao cha dharura❤...Kama unaamini Mungu mkubwa uwezi ruka bila kulike hii ngoma... AsanteMungu kwa uhai na kumrejesha Jay🔥🙏
Mbeba maono hafii
Mungu ni mwema kila wakati
Hatimae Mungu kashinda tena na tena 🙏 🙏 🙏
Machozi Ya Upendo Na hisia Kali Ndani Ya Mwili Wangu Juu yenu wote Mliofanyiwa Mabaya Na Watu kwa Ajili ya Maslai Yao Na Ugonjwa tu wowote MUNGU ndye kila kitu tutakutana paradiso na MUNGU ndio muhukumu
Mengi yamepita japo nimaumivu ila kikubwa kumshuru Allah nakusema Amen
Mungu ni mwema na yeye ndo muweza wa yote
Alll the best bro
Mungu apewe sifa
Nimekosa cha kuandika zaidi.. Mungu ni mwenye nguvu upendo na huruma siku zote.. amina..
Mungu azidi kukupigania kaka mkubwa. Hakika huu ni ushuhuda tosha...Mungu ana kusudi na wewe. 🙏🙏
Mungu atukuzwe... Amekutunza ili wengine tujifunze kitu. God is great.
Hakika atuna cha kumlipa mungu kwa hii pumzi ya bule🙏🙏🙏🙏🙏
God is always great,,,Pof Jay ww ni shujaa,,,,usiwahi vunjika moyo,kule umetoka ni mbali.
I failed to hold my tears 😭 To God be the Glory!!🙌🙏
So did I 😢😢😢
I too...but GOD is just GOD!
In every desert of calamity,God has an oasis of comfort 🙏🏾
I thanks u much for reminding us about the existence of Almighty God.
Get much better
Allahu akbar....allah is great!
For sure Sir.
😢😢God Is good all the time ❤️ ahsante Sana Mungu kwa uponyaji wako MKUU Sasa tunakushangilia pokea sifa na utukufu BABA 🙏
Tujifunze haya maisha kuishi kwa amani na watu kuwa mtiifu maisha kushuka nikawaida mwamba akitembelea mandinga makubwa mungu anaweza kukufanya chochote tumwombe mungu maisha yanaweza kuwa tofauti mungu mkubwa Sasa anaenda kuwa msada kwa wengine nakuombea umepitia daraja linaloenda kukufanya uwe shujaa 🎉🎉🎉🎉
Love song from Dodoma Tanzania pole sanaa hata sauti yako bado haijakaa sawa mungu awe nawe🙏🙏🙏🙏😭😭😭💥🔥🔥🔥
Hadi machozi yamenitoka...God is good all the time❤
MUNGU MWEMA SANA KIUKWELI
ATUKUZWE MUNGU MWENYEZI KAMA MWANZO NASASA NA SIKU ZOTE NA MILELE AMINA.
Kama unatokea chunya do like for our artist prof J
Water chilambo never disappointed ❤
Aca mungu aitwe Mungu jameni🙏🙏
Mungu akurinde sana professor Jay
Mungu ni mwema sana hakika yeye ni alpha na omeg🙏🙏🙏
Aah verse ya tatu ndio imenilenga machozi kabisa prof Mungu anakusudi nawe bro
This is what we call lesson.. God has a reason for such people who face intensive difficulties
God over everything 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Emotional Song,Allah is great
The highest meaning of life is to know the real face and work of God, and to worship Him. Most of the times one can only get this revelation after the genuine trial or tragedy. Wish you long live and smoothly journey in worshiping God Prof. Jay
Hii ndio maana ya kuokoka sasa!!
Thank you God to bring back our brother professor jay.
God bless you brother from Mozambique 🇲🇿
Glory to the Most High God 🙌 🙏
Nothing is Impossible with Him
Machozi yanilenga nikisikia sauti yake Prof kwa kweli it's pain bt all in all mungo akusaidia.... we love so much
Mungu ni mwema sana
God is the only one who save us and knows our end in this disaster earth
My mother had something similar some years ago ( around 2015/2016). Many predicted she wouldn’t live and they even said that, she wouldn’t wake up the next day when she was hospitalised. My mum serves as the NLC (New Life in Christ) community’s treasurer. She lost all hope of surviving because of this circumstance, and she wanted to return all of the money she had for her community. However, her secretary told her, “No, you are still our treasurer.” It is not the spirit of death that we witness. We will be acknowledging that you will pass away if we take this money. She was healed by God, and thanks to Him, she is still living.
Nimejikuta nalia😢 ila mungu ni mwema hata sauti inatoka japokuwa si nzuri ila mimi nakuombea tu kaka 🤲🙏😭
Yeremia 33:3 niite nami nitakuitikia nitakuonesha mamb magumu na makubwa usiyo yajua..🙏🙏
Kuugua kwako imekua mawaidha kiukweli. Kupitia wewe wengi tumejifunza kujenga Imani kubwa Kwa mwenyezi mungu. Mungu akupe afya zaidi na maisha malefu utufundishe zaidi. Be blessed professor.
Glory to The Most High Each and Every Single moment 🙏🏽
Hakika mungu ni mwema siku zote,anajibu maombi yetu😥🙏
Hakika "I have seen GOD's unseen hand behind the scene ... MUNGU ni mwaminifu keep on praising HIM, tumeumbwa tuzitangaze sifa zake Hallelujah,.. endelea kumsifu na kumtangaza MUNGU aliye hai kwa wote wasio mjua na wanaomjua pia wazidi kuweka tumaini kwake, kwa habari ya siku ambazo alikupitisha katika bonde la uvuli wa mauti na akawa pamoja nawe. Zaburi 23:MUNGU yu pamoja nawe
Glory be to GOD in the highest.
Naungana nawe kumshukuru MUNGU. Hakika BWANA YESU ndiye Tabibu mkuu. Alisikia maombi yetu na leo hii tunamrudishia MUNGU sifa na utukufu kwa afya yako. Asante MUNGU kwa kutufuta machozi yetu. MUNGU aliyekuponya ana makusudi kamili ili YEYE atukuzwe. Ishi ndani yake na yeye ndani yake ili akuoneshe kusudi la kukuponya..usimwache kamwe.
Nimekuwa wa kwanza leo
Naomba mnipr like hata 10
Professor Joseph Leonard Haule
Much love from Kenya ❤ 🇰🇪. Long live Legend. 🌹 🌹
Mungu Ni mponyaji na msaada na hutumia gumu ili uweze kuutambua uwepo wake. Asante Mungu kwa nafasi nyingine juu ya mtumishi wako naiman bado anakusudi ambalo anatakiwa kulitimiza.
Scientist need to investigate how professor Jay stayed in the game for over 10 years and he is still relevant and producing and releasing good music
Not 10 years...more than 25 years.
@@davidgibsonadhero275 that's why I said over ten
@@em_vee_joshu shud have said more than 20yrs.... At least ... 10 is too low its like u referring to 12-15yrs😂
@@ahz6907 😂😂😂💔 still 20 is more than ten
@@em_vee_joshikb
I have been weeping bitterly when listening to this song.God loves you Proffessor Jay❤😭😭
Glory to god, our hope, our prayers to you, and our love to you makes u healthy again
Nothing impossible for the Sir God. Uhimidiwe Jehovah kwa Matendo Makuu na Wema Wako kwa Professor Jay na Family Yake kwa Ujumla.
Mungu utabaki kuwa mungu nikisoma kipindi cha paulo alie kuwa anawauwa watumishi wa mungu lakini mungu kamfanya kuwa kuani. na injili yeke ilikua ngumu sana leo nimejifunza kitu juu ua mteliwa wa mungu ndugu profesa j mungu kakufanya mzabibu mwema ukamzalie matunda mema munga akuimalishe afya yako kaka yesu ni bwana amina
MWAMBA UMESIMAMA TENA CHAMPION🙏🙏🙏
Mungu ni mwema, huu wimbo ni ushuhuda wa uwepo wa Mungu unatuongezea imani. 🙏🏿 Mungu azidi kukupigania Prof.
😢
Pole sana yaani aise My beloved brother God is good all the time keep it up dear lord 🙏 blessed you always 😊😊
We love you God, thanks for Prof.jay ! Utukufu juu mbinguni
The voice is a story in itself, Thank God for life
God is great all the time ❤
duuh mjomba pole sana
Pole sana
Your resilience has been an inspiration to us all. Your determination and positive spirit in the face of adversity have shown us what true strength is. I want to thank you for fighting through the toughest days, for never giving up, and for embracing the healing process with grace.
Amen
Mungu muacheni Aitwe mungu
Saut kurudi haiwez tena ingawa Mimi Sio Mungu
What a testimony, God is Good, God is Able, God is Great
Mungu Yupo na anafanya kazi yake kwetu watoto wake! Hakika Mungu anampango na wewe mpende Sana🙏🥺
Mungu tunakutukuza kwa ajili ya mtumishi wako 🙏🙏eee Mungu baba mwana na roho mtakatifu uabudiwe milele
This song teach Us to Remember we need to be humble everyday.. This world is way We pass like a Shadow
Exactly 💯
🎉🎉
We all thanks God for His Glorification
Prof. Jay mrudie Mungu wako.
Mungu ana neno nawe 🙏🙏
Jey usimuache Mungu naamini Mungu anamakusudi nauhai wako Jey usimuache Mungu usimuache niliumia sana huu wimbo unanitoa machozi Dana.
Mungu ni mwema siku zote
Maombi yetu yamesikika...kagongwa pia imesikika umo ndan ndo home land yetu 🙏🙏🙏🙏
Pole sana kaka Mungu Mkubwa
Sasa niwakati wa kulihubiri neno l Mungu. Kupitia ushuhuuda wako naamini wengi wataokoka na kumuhubiri Mungu alie hai aliekoa uhai wako. Jesus is God and he's doing in a right time. Congratulations professor Jay.Glory to almighty God.
Hakika ni kwa Mkono wa Mungu TU.
From Nairobi Kenya we are happy Mwenyezi Mungu apewe sifa 🙏
Asante mungu baba kwa ushuhuda huu wa Prof Jay.......
Eee MUNGU uliyeniumba na kunipa ufahamu tofauti na viumbe wengine kwa utashi huu sikumbuki nilifanya jambo gani jema kwako lakini bado neema na rehema zako ni mpya kila siku
Asante kwa uzima huu🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Machozi yananilenga nikiskia huu wimbo.Kuna mungu ahsante Kwa uponyaji was Proff Jay.Bwana Yesu apewe sifa!!!
Kwa kupingwa kwake Sisi tumepona
Sasa yesu anahusika na nn hapo wakat yeye ni binaadam Kama sisi
@@baaliyanuun416km huna iman uwezi jua Yesu anausika nn ipo cku utakuja kujua anausika vp
@@mropeamadeus54 Amina
@@baaliyanuun416 Nadhani nimemjibu Proff Jay sio wewe.Katafute kiki pengine.
Tears in my eyes on this one🥹 God is great💪🏾