Diamond Platnumz - Haunisumbui (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 1 жов 2020
- Birthiday Gift To The Fans
Enjoy #Haunisumbui Produced By Lizer Classic
GET IT ON AUDIOMACK
audiomack.com/diamondplatnumz...
Get A Boy From Tandale Album umgafrica.lnk.to/DiamondPlatn...
Diamond Platnumz Booking Info:
Email:bookplatnumz@gmail.com | sallam.sharaff@gmail.com
Catch Up With Diamond Platnumz On:
Instagram: / diamondplatnumz
Facebook: / diamondplatnumz255
Twitter: / diamondplatnumz
#Diamondplatnumz #Wasafi #Haunisumbui
Nataka like zangu
Wakwanza mimi
🦁🦁🦁🦁Simba
Hbd baba lao ximbaa
Jaman mm mxhabk mkubwa sana wa diamond lakn like sipati
Dear person that’s reading this, we don’t know each other but I wish you all the best in life. God bless you 🙏🙏
Thanks n you too
Thank u dear u too
Thanx and u too
Ameen. Same dear
0
eh mahaters mpo kweli ama mumefaaa
Oyooooo,,,, simbaaaa💥💥💥💥💥💥💥 jaman naomba like hata 50 leo Mana kitu ni shidaaa
ua-cam.com/video/qBUW8vci5RM/v-deo.html
Mond kama mond happy birthday baba lao like kama umeelewa ngoma 🎶🎶
Simba ndo baba Lao, hasa anapoamua kuimba kuhusu his real life nyimbo zake zinakua Booom🔥🔥🔥wangap wanamkubali mondi kama mm
Kwani nikisema mondi Hana mpinzan nakosea jmn bac nasema mondi Hana mpinzan 🤝🤝🤝
Wanangu WA 🇰🇪🇰🇪 prove them wrong piga, like ya, simba💯🔥🔥🔥
Wa kwza kucomment...wapi like za kenya..show love
Pamoja
Tuko bro🔥💥💯
Kwan izi like mnapeana kwakujuana nn
Diamond you made the entire continent fall in love with tanzania 🇹🇿 I'm from the Gambia 🇬🇲 we love your music even without knowing what you saying...God bless tanzania for producing such a talent 🙌 👏 🙏
ua-cam.com/video/hcase1L03NM/v-deo.html
Same here bro 🇬🇲
Nyimbo Mbaya Kabisaaaa
@@speroachpaulsen wewe hata hujulikani ...if u hate others success do you expect to succeed. .nkt.
I wish you the meaning my brother, this man hits the real life..he is non comparable
Mkiambiwa diamond baba yenu kwenye song msibishe mke wangu kaunguza nyama kwa ajiri ya kusikiliza hii ngoma
Weweeeerrreeeeee
😂😂😂😂
Hivi like huwa mnazipeleka wapi hebu na mm leo nipeni like za 🦁🦁
#Happy birthday 🦁🦁
Jamani mm nimekuwa wa kwanza kwenye nyimbo ya simba naomba like
Simbaaaa mistari uombi, wape vindogee 👌 volume iko chonjo kabisaa 👌💯. hawanisumbui pia lol taaaaamu sana 💃💃💃🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤛🥇🏆🏆 zawadi hizo from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aki si leo muachane na diamond mlike tu hpo nikue yye🙏😂
Wapi thumbs up wana East Africa, sauti ya simba kutuliza! ❤️❤️❤️
Kama wewe ni team #wcb like hapa twende sawaaa ...team ushindi
alie sikiliza mara 10 gonga chiazi apa❤️❤️🔥🔥
walidhani umepotea kumbe baba lao upo ....sasa baba hapa ni mwendo wa kuwakanyaga...tLion king simbaaaaaaaaaa dume
Wanafamilia wa WCB tujuane kwa like hata 100 tu
Kama walio sema mondi haimbi cku hizi ona dude hili sasa nomaa2 mamayew
Ko we unapenda sana michambo🤣🤣🤣
Song tulivu ❤️❤️
I'm forced to say that diamond is not only an artist but the most sophisticated Swahili poet I have grown to know...This guy never falls or fails to deliver...I'm blessed to be part of your music fanbase
Chiii Simba kama Simba 🙌🏼,,,nipeni likes zake jamani 🙏🏽
Tanzania Nipeni like zenu jmn from kenya nawapend WCB na Simba😘😘😘
Iyo haitusumbui tunakupaa like zetu
Simba wa mjini huyoooo
Umekosa nuru, umekosa bahati huna...
In 29 seconds 😂😂😂😂🎂🎂🎂🎂 happy birthday daddy and son more yrs more blessings 🎉🎉🎉🎉
Tufike this other side in a moment
ua-cam.com/video/lNiYQGZnZfs/v-deo.html
Abos my chaîne #Fofding please
Tunashukuru kwa gift ya birthday mungu akupe miaka mingi ili uzidi kutupa burudani🙏🙏🙏🙏
Kweli Simba hawatuwez wcb 4life Alikiba bado mtoto eti yeye ni king Yeye ni King wanyumbani kwake apana kimziki wa bongo hapa bongo najua Wewe ndio King wa Music wa bongo🚀💥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hizi mistari kaandika mbosso Tusidanganyanee... Tunamjuwa Mbosso
Acha wivu kaish na kibaka wako hatukutak
Rojas Manyota mavi ww kwanza hii nyimbo kaiga tena kuna nyimbo moja ya kihindi
Aaaaaaaahhhh mavi mwenyew bhn hvi unajua ki2 ww ama hufatilii vzr
Simba ameamka sasa swara na tembo wajifiche....likes za simba twende sawa
Wangap walitaman aongeze verse nyingin kanyimbo katamu kwel👍👍🙏🙏
Tupo weng Sana tu maana Hili Ni bom
Karibu kutazama filamu zangu UA-cam_EKEMASTER
Simba hii ni Kali kwa ajili yao nazani hapo umewakuna,,,kiukweli wamekuchokoza wao ngoja liwaunguze na hawawezi kukusumbua kwani hao sio levo zako,, acha washindane na zuchu we kapambane na wasanii wa ulaya ...Simba baba laoo
Waooo msg nzuri
Nadhani baada ya hapo wameisoma nambaaaa
😢😢😢😢najiskia vibaya sana nazidi kumuomba mungu na mm anijalie nitimize kipaji changu nakupenda simba sana tu 😚😚 mungu azidi kukubariki
Ali hi
This song will be on trending...wapi lyk za WCB
😃😃😃😃😃kiba karusha mawe police station! Haya! na ajistiri mashambulizi!
simba amejibu! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Najibu your always the king of the jungle, big up and well done
See what Diamond gives you when his really into the mood of singing 🔥🔥🔥..
Hii Ni revenge kwa alikiba😂😂Nani ako nami apige like
Makavu jumla jumla 😂😂😂😂😂😂 bongo siami 🔥🔥🔥 big up simbaa ★★ wala unisumbui wala
DIAMONDI NIFUNDI SANA AMETUPIGIA NDEGE WAWILI KWA JIWE MOJA AKUNA KAMA SIMBA
KAMA UNAMKUBARI SIMBA tupia like yako apo na comments yako apo
Wamempima akili na imetokea 😁😁
Wimbo wenu huu
Huyu ni hoebetto anaambiwa ameparara uso ,alafu.hapo.kwa hakuna nyota Tanasha ametajwa kiasi juu ukweli hana talent yeye huimba nkama anaimbia mtoto
Anae jua siku zote , kin'g kiba 🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇾🇱🇻🇱🇨🇱🇧🇱🇺🇲🇦🇲🇦🇲🇩🇰🇭🇰🇪🇯🇵🇰🇷🇰🇵🇮🇴🇮🇱🇬🇹🇬🇺🇬🇾🇬🇩🇪🇨🇫🇲🇫🇯🇨🇨🇨🇦 koteee kafikaa Yeeeeee baba,,📶,,💯,📶⏫⏬💺💺💺💺
Team Simba wap keleleeeeeeww mumbo from Kenya tupa likes others
Tufike this other side in a moment
ua-cam.com/video/lNiYQGZnZfs/v-deo.html
Kama unamkubali lion simba babalao mnyama diamond platinum gonga like apa
How much I'm obsessed with this song ❤️
Appreciation from Ethiopia 🇪🇹
Nimekosa chakuandika jamani daaah! awa WCB awa awashikik kabisa kiukweli
Simbaaaaaaaa 🦁
Likes za #simba na #wcb ziko wapi
🔥 🔥
Diamond plantinumz nikama CCM anatumua akiki nyingi kuhakikisha anabaki kileleni bigup brother 🦁🦁
Kweli kabisa
Jaman nasibu umenimaliza na hii nyimbo wah lov u mingimingi
alooo the song make me to feel wow💯💯💯💯🔥lit
Kama na wewe livyoon jina uljua kamjibu kiba weka like hapa sawa
Kama umegundua bwana Kibamia kajibiwa kisomi gonga like, from (Moçambique) Diamond namba moja África
cam junto meu brada diamond my namba 1
@@chibudenga3945 VC tás aonde?
UMEKOSA NURU UMEKOSA BAHATI HUNA WAITWA KUNGURU 🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Am here 2021 September after listening to Naanzaje, I come back here... 🇰🇪❣️
Alie lundia kama me aweke like hapa Simba noma
Siiiiiiimba
ua-cam.com/video/qBUW8vci5RM/v-deo.html
Huyu. Jamaa anadhihirisha kama anaweza kuimba, maanaa wengi walipiga kelele kuwa hawezi kurudi hizi vitu lkn ameamua kutupa kitu roho inapenda
🔥🔥🔥
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ua-cam.com/video/kYqwzEktA8E/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥🔥
Whoever diamond was dissing he loved this person A lot. Wow true love exists.
Ndy hivooo hawakusumbuiiii kabisaaa
Diamond should sing more of such songs. awesome. made it my ringtone
Simba kama simba,,,huyu ndo msanii wa Africa bana.,,likes from Kenya angalau tujivunie bana
🔥🔥🔥
Simba
simba ni mbaya mzee
Sana sanaaaaaaa .Goma kali
@@brandonimbithie3565 Hatareeeee sana
Wap wale majigambo kmyaa diamond kiboko umetisha mzee waskufanishe kabisa na wale magoko
Umetisha NEC
Simba we noma umetupalaha sana kitaan
Haahaa ...kaishiwa simba wenu
ua-cam.com/video/Hk-DMZU4DP0/v-deo.html
HATAZALIWA DIAMOND PART 2 WENGINE WOTE NEGATIVE... maneno mazito diamond baby... 💯💯💯💫💫💫💫💫💫💫😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹
Hamari adhuri kahani tune
Mbona nikicoment kweny nyimbo za #simba sipati hatalike1 Nina nini? Naombeni like jaman nimeicheki hiingoma zaidi ya mala4.
Nimeicheki zaidi ya I've lost count yani we Acha tuu na simpedi huyu dogo King wa mafundo😂😂😂😂
Unafosisha huhuhuhu😂
Thanks again 😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐
ua-cam.com/video/Er8WU2Cqv6g/v-deo.html
Siyo mala sema mara
Diamond ameamua hakuna kutulia😄😄💙⚡🌟
🇰🇪🇰🇪 Apa Kenya nmeikumbali Sana 🌟
Kisumu kenya wasafi ambassador...weka like kama we mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
KENYA Nairobi Embakasi
Watamu Kenya wasafi ambassador
huu wimbo yaaani daaa. huyu jamaa anachamba nafikri dada zake wanasubiri.. alaf utakuwa wimbo wa zamani kaufokonyoa hukoooooo.
Wewe sii Diamond pekee, wee ni Diamond Bin Walaa. The kiswahili here is at its epic💯💯💯
Mondi acha uitwe mondi Tanzania tuna mfalme mmoja wa music naye ndio wewe Plutnumz.
Like kama unaungana nami
Mmh
Simba Kutokea Mbuga Ya Tandale Tanzania 🇹🇿
Hii ngoma ndio kwanza bado inakuwaga na laza ASA pale kunguru wako akileta maseke👈
Sijui kwanini huaga wana kuchokoza,, Mungu akulinde Mwamba.
This the diamond Platnumz of 2009🔥🔥🔥🔥 tanasha ama harmonize 🤣🤣🤣
Kamwambia Kiba bwana !
Watasema watachoka wewe ndo mfalme wa mziki Afrika Mashariki waachie Wagombanie Tz.
mnaojipende mpooo
Abos my chaîne #Fofding please
Huo ndo ugwana jamani hata hatubabaishi wasafi tuko juu
Ujumbe umemfikia yule anayejiita King😀😀😀hajui kuwa hata sisimizi wana King wao .
Like hapa kumu wish Happy Birthday Chibu Dangote.
Si Kokoko Si Kandambili
Yani Vyote Havikupendezi
Mwana Ngoko Usonawili
Tope Bin Uterezi
Utaishia Kututabiri Tubomoke
Inasonga Miezi
Mola Amesha Takabiri
Usijichoshe Halivunjiki Penzi
Ona! Umekosa Nuru
Umekosa Bahati Huna
Unaitwa Kunguru
Ukifika Wananuna
Ndondondo Mwana Chururu
Asie Buzi Wataka Chuna
Mengine Nisikufuru
Hhmm! Hazikukai Maskara
Wala Makeup Zinakushuka
Uso Umekuparara
Mwili Shockup Zimetenguka
Uso Sauti Ya Stara
Pakudeka Unawehuka
Jibwa Koko La Mbagala
Unabweka Na Kubwetuka Wala!
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Wala Haunisumbui Wala
Na Izo Post Mara Kubebana
Mara Eti Mnabusu Mtamaliza Bando
Unaowatuma Kunitukana
Siogopi Mashushu
Mi Wala Michambo
Kutwa Kwa Mapage Feki
Kama Lokole Inahusu...?
Mkwe Akutaki Eti
Mwenzangu Pole Mbona Kuntu
Vimeseji Kujitumisha Kwa Ndugu Zangu Marufuku
Nyota Imekufubika
Usifosi Umaarufu
Upepo Wa Kisulisuli
Umekuchukua Na Nuksani
Tanga Lipulipuli
Wanakununua Kwa Mizani
Kwangu Pambe Shughuli
Najiashua Burudani
Nna Toto Zurizuri
Nimelitua Tuli Ndani Yiih Yiih Iih Iih..!
Umekosa Nuru
Umekosa Bahati Huna
Unaitwa Kunguru
Ukifika Wananuna
Ndondo Mwana Chururu
Asie Buzi Wataka Chuna
Menginе Nisikufuru
Usie Wa Shaba Wala Chuma
Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunikondeshi)
Wala Haunisumbui Wala (Mujipost Mainstagram)
Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunitetеreshi)
Wala Haunisumbui Wala (Waalaah)
Nipeni like wenzangu ✌🏽
Oyoooooooo
Safi
Asante
Awooooooooote wewe🦁🦁
Asanteee kwa lyrics nzur umeua
Bonge la ngoma jaman and am still listening even five time
Gonga like kama bado na ww unaisikiliza hii song
umekosa nuru ,umekosa bahati huna!!!!
Nimekuwa wa Pili jamani naombeni like japo kumi
Simba hatuja maliza kukariri ONGEZA , Umetupa Jiwe lingine🔥. We love you 🦁HAPPY BIRTHDAY TO YOU❤️ MORE LIFE TO YOU🎂
Yani nilijua upo huku ni video yako kwenye gari ukirusha kichwa ndo nasubiri 🤣🤣🤣
😃
Ngoma hizi ndizo zilifanya Diamond akawin mioyo ya WanaEast Africa,,Sasa huwa anafocus Sana na muziki wa kumtoa zaidi kimataifa alfu huwa pia bado hasahau alikotoka kwa kuwapa mafans wake wa nyumbani ngoma wanzozipenda na kuwakumbusha alikoanzia ndio maana upendo wake unaongezeka na ata akafanya skendo gani bado wanakubali muziki wake,,,Namuheshimu Sana Diamond Platnumz kwa maana alinifanya upendo wangu kwa muziki uongezeke Sana tena sana saa zengine huwa naimba laikini nikisikia sauti yake ama mashairi yake najiona yaani bado kabisa,,,Salute to you Simbaa
Broo even me
This guys diamond....even in the hard times...when am all down...his songs are so emotional and they rep my feelings in different occasions in my life...May the Lord God proctect him and his country...
Amen 🙏 i am from his country, and unfortunately his songs does the same to me,May God protect you too
Kama umerudia kuisikiliza zaidi ya Mara moja ...... Like ... kwa simba
ua-cam.com/video/Hk-DMZU4DP0/v-deo.html
Tunakupenda, Tunakudhamini na Tunakujali.
Kwa kukupenda tunakupa machaguo ya bidhaa nyingi Zaidi tena zenye ubora kama vile bidhaa za watoto, urembo, vitabu, camera, tvs, computer, vyombo, nguo na viatu n.k
Kwa kukudhamini tunakupa punguzo la bei hadi asilimia 50%.
Na kwa kukujali tunakuletea popote ulipo na kwa muda husika.
Agiza nasi ufurahie huduma zetu bora na za uhakika.
Unasubir nini sasa!!!?
Ingia sasa www.dukakuu.com kupata kilicho bora kwa bei nafuu
Unaweza pia kudownload app yetu kwenye IOS app store or google play store kufurahia offer zetu.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
We love you, we value you also we care about
For the love; we give you varieties of products with the high quality.
For the value; we give you discount up to 50% of the original price
For the care; we make delivery to wherever you are under specified time.
What are you waiting for!!!?
Click now www.dukakuu.com for the best quality of all products you like.
You can also download our app in google play store to get more offer from us
Uu wimbo wa tanasha na Shogayangu hamissa 🤔🤔🤔🤔😭😭😭😭😭😭😭😂😭
@@farhatfarhat3816 ahhahahahha pole
@@ghostelmendez7206 Asante japo sijapoa maana tumechambwaa
Watching with love from Nairobi.
Gonga like ka umekubali?
Mhhh huo mdundoo tuu na hatarii sana iloveyouuu
duuh yani siwezi lala bila kusukiya iyi ngoma ,yani hupenda nyimbo hiii kinoma wana nipeni izo like kama unaipenda nyimbo kama mimi
Chibu baba lao weka like kama unamkubali dangote!!!
JAMANI NAOMBE LIKE 20 #WCB FOR LIFE🇹🇿🇹🇿
Utapata2
Good i love my boyfriend song
I had no idea what he say .but I love to hear and dance with this song .I love u man u make me move in slow
But he's throwing shade and dissing his ex😭
@@Swahili14 no
@@Swahili14 its just a song
Yap iyo ninoma aseee ime Bamba ktk ubola
The only one king 🦁🦁
Upepo wa kisulisuli HUO ua-cam.com/video/dOIriHgst3g/v-deo.html
kaka mfalme moja tena kiba
Huyo ndio DIAMOND PLATINUM icon of Tanzania.
ua-cam.com/video/_X90YOU7RSs/v-deo.html
Ww unajua brother waache hao na makorocho yao
Not of tanzania now in africa but soon will be the world star
Icon? hiv unaijua icon maana ake au unapayuka
This 🔥🔥🔥 love from kenya 🇰🇪🤩
Ngoma Kali sana kweli
Ilivyoanza verse ya pili ilitosha kua nyimbo nzima aiseeeee...Naseeb is back 🔥🔥🔥🔥
Karibu kutazama filamu zangu UA-cam_EKEMASTER
Ndo nyimbo tunazo zimisi kwa mond sasa
kweli
Tufike this other side in a moment
ua-cam.com/video/lNiYQGZnZfs/v-deo.html
This is sooo amazing Simba 😍😍😍😘😘😘
Hi ngoma nikisiikiza tu inanijia picha ya geneous ginimbi kadungule
Vimeseji kujitunisha kwa ndugu zangu marufuku.
Gonga like wewe😁😁😁
Tufike this other side in a moment
ua-cam.com/video/lNiYQGZnZfs/v-deo.html