Simama imara ferouz kwa sasa ww ni muimbaji mzur na mtunzi mzuri sana Mashaallah kwa sasa fanya kazi usi yumbishwe na mapenzi wekeza akili yako kwenye kazi na kuhusu mambo yangada achana nayo kwa sasa ww komaa na kitu ya mjani
Hakika Feruzi alitutendea haki mashabiki wake ndomaana mpaka leo ngoma zake mfano Jirushe Starehe Mkasa wa bos na nyingine kibao aliumiza kichwa kama ameamua kurudi Mungu amsimamie2🙏
Nakumbuka baada ya wimbo wa starehe zikatoka tetes kwenye magazeti prof jay amepata HIV nililiaaa niliia sanaa ila badae zile tetes zikapotea now zimerud tena nakuombea kwa Mungu prof uwe mwenye afya njema
Feruz uko vizur but acha bangi broo fanya kazi starehe umeimba ila chunga usije zikakuteka mwenyewe mi mdogo wako sb boy mkali 👇👇👇 ua-cam.com/video/5N00cvt7aoo/v-deo.html
Jamaaaan yaani nammpenda sana huyu ferooz endlea kupambana broo insha-allah mung atakuinua tenah🙏
Hongera. jitambue na upambane, waliokimbia waache ila kimbizana na maisha maana maisha hayakusubiri yanasonga mbele na muombe Mungu atakufanikisha.
Mwili unategemea moyo,,
Pia usibwie unga dogo"
Hata mwili umependeza sana.
Ferooz na prof Jay ndio ma legend we mis them days
Kaza but utafanikiwa Mungu sio binadamu hata umwombe asikusikie fanya kazi nzuri utainuka tena
Simama imara ferouz kwa sasa ww ni muimbaji mzur na mtunzi mzuri sana Mashaallah kwa sasa fanya kazi usi yumbishwe na mapenzi wekeza akili yako kwenye kazi na kuhusu mambo yangada achana nayo kwa sasa ww komaa na kitu ya mjani
Mitonyoo bado ipo, i like that. Very composed. My OG forever. Peace.
Hakika Feruzi alitutendea haki mashabiki wake ndomaana mpaka leo ngoma zake mfano Jirushe Starehe Mkasa wa bos na nyingine kibao aliumiza kichwa kama ameamua kurudi Mungu amsimamie2🙏
Feluzi umeongea ukweli endelelea kupambana mungu yupo ata kusadia
Sema nn Ila tunajisahau sanaaaaa kujiwekeza but pambana MUNGU anasaidia usiwaze kikubwa tuombe Dua 🙌
I am happy to hear my brother, kuna kipindi rumours came kuwa Ferikiz is dead or was dead. I miss you my brother. Peace.
All The Best Ferooz
Mziki wako haswaa ni mzr sana hasa ile ya hapa nilipo nipo kitandani starehe zimeniweka matatani Big up sana
Nilichogundua vido una nidhamu Sana kaka. Safi Sana ferooz
Na sauti yake ni nzuri iko strong sana
@@lisakowero7325 kabisa na ferooz bado ana nguvu kabisa tofauti na watu walivyosema kachoka
Bigup ferroz
Ferooz karudi naona Iko vizuri kabisa
Good vibe ferooz by mc stonka tunduma bordar
Legend of all tymz
Wow. Very interesting guy.
Mwamba Ngoma zako zote Bado ziko juu
Legend
Legend🔥🔥🔥🙌
Ferooz 🔥🔥🔥
Feruziii my all time artist
Ulikuwa vizuri kuwekeza kwenye biashara hukuwa zuzu lkn ndio hivyo mungu hakupanga ila inshaallah utapata kupitia biashara
Oya ferooz ile korus ulivunja babu sio poa
Ola vido mnafki eti unapiga matiiz unajitafuta🤣🤣Ferooz big up bro tunakukubali sana ngoja nikacherk ngoma yako
Nakkubali mr ferooz
🔥🔥🔥🔥
Vijana wengi uwa tuna pata pesa tunasau kujiwekeza ona mazala yanayo jitokeza
Burundi tunaguombea urudi kwenye gemu
Feluzi ume nyoka sana
Nafurahi.sana.sana.kukuona umerudi.
Nakumbuka baada ya wimbo wa starehe zikatoka tetes kwenye magazeti prof jay amepata HIV nililiaaa niliia sanaa ila badae zile tetes zikapotea now zimerud tena nakuombea kwa Mungu prof uwe mwenye afya njema
Ayo nawakubar sana
Mzee wa wana Apolo, kikosi cha mizinga kwaherini.
Vido vidox nakupenda ❤❤
Asante sana Fatma
Thanks 👏
Saf sana ferooz
Jamaa kaongea ukweli
Jamaa anajua kufanya interview kavido vido vido vidox
Big up sana ferooz
Huyu tatizo anapenda sana chini ferooz
Huyu asa anatakiwa arudi kimziki
Mkwongwe wa mashairi
Kama ndege mtini tunapendana sare sare kama shuleni
Feruz uko vizur but acha bangi broo fanya kazi starehe umeimba ila chunga usije zikakuteka mwenyewe mi mdogo wako sb boy mkali 👇👇👇
ua-cam.com/video/5N00cvt7aoo/v-deo.html
Mwamba tuko pamoja
Wewe unaye tukana kumbuka ata wewe huja jiumba
Unatangaza unaimba,😃😎yoyoyo,vidole Nini ushamba tuu
Sawa Nitaacha Ushamba
Miyenirizani nimukewamugojwa basiasifanyehivyo
Big up sana feruzi
Hivi vipindi va vido navipenda maana unajifunza vingi kwa wasaniii
Asante sana
C uliowa mke WA kihindi kiasi akimbie
Rudi kwenye game tume mic mziki wako, waliokukimbia wakazie fanya yako jipange jiwekeze, afu vido et anaekuchulia demu mshikaji wako🤣🤣
Profesa j anaumwa nini jamani daah
ferooz sauti ya kiza
Ma pasta wa uwongo wanadanganya watu 😭😭ua-cam.com/video/KFawskkVrXM/v-deo.html
Ferooz
Nautaftaga saaana wimbo wake wa policeman bila mafanikio
Ninao tuma no nikutumie whtsp mzee
Mukevumiriyamume kwarahakwashida
RIP kiswahili Wivine Lugha gani hii🤔🤔🤔 kama hujuwe andika sio lazima uandike bibieh
Hujui kuandka rud STD 1
@@simonmartinekombe7031 🤣🤣🤣ajui kutenganisha au kuandika
ila uyu jamaa anasura pasenali kabsa sura kma dumu la gongo 😅😅😅😅
Jamani umemaliza uzazi
Hujafa hujaumbika ujue kuna kizazi
Una laana weweee em weka sura yako apo 2kuone ulivyo mxiiiuuuee
Usirau kiumbe alichoumba Allah
Kumamake we jamaa unajuwa kuchamba sana 🤣🤣