WAKILI MADELEKA AWAVAA UHAMIAJI : URAIA WA TANZANIA UNAKANWA KWA KUJAZA FOMU SIYO MENENO NA POROJO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @atupelemwakabanga6153
    @atupelemwakabanga6153 10 місяців тому +3

    Ahsante kwa maelezo na ufafanuzi kwa kweli umeeleweka vizuri somo tosha juu ya uraia wetu,ubarikiwe wakili

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 10 місяців тому +2

    Asante sana wakili msomi. Hao uhamiaji wawe wanaisoma katiba km wewe kabla hawajapewa ajira. Vinginevyo tuna vihiyo uhamiaji

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 10 місяців тому +2

    Nashukuru sana madeleka kwa ufafanuzi mzuri mimi waliposkia natoka kigoma afisa mmoja akasema nilete vyeti 12 vya ndugu zangu hahahaaaha mpaka leo hajaniona. Hongera kwa kutupa maarifa.

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 10 місяців тому +4

    WAKILI MSOMI....SAFI SANA BROTHER...HATUTAKI UPUMBAVU...WE NEED SOBER MIND..NAPENDA SANA WATU WANAOJIAMINI..MAJASIRI NA SIO WAOGA.❤

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 10 місяців тому +4

    Madeleka the great 👍 👌 🙌 🇹🇿

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 9 місяців тому +1

    Safi sana kutuelimisha Hawa uhamiaji ukitaka passport wanakwambia upeleke Chet Cha kuzaliwa Cha babu hata kama huyo babu kazaliwa 1890 still wanakwambia ukalete afdavit kiapo Sasa tunajiuliza kiapo kinahusia a nini na mtu ambaye alizaliwa hata kabla ya utaratibu wa cheti haujaanza ktk nchi hii yaani no isumbufu ili mradi utoe rushwa tu

  • @victorsaulo7075
    @victorsaulo7075 10 місяців тому +2

    Wakili anaongopa hajui Sheria ya Uraia Sura 357 Rejeo la 2002.

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 10 місяців тому +3

    Wanawanyanyasa sana watanzania wenye PASSPORT za nchi nyengine bila kujua wangewatengenezea sheria wangesaidia sana ajira nchini kwa uwekezaji. Sekta binafsi ndio inatoa ajira kwa wingi

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 10 місяців тому

      CLisichukuliwe kijumla! Ladwa mnamjua nyie mnaoshabikia au ndo mnadanda tu? Kwa nini anaishi kwa vibali, chunguzeni na ndiyo mchangie kinyume chake ni kutulia na kuangalia tu!!

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 10 місяців тому +1

    Hongera sana Adv Madeleka. Tusaidie kutuelimisha waTZ ili tuondokane na aibu hizi

  • @raphaelmvukiye1938
    @raphaelmvukiye1938 10 місяців тому

    Ahsante sana Wakili. Sisi huku tunaambiwa mpaka kuleta matangazo ya kuzaliwa ya babu na bibi zetu ambao wakati mwingine hata hatukuwaona.
    Wanawaomba wengine hàdi wakaomeshe makaburi ya mambabu na mabibi zao ambao wengine hata hawajui zilipo kwà sababu tofauti.
    tofauti.
    Yaani kwà kifupi kupata Passport kwenye nchi yetu kunavunja moyo kweli. Sijui wanaogopa nini watanzania wakienda nchi zingine.
    Yaani ukiingia uhamiaji unadharirishwa mpaka unafukuliwa makaburi. Kwà kweli hii uloyofanya Wakili uongeze kabisa kwà sababu hiyo Idara ina changamoto nyingi sana.

  • @alsam4881
    @alsam4881 9 місяців тому +1

    Uhamiaji wananyanyasa sana watu, Yaani kupata passport ni Mtihani sana.

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 10 місяців тому +1

    Kamishina wa Uhamiaji uliyezungumzia habariza uraia wa Ladwa na familia yake, bado sisi watanganyika tunataka ukweli wa Ladwa na uraia wake. Acheni uwongo mbele za Wananchi.

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 10 місяців тому +1

    Hii safi kabisa Wakili mambo ya makanjanja hawa walioshika nafasi bila vigezo na masharti

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 10 місяців тому

    Safi Kabisa

  • @PantaleoEdward
    @PantaleoEdward 10 місяців тому

    Ahsante wakili kwa ufafanuzi!

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 10 місяців тому +2

    KATIBA MPYA....
    NDIO JIBU...
    MTATUZUNGUSHA...

  • @hamadimadisa9346
    @hamadimadisa9346 6 місяців тому

    Mzee, hii nikweli kabisa na uwambie ukweli

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 10 місяців тому

    Safi sana wakili msomi

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 5 місяців тому

    Sheria nyingine zimepinda na zinashusha hadhi ya Tanzania 🇹🇿

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 10 місяців тому +2

    Wanavyojua kutunga owongo watajaza fomu hiyo na kuja kutudanganya hivi nyinyi tulio waamini tukawapa madaraka kwanini hamtaki kufanya kazi kwa mujibu wa sheria na katiba kuna nini du hii hii dunia tunakoelekea ni kubaya sana

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 10 місяців тому

    Asante madereka.

  • @kianda973
    @kianda973 10 місяців тому +2

    Umetupa elimu nzuri....na huo ni uzalendo

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 10 місяців тому

      Sana, sana...
      Madeleka the great...

    • @abdullatifabdu
      @abdullatifabdu 10 місяців тому

      endelea kutupatia elimu kama hizi kiongozi kwa faida ya watanzania wenzako

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 10 місяців тому

      Sana!

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani 10 місяців тому

    Kweli kunashida uhamiaji

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc 10 місяців тому

  • @egdldm4981
    @egdldm4981 10 місяців тому

    Familia ya Ladwa kama waliukana uraia wa Tanzania basi waonyeshe barua ya uthibitisho ya kuukana uraia wa Tanzania. Pili uhamiaji kama waonyeshe vibali vyote walivyotoa kwa familia ya Ladwa hadi siku ya leo.

  • @JosephRodrickLazaromasikini
    @JosephRodrickLazaromasikini 10 місяців тому +1

    Huwezi kupata pasipoti ya nchi nyingine kama wew si raia wa nchi hiyo kwa uraia kwa kuimba au kuzaliwa. Passport zimegawanyika katika aina mbalimbali: paspoti za kisiasa, kidiplomasia au za kizarura ...
    Mwanasheria huyu ni amedanganya. Mtu yeyote anayeomba uraia wa nchi nyingine hasa za ulaya, paramoja unapewa passport na kitambulisho. Kwa nchi zilizoendelea pasport na kitambulisho cha uraia ni documents za lazima na muhimu za raia...

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or 10 місяців тому

      Nakibaliana na wewe

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 10 місяців тому

      Tulia wewe.
      Kama hujui sheria bora kukaa kimya.
      Passport inatoka hata kama wewe sio Raia wa nchi husika.

    • @romualdmadeniromuald525
      @romualdmadeniromuald525 10 місяців тому

      Lete sheria za nchi acha project za zuchu

    • @raphaelmvukiye1938
      @raphaelmvukiye1938 10 місяців тому

      Yeye amejibu kwà mujibu wa sheria za nchi yetu. Sàsa wewe ambaye umeona Wakili amedanganya umma eleza ni kwà sheria ipi.
      Kama mtu ameomba uraia wa nchi nyingine na akapewa anapaswa pia huku anapotoka akamilishe taratibu za kukana uraia wa Tanzania ili rasmi asiwe raia wa nchi hii. Sàsa wewe unakurupuka tu. Hii yote ni kwà sababu wewe haijakutokea ama kimtokea mwanao. Kuwa makini basi kwà kuwa tatizo alilonalo mwingine hata kama hauna kwà sàsa linaweza kuja kumpata mwanao.
      Hivi siku mtoto wako akiambiwa apeleke uhamiaji vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wa babu na bibi yako atavipata na hiyo passport au kibali atakipata kweli kwà njia halali na za kawaida?
      Kuna wakati serikali inaweza kuonea watu, sàsa wewe kama mkono wa uonevu haujakukuta nyamaza ili wenye sauti wawasemee wasiokuwa na sauti.
      Ahsante

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 10 місяців тому

    Hapo tatizo ni waandishi wasio na ufahamu wa tasnia yenyewe haya yote anayouliza wakili yalitakiwa kuwa sehemu ya maswali ya wanahabari Kwenye ile press, tunataka kuona kama wanahabari wataweza kurudi Kwa kamishna kupata taarifa hizo

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 10 місяців тому

      Hata huyo kamishna alitakiwa awe kamili na document zote kuhusiana na hoja aliyojiandaa kuitolea ufafanuzi, ili hata zingeulizwa azionyeshe. Ndo mana anaambiwa alikuwa anapiga porojo.

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 10 місяців тому

    Hon. Madeleka wewe ni miongoni mwa mawakili wanaozitendea haki tasluma zao.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 10 місяців тому

    Hodari nyie kwa kusema uongo viongozi wa CCM

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 10 місяців тому

    Tanzania badilikeni kwani uraia pacha una shida Gani????Hapa Africa mmebaki nyinyi tu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 місяців тому

      Nikweli mkuu ichi inaongozwa na wajanja wa janja na umbumbumbu

  • @bozaDizamile
    @bozaDizamile 10 місяців тому

    MADELEKA UNAJISUMBUA MDOGO WQNGU HII MATATIZO HAYO YANASABABISHWA NA CCM CCM NI CHAMA KIBAYA SANA HAPA TANZANIA NA BILA CCM KUTOKA MADALAKANI NCHI HII ITABAKI KUWA MASIKINI HATA KWA MIAKA ELFU KUMI. IJAYO

  • @csato9415
    @csato9415 10 місяців тому +1

    Kwa maelezo haya wakili msomi kama kweli hakuna hizo nyaraka, kwa serikali hii dhalimu na yenye hila sasa wanaenda kuzitengeneza za uongo.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 місяців тому

      Hahaaa nakweli hi serekali ni zalimu kwl