Mwanafunzi Japhet Makyao awakumbusha umuhimu wa
Вставка
- Опубліковано 25 гру 2024
- Japhet Makyao, mwanafunzi wa mwaka wa tatu, Shahada ya Udaktari na Upasuaji, Chuo Kikuu cha Kampala Tanzania (KIUT) ambaye ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu anaamini #Fichua itawezesha vijana wengine kusoma kama yeye.
Anasema: “Kipindi najiandaa na suala la kuja chuo, nikiwa na kiu kubwa ya kusoma udaktari … niliwaza sana juu ya namna nitakavyolipa ada na vitu kama hivyo…rafiki yangu akaniambia Bodi ya Mikopo huangalia watu wenye uhitaji,”
“Ni kweli kabisa kwamba mpaka saa hii, mwaka wa tatu, mimi bila Bodi ya Mikopo nisingeweza kufika hapa…”
Ni rahisi, unaweza kushiriki kumfichua mdaiwa wa Bodi ya Mikopo ili kuwezesha vijana wengine wa kitanzania kusoma - kama ‘daktari mtarajiwa’, Japhet.
#Fichua
#KuwaHeroWaMadogo