- 22
- 23 118
HESLB TV
Приєднався 20 кві 2018
Karibu HESLB TV kwa habari na taarifa zote muhimu kuhusu kuomba na urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu.
HESLB MARATHON YAZINDULIWA
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Dkt. Bill Kiwia leo (Ijumaa, Disemba 20, 2024) amezindua mbio za hisani kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa HESLB zitakazofanyika Februari 15, 2025 katika Viwanja vya Farasi (Green Grounds) jijini Dar es salaam.
Mgeni rasmi wa mbio hizo zinazojulikana kama HESLB Marathon, atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Dkt Kiwia amesema fedha zitakazokusanywa kupitia HESLB Marathon zitatumika kununulia vifaa vya maabara ya shule mbili za sekondari; moja ya Zanzibar na nyingine ya Tanzania Bara. Ameongeza pia kuwa kiasi kingine cha fedha kitatumika kuboresha kituo cha HESLB cha huduma za simu kwa wateja ( HESLB Customer Call Centre).
Mgeni rasmi wa mbio hizo zinazojulikana kama HESLB Marathon, atakuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Dkt Kiwia amesema fedha zitakazokusanywa kupitia HESLB Marathon zitatumika kununulia vifaa vya maabara ya shule mbili za sekondari; moja ya Zanzibar na nyingine ya Tanzania Bara. Ameongeza pia kuwa kiasi kingine cha fedha kitatumika kuboresha kituo cha HESLB cha huduma za simu kwa wateja ( HESLB Customer Call Centre).
Переглядів: 17
Відео
Uzinduzi wa HESLB APP
Переглядів 14019 годин тому
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, leo (Jumatatu, Disemba 16, 2024) amezindua mfumo wa huduma kidigitali unaofahamika kwa jina la ‘HESLB APP’ ili kurahisisha huduma za utoaji na urejeshaji wa mikopo ya wanafunzi inayotolewa na serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Hafla fupi ya Uzinduzi wa ‘HESLB App’ imefanyika katika ofisi za HESLB jijin...
A call to Diaspora community to support tertiary education in Tanzania
Переглядів 7914 днів тому
n the heart of Tanzania, there are dreams waiting to take flight. But for many young Tanzanians, the door to education remains closed, locked by the harsh reality of financial limitations. For over two decades now, HESLB has been transforming lives by providing scholarships and loans to students from vulnerable families, ensuring financial barriers no longer stand in the way of potential opport...
Mwanafunzi Japhet Makyao awakumbusha umuhimu wa #Fichua
Переглядів 1045 місяців тому
Japhet Makyao, mwanafunzi wa mwaka wa tatu, Shahada ya Udaktari na Upasuaji, Chuo Kikuu cha Kampala Tanzania (KIUT) ambaye ni mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu anaamini #Fichua itawezesha vijana wengine kusoma kama yeye. Anasema: “Kipindi najiandaa na suala la kuja chuo, nikiwa na kiu kubwa ya kusoma udaktari … niliwaza sana juu ya namna nitakavyolipa ada na vitu kama hivyo…rafiki yangu akaniam...
Je, unamfahamu mdaiwa mwenye kipato lakini harejeshi? #Fichua
Переглядів 555 місяців тому
Ijumaa, Juni 28, 2024, Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Dkt. Bill Kiwia alizindua Kampeni ya #Fichua inayolenga kuhamasisha wananchi kushiriki katika urejeshaji wa mikopo kwa kuwafichua wadaiwa WENYE KIPATO lakini wanapiga kimya. Awamu ya Kwanza ya Kampeni itaendeshwb kwa mwezi mmoja kwa kutumia njia mbalimbali. Msikilize. #Fichua #KuwaHeroWaMadogo
Oktoba 4, 2023: Uzinduzi wa Mwongozo wa Uombaji Mkopo kwa Wanafunzi wa Stashahada
Переглядів 1,6 тис.Рік тому
Uzinduzi wa Mwongozo wa Uombaji Mkopo kwa Wanafunzi wa Stashahada
Episode 04 Mnufaika Mjasiriamali Kumfungulia Shauri Polisi Mteja Wake Anayemdai kwa Miezi Sita
Переглядів 47Рік тому
Biashara ngumu jamani, hasa wateja unaowadai wasipolipa kwa wakati na wakawa wanakuzungusha right 😔? Leo mnufaika wa Mkopo wa #HESLB ambaye ni mjasiriamali amechoswa na mdeni wake anayemzungusha kwa miezi sita, na ameamua kwenda polisi kumfungulia shauri la madai. Akiwa na hasira kali kwa jinsi deni linavyouma, anamchukua #Kalamu na kuanza kuandika maelezo. Kalamu naye anamwambia, taratibu, na ...
Episode 03 - Mwajiri Wasilisha Makato ya Wamafuika wa HESLB kabla ya Tar 15 ya Mwezi Unaofuata
Переглядів 44Рік тому
Kila mwisho wa mwenzi ukifika, wakati wa ku’approve payments’, Mwajiri huyu anapitisha malipo yote isipokuwa kuwasilisha mkato ya wanufaika wa #HESLB. Huku kalamu akiwa ndiye anayesaini malipo yote ya kila mwezi na kuwa anaona kila kitu kinachofanyika….. Anaamua kuvunja ukimya na kukumbusha jambo muhimu "Hio unayoiruka hapo ni 'Future' ya nguvu kazi utakayoihitaji kwenye uendeshaji wa taasisi y...
Maelekezo (Hatua Kwa Hatua) ya Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu kutoka #HESLB 2023/2024
Переглядів 11 тис.Рік тому
#WeweNdoFuture Tembelea www.olas.heslb.go.tz kuanza maombi yako ya mkopo wa Elimu ya Juu. #BodiYaMikopo #TunawekezaKwaAjiliyaFutureYako
Episode 02 - Anko Mnufaika wa HESLB Kwenda Kukopa Tena
Переглядів 184Рік тому
Naam, matokeo ya Form 6 yametoka, kijana amepasua na yuko tayari kujiandaa kwenda chuo lakini kuna sehemu anahisi atakwama 😞. Kaamua kufunga safari ‘kumface’ Anko ambako anajua atapata majibu. Ila, kuna kitu Anko anaficha. Anko anakosa ujasiri wa kumshauri aombe mkopo wa HESLB na kujimwambafai: “.. hamna tabu Anko, hilo limekwisha kabisaa,” anasema Anko Anko anaona njia rahisi ni kwenda kukopa ...
Episode 01 - Kalamu Anajitambulisha
Переглядів 89Рік тому
Anaitwa #Kalamu, amejitokeza kwa hiari kuzungumza na wewe kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kufanya maombi ya mkopo wa Elimu ya juu kutoka #HESLB, mbinu za kujenga 'Future' yako na urejeshaji wa mkopo baada ya kuhitimu. Sisi tunamuita #HeroWaModogo, na yeye anasema #WeweNdoFuture. Ninyi mnazungumza LUGHA MOJA , embu msikilize, kuanzia leo na KILA JUMATATU hapa hapa HESLB TV. Usikose! ...
REJESHA MKOPO WA ELIMU YA JUU ILI WENGINE WANUFAIKE
Переглядів 1806 років тому
REJESHA MKOPO WA ELIMU YA JUU ILI WENGINE WANUFAIKE
SPIKA WA BUNGE Mh. NDUGAI AHIMIZA WABUNGE WALIOKOPESHWA KUREJESHA MIKOPO
Переглядів 1,3 тис.6 років тому
SPIKA WA BUNGE Mh. NDUGAI AHIMIZA WABUNGE WALIOKOPESHWA KUREJESHA MIKOPO
RAIS Dr.JOHN MAGUFULI AHIMIZA WALIKOPESHWA KUREJESHA MIKOPO
Переглядів 2,1 тис.6 років тому
RAIS Dr.JOHN MAGUFULI AHIMIZA WALIKOPESHWA KUREJESHA MIKOPO
Taarifa na Nyaraka Muhimu za Kuandaa Kabla ya kuomba Mkopo
Переглядів 3,4 тис.6 років тому
Taarifa na Nyaraka Muhimu za Kuandaa Kabla ya kuomba Mkopo
Utowaji wa Mikopo Mwaka wa Masomo 2017/2018
Переглядів 3476 років тому
Utowaji wa Mikopo Mwaka wa Masomo 2017/2018
Hafla ya kuwakabidhi tuzo za kuwatambua waajiri
Переглядів 1636 років тому
Hafla ya kuwakabidhi tuzo za kuwatambua waajiri
Hamna bayaa wakuu😂
Dada Kama umeapeal hujapat unafanyaj
Dada naomba msaada wako nipo mwaka wa pili nimekosa tena mkopo sina plan nyingine kuhusu maisha nisaidie😢
Very simple❤
je appeal form ya heslb inahitaji muhuri wowote au ni kusaini tu?
je appeal form ya heslb inahitaji muhuri wowote au ni kusaini tu?
je appeal form ya heslb inahitaji muhuri wowote au ni kusaini tu?
Asante dada yangu umetubariki
Naomba msaada najaribu kuingiza taarifa za baba za kifo inaniambia wrong datetime format
nashukuru sana umenisaidia hadi mimi wa 2024/2025 asantee❤
Habari, huduma kwa wateja ni ngumu kuipata huduma na kusaidiwa
Jibuni comments basi
Rais Asante sana mama uwe Rais wetu
Asante mama
Ada ya maombi elfu 30 tunaomba ifutwe ni mzigo kwa familia za Hali ya chini
Mungu awaongoze zigawanywe kwa haki
Naomba kuuliza
Dada unaupiga mwingi sana ✊
Certificate inamkopo jaman?
Yaaah ila kwa waliochaguliwa na ambao wana kipaumbele
Excellent
Jaman nyie bodi niwape maua yenu💐💪
Submit button haifany kaz
NAOMBA MSAADA NAMNA YA KUINGIZA NAMBA YA CHETI CHA KUZALIWA MAANA NAINGIZA NAAMBIWA RITA VALUES INVALID SIELEWI
Habari.... mi nimemaliza kulipia.... kisha nimejaza password lkn nikitak kusubmit inagoma.... inasema applicant profile for a user with the index number ........ is already present
Ndugu nami imegoma hapo, nifanyeje kutoka kwenye mkwamo huo???
Tusaidiane maana mifumo yetu sijui bado michanga
Daah ht celew
Kama umepata ufumbuzi tujuzane please
Hapa click forgetten password then weka new password. Japo Demographic na Guarantor info zimenigomea kusubmitt
mimi nimejaza taarifa za awali lakini nimefika kwenye upande wa kuweka password ikagoma na mtandao ukaanza kusumbua kufungua na ikitokea imefunguka wanasema kuwa applicant profile already exist nashindwa kuendelea kufanya application. msaada kwa anayejua
Vipi ndugu ulipata msaada kuhusu Hilo swala?? Maana na Mimi nakumbana na tatizo Hilo Kama ulipata msaada nisaidie na mimi
Nenda Bodi ya mkopo Mwaka huu imesumbua Sana mwenyew nilienda baadae ilifunguka
NIMEPATA NILIKWENDA KWENYE FOGORT PASSWORD NIKABADILISHA IMEKUBALI@@raphaellubukilo7017
@@GodfreywaNyabweta asante Sana
Mimi nina changamoto kwenye kuweka Taarifa za wazazi/Parent Details.....mfumo unakuwa unasave lakini baadaye inasema inasema Incomplete
Kwawalio maliza kujaza mmeona mahali pa kuweka cheti cha kuzaliwa maana wameandika kiwekwe lakini sioni sehem ya kuweka iyo pdf ya cheti cha kuzaliwa
Naomba kujua jinsi ya kuomba mkopo ngazi ya certificate na diploma
Ndugu yangu mbona mimi sina mzazi mmoja na nimesoma shule za serikali na sina uwezo wakulipa ada lakini sijapangiwa mkopo na mimi ni mwanafunzi ninaendelea na masomo??
Jaman tunaomba utuelekeze jinsi ya kuomba mkopo ngazi ya certificate na diploma please
mimi nimeshakamilisha kujaza fomu yote lakini nikienda kuview taariwa naambiwa application not complete naomba msaada
Kama mm pia najaza taarfa za wazaz lkn nikiviewbhazionekan na naambiwa cjacomplete all step
Jamani certificate wameruhusu kuomba mkopo?
Kwenye demographic info inagoma ku submit sasa inakuaje
Mimi tatizo langu niki pakia birthday certificate haikubali na uki submit inazunguka tu na taarifa hazika .
Mbna hata cjapaona pa kuweka hyo kitu
Samahani ,mbo a mm apo kwenye guarantor details. Kila nikijaza info hazisave
MIMI NAPATA HIYO SHIDA, UKIPATA SOLUTION, NISAIDIE
@@canongeneralsupplies mm nilisulihisha ilo tatizo. Ilikua ishu ya mtandao lakini toka jumatatu hii naona mtandao upo safi.
Gusa confirm
Hivi kwannn death verification code hazionekanii kwenye fomu au ndio ilivyo tuu kimfumoo
Hata mm mzee
Naomba msaada hapa nmekosea badala ya kuweka undergraduate nmeweka postgraduate nifanyeje
Tunaomba mawasiliano yenu Ili tuweze kuomba mmsaada zaidi
Naomba tuwe tunatumiwa update za mara kwa mara. Zimasaidia kuelimisha jamii hasa kabisa kwa Wanafunzi wanufaika waliopo vyuoniii,,