MAPYA MWANZA! UKAGUZI WA MABASI ZA SHULE KUANZA!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 чер 2024
  • Chama cha wamiliki wa shule binafsi mkoani Mwanza kimewaonya kuwafuta uanachama na kuwashtaki polisi na kwa mamlaka za elimu wamiliki wa shule watakaokiuka sheria inayowataka kuweka waangalizi (Matron /Patron) kwenye mabasi ya wanafunzi ili kuimarisha usalama wa watoto wanapofafiri na magarihayo.
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ •