YAMETIMIA! Hatimaye kipindi cha SALIM KIKEKE ndani ya Crown Media chatajwa, afunguka haya MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 12

  • @MursalLusinde
    @MursalLusinde 3 місяці тому +4

    Big up kikeke kazi yako tunaijua hongera sna tunataka ubunifu ktk tasnia ya habari kma sns jinsi walivo jitofautisha na vyombo vingine kwa ubunifu wao wa kipekee ktk kuhabarisha umma tunatengemea ushindani wa kujenga na sio uadui big up king

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 3 місяці тому

    Salim kiKeke nlimnauwo kimbokta jo enzi zile nikiwa raima ata hivyo Ni mtangazaji Mwenye tajiriba na ningependa kudigi shoo yake akifanya mambo 👑

  • @StephenKarori-i5n
    @StephenKarori-i5n 3 місяці тому

    SALIM KIKEKE NAKUBAL SANA KAZI ZAKO TOKA ENZI ZA BBC❤ BY YASINTA WALYUBA

  • @Avith-lj2sp
    @Avith-lj2sp 3 місяці тому

    DJ naaa wewwwweeeee

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 3 місяці тому

    Wow Amazing Salim Kikeke

  • @nikkitokke8162
    @nikkitokke8162 3 місяці тому +1

    Safi sana

  • @Zuchu11
    @Zuchu11 3 місяці тому +1

    Safi sana boss kwenye share zake. Salim kikeke.

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 місяці тому

    Hongera Salim Kikeke, umerudi nyumbani umependeza sio kama ulivyokuwa London.

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 місяці тому

    Yaani mmiliki nae anatangaza,,kweli watu wako seriously

  • @leeheyon
    @leeheyon 3 місяці тому +1

    na boss wao kashatoa ngoma ya malaika walio asi enzi yao

    • @TrinaRoman345
      @TrinaRoman345 3 місяці тому

      😂😂😂 Eti boss wao HA HA HA HA HAAA cjui nachekea nn mie

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 місяці тому

    ❤❤