EXCLUSIVE: JAMAA ABADILISHA DALADALA KUWA MGAHAWA - "POMBE MARUFUKU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лют 2022
  • EXCLUSIVE: JAMAA ALIYEIBADILISHA DALADALA KUWA MGAHAWA "POMBE MARUFUKU"
    Ni Ripoti kutokea Kibaha mkoani Pwani, Camera za Wasafi Digital zimenasa moja ya tukio la ubunifu uliofanywa na fundi wa magari, Shabani Mboga, mkazi wa Visiga kwa Kipofu.
    Mboga ameamua kuibadilisha gari ya abiria aina ya DCM iliyokuwa ikibeba abiria kutoka. Mlandizi kwenda Bagamoyo, kuigeuza kuwa mgahawa, jambo ambalo limefanya sehemu yake ya biashara kuwa kivutio kwa watu wengi na wapita njia.
    Anasema katika mgahawa huo, ni marufuku kutumia kilevi cha aina yoyote kwakuwa ukiwa ndani ya mgahawa huo unakuwa kama upo juu ya ghorofa, hivyo lolote linaweza kutokea wakati wa kushuka.
    @hamisimguta

КОМЕНТАРІ • 60

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 2 роки тому +9

    Talented man
    Nice job🔥🔥

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 роки тому +8

    Safi sana ,, chakufanya apake rangi vizuri nje af afanye urekebishaji wa nje ili iwe na mwonekano bombaaa big up mzee

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +6

    jirani zangu wa tz you don't disappoint 😂😂😂💕🇰🇪🇪🇺

  • @vero57
    @vero57 2 роки тому +15

    Hii safi sana, hata Japan hakuna hii,👏👍👏

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому

      😃😃😂

    • @MiaTheLathini
      @MiaTheLathini 2 роки тому

      Sio wengi hata, watu 10,000 tu ndugu zangu !
      ua-cam.com/video/9rK399duqKM/v-deo.html Share the link na Ndugu/washkaji kwa Mitandao till we hit that ✊🏿
      A new project will then be OUT ✊🏿

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 2 роки тому +1

      Unadhani ni Japan tu ndo hakuna hiv, Ni Duniani kote hamna hii kitu Ni Tz tu 😆😆😆😆😆

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Ufanyanya hivyo pia huko Japan na mataifa mengine yalioendelea, utofauti wake ni mazingira tu na jinsi huyo alivyolipachika hilo bus juu kienyeji 🤣

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому

      🤣🤣🤣

  • @eliamatinya2791
    @eliamatinya2791 2 роки тому +2

    Visiga Hapo Kibaha... Jamaa namkubali Sana... Kaka yanguuu

  • @wendelinkomba1890
    @wendelinkomba1890 2 роки тому +2

    Hongera kwa ubunifu

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 роки тому +10

    Maswali ya waandishi jamani eti kilichokufanya ufanye hivi ni nini. Njaa mkono uende kinywani wajameni. Cha msingi ni usalama wa wateja Safety ndio cha msingi!!!

  • @athumaniashimu1568
    @athumaniashimu1568 2 роки тому +1

    Atar San duuh mzee unajua sana

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 2 роки тому +3

    Visiga kwetu buana

  • @athumaniashimu1568
    @athumaniashimu1568 2 роки тому

    BG up San mzee

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 2 роки тому +4

    Nzur ila ajaribu kufanya maboresho kdogo

  • @hakimsashamusic
    @hakimsashamusic 2 роки тому

    Play don't worry by hakim sasha

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому +1

    Silazima kuliweka juu hilo gali, hiyo ni poa sana, bus restaurant wapo waliotumia ndege kwawenzetu chamsingi ni utengenezaji tu wa ndani ya hilo bus nakuweka vizuri mazingira

  • @majaliwarajabu8869
    @majaliwarajabu8869 2 роки тому

    Uyo broo mpambanaji, kila nikienda congo lazima nichukue mazaga ikiwemo oryx, gass, namkubari broo.

  • @Entertainmen_tv2024
    @Entertainmen_tv2024 2 роки тому +3

    Imeibana hata hainekan vizur huo mgahawa

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 2 роки тому

    Happy nje ungeweka bustani nzuri it's watu wa garden ili kuweka mvuto

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 роки тому +1

    hii nayo abari ✈️

  • @praygodmtera9907
    @praygodmtera9907 2 роки тому +2

    😰 uliesema uchafu kwanza wewe mwenyewe mchafu tu ,si ajabu Ilo gari apo na iyo idea ya mzee itaishi kuliko umri wako . Jifunze kufikiri ulizaliwa na uchafu ukasafishwa na uliowakuta duniani. It's Shameless to oppose kitu ambacho huna ata theluthi ya ujuzi wake😡

  • @simaraphaellucas8469
    @simaraphaellucas8469 2 роки тому

    Mkoani fani

  • @zakhianzuki9348
    @zakhianzuki9348 2 роки тому +2

    Ebwana mie nimpe ongera uyo jamaaa

  • @babujinga4511
    @babujinga4511 2 роки тому +3

    Rekebisha kiswahili chako.. Sio fundi gereji.. Ni fundi magari

    • @mandelaenock7030
      @mandelaenock7030 2 роки тому

      Fundi gari sio fundi magari maana gari halina wingi mfano gari yang au gari yetu,zile gari,umeleta gari zote gerage umeelewa bro gari zetu zipo salama mifano mini mno

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 роки тому +2

    Bongo bhna

  • @edinawilliam2943
    @edinawilliam2943 2 роки тому

    Pak rangi nzr safisha pawe👍😘👌

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 роки тому +3

    Mbona huu ni uchafu?

  • @ramadhanabdi4237
    @ramadhanabdi4237 2 роки тому

    Ok

  • @yusuphjuma728
    @yusuphjuma728 2 роки тому +2

    Nchi ina watu wanavituko sio powa 😃

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Si vituko ni ubunifu pia ata na mataifa yalioendelea ufanya hivyo utofauti ni mazingira tu so angelifanya mzungu wala usingelisema ni kituko 🤣

    • @edinawilliam2943
      @edinawilliam2943 2 роки тому

      Kuna mtu mwanza ana baba shop gar wateja kbao

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 роки тому

    Liahuahe litakija kuangulia watunhasa watoto .na wapita njia

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 роки тому

    DAWA YA MVUTO MKUBWA
    m.ua-cam.com/video/Z5fZZHXGi3E/v-deo.html

  • @omarkhamis2203
    @omarkhamis2203 2 роки тому +1

    Siku likianguka nani atalaumiwa

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 2 роки тому +2

    Sasa ngoja lishuke ndiyo mtajua

  • @mukrimsuleiman6926
    @mukrimsuleiman6926 2 роки тому +1

    dah haya maisha ndg zngu atutakiw tumkashfu san

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 2 роки тому

    Ubunifu mzuli

  • @husseinparco9640
    @husseinparco9640 2 роки тому

    Umejitahidi iboreshe ivutie kwa zaidi mazingira yawe mazuri mauwa chini rangi

  • @dominicjulius3108
    @dominicjulius3108 2 роки тому

    Tunaweza tukiwa na mawazo huru

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 2 роки тому

    Ila kuwa makin na walevi wa maeneo ya Mbagala watakuwa wanapita madirishani

  • @jaswabe_tz
    @jaswabe_tz 2 роки тому

    Vp mgambo hawajabomoa maana naona icho ni kibada tu kama vibanda vingine ambavyo avitakiwi

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 роки тому

    Tuseme ni gorofa la bati ama chuma maana hapa mnanichanganya basi pakeni rangi livutie limekaa kama borongoto fulan kwa mbaali

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 2 роки тому

    Vp tunaruhusiwa kupita madirishani

  • @godwin5884
    @godwin5884 2 роки тому

    Eti daladala ???? Kiswahili kigumu🤣🤣🤣

  • @benjaminahadi5926
    @benjaminahadi5926 2 роки тому

    Usitizame filamu iyi ukiwa na watoto 🤭ua-cam.com/video/KFawskkVrXM/v-deo.html

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +1

    🤮🤮🤮🤮🤮🤮

  • @ashirafkazinja1020
    @ashirafkazinja1020 2 роки тому

    Ii

  • @MiaTheLathini
    @MiaTheLathini 2 роки тому

    Sio wengi hata, watu 10,000 tu ndugu zangu !
    ua-cam.com/video/9rK399duqKM/v-deo.html Share the link na Ndugu/washkaji kwa Mitandao till we hit that ✊🏿
    A new project will then be OUT ✊🏿

  • @mesakajohn7303
    @mesakajohn7303 2 роки тому

    Yani mil3 hata haionekan ulichofanya mzee hana maalifa