MWANAUME ARUSHA AVAA GAUNI LA MPENZI WAKE NA KUJINYONGA, AKUTWA NA 'SLIPER' ZA KIKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 315

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 День тому +61

    Mapenzi mapenzi yanatutesa sana vijana wallah 😢😢😢 ata mapenzi yanitese vipi Mwenyezi Mungu naomba nieupushe na hiki kikombe 😢😢😢

    • @KhamisFeysal
      @KhamisFeysal День тому +3

      Naww usitese kaka wa mtu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh День тому

      Kwa kweli mimi basi tu naende lakini nijinyonge hapana

  • @elizabethrichard7694
    @elizabethrichard7694 День тому +71

    Mungu nimekataa kujiua kwaaina yoyote ile nakwasababu yoyote ile

  • @TadeiTz-z4u
    @TadeiTz-z4u День тому +26

    Vijana wezangu tumrudieni mungu napia poleni sana 🙏🙏🙏

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 День тому +18

    Dah mwenyez Mungu tujalie mwisho mwema 👏👏

    • @HafswaBakar
      @HafswaBakar 21 годину тому +1

      Aamin Yarabbal alamiin

  • @rehemaseif1785
    @rehemaseif1785 16 годин тому +3

    Innalillah wainnailayh rajiu'un. Amefanya maamuzi magumu sana. Amesahau kama kuna watu wanampenda na wanamuhitaji. Polen sana ndugu, jamaa na marafiki.

  • @MusaRajabu-rw7uz
    @MusaRajabu-rw7uz День тому +18

    Mke sio ndugu ukfa kwa ajiri ya mpenzi unaacha ndugu zako wanaokupenda kwa shida nalaha hata mwenyezi mungu hataki ktu kama hicho sasa hivi mwenzio anapata mwanaume mwingine wewe ushajihuku ksa mapenzi hatar sana

    • @BahatiPatrick-l9l
      @BahatiPatrick-l9l День тому +2

      afet

    • @PromiseSimkwai
      @PromiseSimkwai День тому +2

      Upuuzi sana

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 День тому

      Afe tu watu kama hawa wana mchango mdogo kwenye taifa

    • @EdnaWilliam-f4c
      @EdnaWilliam-f4c 15 годин тому

      Anavitu vyake mbona wanawake wanatafuta na wamme zao then wanao wake na kuzaa nje ovyo ila tunakomaaa anamambo yake shetani wamemtumia

  • @AllyShabani-g2b
    @AllyShabani-g2b День тому +18

    Ww unakubali kumuumiza mamako kisa mapenz ww kweli choko

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh День тому

      Na mweny mapenzi ya kweli ni mama ako mzazi pekee alieona uchungu siku ya kukuzaa mwanamke rafiki tu

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo День тому +6

    Hii mungu aniupushwe nayo sitaki kuwa sababu , kwa mtu kukatisha maisha yke 😢😢😢😢

  • @Yesuniwokovu
    @Yesuniwokovu 16 годин тому +2

    Mungu amsamehe kwa kujinyonga Pole wapendwa

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo День тому +7

    Kifo akikosi sababu Allah atupe Mwisho Mwema😢😢

  • @NovatusKimario-hw7pi
    @NovatusKimario-hw7pi День тому +6

    Hizo ni Roho za mauti ambazo hua zinafuatilia watu hivyo omba sana MUNGU akuepushe..

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 День тому +6

    Upuuzi tu nijinyonge kisa mapenzi 😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂

    • @Dafetty
      @Dafetty День тому +2

      Sindo apo sasa 😂😂😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 14 годин тому

      ​@@Dafettyhii uwa siyo bule kuna roho ambazo siyo nzri daaah mapenzi haya 😢😢

  • @factanonverba1
    @factanonverba1 День тому +10

    Mwanaume mwanaume mwanaume, yaan hela unayo halafu shimo linakuumiza kichwa adi kujinyonga si ufala huo, asee tubadilike wana hawa raia akikuzingua piga chini tafuta mwingine, hela ndo zikuumize kichwa🥷🥷🥷😡😡😡

    • @LameckMichael-r3h
      @LameckMichael-r3h День тому +2

      Hujawahi kupenda wewe

    • @factanonverba1
      @factanonverba1 День тому

      @LameckMichael-r3h mtego unaanzia hapo, mwanaume hapendi, anamiliki , akipenda ameisha, uo ni umama.😡😡😡

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      Acha upuuzi,unajitoa uhai na kuwaachia simanzi ndugu kwa mambo ya kijinga eti mapenzi?​@@LameckMichael-r3h

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 День тому +1

      ​@LameckMichael-r3h Unampendaje mtu anaekuchuna? Maana mim demu akiniomba hela mara mbili mara tatu naanza kupoteza upendo kwake. Au nikimla mara mbili mara tatu naanza kumuona wa kawaida sana.Itakuw huyo dada alimwekea madawa huu sio upendo.

    • @factanonverba1
      @factanonverba1 День тому

      @@rumdeesonsoa1811 unyama😁👑👑👑

  • @AsmaAbdalah-v7e
    @AsmaAbdalah-v7e День тому +5

    Daaah😂😂😂nacheka kama mazuri mungu nisamehe😢😢arusha itengwe mapenzi nyoko

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 День тому +1

      Shenzi Sanaaa 😂😂😂😂😂😂😂Umeniacha Nacheka Kma Chiziiiii Alishiba Ugali Acha Aende Mbinguni Atayapata Mapenzi Ya Kweliiiii😂😂😂😂😢😢😢

    • @knowledgeBenefit-b7c
      @knowledgeBenefit-b7c День тому +1

      Wameru

    • @happydamian903
      @happydamian903 День тому

      @@knowledgeBenefit-b7c😂

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 День тому

      😂😂😂acha mkoa wetu😂😂

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 День тому

      ​@@knowledgeBenefit-b7ckwanini lakini sisi wameru

  • @FrankMtwale-g3q
    @FrankMtwale-g3q День тому +3

    Machizi mnapenda kifara sana😂😂😂siwezi nkakuita shujaa we ni kiazi sana pumzika kwa amani

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 День тому +1

    Mungu tujalie rehema 🙏

  • @HajraRamadhan-x5f
    @HajraRamadhan-x5f День тому +12

    Tuachee kurogaa wanaume afu badae unamzinguaaa😢

    • @violettemitchel6772
      @violettemitchel6772 День тому +1

      Umeona mbali sana

    • @asha-z3n
      @asha-z3n День тому +1

      Umeongea ila wachache wataelew dunia hii

    • @Worldunite
      @Worldunite 18 годин тому +1

      Mwanamke ampiga njemba limbwata la kufa mtu baadae anamzingua ndo njemba kufikia kujinyonga

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 17 годин тому +1

      Akili kubwaaaa sana Hajra
      Big up

    • @HajraRamadhan-x5f
      @HajraRamadhan-x5f 7 годин тому

      @Worldunite da huzuni kwa kweli

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson День тому +2

    Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa

  • @AishaZuber-z6g
    @AishaZuber-z6g 9 годин тому

    Naomben mnisamehe jaman maana hao wamama wanalia au ila Arusha kwa comedy😂😂😂😂😂😂😂 harafu kijana unajiuwa kwa ajili ya mapenzi daah utajibu nn kwa Mungu😢😢😢😢😢

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 День тому +20

    Jamani hawa wanaume wenye mapenzi ya dhati bado wapo! Mungu watulize wote waliyoumizwa na msiba huu.

    • @Yehova_Kwanza
      @Yehova_Kwanza День тому

      Sio Wachawi mm mwenyewe mmmmmh NALUDIA mmmmmmmh.
      Simlaumu anayejinyonga kapitia MAGUMU HIVO AKIRI ILIGOMA NA IBILISI KATUMIA NAFASI HIYO.
      Bali MSIMLAUMU BALI TUMSIKITIKIE TU
      ......JUA HUYO KAPITIA MAGUMU MENGI NA SI HAJABU KAWASHILIKISHA WATU LAKINI HAWAKUMSAIDIA NDIPO KWENYE MSIBA WANAJILIZA NAKWAMBIA HIVO MIMI NIMEPITIA HAYO NA BADO NAPITIA NA ILA SASA HIVI NDUGU ZANGU WAMENIELEWA KWA SABABU ILIFIKIA NATISHIA KUONDOKA COZ KUJIUWA SIWEZI KWAHIYO NILIVOTISHIA HIVYO NDIO NIKAJUA NDUGU ZANGU WANANIPENDA NA NIKAJUA NIKIONDOKA NTAMTESA MAMA YANGU HIVO NIKIWA SAFARI NILIAMUA KULUDI KWANGU BUT NAKUSIHII ANAYEJINYONGA KAPITIA MAGUMU SANAAAAAAA NA SIMLAUMU KWA SABABU HAO UNAOWAONA WANALIA MPAKA WANAGALAGALA HAWAKUMSAIDIA AKIWA HAI.
      .......ASANTEH .....YAPO MENGI....

    • @FrancisMankambila
      @FrancisMankambila День тому

      Amina

    • @factanonverba1
      @factanonverba1 День тому

      Mapenzi gani ya kujinyonga ufala huo😡😡😡

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn День тому +1

      ​@@factanonverba1😂😂😂😂 Ujapenda wewe mwehu 😂😂😂😂🙌🤸 poleni wafiwa

    • @factanonverba1
      @factanonverba1 День тому

      @@Rahima-kv6mn 🤣🤣🤣 njoo nikupende na mimi ad nijinyonge sasa🥷🙆

  • @HappyMsele-n8r
    @HappyMsele-n8r День тому +4

    Yani nimemuona mochwari na ngauni lake 😭😭😭😭Mungu tusaidie

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 День тому +4

    Lakini jamani,pamoja na yote tunayopitia.Iwe ni masuala ya mapenzi,uchumi,ugonjwa n.k,hebu tujaribu kuwafikiria ndugu zetu,jamaa,marafiki na familia kwa ujumla.Utawaumizaje kwa uchungu wa kukupoteza??Watajilaumu kiasi gani kwa maisha yao yote kwamba huenda hawakukupa msaada??
    Jamani tusiwe wabinafsi kiasi hicho,uhai wetu sio wetu peke yetu,ni uhai wa familia nzima,ndugu, jamaa n.k😢😢😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 День тому +1

      Hii message yako imeniliza sana,😭😭😭 Siku moja NILITAKA kufanya upuuzi huu,nilipokumbuka walionizunguka nilipiga kelele Kwa NGUVU nikalia,nikamuomba MUNGU MSAMAHA,mpaka Leo ROHO YANGU ngumu MNOO,yani maisha yako siku zote tukumbuke SIYO yetu ni ya ndugu zetu,unapoamuwa kujiuwa hakuna wanaoumia zaidi ya ndugu ZAKO,HAIJALISHI mlikuwa mnaishi nao vipi

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 20 годин тому

      @@israelkisaila8401 Nimefurahi tu kusikia ulivuka salama katika hilo wazo la kutaka kujiua.
      Kulia pia ni tiba nzuri sana.Kuna watu hasa wanaume huwa hawalii,wanafundika mauchungu kwenye mioyo yao,eti wameaminishwa "wanaume huwa hawalii."Jamani lieni.Sio ulie mbele za watu,kajifungie huko unakojua mwenyewe liaaaaa.Ukitoka hapo hakuna atakayejua umelia.Punguzeni hizo sumu na mizigo ya mawazo na uchungu mioyoni mwenu,msije mkafikia kuchukua maamuzi magumu yatakayowaumiza ndugu zenu tafadhali.

  • @NoviaRaphael
    @NoviaRaphael День тому

    Mapenz Mapenz Mapenz 😢😢daah mwenyezi MUNGU amupunguzie adhabu ya kaburi marehemu sisi sote kwake tutarejea 😢😢
    Ila jamani kwanini ufikie kufanya hilo tukio mwenyezi apendi ee mwenyezi MUNGU naomba uvinusuru vizazi vyote maana tunazidi kuangamia kwa kukosa maarifa na hofu ya MUNGU
    Mwenyezi MUNGU naomba uniepushie mbali sana na tukio kama hilo 😮😮😢😢

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 12 годин тому

    Jaman vijana wenzangu tumtegemee mungu sana na tujitahidi kuuzuria vikao sana

  • @RosemaryKidiro-wz3ux
    @RosemaryKidiro-wz3ux День тому +3

    Sahivi arusha kuna matukio mengi😢

  • @joyceassey2347
    @joyceassey2347 День тому +4

    Eeeee kumbe kuna wanaume wanapenda kweli

    • @Boniphaceshayo5
      @Boniphaceshayo5 День тому

      Hakuna asie penda tatizo maudhi tu na dharau nyingi

  • @SurprisedAstrolabe-id9gc
    @SurprisedAstrolabe-id9gc День тому +2

    Nimecheka bala😂😂😂 amevaa gauni ya mpenzi wake

    • @Happizo
      @Happizo День тому

      Unacheka maana hujui chochote

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 День тому

      Ubinadamu kazi unacheka kifo?

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 День тому +1

    Mungu nishike mkono nikujue zaidi

  • @MercyKaaya-n8q
    @MercyKaaya-n8q День тому

    😭😭 duuuuh arusha?

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 12 годин тому

    Mungu awape watu sahihi WA toto wetu. Namahusiano mazuri.

  • @AsiaShaban-zz4yr
    @AsiaShaban-zz4yr День тому +1

    Arusha Arusha what is going on 😢😢🤔

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 День тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢 eti aliweka ahadi ahadi gani Mungu mlaze kaka angu kwa amani apana jamani ata mm nayajua maumivu ya mapenzi ila tuwe tunawaonea huruma familia zetu tusijiue na uenda wangeongea tu siku yakaisha 😢😢😢😢

  • @jenjoseph7270
    @jenjoseph7270 День тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭 sinahata cha kusema poleni familia

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa День тому

    Allah tujaalie mwisho mwema 🤲🤲

  • @EmanuelDavid-h5w
    @EmanuelDavid-h5w 6 годин тому

    Duuu inasikitisha sanaaa

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 День тому +2

    Eh mungu

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 День тому +1

    Misiba ya hivi mm siumiagi kabisa huu ni kuendekeza ujinga, mm nilianza mahusiano na mme tukiwa masikin wa kutupwa lkn baada ya kutajilika sana yan sio mali kidogo ni nyingi mme aliniacha kama mzoga niliumia mno na nilimlilia mungu wangu, mbona mpaka leo nipo tena nainjoy na ni bwana mwingine na ninainjoy kuliko hata ile mbwa, wee mi kujiua kisa uchi siwez tena hilo pepo lishindwe kwa jina la yesu, mungu akitaka nife nitakufa lkn sio kwa kujitakia, ona familia inavyoumia kisa upuuuzi💔💔

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh День тому

      Pole sana lakini umepata somo jitahidi na wew uwe unatafuta chako na sio cha shirika

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i День тому

    Sibishani kwa hili ila Mungu tu nisaidie kwahili daah,tusipende sana matokeo ndio hayo 😢😢😢

  • @sabinasabinam-e1z
    @sabinasabinam-e1z День тому +1

    Sitasahau siku niliyokunywa sumu namshukuru sanamungu alinikoa kwenyebinde lauvuliwmauti😢😢😢mpakaleo badonaishi asntemungu kwanafasi nyingine

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 19 годин тому

    Aseee hi ni kaliii ila inaumaa sanaa acheni kupenda penda kudadeki zenu 😂😂😂

  • @NANCYReichDoto-x9p
    @NANCYReichDoto-x9p День тому

    Dah 😢😢😢 eee munguh wanguh

  • @John.L.Laizer
    @John.L.Laizer День тому

    Daaah inauma Sana😢😢

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 16 годин тому

    Ila sis wanawak atun hat roh ya urum jaman daah na uyu kaka angeachananay tyu jaman daah

  • @Pixxmoleli
    @Pixxmoleli День тому

    Mungu husika

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 День тому

    Innalillah wainna illah raji'uun 😢😢

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 День тому +1

    Du Arusha imezidi

  • @aishaali8109
    @aishaali8109 День тому +5

    Mbona ao wanaume wenyeupendo misiwapati jamani kumbe watu wema bado wanaishi😢

    • @IbrahimMachano-x6x
      @IbrahimMachano-x6x День тому +1

      Hh me nipo nna upendo wa thati kabisa

    • @kakak1245
      @kakak1245 День тому

      Upo Insta?

    • @MwendaMichael-bj7su
      @MwendaMichael-bj7su День тому +1

      Mm hapa

    • @omarmgembe
      @omarmgembe День тому

      Kwahio unataka na wewe mwanaume wako ajiue ndo ujue anakupenda??

    • @Yehova_Kwanza
      @Yehova_Kwanza День тому

      KAPITIA MENGI SANA HUYO MENGI MNOOO COZ SISI WENGINE YANATUKUTA MPAKA SASA LAKINI TUNAJIKAZA LAKINI UKWELI NI KWAMBA HUYO HAKUPATA MSAADA KUTOKA KWA NDUGU NA SI HAJABU ALIKUWA AKIWAELEKEZA LAKINI JAWAMSAIDIII HIVO AKIRI IMEGOMA KAKOSA UPENDO KWA NDUGU KAAMUA KUJINYONGA MIMI SIMLAUMU COZ ATAKUWA KAPITIA MAGUMU ATA ZAIDI YA YANGU
      BALI NAMSIKITIKIA TU NA KAMA NAKUMUOMBEA KAMA KUNA NAFASI YA MSAMAAA MUNGU AMSAMEE KWA MAPENZI YAKE

  • @ruthjapheth174
    @ruthjapheth174 14 годин тому

    Vijana tumrudie Mungu

  • @YohanaMichael-q4g
    @YohanaMichael-q4g День тому +1

    Slpazi ndo nn 😢😢😢😢😢

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 День тому

    Green view

  • @HalIma-t6h1o
    @HalIma-t6h1o День тому

    Daaah!!!😢

  • @naimajuma647
    @naimajuma647 13 годин тому

    Yaani kuna vijana wengi wa kike wanaohitaji wenza leo hii unajitoa uhai kwa ajiri ya mapenzi / kusalitiwa!? Kweli ata kama ulijitoa kwake kiasi gani, kwa gharama gani bado tamboa maisha yapo yataendelea kuwepo na hayo yote ni mapito tu ya mwanadamu. Allah atupe mwisho mwema jamani 😢

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 День тому

    Dah😭😭😭

  • @Zainabu-g5f
    @Zainabu-g5f 16 годин тому

    Kwahiyo.kujinyo.amevaagauni.ndonini😂😂😂😂😂😂

  • @ole_larusai587
    @ole_larusai587 День тому +1

    Mwanamke hasomeshwi

  • @YaeliJoseph
    @YaeliJoseph 12 годин тому

    Hivi mpaka Leo bado kuna wanaojiua kwaajii ya mtoto Wa mwingine???

  • @ShedrackDamiani
    @ShedrackDamiani День тому +1

    mapenzi dah

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 День тому +2

    😂😂😂 yaani arusha ni arusha kabisa ni kama nchi nyingine inche ya tanzania yaani mauzauza ni mengi chungu tele.jamaica wanavuta bangi ila ya arusha naisi inazidi.

  • @gilbertoisso
    @gilbertoisso 16 годин тому

    Hii ni zarau chuga hairuhusiwi hii bwana 😂😂

  • @DeboraKidoli
    @DeboraKidoli День тому

    Sliper ni nn😢😢😢

  • @kowilealex-hm4vb
    @kowilealex-hm4vb 17 годин тому

    Ila wamama wa ARUSHA WANAVO LIA WOIWOI NACHEKA KAMA MAZURI 😂😂😂😂😂

  • @AbduliHalim-o2y
    @AbduliHalim-o2y День тому +1

    Unawez ukamlaumu ila mim binafsi yalinikuta mungu tu aliniokowa nilimsomesha msichana toka kidato cha nne mpaka anaajiriwa baadae akanihlgeuka mwisho akaniambia nilitumia bei gani ili anilipe naenda kwa wazaz waki wakanijibi binti yao kashakuw mtu mzim anahaki ya kuchaguw analo taka bado kidogo nami nijiuwe

    • @Chunja-m2g
      @Chunja-m2g 16 годин тому

      Usirudie upuuzi kama huo tena mwamba changamoto ndo darasa

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 День тому

    mapenz 🙆🏻‍♀️

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 День тому

    Arusha tooooooo mach matukio.
    Hebu unganeni na watumishi na huko muandae maombi ya kukuombea mkoa wa Arusha.
    Ingawaje SI Arusha tu matukio lkn fanyeni hivyo.
    Hii SAUTI ya Mungu kwa mkoa Arusha.🙆🙆

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 День тому

    Hii hali inawakuta vijana wengi sn, wakishindwa kujinyonga wanabaki na stress na kuchanganyikiwa kbs, kabla umuoe usiwekeze chochote kwa mwanamke kwa usalama wako.😳

  • @DicksonMoleli-d2r
    @DicksonMoleli-d2r День тому

    Dapo Leni sana😂😂😂

  • @عايشه-ط8ل
    @عايشه-ط8ل День тому

    Sasa wanaume mnajitoa uhai sisi atatuoa nanii?

  • @FarkiyyaAbdallah
    @FarkiyyaAbdallah 23 години тому

    Heee Mungu ninusuru nisije nikafikia hatua hii😭😭

  • @NURDINIHAUSSI-cy2zd
    @NURDINIHAUSSI-cy2zd День тому

    kwan huko kujinyonga kwenyewe kunasemaje na alie jinyonga anasemaje mtanisamehe mm napita2

  • @CatherineSamson-p6l
    @CatherineSamson-p6l День тому +1

    Yote kwa yote apumzike kwa aman,lakin kama huyo mpenz wake alikuwa akimsumbua hyo laana itamkula wallah 😢

    • @Tiffa-f2y
      @Tiffa-f2y День тому

      Ao watu wakubwa hawalii bure

    • @CatherineSamson-p6l
      @CatherineSamson-p6l День тому

      @Tiffa-f2y kabisa yaan ataliwa mpaka ajutie maisha ya duniani,maana hata hvo kuna post nyingine nimeona akiulizwa kuhus yey na huyo mpenz wake majibu tu anaonekana mkorofi.

  • @TaqiyyaMwijage
    @TaqiyyaMwijage День тому

    Jamani arusha mbona matukio ni mengiiiii????

  • @claudia1500
    @claudia1500 16 годин тому

    Kwanza ufike huko kwa Mungu na gauni lako na hizo sandals'uone kama hajakurudisha uje uvae suruali ya kiume kwanza! MFYUU WANAUME MNAZIDI KUPUNGUA kwa akili kama hizi bora watu wawe single'by the way nampa hongera huyo msichana wake'hii mtu ingejinyonga huku imrvaa diaper za watoto hukp mbele

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 День тому

    Mmi Aya Najiuwa Kisa Mapenzi Kwa Nni Cjui Ninavopenda Ugali Yyi Uniuwe Uache Mutu Atambe Na Dunia😂😂😂😂😂

  • @halamascat2816
    @halamascat2816 День тому

    Hatari😢

  • @eeyesuunitetee.
    @eeyesuunitetee. День тому

    Eeee Mungu uketiye mahali pa juu!!! Uwatetee hawa wazazi wa huyu kijana, ni kama vile nauhisi uchungu walionao kwa sasa.

  • @KamugishaRenatus-o1b
    @KamugishaRenatus-o1b 16 годин тому

    Nitajinyonga kwa tatizo jingine lakini sio mapenzi

  • @hotkitchenapple83
    @hotkitchenapple83 13 годин тому

    Marehemu mbinafsi sana, hakumuwaz hata aaliembeba tumboni miezi 9😢 mshenzi sana

  • @HamisiMatandaya-xs3lz
    @HamisiMatandaya-xs3lz 19 годин тому

    Aseee hii kitu mapenzi inatesa san 😢

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 День тому +1

    😂😂😂😂Arushaaa

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 День тому +1

    Wanawake jaman ebu tusiwe tunawaroga watoto wa wawatu kipindi mnaanza mahusiano mnakua mnapenda ukishapata mwanaume mwingine huyu uliemroga sasa inakua ngumu kukuacha mwisho wa siku ndo mtoto wawatu anaamua ajinyonge😢

  • @abdulrahmanmohammed4449
    @abdulrahmanmohammed4449 18 годин тому

    Arusha jmn

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy День тому +1

    Hayo ni mahusiano wala hakuna kingine 😢dah ase basi tu 😢

  • @bestforever-q2w
    @bestforever-q2w День тому

    Ila Arusha 😢😢mmmh

  • @WemaOmary-z3t
    @WemaOmary-z3t День тому +1

    Roho yakujiua ishindwe

  • @RosemaryMalya
    @RosemaryMalya День тому

    Mungu mwenye huruma akuhumie poleni Sana wapendwa 😪😪😪😪

  • @EvodearMwilafi
    @EvodearMwilafi День тому

    😂😂😂 sjapendraaa huyo alopandish mapepo

  • @florangido202
    @florangido202 День тому

    Nyie mapenzi yanauma kwa kweli.
    Huyo kijana atakuwa ni mara ya kwanza kupewa mapenzi na huyo Bint.
    Wakati kuna mabint wengi angemuacha tu huyo.
    Na kuanza mahusiano mapya.
    Ambayo angeona kumbe alikuwa amechelewa wazuri wako wengi.😮😮

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m День тому

    😢😢😢innalillah wa innalillah lajiun😢

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui День тому

    Hebu tumwachie Mungu maana yeye ndo anajua pa kumueka.😮😮😮

  • @kamarhelo
    @kamarhelo День тому

    Matukio mengine ukiona tu kichwa cha habari inakubid ucheke na sio kuhuzunika 😂😂😂😂😂😂😂arusha mludieni mungu wenu jamani eee😢😢😢😢

    • @BiabaeBianca
      @BiabaeBianca День тому

      Nilikua natafuta hii cmmnt 🫢💔

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 День тому +1

    Jani ni baya wazeee

  • @Emanueli-vz6fd
    @Emanueli-vz6fd День тому +1

    Deplesion inasumbua watu ase.😢😢

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v День тому +1

    Hapo mtalaumu serikali

  • @Jackline-i7b
    @Jackline-i7b День тому +1

    Kula kiapo kwaajil ya mwanachuo 😅 Rip pumzka tu tutaonana baadae

  • @rosemarykimath9337
    @rosemarykimath9337 День тому

    Lkn arusha

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 День тому

    Ila arusha mmh

  • @glorynyarandu-ln8rc
    @glorynyarandu-ln8rc День тому +1

    Ee mungu wangu hivi kumbe wanaume wenye mapenzi yakweli bado wapo duniani kweli

  • @Worldunite
    @Worldunite 18 годин тому

    Sii ajabu kuna demu kamsababishia hilo

  • @wolterdavid8979
    @wolterdavid8979 День тому

    Sasa hamsasikia yakwamba kupenda sana inamwathiri yule umpendae na kukuchukia? Sasa jitengeni na kupenda sana ili akikuacha usiumie moyoni. Hakika nawaambia mtu yule usiempenda atakufuata siku zote za maisha yako.

  • @nataemsuya
    @nataemsuya День тому

    Yani ndani ya mwaka 1 lazima usikie Arusha ama Kilimanjaro mtu kajinyonga, kaua mke/mume, kaua/kachinja mtoto. Shida ni nini?!Mikoa mingine inatokea pia lkn sio kwa kiwango hicho🤔Shida ni nini wajamen?!😞