WANANCHI ARUSHA WAMCHANA RC MAKONDA - ''HATUTAKI MAIGIZO NA VIONGOZI KUGOMBANA - AWAACHE WAPINZANI''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 204

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 місяців тому +3

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 10 місяців тому +19

    Inaonyesha Arusha imechakaa sana. Makonda kaja Mungu atamsimia InshaAllah

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 9 місяців тому

    Nakubali kazi yake nzuri , kikubwa akazanie MAENDELEO na MAISHA bora ya watu mapambano na malumbano ya KISIASA hayasaidii ktk UONGOZI watu kwa sasa wana TATHIMINI ya hali ya juu sana kuhusu uongozi bora uliojaa HEKIMA na BUSARA .

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 10 місяців тому +6

    Karibu sana Paul makonda we love you na tuko pamoja nawe

  • @KalorosiaMtani
    @KalorosiaMtani 10 місяців тому +21

    Arusha mnamajanga Sana,tumuombee makonda achape kazi

  • @KangaMaluguru
    @KangaMaluguru 10 місяців тому +3

    Makonda piga kazi,safisha Arusha,safisha njia kuelekea urais,jipime kukubalika kwako kwa watanzania kupitia Arusha,huku Dar,kusini,ziwa unakubalika sana.Kila la kheri MAKONDA.

    • @FaidhaMlanzi
      @FaidhaMlanzi 10 місяців тому

      Makonda usiogope kazi iendelee

  • @ProsistaTarimo-hr7ys
    @ProsistaTarimo-hr7ys 10 місяців тому +3

    Karibu sana Arusha Makonda. Tusaidie kwenye umeme na maji na bangi

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 10 місяців тому +4

    Safi sana kijana.

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 10 місяців тому +3

    Makonda.mkoa huu.Mungu akuongoze.kuna vijana wanajitambua.watakusaidia sanaa..achana na viongozi hawatakusaidia.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 10 місяців тому +10

    Subirini Makonda atawanyosha moja baada mwingine❤❤

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 10 місяців тому +1

      syo chuga

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 10 місяців тому

      ​@@DavalsonMarlonychuga ndio nn? Au ndio huo ushoga 😂😂

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 10 місяців тому

      @@shinipapaya846 ushoga labda mkoani kwenu

    • @domymerinyo8165
      @domymerinyo8165 10 місяців тому

      Ushoga ni huko Dar hii ni Chuga hatuli chips .

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 10 місяців тому

      @@domymerinyo8165 embu mchane uyo nyumbu anatletea mambo ya kiwaki

  • @oswaldsambaya4422
    @oswaldsambaya4422 10 місяців тому +6

    You're warmly welcome to Arusha comrade Makonda

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 10 місяців тому +16

    Mimi nimependa mh makonda kuja Arusha, makonda naomba uanze na karatu

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 10 місяців тому +2

    Mama samia uko safi sana.

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 10 місяців тому +3

    Mungu amsimamie sana nakonda maana Arusha mmmh Mungu nifunze kunyamaza so poa

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 10 місяців тому +7

    Arusha oyeee vijana mmechangia vizuri sana

  • @LoyceFundi-qf7iw
    @LoyceFundi-qf7iw 10 місяців тому +11

    Makonda umesikia Sasa unatakiwa kwanza kabisa umtangulize MUUMBA wako Kisha umpishe ukiwa umeishika SAUTI yake 2Nyakati 7:14--16. Ubarikiwe.

  • @ernestgeorge8412
    @ernestgeorge8412 10 місяців тому +8

    Makonda you will be a president of Tanzania one day🇹🇿

    • @jamesswai1683
      @jamesswai1683 10 місяців тому

      Tuna omba Kwa Mwenyezi Mungu aifute hiyo siku..huyu mtu sio binadamu..hafai

    • @ernestgeorge8412
      @ernestgeorge8412 10 місяців тому +1

      @@jamesswai1683 sio mbaya nimaoni yako

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 8 місяців тому

    MH MAKONDA❤

  • @Goldenbutterfly-hk1hp
    @Goldenbutterfly-hk1hp 10 місяців тому

    Makonda bwana nimefurahi sana karibu Arushaa big brooh

  • @LoyceFundi-qf7iw
    @LoyceFundi-qf7iw 10 місяців тому +4

    Ubarikiwe

  • @fridamossony2821
    @fridamossony2821 10 місяців тому +2

    Jamani Mimi Nina amani sana, ujio wako Makonda ni faraja sana kwetu, nakupenda sanaa kaka Mungu akutunze

  • @estameryngogo594
    @estameryngogo594 10 місяців тому

    Mungu akuwezeshe kuongoza vema. Utayaweza yote katika yeye akutiaye nguvu.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 10 місяців тому +11

    KUMBE SAS NAANZA KUELEWA KWANN SAMIA KAMTEUWA MAKONDA KWENDA ARUSHA ❤❤

  • @protasdmassawe
    @protasdmassawe 10 місяців тому +3

    Kwani nyie hapo hapakua na kiongozi? Pia usitegemee mpaka mtu aje awapangie cha kufanya. Badilikeni kwanza! Mungu akulinde Makonda!

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 10 місяців тому +2

    Makonda is strong leader,

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 10 місяців тому +10

    Mmeongea ukweli kabisa, kumbe mnaongea vizuri sana ,nilikuwa nikiwaona vijana wengine wanaongea kwa sauti ya kulegea .ila Leo nimewasikia kumbe wanaongea vizuri tena kwa point.nafikiri makonda amesikia kero,vijana wamefanya vizuri kuongea kabla makonda hajaja.06.04.24.

  • @Chemba67
    @Chemba67 10 місяців тому +1

    What an intro.....💥💥

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 10 місяців тому +1

    Rais ajae Makonda ❤tunakupenda 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💗

    • @mnasaeules6857
      @mnasaeules6857 10 місяців тому

      Shindwaaa pepoooooo

    • @JK-uq1tv
      @JK-uq1tv 10 місяців тому

      Hawezi kuwa Rais wetu watanzania labda rais wako ila hatuwezi kumpa Nchi yetu Rais Huwa atajwi MUNGU anamuinua usiye mjua na ambae hakudhaniwa kama hayati JPM.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 10 місяців тому +2

    MAKONDA MTOTO WANGU NAOMBA MUNGU AKUPE URAIS MWAKA 2024 MAKONDA HOYEEEEEEEEKARIBU SANA ARUSHA

    • @romanilyimo
      @romanilyimo 9 місяців тому

      Urais tena 2024 hii kali

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 9 місяців тому

      ​@@romanilyimohumpendi wewe sio 30

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 10 місяців тому +1

    MAKONDA NDIE RAHISI WA TANZANIA WA AWAM YA 7 KWELI WANA ARUSHA TUNAKUOTAJI SANA SANA UTUSAIDIE TUKO NA WEWE MKONDA TUSAIDIE ARUSHA WEWE NDIE MAGUFULI AJAE

  • @KalorosiaMtani
    @KalorosiaMtani 10 місяців тому +13

    Makonda ni mtu wa Mungu kwaukweli

  • @SelijusiMalambo-q2u
    @SelijusiMalambo-q2u 10 місяців тому +6

    Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 10 місяців тому +2

    Kwani Global mna ugomvi gani na Makonda?

  • @husseinamassanza50
    @husseinamassanza50 10 місяців тому +1

    Yangu macho tu

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 10 місяців тому +3

    Mwiz Yuko hapo hapo pemben anakusikiliza😁

  • @RodaTina
    @RodaTina 10 місяців тому +4

    Ni kumanisha makonda ni next prezo of tz

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 10 місяців тому +3

    Huyu makonda akigombea uraisi mimi anawezakuwaraisi yukovizuri

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 10 місяців тому +1

    Unapomzungumzia makonda unaizungumzia Tanzania na watanzania WA Hali ya chini, MUNGU MLINDE MAKONDA.

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 10 місяців тому +2

    Leo siku ya 2 tunamkabidhi mikononi mwa mungu kesho tunamaliza tuungane jamani tumuombee madawa ushoga ni wakubwa hawatampenda

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 10 місяців тому +1

    Nimefurahi kuona wananchi wana imani na MAKONDA

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 10 місяців тому +1

    Mama samia naona utawle maisha.

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 10 місяців тому +4

    Karibu sana makonda, Cha kwanza harusha ni tatu mzuka wanakata watu na kuwaibia, Hawa wanakuwa kwenye toyo ni hatari

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 10 місяців тому +2

    Makondo in god we trust❤

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 10 місяців тому +1

    So arusha machoko wengi sana 😏😏

  • @hailehim1
    @hailehim1 10 місяців тому +1

    DK 15 safi

  • @babahilimollel5254
    @babahilimollel5254 10 місяців тому +4

    Makonda anza Longido kwa Naibu Waziri wa Madini

  • @barikiringo6311
    @barikiringo6311 10 місяців тому +1

    Huyu jamaa anaongea sana kwa hisia, anahitaj pongez

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 місяців тому +1

    SAFIIIIÏ. ❤❤❤😂

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 місяців тому +1

    MIMI NILIZANI ARUSHA PAZURI SANAA.

  • @williamlaiza6633
    @williamlaiza6633 10 місяців тому +3

    Unajua tatizo hawa watu bado hawajaelewa vizuri Sasa ccm ni ile ile na makonda hawezi kufanya kitu pasipo maamuzi kutoka juu, makonda sio upinzani yule ni ccm2

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 10 місяців тому +1

    Nipe namba ya Makonda acha uoga,
    Nataka nimpongeze kwenye swara la ushoga.
    😂😂😂😂😂 Kweli arusha ni hip-hop na Makonda ni Means hip-hop.

  • @MaedaMm
    @MaedaMm 10 місяців тому +8

    Mama kaona makonda asafishe huo mkoa

    • @ConsalvaMumbara
      @ConsalvaMumbara 10 місяців тому

      Ni mkoa uliojisahau kabisa

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 10 місяців тому +1

      ​@@ConsalvaMumbarahuo mkoa haujajisahau? Tena moja ya mikoa wakazi wasio na hofu. Tatizo la arusha walikuwa hawapati viongozi sahihi

    • @ConsalvaMumbara
      @ConsalvaMumbara 10 місяців тому

      @@jasonwatz7457 mungu awakumbuke maana kila siku ni vituko mpaka tunawaogopa.

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 10 місяців тому

    👏👏👏👏

  • @gidiboy9081
    @gidiboy9081 10 місяців тому

    Wewe hujui Kiswahili, wananchi hawajamchana Makonda, Walichokifanya ni kumuonyesha Makonda kile kilichoko Arusha,

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 місяців тому +1

    Mbunge mzuri lakini Halmashauri hiyo wezi wengi wa Arusha humo

  • @TUMAINIMBEMBELA7
    @TUMAINIMBEMBELA7 10 місяців тому

    Ila Arusha hahahahahaa

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 10 місяців тому +1

    Makonda tunakupenda mi ningependa uwe mkuu wa mkoa wa momba chkua maua🎉 yako

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 10 місяців тому +1

    Chawa!

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 10 місяців тому

    Lekanaga nabho makonda ugunoga duhu nkoi abatale badahaile utumame baguchalile Arusha ukwame kalaganaga eeee

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 10 місяців тому +1

    Ameshaonja cha Arusha huyo😅😂

  • @blessingntuli3796
    @blessingntuli3796 10 місяців тому

    Jamaa wa DK15 amenikosha sana
    Naamini one day utakuwa kiongozi wa wanyonge 🫡🫡🫡

  • @Filbert-pe2xm
    @Filbert-pe2xm 10 місяців тому +1

    Kweli arusha kama hamna uongozi vile barabara za mitaa maji yanapasua barabara mpaka yakatize yenyewe uongozi upo lakini hatua haichukuliwi ya haraka

  • @AllyRamadhani-wl3um
    @AllyRamadhani-wl3um 10 місяців тому

    Ni kweli wizi umezidi Arusha apambane nso

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 10 місяців тому

    Wamemchana wapi global mbwa ninyi

  • @AishaChoray
    @AishaChoray 10 місяців тому +1

    Kama kuna kitu mama samia kanifurahisha nikumleta makonda arusha maana makonda ni mchapakazi aliwaanyoosha wauza madawa dar,tunataka kuona mabadiliko arusha ni jiji la kitalii

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 10 місяців тому +1

    Karibu sn arusha ila changamoto ni nyingi mtangulize allah

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 10 місяців тому +2

    Sijuwi Lema uko aliko yupo katika hali gani.

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 10 місяців тому +4

    Atawatunza Makonda ila nanyi nawaombeni mkubali kutunzika

  • @africa7479
    @africa7479 10 місяців тому +5

    wafungieni ndani muwatie kibiriti tu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 місяців тому +1

    MAMA AMESIKIA KILIO CHENU.

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 10 місяців тому +1

    Makonda karibu Arusha shida ya wanarusha na manyanyazo ya wanyonge kwisha wewe ni Damu ya mpendwa watu magufuli

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 місяців тому +2

    Media yenu mlichoandika na kinachosemwa tofauti

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 10 місяців тому +1

    Bangi shida

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb 10 місяців тому +4

    Duuh mbona hatarii mashoga

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 10 місяців тому

      Mashoga si wako kila mahali

  • @FrankElias-u9i
    @FrankElias-u9i 10 місяців тому +1

    Kama namuona MAKONDA

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 10 місяців тому

    Sisi Wana Arusha makonda Arusha haimtoshi apewe mpaka manyara

  • @CafeJohn-jz8ri
    @CafeJohn-jz8ri 10 місяців тому

    Navibaka pia arusha wamezidi sana yaani makonda washyrikiye kisawa sawa

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 10 місяців тому +2

    Magukufuli wasingemuuwa hayoyt yangeisha

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 10 місяців тому +7

    Makonda maana ake n kirainishi cha mboga na kuwa tamu kwa lugha za kibantu ,kwo makonda Ana mvuto sana kwa sasa hata awali huyu aandaliwe kushika usukan tuuu

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 10 місяців тому

    Makonda ni kama maji auwezi kumkwepa na ni lazima ata shine Arusha

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 10 місяців тому +1

    Dk 15 ana hoja nzito zilizoshiba!! Huyu mtu anafaa kuwa mbunge wa Arusha .

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 10 місяців тому

    Makonda tukuombea kabadilishe Arusha jiji limechoka sana

  • @sendisteve7981
    @sendisteve7981 10 місяців тому

    Kichwa cha habari mbona hakiendani na maudhui..Kumchana mtu ni kumwongelea kwa mtazamo hasi.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 місяців тому +1

    Yaani kama manzese.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 10 місяців тому +1

    SIYO KUPIKA MAJUNGU KAMA VILE KINA LEMA.

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 10 місяців тому

    Ivi hiyo barabara ni mbovu kuzidi Ya Mkuzo Songea😂😂

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 10 місяців тому +1

    Kama Arusha inawatu wa aina basi kama ndio picha hii basi inabidi waolewe kabisa

  • @evancemosha7862
    @evancemosha7862 10 місяців тому

    Watu wa kutumwa utawafahamu tuu da, haitaji ufahamu, waliokuja wengine hawakuwa wakuu wa mkoa mbona hatukuwasikia.

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 10 місяців тому

    Machoko n wengi arusha

  • @innocentkimory
    @innocentkimory 10 місяців тому +1

    watangazaji ivi kweli mmesomea waandishi unapeleka mic kwawanywa gongo hovyo kabisa

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 10 місяців тому +1

    Kwa arusha makonda swala la wizi vibaka tatu mzuka panya Road limekuwa kero ushauri wangu asafishe jeshi la police alete police wapya kuanzia occd waje wapya kabisa hapo aanze nao kazi waliopo wamekaa sana mdaa mrefu kutekeleza kusafisha wizi ni ngumu sana

  • @Jal210
    @Jal210 10 місяців тому

    Ondoa shoga Arusha safisha yoteee

  • @Edwardkatunzi-p2x
    @Edwardkatunzi-p2x 10 місяців тому +1

    Makonda .tunajua Arusha wamekupa mtuani mkubwa kuwa makini tunakutengemea mno Tanzania kikubwa watanzania wote tumuombee MUNGU amulinde tuko nyuma yako

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 10 місяців тому +1

    Dk 15 ameongea kwa husia

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 10 місяців тому

    Kwanini hamkumwambia mkuu wa mkoa aliyepita ama wabunge ninyi wananch ni tatizo jaman wambien makosa wakiwa na vyeo

  • @JeremiahElishaMwanyesya
    @JeremiahElishaMwanyesya 10 місяців тому

    Makonda anafiti Kote makonda hoyeeee

  • @Wakwetujitu
    @Wakwetujitu 10 місяців тому

    Oya Danieli nitafute as nicheki fb natumia jina wakwetu jitu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 10 місяців тому +1

    Wavuta Unga wengi,makonda atawanyoosha,angekuwepo hai3makufulina amina chifupa watu wangenyooka

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 10 місяців тому +1

    Hapo umechomoa wanavaa uchi mhh UMESAHAU wanavaa RUBEGA ACHA ZAKO

  • @frashconnect.1
    @frashconnect.1 10 місяців тому +2

    Atawaonesha