SONGA NA SAMIA - SS, VIWANDA NA BIASHARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 кві 2024
  • Miaka 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan tangu awe madarakani, 'Songa na Samia', SS inaangazia mafanikio mbalimbali kwa dakika moja tu. Tuyajue ya Wizara ya Viwanda na Biashara.

КОМЕНТАРІ • 1

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 2 місяці тому

    Muheshimiwa Rais tunakupongeza kwa juhudi zako za kuimarisha sector ya biashara.Lakini pia umejitahidi kuinua uchumi wetu wa Tanzania kwa kiwango kikubwa .Lakini pia umetujengea viwanda vikubwa vya kuchakata bidhaa.Tuendelee kusonga mbele kwa kutafuta soko zaidi nje tuweze kuuza bidhaa zetu.Lakini pia tupange mikakati mizuri ya makubaliano ya biashara na nchi za nje ili percentage kubwa iwe kwetu kwa manufaa ya nchi yetu.Ahsante mama.Kazi iendelee.