Sio kwa ubaya Kwa mtazamo wangu I think huyo boss asinge vaa sendo mguuni kwakuwa kawekwa nafasi ya uboss. Next time itabeba uhalisia wa cheo kama boss atavaa kiboss zaidi. 💪🏾kazi nzuri guys. We love it🎉
Umeongea ukwel jamaa ang tatizo wabongo wanakitu kinaitwa mazoea unajua ukisha izoea kazi na ukisha jiona umewamiliki wateja unaweza ukaamka tu unaenda ofisini na chupi tu sema nini kama joti anatufatilia sisi watu wake basi hii kitu ataipeleka kwenye Management respect sana man ww ndo unajua kuangalia sio hawa makuma wanakuja kukudispoint af ukiangalia hawaja subscribe chanel yenyew 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka adi sasa bado na cheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti unatisha sana weye noma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuliopenda joti alivokuwa kapanda kwenye boda tujuane🤣🤣🔥🔥🔥🔥
😂 😂
Yani nimeceka hapa nilipo naonekana nikama naelekey kuwa punguwani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Tupo pamoja
@@ericluda sana babaahh 🤣👊
Huum Joti ulivyo kaa kwaiyo boda mii hoi na kiceko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aki Joti wewe akili zako unazijuwa mwenyew eniweyi mimi nakupenda sana ❤❤❤❤❤
Hongera sana joti kazinzuri 🔥🔥
Wa noma sana
Kazi nzuri
Sio kwa ubaya Kwa mtazamo wangu I think huyo boss asinge vaa sendo mguuni kwakuwa kawekwa nafasi ya uboss. Next time itabeba uhalisia wa cheo kama boss atavaa kiboss zaidi. 💪🏾kazi nzuri guys. We love it🎉
Mabosi Huwa hawavaagi Sana wewe
Matajiri hawana muda na mavazi masikini ndo tuna sifa hao matajiri wamesha tokaga uko tembea uone
Umeongea ukwel jamaa ang tatizo wabongo wanakitu kinaitwa mazoea unajua ukisha izoea kazi na ukisha jiona umewamiliki wateja unaweza ukaamka tu unaenda ofisini na chupi tu sema nini kama joti anatufatilia sisi watu wake basi hii kitu ataipeleka kwenye Management respect sana man ww ndo unajua kuangalia sio hawa makuma wanakuja kukudispoint af ukiangalia hawaja subscribe chanel yenyew 😂
Binafsi joti nakubari Sana kazi yako mungu akusimamie
Haha 😄 nishai mtomba..ngile wa kitwango leo umepata chance 🤣 ya kutoa dozi unaitumia nafasi vzr ngojea ifike zam ako haha 😄
Thank you Mr Joti!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮!!
Naomba like zang jmn
Leo nilijua, mm ndio ndakuwa,wa kwanza,ila kuna watu ,wanarauka kweli 😂😂😂😂😂
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas
Joti hujawahi kuferi kaka kila siku kitu kipya hongera sana kaka Mungu aendelee kukupa uhai uendelee kutuburudisha😂😂😂
😂😂😂
Kata nyonga joti ita mvua 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤mkwala mingi kumbe toi 😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Babahhh mlewa sheweleeeee tunakukubare sana🔥🔥🔥🔥🔥
Asanteeee
Joti numbar one comedy❣️🥰
Nawapenda sana Joti TV❤❤❤❤❤❤❤❤
Wakwanza from Canada ❤❤
Upo kanada sehemu gani nataka tuongee
Nishaiii the king of comedy
Legend alindwe jmn joti 🔥
You are thé best Mr jotti
💥💥🔥🔥NISHAI ninja.....haunaga kazi mbovu😅😅
nomaa
Leo namm nimewahi nipeni like
Hii ya muuza madafu nilikuwa nimeisubiria sana kwa hamu hatimae umeigiza 😂😂😂
Legend mweyewe joti
Anajua sana apewee maua yake🎉
Wangapi tumemic joti aigize kama mapema🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
From Japan Kuma I love u YANGA bingwa 24/25 😊😊😊
Which opportunity occur Japan bro
Respect comedian
Naombeni Likes Ndugu zangu na mungu atawabariki nimekaa nikisubiri hii video tangu saa kumi pongezi kwangu kwa kuwa ni msubirivu.🎉
Mnafanyia nn hizo like nanyie kha
Unatatizo gani
@@homeboy2307😂😂😂😂😂😂 et una tatzo gan
Eti Mungu atawabariki..
We mjinga
Leo umeshindwa kukimbia... hahahaa halafu? Mbona Zitto ametamani? teh teh teh!
Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo miguno leo umeyatimbaa😊😊😊😊😊😊
Misuguano 😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimeivizia mwamba hapa. Yanga bingwa, dadeki!
Simba Bingwa
Mtaa mapenzi hahahaaaa wee jamaa ww hatali sana hahahahahaaaa unakuzimkazi leo hahahahaaaa nahapa ipo
King of comedy tanzania joti official
Jotiiiiiiiiii😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mapenz mapenz c ukaeeeeee khaaaa
Joti ukaaji gani huo kwenye boda utadhani mbwa anayekojoa😂😂😂
nishaaaai 🔥
Kwan izo like mnafanyiaga ñn
Hata mm huwaa najiulizaa😂😂
Mlewa (waiter) umemponza mwenzako broo 😂 . We ungekaba tu mwenzako nishai achukue point😂.ila nyote mumetisha na nawakubali nyote 😅.
Asanteeeee nduguu
@@mlewa_official 👏😀
Dada umetisha kwa kilio hicho
Joti😅😅😅😅you are the best
😂😂 mlewa kaunguza nyumba 😂😂😂😂😂😂😂
Hahahhahaha
Ivi mwanamke unaitwaje unaenda tu bila taarifa maalum na wala hujui unaenda wapi😂😂😂😂😂😂
Joti ivi wewe kwel una stress kichwani mwako sio kwakuchekesha❤❤❤
Movie nzuri sana master joti❤😂🎉😢😮😅😊😊
nataman sku moja nione clip ina title ya "The Don" alafu unyama uwe mwingi...
pale #MlewaGodyMwambaZitoBaunsa na hku mzee Mbembe
Good good 👍🏾
Kumbe delilah wengi, muuzaji kamuuza Joti😂😂
nmber 1
Kama binduki😂
Mlewa fala sana kila siku anamchoma Nishai 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂joti forever ❤❤❤❤
Joti bn😂😂
Joti ana mikwala....eti ntakumwaga! 🤣🤣🤣
Hahah 😅 nishai nishai kila clip we ni kupigwa haha 😅 Team mtombangile haha 😄 tutambuane unabastora kwel ww
Nitakumwaga hajaa😅😅😅
Kumekuchaaaa 😂😂😂😂😂😂 wnazengo mpooo
Joti na style mpya ya kupanda boda ni nomaa😅😅
Hawakuezi Nishai Mtombangwile mkali wao
Respect
Ila Joti Huna Show Mbovu, Et Mguu Juu Unaenda Kwenye Tukio😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka adi sasa bado na cheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti unatisha sana weye noma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema joti we akili huna kweli sio comed tu😂😂😂😂
😅😅😅😅an mwanaume wangu anipambanie Kam joti naweza kuringa sana
Dada kapigwa kibao katukana icho kibao kimepigwa kweli
aisee mmechekea kifala 😂😂😂😂
Muacheni amfuate😂😂😂😂😂😂😂😂chawa vipi lakini😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 joti ana mikwara sana, et lazima itike na haja
Joti mzinguaji sana😂😂😂😂😂
Ila Joti😂😂😂😂aaah
Nani aliesikia huo mtusi hapo. 😂😂😂😂😂 Halafu director sijui Nan kafanya yake😂😂😂
ita mvua hku unakata nyonga😂😂😂...shabbashhhhh
Mlewa umemuuza mwenzako😂😂😂
Hhhhh
mission ya nishai haijawahi kuishaa kikamilifu lazima azingue😂😂😂
Ilo Kofi la kwanza alilo pigwa dolis nimesikia vibaya au?
Kamanda😅😅😅😅😅
Ila Joti Nafurahi Sana
😂😂😂 leo wa kwnz
Nawaz hiv joti anavyochekesha nikiwaangalia na akina steve n ndaro wenye views kumzidi yni wanamzidi vipi aise
Nishai kaah😂😂😂.ana Mbwembwe
🔥🔥🔥
First one 🎉
😂😂😂😂😂😂😂daaah mbavu zangu
Huyo mwamba wa pikipiki ashaanza kujichubua😂😂amekua mweupe kama paipai achaneni namikorogo wanaume mtapakatwa
Yaani Mlelwa namkubali sanaaaa
Asanteeeeee
😂😂😂 team Dubai all the way from 🇰🇪
😂😂😂😂😂😂 iz jot ndo unanfulaishagaaaa
nice Friday
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂joti noma sana😂😂😂😂
nishai mwa kitombile miguno aka mikazo
Hahaha at sijui chanzo
😅😂😂😂sikijui chanzooo daaah🙌🙌
UTA ni uwagaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Nishai leo kimekuramba
Here 🇨🇮
Hawa watu wa mikopo bana eti apikesheni yan wao walivo ndo wanahitaji mkopo na wasidaiwe ila sasa
😂😂😂😂 Teem fisi noma sana sifa zitakuua ndugu yangu J😂😂
Good job 👏👏👏👍
Ukija bila guard nagawa wastani kwa idadi 😂😂😂
❤