Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2017
  • Unaweza kushtuka kidogo ukisikia Waziri wa Mafuta wa Oman kaongea Kiswahili fasaha tena bila kuchanganya lugha nyingine yoyote... yes, imetokea leo IKULU Dar es salaam baada ya kukutana na Rais Magufuli, tazama hii video umuone vizuri.
    Video kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano IKULU.

КОМЕНТАРІ • 940

  • @abdikadirali1761
    @abdikadirali1761 4 роки тому +19

    Masha-Allah, KISWAHILI ya Oman ,Nchi za kama east Africa

  • @chaileeportraits
    @chaileeportraits 4 роки тому +184

    Niwajulishe 5:25 ndo inapoanzia 😂😂😂😂 afu nipe like

  • @swahibasportsacademy
    @swahibasportsacademy 2 роки тому +5

    As Kenyans,we lost a very sharp president.
    Intelligent.Hope Prof Wajahkoya will take it up where Maguvuli left

  • @abdihirsi6367
    @abdihirsi6367 4 роки тому +32

    I love Oman their nice people and generous as well I would like to visit Salalah it's very beautiful

    • @moussahabyarimana5983
      @moussahabyarimana5983 4 роки тому +1

      kwa nini wa oman hawakarimu wa afrika wa tanzania kongo rwanda burundi kenya wenye asiri ya oman wenye wazazi wa asiri wa oman kwani ni?,?hawapewi VISA ya kwenda oman kama kwawo na kupewa kazi na watu hawo ni damu zawo hiyo ni dhuruma mimi nateteya wa cotara wa kyarabu wote haswa haswa wanawake

    • @zamzamabdi5279
      @zamzamabdi5279 4 роки тому +2

      Yes bro.ni kweli sana

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому +1

      Yes I have been there you really get the feeling of been in Arab country

    • @courtneywelch7108
      @courtneywelch7108 4 роки тому +1

      True true

    • @shadyamohd4651
      @shadyamohd4651 2 роки тому

      Me too

  • @abdallahabeid4138
    @abdallahabeid4138 6 років тому +107

    asilimia 40 ya wa Oman wanaongea kiswahili. ni kama lugha yao ya pili, na sio lazima awe kakulia au kasoma tanzania

  • @andreajeremia436
    @andreajeremia436 4 роки тому +7

    Safi sana,Kiswahili safi Mwarabu wangu,tujengeeni hizo kitu kizuri,hizo Brbr mwachieni mwenyewe JPM ameziweza na anafanya vizuri,tunataka kitu kipya cha tofauti Dodoma ambacho kitatambulisha JIJI letu Kimataifa.!!

    • @nfbdbxbxbdb2902
      @nfbdbxbxbdb2902 4 роки тому

      mashaallah inapendezaa saana wekezeni mtuinue karibuni saaana ✋👏👏👏

    • @Ysule
      @Ysule Рік тому

      Kiswahili safi kwasababu anatoka zanzibar na kazaliwa Pemba

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 4 роки тому +2

    Shukran sana kwa yale mumetuonesha kuhusu maendeleo ya undugu wa kibinadamu baina ya Oman na Aftika Mashariki. Allah abariki Afrika na aunganishe Wa Oman na ndugu zao wakuze umoja na wakuze pia lugha ya Kiswahili.

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 6 років тому +2

    ALHAMDULILLAH . MPAKA RAHA ANAVYOZUNGUMZA. RAIS WETU HONGERA SANA. HUO NDO USHIRIKIANO TUNAOTAKA MZEE. DAH! BIG UP. HAPA KAZI TU.

  • @j-sonlian8053
    @j-sonlian8053 4 роки тому +12

    Hahah et" Barabara lenye hadhi ya Mfalme" Anko mjanja sana. Saf sana kaz nzuri ase

    • @ssmithsaid3483
      @ssmithsaid3483 3 роки тому

      Mwanzo ilikuwa ni nchi moja kihistoriya mfalme alie awala omani mji mkuu wa omani ilikuwa ni zanzibar

  • @parisz
    @parisz 3 роки тому +34

    There’s something special happening inside of me when I see Arabs speaking our language, Kiswahili 🙏🏽

    • @deejean344
      @deejean344 3 роки тому +10

      Kiswahili is Arabic + Bantu languages so🙄🤔🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️

    • @mwanafalsafa3613
      @mwanafalsafa3613 3 роки тому +5

      Yes of course the master is calling his slave

    • @salumkanju1732
      @salumkanju1732 2 роки тому +2

      Nakumbukaga fom6 kumbe nilikuwa sahihi San kukana kwamba kiswahil sio kibantu Bali ni kiarabu leo najipongeza

    • @tttthundercatttt
      @tttthundercatttt 2 роки тому +1

      @@mwanafalsafa3613 🤣🤣🤣 These female living in ignorance, learn history!!!

    • @bayombejean3959
      @bayombejean3959 2 роки тому +4

      @@salumkanju1732 kiswahili ni kiarabu pamoja na lugha za kibantu

  • @yvekay5139
    @yvekay5139 3 роки тому +11

    Not surprised cause, well, we all know the history of swahili.

  • @JamesC22
    @JamesC22 4 роки тому +14

    Let's proud Tanzania!! Swahili spread world widely i real like it. Nakupenda Tanzania naipenda lugha yangu

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 3 роки тому

      Hawa watu wengine una coment kitu hata nchi yenyewe unaisikia jina tu eti Tz ilimu bora mara kumi kuliko Oman first oll oll uliza mazingira ya Oman Maisha na Schooll zake hizo skuli za serikal yaani bure mwanafunzi hanunui kitabu wala buku anakuja kuchukuliwa kwao kwa gari ya serikali bure Skuli bora hakuna anae ksa chini skuli full kiyoyozi wewe umekaa kijijini huendi pahala ushamba umekujaa Chuki zimeingia katika nafsi yako kusema usicho kijua

    • @andrewnyamwaro5174
      @andrewnyamwaro5174 Рік тому

      Swahili is not Tanzanian language.

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 4 роки тому +5

    Nakupenda sana rais wangu na waoman ni wenzetu kila hatua dua ln shaa Allah bagamoyo nyumbani asanteni sana kwa hilo

    • @saidvieira441
      @saidvieira441 3 роки тому

      DAR ES SALAM NI MAENEO YA ZANZIBAR PAMOJA NA BWAGAMOYO.

  • @shamsaismaily3476
    @shamsaismaily3476 6 років тому +16

    Siwashangai wahawatu oman mwengi wanaongea kiswahili 💞💞💞

    • @Ysule
      @Ysule Рік тому

      Yeah ni kweli na huyo waziri kwao alipozaliwa ni Pemba

  • @phydiliahmwagodi2254
    @phydiliahmwagodi2254 3 роки тому

    Hongera President Pombe Magufuli Nice investment to Tanzania! Watching from Nairobi Kenya.

  • @veenpoul900
    @veenpoul900 2 роки тому +1

    Tutakukumbuka daima baba kwabusara zako nauwezo wako mkubwa wakufikiria,,hakika niadimu sana kumpata kiongozi wa aina yako,,,mzalendo halisi may Allah keep your soul in a safe place father!!!!

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja6766 4 роки тому +5

    Aweee Mimi nimekataa huyo ni mtanzania kabsaa sio kwa kiswahili icho🤗

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 4 роки тому +4

    Mashaghala wenzangu ambao tupo Oman gonga like tujuane

  • @kadaawizaa5588
    @kadaawizaa5588 4 роки тому

    MASHALLAH... Inshallah kher.. For all We Plan T.z.... vs Oman #Makufulii Atheka tu

  • @conradkarume3733
    @conradkarume3733 2 роки тому

    Wow. Respect!!!!! Flawless Kiswahili

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +62

    tulipo oman tujuane na kiswahili chetu mic arabic

    • @moussahabyarimana5983
      @moussahabyarimana5983 4 роки тому +2

      oman ifanye wanawake wa oman wa olewe afrika na wa cotara wa afrika wa olewe oman nawanayoka wanitumiye number za simu ama jina la fcbk instagrame niwatafutiye ma bwana

    • @khadijahomankweliyamjahaya7421
      @khadijahomankweliyamjahaya7421 4 роки тому +1

      Tupo sana tu

    • @Edo272
      @Edo272 4 роки тому

      Duh

    • @lightnessmungaya3280
      @lightnessmungaya3280 4 роки тому

      Mmmmmmmh nipo nao hapa Tanzania nawafanyia kazi zandani , mmmmmh kuolewa hawaowi wanachezea tuuu ,

    • @reyrio279
      @reyrio279 4 роки тому +3

      Msijidanganye kuolewa Oman Tanzania inajipeleka wenyewe kufanywa watumwa wa oman kwakazi zandani kama nyie mnataka kua ndugu acheni kuomba kufanya kazi za ndani oman

  • @salimali9957
    @salimali9957 4 роки тому +12

    Muarabu ndiye mtu pekee mwenye kuweza kukizungumza kiswahili vizuri kama kweli nipe like

    • @tatiya6883
      @tatiya6883 4 роки тому

      Kwani wewe hujjasoma kua kiswahili kilitoka ndani yakiarabu hulijuwi hilo

    • @cypmkutubi3109
      @cypmkutubi3109 4 роки тому

      Hivi ni kweli Oman wanaongea Kiswahili bila kukulia hapa Tanzania!!

    • @festokinyogotojr3214
      @festokinyogotojr3214 4 роки тому

      Uongo

  • @zeddysale217
    @zeddysale217 4 роки тому +1

    Hongera kubwa kwenyu TZ na OMAN

  • @ruthnimi2165
    @ruthnimi2165 Рік тому

    I will Miss Our Late President Magufuli, Waziri wa Energy Dr. Muhammed Hamad wa Oman songs Kiswahili kamili karibuni Sana Tanzania hats kwetu Kenya thank you 🙌😇👏👏💖💗💝

  • @shifahkyomia1736
    @shifahkyomia1736 4 роки тому +7

    Pole sana mfalume wa Oman kaondoka duniyani. Rip. 😭

  • @nellymariamblessed8385
    @nellymariamblessed8385 3 роки тому +7

    Friendship between TZ an Oman seems to be very nice 🙂
    More likes to you

  • @moanshabahrain8621
    @moanshabahrain8621 4 роки тому

    Mashallahu .oman hoyeee mungu awape fahamu nzuri

  • @saidmatola8015
    @saidmatola8015 4 роки тому +2

    Hahahaha, safi me President. Mwaga sound watatuelewa tuu.....

  • @olaolacocacola9242
    @olaolacocacola9242 4 роки тому +14

    Huyo waziri kazaliwa kisiwani Pemba na kapata elimu mpaka secondar kisiwani Pemba na hata Sultan wao Qabus ni mzaliwa wa Pemba sisi waPemba hatushangai hapo

    • @geoegedonard8548
      @geoegedonard8548 4 роки тому +1

      Kasoma wete huyu alikua anapenda sana kushinda micheweni kwa shehe amour

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      Ujinga tu!!!

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 4 роки тому

      Qaboos alizaliwa Salalah, Oman. Wacha ujinga. Nyerere aliwanyima elimu

    • @olaolacocacola9242
      @olaolacocacola9242 4 роки тому +1

      Deep Sea Alizaliwa Pemba na wazazi wa Qaboos walihama kisiwani Pemba Qaboos akiwa mdogo wa uchanga na kuhamia Salalah ambako Wazanzibari wengi wamehamia na kuishi

    • @deepsea2141
      @deepsea2141 4 роки тому

      @@olaolacocacola9242 ndivyo ulivyodanganywa na wapemba wenzako.

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 4 роки тому +5

    MashaAllah mzee barakat magufuli hoye

  • @asiakibonge4699
    @asiakibonge4699 4 роки тому +1

    Maashallah mungu afanye wepesi

  • @salimalghannami3059
    @salimalghannami3059 4 роки тому +2

    Very interesting, both countries should be keen to promote good relationship as well investment opportunities for the benefit of their countries and their peoples 💐

  • @deogratiuskahigi4738
    @deogratiuskahigi4738 6 років тому +7

    Tunapoongelea international relationships hatuachi nyuma kipengele cha lugha, Mtukufu Mfalme hawezi kuchagua mwakilishi yeyote yeyote tu, anachagua mtu mwenye sifa stahiki kulingana na mahali anapokwenda...Lugha(mawasiliano) ni kipengele muhimu katika kujenga uhusiano wa kimataifa...

  • @danieldaniel-lb2on
    @danieldaniel-lb2on 4 роки тому +46

    Hili lijamaa limekinyoosha kiswahili kumzidi Pombe!

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 4 роки тому +2

      true sayin king huyo ni mzinjibar aliyezaliwa katika kisiwa cha pemba sawa?

    • @mariamichael6134
      @mariamichael6134 4 роки тому

      Nyie vipi jamaan kwan mmeulizwa heeee nashangaaa haya mabishano ya zenji na Tanzania cjui veep😏😏

    • @abdulwahidmsellem1964
      @abdulwahidmsellem1964 4 роки тому

      Mariam michael hapo panangelewa jinc wa2 wanavoelewa hapaongelewi uzenji na u Tanzania

    • @mariamichael6134
      @mariamichael6134 4 роки тому +1

      @@abdulwahidmsellem1964 soma comments vzur za solomon uone na kuna wa Tz nao wanabishana hapo sasa cjui ndio inakuaje cpendag mini😏😏😏

    • @abdulwahidmsellem1964
      @abdulwahidmsellem1964 4 роки тому

      Kisha 2nagombna cc kwa cc how come m friends

  • @shaibumwegero5085
    @shaibumwegero5085 4 роки тому

    Ni ushirikiano mzuri baina ya Tanzania na Oman
    Keep it really

  • @elfuego9117
    @elfuego9117 4 роки тому +1

    Heri nyinyi watanzania,,, sisi wakenya uongozi ambao uko kwa mamlaka,,,, tushatiwa maji bdo kuzaa tuu,,,, big up rais,,,, kwetu bdo mikopo ya kichina twakopa tuu ushoga mtupu dah,,,,, Mola atusaidie jameni

  • @wasqwe9059
    @wasqwe9059 6 років тому +29

    oman pia wanaongea kiswahili bwana mushishangae sana watanzania

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 6 років тому

      Was Qwe tupo nao huku wanaongea sana tu ila wanajifanya kuwa niaibu kwao kuzungumza kiswahil

    • @asadisse5012
      @asadisse5012 6 років тому

      NIA ANTHONY p

  • @sethsindamka8465
    @sethsindamka8465 2 роки тому +1

    Mungu akufufue hata sikumoja eemungu tenda huo muujiza

  • @aminafesali5817
    @aminafesali5817 4 роки тому

    Woooow shukran maghuful nikweli maduka hata yachakula ya africa huku oman yanauza sana halaf ghali kulko vitu va hapa oman

  • @mohamedsaid1804
    @mohamedsaid1804 6 років тому +23

    Huyu amezaliwa pemba ni jamaa yangu huyo.

    • @zulfikakalumba1977
      @zulfikakalumba1977 3 роки тому +1

      Hahaha

    • @saidalkhusaibi6066
      @saidalkhusaibi6066 3 роки тому

      Kuna wengi wamezaliwa Oman wanazungumza kiswahili sio sababu ni jamaa yako au kazaliwa TZ, pia kuna walio zaliwa TZ na hawajui kiswahili hapa Oman

  • @abduboydancerofficialtztv1211
    @abduboydancerofficialtztv1211 6 років тому +5

    Appreciated this video Mr Millard ayo coz i was with him in Zanzibar this person from Oman.
    I do like that.

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard907 4 роки тому +1

    Gud kwa nice kiswahili

  • @aaronoluoch4510
    @aaronoluoch4510 4 роки тому +7

    Najivunia kuwa mzungumzaji wa lugha ya kiswahili

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 роки тому +32

    Wa oman Ndio waliosherehesha kiswahili Afrika mashariki.

  • @NinjaHackz
    @NinjaHackz 4 роки тому +9

    I like the speech ✌️🇹🇿 🇴🇲

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 4 роки тому

    Maashallh .( itakuwavinzuri pia mkizungumzia swala lawatumishiwenu jinsimnavoishi nao majumbani,,,

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +8

    Safi sana, soon tutakuwa matajir tz

  • @justinejulius3544
    @justinejulius3544 4 роки тому +8

    Karibun maana tu nafuraha ya nyie kuliko wazungu wezi

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому +1

      Wanafik wakubwa nyie ndumi la kuwili hamna haya

    • @justinejulius3544
      @justinejulius3544 4 роки тому

      @@ukhtyalpha1344 Hamna unafiki swaiba. Dunia ya sasa inahitaji ushirikiano, ukiringa utabakia na gesi yako na mafuta yako, alafu nawao watabakia na pesa zao. Mwisho wasiku wote mtakosa. UKUMBUKE TECHNOLOGY INAKIMBIA VIBAYA. MUDA SI MREF WATU WATAACHA GESI WATATUMIA MAGARI YA UMEME, TRENI ZA UMEME. GESI NA MAFUTA TUTAACHANA NAZO. .Just a wake up call

    • @africanchocolate4216
      @africanchocolate4216 4 роки тому

      Nayyar Ahmed “Wazanzibari ni wachoyo, ubaguzi wa Wazanzibari una tokana na uchoyo, ubinafsi, wivu, chuki, uzembe na uvivu!

    • @africanchocolate4216
      @africanchocolate4216 4 роки тому +1

      Nayyar Ahmed “Mimi ninaye kuambia ni Mzanzibari sawa! Una elewa? Bara matajiri sana, wana madini yote kama dhahabu, almasi, shaba, chuma, zink, ruby, silver = fedha, urenium ya kutengeneza nuclea, Gas ⛽️, oil = mafuta, mbuga kubwa nyingi zenye wanyama wengi sana kuliko sehemu yoyote hapa duniani, ardhi yenye rutuba na vyakula vingi sana mpaka vyakula vingine wana peleka kuwa saidia nchi za jirani, vivutio vya kitalii vingi sana, mlima Kilimanjaro ambao ni mrefu kuliko milima yote barani Africa, kabila 162 na hakuna ubaguzi, Wazanzibari, Waarabu, Wahindi, Wazungu, Wachina, na mataifa mengi yapo bara wakiishi raha mustarehe bila ubaguzi, milima na mabonde mazuri, maziwa na mito ya kupendeza! Zanzibar tuna vinyani vidogo pale Jozani Forest na karafuu tu kule Pemba, lakini tuna ubaguzi na uchoyo wa ajabu! Je, tunge kuwa na mali na utajiri kama bara inge kuwaje? 🤷🏽‍♂️🙄”

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 4 роки тому +14

    Huyo waziri ni miongoni mwa waliosoma shule ya Uweleni Pemba miaka hiyo usishangae kuzungumza kiswahili.. Na maeneo mengi Huko Oman utakutana na watu wanaotoka Zanzibar, ndo ukawaona wengi wanapenda kuja kutembea Zanzibar hata kama alizaliwa kule. Atajua kiswahili mwenye kutaka.

  • @Masta313
    @Masta313 6 років тому +1

    Thnx Magu

  • @hudaakrabi4604
    @hudaakrabi4604 3 роки тому

    Woow MashaAllah kiswahili imenyokaaaaa. hongera Oman

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 роки тому +6

    Oman kwetu namagufuri hodari sana kweli kabasi oman tutafaidi nyamafreshi❤❤❤❤👍👍👍👍

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 роки тому +19

    Sisi Zanzibar mnatuambia tutaletewa waarabu kwaio tusikubali mbona nyinyi tanganyiki mnawapokea na kuwakaribisha namnasema nindugu wadamu hasa baunayenu na Oman inakuaje

    • @hilalyhashim2194
      @hilalyhashim2194 4 роки тому +1

      Acha ubaguzi huo

    • @jumaaally220
      @jumaaally220 4 роки тому

      Hakika leo wao wanaunga udugu

    • @fatmasuleiman5242
      @fatmasuleiman5242 4 роки тому

      Mashaallah yaasalaam

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 4 роки тому +4

      Hamchelewi kujilipua nyie ndio maana bora apokelewe na Tanzania na sio huko visiwani.
      MNA ubaguzi pia dhidi ya wengine ndio maana mnafuatiliwa msilete madhara sana kwa taifa zima.

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому

      Naam kweli ati ata hawana haya kutwaa wahalabu Wahalabu machotara machotara haaaaa mnajidai ni ndugu kweli kwa vyao ni ndugu zenu khabithi alamal nyie

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 роки тому

    Hongera sana viongozi wetu

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence6234 4 роки тому

    Mungu akulinde rais mzuri zaidi dunia nzima

  • @yussufabdul-rahman5601
    @yussufabdul-rahman5601 5 років тому +16

    Kwao ni Pemba uyo wazir

    • @OmarAli-bq9ey
      @OmarAli-bq9ey 3 роки тому

      Bodigadi wa mfalame wa omani ni mpemba

    • @saidalkhusaibi6066
      @saidalkhusaibi6066 3 роки тому

      Kwao ni Oman, Pemba kazaliwa tu, kwani ukizaliwa USA basi kwenu ni huko

  • @jacquelinerayamu3187
    @jacquelinerayamu3187 4 роки тому +5

    Mashallah Kiswahili kisafi cha Mombasa mjini jamani

    • @olaolacocacola9242
      @olaolacocacola9242 4 роки тому +2

      huyu waziri kazaliwa Pemba na kasoma hadi secondar kisiwani Pemba

    • @mariamichael6134
      @mariamichael6134 4 роки тому

      @@olaolacocacola9242 🙄😏😏😏 umeulizwa

    • @abdulwahidmsellem1964
      @abdulwahidmsellem1964 4 роки тому +1

      Nikweli kazaliwa Pemba,kaulizwa vip nwy wakt kila mtu anatoa comment zake wacha ushamba uwo we dada

    • @abdulwahidmsellem1964
      @abdulwahidmsellem1964 4 роки тому

      Bwana wanguee!vipi na ww uwe mwanamke wanguu

    • @olaolacocacola9242
      @olaolacocacola9242 4 роки тому +2

      Maria michael hata jibu langu halikuhusu ww,kwani ww ndio Jacqueline Rayamu?niliemjibu amepata faida na hata ww pia umepata faida ya kujua kwahio acha kukurupuka kinyege nyege,naongezea jengine Unguja,Pemba,Mombasa,Ukanda wa pwani wote wa Tanganyika,Kisimayuu hadi maeneo ya Kongo yote ilikua ni ZENJ EMPIRE na ndiomana sehemu kubwa ya maeneo nilioyataja kiswahili chao kinafanana na hata muingiliano na mchanganyiko wao ni mkubwa

  • @maryuabdallah7345
    @maryuabdallah7345 4 роки тому +2

    ماشا الله

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 3 роки тому +1

    Hawa ni wazanzibar wa kale, historia hii

  • @vonexmobile9116
    @vonexmobile9116 4 роки тому +12

    Kama uko Oman gonga like hapa chini

  • @fakihidarous8396
    @fakihidarous8396 4 роки тому +20

    hao wazaliwa wa zanzibar sio ajabu kuongea KISWAHILI-HUSBU SIO HAWA

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 роки тому +1

      Asili ya kiswahili kimetokana na Quruani kwaiyo lazima wajuwe nandiyo wao wanaongea kiswahili chenyewe

    • @nauhattz8226
      @nauhattz8226 3 роки тому

      Sio kweli

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi5940 3 роки тому

    Prezzo Magofulu l like your speech unaongea vizuri siyo ya maporomoko

  • @abaskasim7262
    @abaskasim7262 3 роки тому +1

    Maashaallah

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 4 роки тому +4

    Mashaallah,,

    • @faridafarida4314
      @faridafarida4314 4 роки тому

      Mashaalah

    • @abdallanuhu4236
      @abdallanuhu4236 4 роки тому +1

      Huyo alizaliwa Pemba sehemu inayo itwa shumba vyamboni pia akasoma skuli ya uweleni Mkoani.
      Aliondoka MTU mzima akiwa anaendesha magari

    • @azizimuhibu7771
      @azizimuhibu7771 4 роки тому +1

      @@abdallanuhu4236 sawa

    • @azizimuhibu7771
      @azizimuhibu7771 4 роки тому +1

      @@faridafarida4314 naam

  • @reyrio279
    @reyrio279 4 роки тому +4

    Nivizuri watanzania kuacha kwenda kufanya kazi za ndani Oman kama mnataka kua ndugu maana kazi zandani ni ribo ya utumwa

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 3 роки тому

      Sanaaa kama wanataka hvyo wa2pe pesa nyingi bhc

  • @faboge
    @faboge 2 роки тому

    Tunashukuru siso sote Africa Mashariki, hapa Kenya!

  • @user-jk5ir4ke3z
    @user-jk5ir4ke3z 3 роки тому +1

    Mashaalah

  • @davidw.4524
    @davidw.4524 4 роки тому +3

    Huyu kwanza yuwazungumza Sheng sio kiswahili.. Labda mzaliwa WA Nairobi kama mimi tu.. Lol

    • @hamadrashid9828
      @hamadrashid9828 4 роки тому +1

      Huyo kazaliwa Pemba halafu watu was Pemba wengi wao Ni wa mombasa

    • @idaaman7489
      @idaaman7489 4 роки тому

      Amezaliwa pemba mkoani ,but zanzibarian are mix btn arabs and swahili

  • @moodkhamis3850
    @moodkhamis3850 4 роки тому +24

    jamani mnashangaa kuzungumza kiswahil wa omani wote asili yao ni pemba

    • @zainabkawambwa8146
      @zainabkawambwa8146 4 роки тому +3

      Woman acri yao pemba au walikuja 2 pemba ucdanganye bhana wa acri ya wapemba ni wamakonde kabla ya kuzaliana na waarabu

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 4 роки тому

      @@zainabkawambwa8146 kwani Pemba au Unguja

    • @halinishihalinitokimoyoni8302
      @halinishihalinitokimoyoni8302 4 роки тому

      @@fatemaligalawa4151 pemba na unguja ni kama oman nyanya yangu alizaliwa pemba

    • @maikhan1580
      @maikhan1580 4 роки тому

      @@zainabkawambwa8146 kweli

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 4 роки тому

      Asili yao sio Pemba ila walikuja Pemba unakwama wapi wewe

  • @rysali5254
    @rysali5254 3 роки тому

    Bruh 🙌🙌

  • @makunjajohn1581
    @makunjajohn1581 4 роки тому

    Tunashukuru sana kutemberewa nawangeni mbali mbali

  • @swaumumohammed5710
    @swaumumohammed5710 4 роки тому +3

    Muheshimiwa tufungulie mkataba oman tunaishi vizuri. Sana

    • @tttooo156
      @tttooo156 4 роки тому +2

      Swaumu Mohammed 😂😃😂😂mm naomba apandishe kiwango cha mishahara tupew laki saba 😁😅

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 4 роки тому +1

      omba milioni mshahahar ijaza kila baada ya mwak 1😁😁

    • @agustinopaul7488
      @agustinopaul7488 4 роки тому

      @@tttooo156nitafutieni kazi uko Oman jamani

    • @tttooo156
      @tttooo156 4 роки тому

      @@agustinopaul7488 mm najua kwa upande wa wanawake tu mpendwa kwa wanaume sina uzoefu

    • @agustinopaul7488
      @agustinopaul7488 4 роки тому

      @@tttooo156 basi sawa dada ake

  • @samranoor1360
    @samranoor1360 4 роки тому +5

    Cmon guyz it ain't a shock dat he can speak swahili probbably himself he's from tanzania

  • @charityericks8779
    @charityericks8779 4 роки тому +1

    Lakushangaza Hilo that's nice wataanzania hehe wamekataa kuongea kiingereza 😜

  • @omantimes9699
    @omantimes9699 3 роки тому +1

    Tanzania Na Oman Nindugu... Tunaomba Rais Bas Sisi Tulio kuwa omani Watuongezee Mshaara Basi Jmn...

  • @MoMo-wx2vx
    @MoMo-wx2vx 6 років тому +13

    Elimu yake kasomea zanzibar

  • @2pacshakur912
    @2pacshakur912 4 роки тому +4

    Huyo kabusi kazaliwa zanzibar
    Ndio maana wanakitaka kisiwa chao cha zanzibar

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому

      Kasome historia vizuri wacha kujizuga na kuzuga watu

    • @deogratiasyinza8628
      @deogratiasyinza8628 4 роки тому +1

      Hiyo ni nchi ya wahamiaji kutoja Afrika na nchi yingine kiarabu

    • @ufc-ultimatefightingchampi8456
      @ufc-ultimatefightingchampi8456 4 роки тому

      Wacha uongo na ujinga wako, Hao walikaribishwa na waAfrica weusi , soma history yako ujijue.

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 4 роки тому

    😍😍😍

  • @amenaamena2283
    @amenaamena2283 6 років тому +2

    safi sana Oman 🇴🇲😍😍😍😍

  • @pendael02
    @pendael02 4 роки тому +24

    Muwe makini na mikataba ya ardhi pamoja na mikataba ya madini na mafuta pamoja na gas.
    Kwa manufaa ya vizazi vyetu isije ikawa kama south Africa walifvyokuwa wakiporwa ardhi kwa ajili ya kilimo kama sababu.

    • @adilimssusa8232
      @adilimssusa8232 4 роки тому +1

      Sio kwa uoga wetu haiwezi kuwa kama south afrika milele

    • @matingo-bk1248
      @matingo-bk1248 4 роки тому +1

      Magu mtu makini hawezi kusahini mkataba wa ajabu ndio maana akaanza kuipitia mikataba iliyopita amepitisha panga

    • @hawaamohammed6687
      @hawaamohammed6687 4 роки тому

      ,Apolwiiii mtuhapaaa Magufuriii yupomakini wanamfuataaaa Magufuli tofautiiii waliopita

    • @dothomwandaliw4057
      @dothomwandaliw4057 3 роки тому

      Wewe. Unayemuona mjinga nanii hapo? Jpm. Yupo makini namikataba ndugu hanaujinga huo

  • @ndotcherohosafi3539
    @ndotcherohosafi3539 4 роки тому +4

    Kiswahili kitukuzwe

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 4 роки тому +2

    ♥♥♥♥♥

  • @saleheramadhan5442
    @saleheramadhan5442 4 роки тому

    Nice

  • @tko2218
    @tko2218 3 роки тому +3

    Oman, Yemen, Mombasa..❤️

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 років тому +4

    Hahah safi sana ah sante rais wetu ao ni ndugu zetu kabisa hahah bahat nzur makamo wa raisi ndugu zake wako oman ndio asili ya watu wa visiwah mchanganiko

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 4 роки тому

    Safi Sana mh. Rais hstua unazozichukua Kila mtu Ni shahidi,komaaa songa mbeleeeee

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 3 роки тому +1

    Mbona kawaida tu watu wa oman kiswahili wanajua sana tena 85% wanajua kiswahili Wala usitetemeke kwa Hilo ....

  • @abrahambalamba7108
    @abrahambalamba7108 4 роки тому +5

    Duh! Huyu mwarabu wa Pemba siyo omani

  • @swalehsalim1750
    @swalehsalim1750 6 років тому +4

    Kiswahili chake kama cha Mombasa vile.

    • @gamalsankara1388
      @gamalsankara1388 4 роки тому

      Walahi bilahi na mimi ni mkazi wa Mombasa🇰🇪.

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed5546 4 роки тому +1

    Hata mm nawapenda wa Oman karibu I Sana Tanzania mjisikie km mko nyumbani

  • @amourbundrez3731
    @amourbundrez3731 4 роки тому

    Kiswahili cha waziri wa Oman ni kiswahili cha Mombasa kabsa...,Zanzibar,Pemba n Mombasa history yao ni moja..Sayyid said na wa Oman wenzake walipokuja Africa,walitua na kuishi katika sehemu izi...wakajamiiana na ata kuowana na watu wa pwani izi ambao ni Bantus...ndo lugha ya kiswahili ikaebuka

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 4 роки тому +15

    Nimpemba gani hajui kiswahili. kwani hamjui km omani asiliyake niwapemba?

    • @alikarisa6156
      @alikarisa6156 4 роки тому +1

      Wapembaa ndioo asili Yao n oman..si unavosema

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 4 роки тому +8

    Oman ni Tanzania ndogo,RAIA wake wengi huzungumza kiswahili na wanaundugu na watanzania.

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 4 роки тому +1

      sio na watanzania ni na wazinjibar sawa?

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 4 роки тому +3

      @@solomonadams6337 mbona unawashwa sana wewe hubu onyesha passport ya Zanzibar ya kusafiria

    • @khadijakassim6926
      @khadijakassim6926 4 роки тому

      @@ktravel3527 haijui vizuri oman huyo

    • @fatmamussa3430
      @fatmamussa3430 4 роки тому +1

      @@ktravel3527 ila kweli waomani wengi wanaundungu na wanzanzibari kamanisha ivo

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 4 роки тому

      @@ktravel3527 you are very stupid fst ur qction safiri kwanza njoo unambie mimi maneno hayo sawa?don't you kno what does mean Country fst?passport sio Country sawa?hata mgeni yoyote yule anaweza kuwa na passport likini huyo huyo mgeni hawezi kuws na chati cha kuza liwa hicho kitambulisho chenu mimi nicho?na mbona huku niliko najitambulisha kuwa mzinjibar?na Ustaadh Faridi kasema huo ni mzoga sio passport sawa?

  • @tko2218
    @tko2218 3 роки тому

    Oman speaking swahili...NICE

  • @MayaMaya-ov9xz
    @MayaMaya-ov9xz 3 роки тому

    Hapaanaaaaaaa hawa ni wabongoooo kha!

  • @DaughterofUbuntu1988
    @DaughterofUbuntu1988 4 роки тому +4

    The Arab from Oman they sound so intelgent than Saudi and other Arabs.

  • @dullahkader5275
    @dullahkader5275 6 років тому +36

    kiswahil kimetokana na kiarab nasi wazir tu mfalme mwenyewe anaongea

    • @eradmdage8504
      @eradmdage8504 6 років тому

      Dullah Kader sio kweli, thibitisha??

    • @hassanomarhassan4734
      @hassanomarhassan4734 4 роки тому

      Nikweli usimkatalie hebu angalia maneno meng ya kiarab yamo kweny lugh ya kiswahili

    • @hassanomarhassan4734
      @hassanomarhassan4734 4 роки тому

      Uyo wazir amesoma Pemba shule ya uweleni

    • @sevelinimatonya1990
      @sevelinimatonya1990 4 роки тому

      @@hassanomarhassan4734 huyo wazr kasoma zanzibar

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 роки тому

      @@eradmdage8504 Acha ubish huku tu aishi nao wanaongea kiswahili

  • @allyzanzibar8983
    @allyzanzibar8983 2 роки тому +1

    Oman na Zanzibar ndio wenyewe history moja na sio Tanganyika mnayoipa jina la Tanzania

  • @t1910j
    @t1910j 6 років тому

    Haya ni maendeleo. Proud of you my president.

  • @dennisoxyvert9634
    @dennisoxyvert9634 4 роки тому +13

    Seid seyed of oman do you remember him

    • @nancywanja4868
      @nancywanja4868 4 роки тому +1

      Smart history student

    • @dennisoxyvert9634
      @dennisoxyvert9634 4 роки тому +2

      @@nancywanja4868 Thanks Nancy but usije kuwa wanipaka wanja usoni bure.I was a geographer in fact the best student in my class and am still competitive

    • @junemuchiri609
      @junemuchiri609 4 роки тому +2

      😂😂😂😂😂 history lessons hata Kenya tulisoma.kumhusu😂😂😂

    • @fatinaedirisa6407
      @fatinaedirisa6407 4 роки тому

      Seyyid Said the sultanate of Oman and his son Bagash i remember dat lesson and i was good at it

    • @dennisoxyvert9634
      @dennisoxyvert9634 4 роки тому

      @@fatinaedirisa6407 True as your name suggests