HUU URADI UTAKUTAJIRISHA MNO NA HUTOISHI MASIKINI NAMASIKU HAYA MATUKUFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 153

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 29 днів тому +1

    Masha Allah Sheikh 🙏

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 5 місяців тому +2

    Wallah darsa za Shekh Othman nazifuatilia sana na zimenifusha kwenye baadhi ya magumu na changa moto kadhaa

  • @SusaNun-h3k
    @SusaNun-h3k 20 днів тому

    Allah akulipe kheri shekhe wetu Munĝu akuweke tuzidi kufaidi

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 Рік тому +10

    Wallahu kila unachokisema shekh tunakifanyia kazi Alhamdulillah na hatuchoki tunaendea nahatutochoka kwa hili kwa faida yetu hapa dunia mpaka Akhera unatupa Alimu kubwa wallahi tunakupenda kwa ajili ya Allah
    Allah akupe umri mrefu wenye barka nakheri na Family yako Amin yarab Alamin 🤲🤲🤲Shukran

  • @zainakidile3826
    @zainakidile3826 7 місяців тому +2

    Alhamdulilah mawaidha mazuri nitaanza yakufanyia kazi kwa uwezo wa mungu atabariki ameen

  • @MwatumuHusseni
    @MwatumuHusseni 3 місяці тому +1

    Mashallah ustadh Allah akujalie afya njema na uzima uzidi kutufaidhisha na mawaidha

  • @JumaZahoro2000
    @JumaZahoro2000 Рік тому +7

    Allah Akulipee Kila La kheri sheikh Othman Michael.
    Nasikiliza sana mawaaidha Yako, Unanitia Nguvu Snaa Kuna mda nawavimbia watu😅 Sina lolote ispokua Kwa maneno Yako KUHUSU KUMSWALIA MTUME TUUU.

  • @aminakhalif399
    @aminakhalif399 6 місяців тому +1

    Subhanaallah Allahu Akbar asante kwa darsa yako sheikh

  • @halimamohammed6410
    @halimamohammed6410 Рік тому +13

    Allah akujaze elimu .yenye kutunufaisha na sie
    Nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah na m.mungu akupe umri mrefu wenye kher na barka ndani yke

  • @hadijandope6991
    @hadijandope6991 Рік тому +3

    In shaa Allah aaaameen. JazakAllah kwa mawaidha yako. Allah Barik.

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 Рік тому +3

    Nakuombea mwisho mwema shekh othman maycko mwezi Mungu akupe mwisho mwema inshaallah niombe na wewe

  • @davidharerimana1383
    @davidharerimana1383 Рік тому +3

    Assalamu Alaykum shukran mwarimuwetu Hatunacakukuripa ni Allah diye atakayekuripa tunashukuru kwaduwa

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 11 місяців тому +1

    Jazzakallahu khayra Ya Sheikh Othmane Michel

  • @shamiukaniki3656
    @shamiukaniki3656 Рік тому +3

    Alhamdullallah nakushukuru sana Shekh jazakallah khairah

  • @SabahZainab-uk1fm
    @SabahZainab-uk1fm 5 місяців тому

    Mashallah shukran sana sheikh kwa adhkar hizo mungu akufungulie mpango wa jannah akupe uzima na afya uzidi kutufundisha yarabi .

  • @zeynaaly1948
    @zeynaaly1948 Рік тому +6

    Mashallah Allah akujaze kheri hakika kila utufundishayo na sisi tunayafanyia kaz na tunapata manufaa ndan yake

  • @hawazainshah63
    @hawazainshah63 Рік тому +2

    Allah akulipe Kila la kheri shekh nilimswalia mtume hakika nilifanya siku3hakika nilikuwa nililala niana vitu vingi San vilivo ndan ya mwil Wang na baadh nilijaaliwa kutoa na nikawa napambana San kwa ajili ya mama yang na Niko nae mbali wallah shekh ninakushukur sansan Sina la kukulipa ila Allah pekee

  • @mummeira3887
    @mummeira3887 Рік тому +2

    Sheikh othman.ametuachia zawadi kubwa sana na yenye faida.tunakushukuru sana Allah akujaalie umri mrefu uzidi kutuelimisha.inshaallah.kwa kila mwenye kufuata haya hatajutia ataiona faida yake.swala ya mtume inatufungulia mambo mazuri ndani yake ukifuata vilivyo.

  • @JohaUwimana-co2bu
    @JohaUwimana-co2bu Рік тому +1

    Shukran san sheh wetu kwakutuelimisha Allah azidi kuku hifadhi hapa duniyani n'a adher

  • @anisasalim7905
    @anisasalim7905 Рік тому +4

    Asalam Aleikum Warahmatullahi wabarakatu RAMADHAN KARIM WA SAUM MAQBUL mashaallah shukran sheikh kwa kutupa faida jazaka ALLAH kheir AMIN shukran

  • @mwanamisidini1950
    @mwanamisidini1950 Рік тому +2

    Mashallah tabarakah llahu shekhe mungu akuzidishie barakah inshallah

  • @AnaaHamis
    @AnaaHamis 7 місяців тому

    Wallah sheikh hutba zako zinaniliza kila nikickiliza subhana'llah😊😊😊 Allah akulipe zaidi

  • @yasmeenjaphary1812
    @yasmeenjaphary1812 Рік тому +2

    Sheikh shukran Sanaa Allah akupe mwisho mwema...

  • @AminaAfrica-pr3gi
    @AminaAfrica-pr3gi Рік тому +1

    Allah atufanyie wepes shekhe hakuna leo nimekumbuka sana na inshaallah allah nakujali huwa ni mwenyekusikiliza na nitafanya kazi aamin tuma amni

  • @barkaabdallah2407
    @barkaabdallah2407 Рік тому +6

    MashaAllah
    Allah akupe umri na Afya Sheikh wetu

  • @zahraahmed972
    @zahraahmed972 Рік тому +6

    Mwenyezimungu akupe kheri duniani na akhera ,Aamin

  • @aminathabagome4827
    @aminathabagome4827 Рік тому +1

    Asante sana alhamdulilah Mwenyezi Mungu akufunguliye Milango ya pepi inshaallah

  • @AshuraIssa-oc6gp
    @AshuraIssa-oc6gp Рік тому +3

    Alah akupe kila LA her I dunian na akhera

  • @nhamoabdalanze341
    @nhamoabdalanze341 Рік тому +4

    Nashukuru kwakutueka wazi na dua ya mafanikio insha-allahu kher sheikh nasi pia tupate mafanikio, from mocambique Montepuez.

    • @MansulaAbdul-kw1cz
      @MansulaAbdul-kw1cz 9 місяців тому

      Asalam aleikum shekh samahani naomba kuuliza kichezo cha jichoni mkono wa kushoto linamaanagani?

  • @SITIMOHAMED-tx2ri
    @SITIMOHAMED-tx2ri Рік тому +12

    mashaallah! Ni kweli sheikh uradi una manufaa makubwa nilifika kuota nna mbawa kubwa kila nikisema laailaha ila llah ndo nazidi kupaa juu

  • @MariamSalum-f3s
    @MariamSalum-f3s 5 місяців тому

    Asalam alaikum warahmatulhah wabarakatuh shekh Tunamuomba Allha azidishe afya akulipe kwa mema unayotupa Mimi Niko Burundi nafata sana mafundisho Yako nanimezitumiya sana mu ramadhani Ila huwenda mipangiliyo sikufatisha vizuri ninashida Ila sijafaanukisha

  • @nasserabdallah5750
    @nasserabdallah5750 Рік тому +4

    Jazzakka Allah khyern

  • @al_huda_theguidance5034
    @al_huda_theguidance5034 Рік тому +4

    Maa"shaa"Allah sheikh, watching from Dubai... Jee naweza Sema hii idhkari nikiwa kwenye siku zangu ama lazima niwe msafi

    • @smoothieramadhan7900
      @smoothieramadhan7900 Рік тому +2

      Ukiwa kwenye siku zako unasoma adhkari kama kawaida isipokua hutakiwi kusali ama kushika quran

    • @al_huda_theguidance5034
      @al_huda_theguidance5034 Рік тому +1

      @@smoothieramadhan7900 Ahsante Sana, Hili jambo limenisumbua Sana. Nakutakia siku njema

    • @broumaiyyah8018
      @broumaiyyah8018 Рік тому +3

      Ulichokatazwa n kuswali kushika Qur an kuingia mskitin kufanya tendo la ndoa bas.Adhkar unafanya na fanya sna ten sna

    • @al_huda_theguidance5034
      @al_huda_theguidance5034 Рік тому +1

      @@broumaiyyah8018 ahsante

  • @eshamohd7268
    @eshamohd7268 Рік тому +2

    Manshallah shukran jazzilla

  • @zammalik2956
    @zammalik2956 Рік тому +2

    Mashallah mashallah mashallah Hongera sannaaa Allah akubarik akujaalie kila la kheri Inshallah pamoja sanna

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 Рік тому +1

    Allah Akba,Allah Ajbar shukran saana sheikh

  • @JinaJuma-gy1us
    @JinaJuma-gy1us 7 місяців тому

    Allah akupe maisha marefu sheikh Othman micheal

  • @MusaHamadi-q9o
    @MusaHamadi-q9o 7 місяців тому +1

    Mungu akupe kher shewangu kwa masomo mazur

  • @bakarialimahaba9946
    @bakarialimahaba9946 Рік тому +2

    Shukran ustadh

  • @ashuraseif3020
    @ashuraseif3020 Рік тому +3

    Allah Akulipe kheri nyingi Sheikh wetu.

  • @blackbeautymaulid3190
    @blackbeautymaulid3190 Рік тому +4

    Aaaamin rabir alaamin shekhe kweli nilimswalia mtume na nikaswali swalatlhajja na nikaswali swalat witri hakika inshallah nimefanikiwaa🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰❤❤❤mungu akupe imani ya kuendelea kutufunza katika imani inshaallah❤❤❤❤

  • @salmamaliki-4845
    @salmamaliki-4845 Рік тому +2

    Shukrani sanaa binafsi naona faida Wallaahtufanyeni kwa iman

  • @juweriaahmed956
    @juweriaahmed956 Рік тому +1

    Shukran Shekh Allah akuzidishie .

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +1

    Alhamdulilah sherk kwa darsa zako zimenisaidia xna

  • @rehemamuwawa6848
    @rehemamuwawa6848 Рік тому +3

    Shukran sana jazaka Allah ukheir

  • @azizadjumadazuu2731
    @azizadjumadazuu2731 Рік тому +1

    Allah akulipe kheri sheikh wangu yaani hadi macozi yananilenga maconi

  • @bingasamali8054
    @bingasamali8054 Рік тому +2

    Mungu akulinde na wabaya Ili uzidi kutuelimisha

  • @MuhammadAli-ih5cv
    @MuhammadAli-ih5cv Рік тому +2

    Shehe mashaallah allah akubarik ila hawa wanaosema hamna kuomba dua ukainua mkkono inakueje

  • @fatuntunzwenayo-gj9vo
    @fatuntunzwenayo-gj9vo Рік тому +2

    Mashallah tabarakallah allah akujaze kheri

  • @yassinikatabaro5474
    @yassinikatabaro5474 Рік тому +1

    Ahsante sana molla akulipe kila lenye kheli

  • @Maua-s6t
    @Maua-s6t Рік тому +1

    Jazakkallah kheri

  • @abuuslater9242
    @abuuslater9242 Рік тому +3

    Jazakallahu Kheyra ya Ustadh 🙏🙏🙏

  • @maryamsaleh8661
    @maryamsaleh8661 10 місяців тому

    Jazaka llahu khayr shekh mashallah

  • @bintbanj3990
    @bintbanj3990 Рік тому +1

    wallah hii Andhkar niliisoma kipind cha ujauzito wangu ulikuwa wakat wa kujifungua umefika nilimuomba Allah anipunguzie uchungu niliwekewa drip ya uchungu nikawa nasoma adkar hii uchungu ukapungua kabisa nikawa najiskia kawaida

  • @mariamissa9405
    @mariamissa9405 Рік тому +1

    Jazakallahu kheir

  • @fatumahassan7273
    @fatumahassan7273 11 місяців тому +1

    Mashallah ustadhi wetu

  • @joycebongo9275
    @joycebongo9275 Рік тому +1

    Mashallah Allah atujaalie mema

  • @ndayizeyenusla5935
    @ndayizeyenusla5935 Рік тому +2

    Jazakallah kheir

  • @bihatibuhuzeima5245
    @bihatibuhuzeima5245 Рік тому +1

    Mashallah Allah akupe umri mrefu

  • @mwanaishachiro7051
    @mwanaishachiro7051 Рік тому +1

    Allah akujalie yenye kheri na akuepushie yenye shari

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 Рік тому +3

    Maashaallah maashaallah

  • @Adammaokola
    @Adammaokola 9 місяців тому +1

    Mm nahitaji niwe mwansfunz wako

  • @SumaiyaAbdallah-d7n
    @SumaiyaAbdallah-d7n 8 місяців тому +1

    Masllah Allah

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 Рік тому +2

    Tunazidi kushukuru kutokana na darsa muhim!

  • @SwabraMwanamgeni-zc3hl
    @SwabraMwanamgeni-zc3hl Рік тому +1

    Inshaalah Allah akujaze

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому +1

    Bismillah MashaAllah ❤❤❤❤❤

  • @MansulaAbdul-kw1cz
    @MansulaAbdul-kw1cz 9 місяців тому +1

    Assalam alekumki

  • @BakarMohd-w3w
    @BakarMohd-w3w Рік тому +1

    Nataka nijuwe urarid ambao ukiufanyaatakuliipa deni unayemdai

  • @King.of_football466
    @King.of_football466 6 місяців тому

    Wakati wowote nisome au kuna muda maalum?

  • @MafarhyaZumbe
    @MafarhyaZumbe Рік тому +1

    Mwenyezi mungu akulinde

  • @selemanikidagonda601
    @selemanikidagonda601 Рік тому +1

    Wallah mnaosoma comment yang wallah thuma wallah swalat alannabi ni nizaidi ya mengi unayofkiria mazuri toa muda kaa mwite allah na mtume wake utaamini

    • @MaseleMwenda2016
      @MaseleMwenda2016 Рік тому

      Sheikh Hilo Dua tuwekee hapa tulisome. Inshallah mwenyezi Mungu azidi kukubariki

    • @selemanikidagonda601
      @selemanikidagonda601 Рік тому +1

      Swalat alannabiy tu hakuna dua mambo mengi mbona

  • @aminamohammed6298
    @aminamohammed6298 Рік тому +1

    Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh sheikh wetu,nimeshaanza kumsalia mtume wetu Muhammad Sala Aleyhi Wasalam sasa siku ya tatu hivi ,kila nikimswalia nawashwa na mwili mzima sana

    • @shahidumaulidi9721
      @shahidumaulidi9721 Рік тому +1

      Masha Allah endelea kumswalia mtume usiache " Allah anakutia nuru na giza linaondoka nuru inatawala " utajikuta maradhi yote yamepotea

    • @halimamohamed8667
      @halimamohamed8667 Рік тому +1

      Istighfar,,thn mswalie mtume S.A.W,,hutowashwa

  • @nhamodavid2055
    @nhamodavid2055 Рік тому +2

    Subhanallah

  • @aminarashidi5649
    @aminarashidi5649 Рік тому +1

    Shekh Naomba uyarudie haya maneno kuyaandika Ili tupate kuyatamka vizuri 🙏

  • @fahimhajialadina742
    @fahimhajialadina742 Рік тому

    Asalamalaikum...sheikh ameongea ukweli kabisa jaribu ujione .

  • @theresiaphilipo2090
    @theresiaphilipo2090 Рік тому

    Ostazi naomba hizo Dua niandikiwe kwenye screen kwa kutamka mdomoni umeniacha

  • @madinamahuba
    @madinamahuba Рік тому

    Ustadh samahan mimi nimeisoma mara 7 yaan wiki majibu yanachukua muda mrefu au mungu kujibu maombi kwenye sala ya mtume

  • @KhadijasheeeMusa
    @KhadijasheeeMusa Рік тому

    Huyosheikh mm simpendi anonikana tabia zake nzuri hana lolote

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 Рік тому

      Vp khadija

    • @amrykhamis4482
      @amrykhamis4482 7 місяців тому

      Muhm kupendwa na Allaah c wewe

    • @MamyRahma
      @MamyRahma 6 місяців тому

      Hata mtumie wetu hakupendwa na wote kwaiyo SI jambo la ajabu ww endelea tu kumchukia

  • @MariamAdam-m3l
    @MariamAdam-m3l 8 місяців тому

    Shekhe naomba unitumie huo uradi

  • @shabanbakar4719
    @shabanbakar4719 Рік тому +1

    Mashaaallahhh

  • @hamisibengula8491
    @hamisibengula8491 6 місяців тому

    Hiii mpaka mtuandikiwa maana ni mtihani kwetu

    • @HashmirMohaamad
      @HashmirMohaamad 5 місяців тому +1

      Lailah Ila anta subhanaka ini kuntum minadhwaalimin

  • @evelynengilah523
    @evelynengilah523 Рік тому

    Mashallah

  • @jamilafuad-5702
    @jamilafuad-5702 Рік тому

    Mashallah ujumbe mzur sanaaaa...mashallah mashallah

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +2

    Masheikh wa ice cream mtihani mitupu

  • @evelynengilah523
    @evelynengilah523 Рік тому

    Amen

  • @athumanimvula3718
    @athumanimvula3718 Рік тому +1

    Ahsantum

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому +1

    Jamani ukiswali tahajud utahitaji kuswali swalati Hajja?.

    • @saburimvano3514
      @saburimvano3514 Рік тому +1

      Naam,waweza kuanza na sunnat haja kisha ukafuatisha tahajud

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      @@saburimvano3514 asante sana. Mwenyezi Mungu akubariki

  • @nasirmohamed1589
    @nasirmohamed1589 9 місяців тому +1

    Unawadanganya tu hakuna uradi wa kutajirisha watu yetu ni dini siyo freemason.sema uradi wa kukupa rizki pana.rizki pana ni pamoja na afya watoto mali elmu.allah haombwi utajiri anaombwa rizku waasia tapeli tu wewe.

    • @amrykhamis4482
      @amrykhamis4482 7 місяців тому

      Soma tafsiri ya suratu nuuh utaona dhikri ya kutajirisha

  • @SusaNun-h3k
    @SusaNun-h3k 20 днів тому

    Allah akulipe kheri shekhe wetu Munĝu akuweke tuzidi kufaidi

  • @evelynengilah523
    @evelynengilah523 Рік тому

    Amen

  • @flowerbee5704
    @flowerbee5704 Рік тому

    Mashallah

    • @flowerbee5704
      @flowerbee5704 Рік тому

      Mwenyezi Mungu amujaliye kila heri. Mashallah

  • @rehemampili3923
    @rehemampili3923 Рік тому

    Mashallah