Allah azidi kukupa afya sheikh wetu Othman Maiko na akujaalie kila lenye kheri nawe uzidi kutufundisha misingi bora ya maisha ya hapa duniani na baada ya hapa. Kupitia dini yetu ya Uislam.
Masha Allah... nakupenda kwa ajili ya Allah Sheikh... kusema kweli nimefurahia na kuipenda hotuba... Allah akulinde dhidi ya kila shari na akuzidishie elimu zaidi....
Subhanallah...tutakuwa ni watovu wa fadhila na wenye hasara kama tukiipuzia ukumbusho huh adhwim...Oh Allah tupe sisi Tawfiiq tuweze kuyatumia maneno haya kwa vitendo ya Rabb... Jazaakumullah khair our beloved sheikh Othman...
Alhamdulillah...wakati naendelea kutazama hii biidhinllah ombi langu kwa sheikh.. Atuletee mawaidha ya Neema za jannah kwa mara nyingine au part 2😊 Hakika inaongeza hamasa ya kufanya ibada Ili kuifikia Pepo yake Allah..
@@ashalaurent2465 mashaallah Mimi napenda zaidi yako..hakika Kuna neema kubwa sana kwa pande zote mbili kwa waumini wa kike na kiume..Allah atujaliye Mimi na wewe na waumini wote atuingize jannah yake ya kudumu.amiyn
Mashaallah x2. Mwenyezi Mungu hakika anauwezo kwa kila kitu.Hii ndio ibada bora ya swala za ucku Mwenyezi Mungu atujalie kudumu katika hili innshaAllah .
Hakika nimetokea kumpenda huyu sheikh kwa namna anavyokumbusha waumin juu ya kutenda mema na kufikia mafanikio.... Allah amlipe pepo pamoja na siisi tunaomsikiliza na kutendea kazi nasaha zake inshallah
Allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye afya nakheyr na mwisho mwema ❤❤❤❤ izid kutupa ilmu shekh wetu ya Allah tujaze imaan ya Allah 🤲🤲🤲🤲. Tafadhal dua za utulivu katika salaa in sha allah
Jazakumllahu khayra 🙏 shekh wangu Othman... alhamndulillah 🙏 IN SHAA LLAH...... shukran Sana kwa naswaha nzuri za kutupeleka peponi Alhamndulillah 🙏 mola azidi kukubariki akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah AMIIN 🤲 THUUMA AMIIN 🤲
mashallah mashallah ! Ishaallah Allah atujalie tuzifanye hizi ibada ipasavyo na tufate nyendo zake Mtume (s.a.w) ili tupate dunia ilokuwa nzuri na akhera pia
Hata mm tangu nmeanz kufatilia mawaidha ya guy shekh nmekuw karib na Allah mda wot na Allhamdulillah nipo kweny maish ambayo sikuytarajia km ntakuj kuyaish kila tatizo limebadlik na kuw neema Allhamdulillah thumma lhmdulillah 👏 shukran sheikh kwa ukumbusho
Hakuna dua maalum wala rakaa maalum tahajud ni idadi upendayo au uwezayo ya rakaa na kile upendacho kuomba.shida mnapenda kueleza au kufikisha ujumbe mnavopenda.
Mashalah walahi nina ushuhuda kw hili namshukuru MUNGU kump uzima.na moyo mzur shehe othman michael anatufundsh bila kinyongo ALLAH amuandalie PEPO ya daraja kubwa
Allah azidi kukupa afya sheikh wetu Othman Maiko na akujaalie kila lenye kheri nawe uzidi kutufundisha misingi bora ya maisha ya hapa duniani na baada ya hapa. Kupitia dini yetu ya Uislam.
Jazak Allah Khair
Mashaallah Sheikh othuman Allah akujaalie afya njema ili tuendelee kupata elimu hizi
allah akupe umri mrefu wenye khery na wewe🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 amiin
Tumuombe Allah atujalie tuweze kuyafanyia kazi mawadha haya Allah akupe umri mrefu shehe nakupenda kwa ajili ya ALLAH MTUKUFU
Masha Allah... nakupenda kwa ajili ya Allah Sheikh... kusema kweli nimefurahia na kuipenda hotuba... Allah akulinde dhidi ya kila shari na akuzidishie elimu zaidi....
Subhanallah...tutakuwa ni watovu wa fadhila na wenye hasara kama tukiipuzia ukumbusho huh adhwim...Oh Allah tupe sisi Tawfiiq tuweze kuyatumia maneno haya kwa vitendo ya Rabb...
Jazaakumullah khair our beloved sheikh Othman...
Allahumma Amiin
ماشاءالله تبارك الله
Alhamdulillah...wakati naendelea kutazama hii biidhinllah ombi langu kwa sheikh..
Atuletee mawaidha ya Neema za jannah kwa mara nyingine au part 2😊 Hakika inaongeza hamasa ya kufanya ibada Ili kuifikia Pepo yake Allah..
Umesema cha muhimu zaidi banafsi napenda sana
@@ashalaurent2465 mashaallah Mimi napenda zaidi yako..hakika Kuna neema kubwa sana kwa pande zote mbili kwa waumini wa kike na kiume..Allah atujaliye Mimi na wewe na waumini wote atuingize jannah yake ya kudumu.amiyn
Allahumma Amiin
Allhamdulilah
Kwa mawaidha .haya
Mazuri t
Mashaallah x2. Mwenyezi Mungu hakika anauwezo kwa kila kitu.Hii ndio ibada bora ya swala za ucku Mwenyezi Mungu atujalie kudumu katika hili innshaAllah .
Insha ALLAH 🤲
ALLAH SW akupe afya kwa kazi hii
In shaa Allah
Amein🤲
enshla alahuma jalna minium amin amin amin yarabal alamin
Allahumma Ameen
Amen''mwenyezi'''mungu''akulinde
Mungu akulipe kila lenye her
Mashaallah mawaidha mazuri Allah bless you 🙏
Akujalie Amala iliyo timia jazakallakher umenifunza kilicho jema kwangu namuomba Allah anijalie kuamuka usiku inshallah 🤲🥰
Allahumma Amiin
Jazakallahu kheir …..Sheikh unaongea kwa utulivu sana Masha Allah
Masha Allah sheikh
Uzuri wako hutuchokeshi Mara moja unaingia kwenye point.
Shukran sheikh.
mashallah
kwa Allah hakuna linalo shindikana Allah atujalie ibada maqbuli zenye kuku balika kwake Allah 🙏🙏🙏
Alhamndulilah Allah akupe umri marefu uzidi kutuelimisha shekhe wetu Othuman
Subhanallah 🙏🙏🙏🙏❤❤
Jazakalahu khairan
Shehe nakukubali sana hakuna mada yako inayonipita hivi hivi bila kukusikiliza, alhamdulillah Mimi ni binafsi nimefaidika sana na swalatil hajja.
Mashaallah mashaallah mola akuzidishiye elmu na akuhfathi
Jizaalk allha kheyr
Hakika nimetokea kumpenda huyu sheikh kwa namna anavyokumbusha waumin juu ya kutenda mema na kufikia mafanikio.... Allah amlipe pepo pamoja na siisi tunaomsikiliza na kutendea kazi nasaha zake inshallah
In Shaa Allah amiin thumma amiin Yarabbil A'alamin Yarahman Yarahim
Allah akuzidishie shekhe wetu Othman Allah akupe umri taweel uzid kutunufaisha
Allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye afya nakheyr na mwisho mwema ❤❤❤❤ izid kutupa ilmu shekh wetu ya Allah tujaze imaan ya Allah 🤲🤲🤲🤲. Tafadhal dua za utulivu katika salaa in sha allah
Allahuma Ameen Inshaa Allah
Allahuma amyiiin
Mashaallah
Subhanaallah
Mashallah jazakumkllahu khayra Mola akuajalie kheri katika mambo yako na akuajalie afya na mwisho mwema
Allah akulinde shekhe wetu uzidi kutupa dawa
Jazakumllahu khayra 🙏 shekh wangu Othman... alhamndulillah 🙏 IN SHAA LLAH...... shukran Sana kwa naswaha nzuri za kutupeleka peponi Alhamndulillah 🙏 mola azidi kukubariki akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah AMIIN 🤲 THUUMA AMIIN 🤲
Allahumma Amiin
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH MTUKUFU
Insha-allahu sheikh wangu alhamdu linlah
Alhamdulillah
Mashallah mawaidha mazur
Maashallah
Mashallah.Allah.akujalie.pepo
Tutafany Yale tulio amrishwa na Allah na tunampend San mtume wetu Muhammad s w a
Allah akujaalie busara na hekma akupe umri taaweel! Uzidi kuelemisha ummah na jazaa yko Allah ndie anayejua ujira wake
Allahumma Amiin
mashallah mashallah ! Ishaallah Allah atujalie tuzifanye hizi ibada ipasavyo na tufate nyendo zake Mtume (s.a.w) ili tupate dunia ilokuwa nzuri na akhera pia
Allah akbar.shukran sheikh kwa mawaidha mazuri.jazakallah khair
Mashallah jazakallah khayrah
Marshall Allah shk Allah akupe umri mrefu wew e na familiar
Mashaalah ya salam ya salam kwa hakika mawaidha yako nimeyapenda sana
Mashallah
Shukran sna shekh wetu Allah akulipe duniyan na akhera py inshy
Maashallwah maashallah. Unatuongezee imani kwakweli Allah akulipe in shas allah
Maashaallah
Mashaallah Allah akubariki sheikh Shukran sana
Jazakalaikheir
Amiin ya rabbi
Mimi napenda mashekh wetu kwa ajili ya allah
Alhamdulillah
Jazaka Allah kheri YA shekhe
MashaaAllah 💞
Mashaallah Yan we shekhe nakupenda kwa ajili ya allah
Maashaallah
MASHALLAH BARAKA ATHIN
Shukran sheikh
Jazzakallah khayr
The best sheikh in the World is michoel
Jazakalhau kairan❤❤
MAshaallah mungu akujalie nakupenda kwa ajili ya Allah
Kwel kabisa swal sana uck utapata majib
Mashaallah allah atujalie wote tuwe wenye kuifata dini ya kislam inshaallah
Mashallah Allah atuongoze kwa Yale yalomema allahum ameen
Masha Allah
Maash'allah
Jazaak llah khaira
Mashaallah shehe wetu
Mashallah Allah akuzidishie tuombee nasi tuweze kutimiza
Maashalah, shekh ahsantha kwa mawaidha
Shukran sheikh ulinzi wa Allah nakuombea kwa sababu ya Allah.
Mw.Mungu azidi kukufanyie wepesi kila iitwapo leo maana wengi hatujui lkn tunajua kupitia ww shekh tunamshukuru Mungu kukujua
Sana lazima tuumiee kwa ajili ya Allah
Jazakkalaheri 22:56
Allah akulipe kila la heri
Huwa sizijutii MB Zangu kwa kumskiliza SHEIK OTHMAN....ALLAH AKUJAALIE UMRI MREFU INSHAALLAH
Ni jambo kubwa sna ,
Allah atujaze iimani
Subhanallah ❤❤🙏🙏🙏
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Allah atakulipa shukran
Allah ukupe kheri shekh akuzidishie afy
Mashllah
Masha allah
❤
Jazzakallahery!! Nimenufaika na somo hili ,umenifumbua akili. Allhamdulillah!! Allah akuhifadhi/atuhifadhi site Inshallah!!!
Allahumma Amiin
Hata mm tangu nmeanz kufatilia mawaidha ya guy shekh nmekuw karib na Allah mda wot na Allhamdulillah nipo kweny maish ambayo sikuytarajia km ntakuj kuyaish kila tatizo limebadlik na kuw neema Allhamdulillah thumma lhmdulillah 👏 shukran sheikh kwa ukumbusho
Mashallah ujumbe mzuri
Amiinaa inshallah
Elimu kubwa mashaallah allah akupe kila kheri kaka
Shukrani
Allah akulipe
❤ shukran
Hakuna dua maalum wala rakaa maalum tahajud ni idadi upendayo au uwezayo ya rakaa na kile upendacho kuomba.shida mnapenda kueleza au kufikisha ujumbe mnavopenda.
Kila video unaponda,unapata faida gani?!
@@mwaneylushino3389 wote washirikina na washenzi watupu swali jingine
Kweli sheikh othman Mm nilisali swala hiyo wallah nilikubaliwa nilichoomba
Mashalah walahi nina ushuhuda kw hili namshukuru MUNGU kump uzima.na moyo mzur shehe othman michael anatufundsh bila kinyongo ALLAH amuandalie PEPO ya daraja kubwa
Najivunia kua muislamu
Dakika ya 29: 28 ni kama imekatwa alafu ikaungwa mbele, muache video nzima tusikie mawaidha mazuri ya sheikh Othman
Mashaallah ,shekhe othman. Nilikutana nae,live amana hospital hakika nilifurah,Sana tulikosa watoto mm na mke wake!!allah akuhifadhi
Jmn 😭🤲 ALLAH ATUJAALIE WENYE KHERI nasisi
Nitafute latifa
Sheikh tueleze kuhusu swalatul Istikhara