SOMA HII SURA HATA MAADUI WAKIWA WAMEKUZUNGUKA UTAWAPOTEA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2023
  • Hii sura ni moyo wa Qur-an (isome kwa yakini ukiwa kwenye nyakati ngumu,itakushangaza)

КОМЕНТАРІ • 118

  • @MuhammadiNasoro-mo5ji

    Huyu shekh nampenda sana kwa ajilya allah amlipe kher inshallaah sjuw anapatikna wap tukachote elim kama hii wallah.

  • @Jumanull-ui6pm

    Maneno ya ukweli kabisa mimi ninayasadiki kwa yaqiin kabisa,nilikuwa nikimfanyia visomo dada mwenyekupatwa na majinni akapoteza nguvu kabisa kiasi cha kushindwa kusimama wallah thumma wallah mapak naogopa na watu waliniona si binadamu wa kawaida nilichukua maji nikayasomea aya nambari 12 katika surat yasin inayosema inna nahnu nuhiy mauta wanaktubu maa qadam wa atharahum wakula shayn ahswainahu fiy imamim mubiin nikampaka maji yale mikononi akakunja ngumi nikampaka miguuni akanyoosha miguu nikamwambia nyanyuka akanyunyuka ndani ya sekunde 3 wallah watu wakasema kweli huyu ni ustadh na hatuwah ona mtu wa namna hii

  • @user-we3ge5do9y

    mm nikutoka KENYA, MOMBASA shk Athman ALLAH akulipe ujra mwema duniani nakesho aakhera, aamin

  • @habibaramadhani-xv2ed

    Alhamndulillah, Mafunzo Mema naomba niwe Mwanafunzi wako nitafuatilia Maelekezo.Inshallah.Namuomba ALLAH Akupe Maisha Marefu.Amiina.

  • @KingiOfwar
    @KingiOfwar 21 день тому +1

    Allah akupe bora kuliko unalo muomba

  • @zuhurasaid1097

    Aaw mm ni mama Niko na shida Dani ya miaka kumi sasa Niko Kenya MSA nimekaliwa na uchawi mda wote huko kama utafika Kenya karibuni nijuwe uko wapi nine nikuone tafadhal huwa nasikiza sana darsa zako akujaze Allah wabillahi taufik

  • @FatnaAlly-go7yt

    Aaamiiin inshallah 🙏 ❤️ allah atujaalie tuwe miongoni mwa mwisho mwema😊

  • @mohamedngaugia7911

    Yuko vizuri sana Shekhe huyu Mungu ampe Mema atuelimishe

  • @user-ep7we8br6r

    Mashaalah sheikhe Allah akulipe Kila hatua maan huw nahix km nko kwa pepo ninapockia mawaidha yko

  • @user-xj1qo1de6y

    Subhana Allah wabihamdih...Allah akupe kla hitaji la nafsi yko inshllah sheikh wetu

  • @HassaniMwamedi
    @HassaniMwamedi 4 години тому

    Masha allah

  • @user-kl4km4tj3q

    For me it very nomol I like you from tha bottom of my ❤️

  • @user-hq8nj7zf9

    Asalam alaikum warahma tullah wabarakatuh

  • @user-ou6vm5ze2o

    Jazzak Allahu khaira shekh darasa lako ni zuri najifunza vitu vingi kupitia darasa lako

  • @rahmamohammed9678

    Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu

  • @halimasaid4977

    Allahuma bariki shukran jazaqalahu khairan

  • @user-mn3zr2lu3s

    Allah akudjaze he kher

  • @zeinabjuma9389

    Masha Allah Mola azidi walinda n dua zenu zitufikie na elimike zaidi

  • @user-hj5ee5vz3q

    Mashaalah lazima niifanyie bidii niijue biidhin ahi

  • @shekhasufiani5950

    We love you fr the sake of Allah