MAOMBI DHIDI YA KUDUMAA NA KUKAA HALI MOJA ||DAY 2|| PASTOR GEORGE MUKABWA || 09/01/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2024
  • Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
    For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
    Unaweza Tuma Sadaka yako MPESA number +255 753 333 008
    #jrcchurch #pastorgeorgemukabwa #tanzania #jrctz
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 40

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 6 місяців тому +1

    Baba ninakushuru Kwa kuwa mmojawapo katika madhabahu hii siku hii ya Leo.
    Nisaidie Baba kupitia mafundisho haya ya mtumishi wako nisaidie kulivingirisha jiwe ili malango yangu yawe wazi nipate kutoka katika mazingira haya Baba.
    Naomba neema Yako Bwana ipitayo kipimo ka ajili ya kuniweka huru katika vizuizi mbalimbali katika mwaka huu🙏
    Naomba niishinde Roho hii ya kudumaa katika jina la Kristo Yesu Alie hai.

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 5 місяців тому +1

    Amen 🙏🙏🙏🤲🤲👏

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 6 місяців тому +1

    Nimefuatilia hatua Kwa hatua naona huyu ni mimi, lakini kuanzia Leo mafuta Roho ya kudumaa Kwa jina Kristo Yesu Alie hai🙏

  • @user-qd5oc3bt8o
    @user-qd5oc3bt8o 6 місяців тому

    Natoka kwa Jina la Yesu Kristo.

  • @user-ty8xk1ez6n
    @user-ty8xk1ez6n 5 місяців тому

    I rebuke the spirit of stagnation
    Victory be my portion 🙏🙏🙏

  • @mercynafula6905
    @mercynafula6905 19 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏🙌🙏

  • @mildredwanyonyi
    @mildredwanyonyi 6 місяців тому

    Amen 🙏

  • @SalomePeter-lf6gf
    @SalomePeter-lf6gf 6 місяців тому

    Ameni

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry Місяць тому

    Amen

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 6 місяців тому

    Naomba Roho ya Efrahim iniondoke kabisa Kwa jina la Yesu

  • @evak8122
    @evak8122 6 місяців тому

    Mungu napokea neema ya kuondoa hii roho ya kudumaa

  • @user-hf7vg1rs4f
    @user-hf7vg1rs4f 6 місяців тому +1

    Nabarikiwa sana mchungaji na mahubiri yako 🙌

  • @denicepaul8945
    @denicepaul8945 6 місяців тому

    Asante Pastor, ninatamani sana kupata hicho kitabu, Dar es salam

  • @graceemmanuel6686
    @graceemmanuel6686 Місяць тому

    Very very powerful

  • @MAG-yb5ez
    @MAG-yb5ez 6 місяців тому

    Mungu ni wakati wangu wa kuinuliwa kutoka mavumbin

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 6 місяців тому

    Nimepokea kwa jina la Yesu

  • @mariauloy2009
    @mariauloy2009 6 місяців тому

    Pamoja sana mchungaji, Mungu akubariki sana sana.

  • @gloryshiletiwa9125
    @gloryshiletiwa9125 6 місяців тому

    Mungu napiga hatua Mwaka Huu

  • @user-wq1ft8fb1y
    @user-wq1ft8fb1y 6 місяців тому

    Amen Amen

  • @youngtone4333
    @youngtone4333 6 місяців тому

    Mungu wewe wajua bwana

  • @MAG-yb5ez
    @MAG-yb5ez 6 місяців тому

    Amen Mtumishi

  • @user-wq1ft8fb1y
    @user-wq1ft8fb1y 6 місяців тому

    Amen 🙏🙏

  • @user-vx5rb6rg1v
    @user-vx5rb6rg1v 6 місяців тому

    Amen Amen 🙏🙏

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 6 місяців тому

    Amen, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @prisca4612
    @prisca4612 6 місяців тому

    Amen!!!’n

  • @fortunatajames5931
    @fortunatajames5931 6 місяців тому

    YESU NISAIDIE NITOKE SASA KTK KUDUMAA,NAINUKA KUANZIA LEO

  • @MAG-yb5ez
    @MAG-yb5ez 6 місяців тому

    Mtumishi Mungu akutunze sana ili somo ni langu kabisa sifanikiwagi nafanya biashara Miaka yote nikole hapa hapa hakuna maendeleo yoyote

  • @neemakaaya3252
    @neemakaaya3252 6 місяців тому

    Sisi wa mikoani paster tunapataje hicho kitabu

  • @fredgersimbeye5394
    @fredgersimbeye5394 6 місяців тому

    Amen Amen Amen 🙏

  • @user-re2oz8ry9y
    @user-re2oz8ry9y 6 місяців тому

    Mi naomba kitabu mnitumie

  • @user-re2oz8ry9y
    @user-re2oz8ry9y 6 місяців тому

    Ninaomba maombi kwenu mi nimedumaa

  • @happinessselemani3182
    @happinessselemani3182 6 місяців тому

    Nahitaji kitabu kwa soft copy. Je naweza pataje?

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l 6 місяців тому

    Naomba Mungu anisaidie nitoke katika hiki kiriba Cha kudumaa ili niwe na shukra mpya na wimbo mpya🙏

  • @annalicealchard1827
    @annalicealchard1827 6 місяців тому

    AMENI 🙏🙏, Naamini mungu anaenda kuniinua tena katika viwango vingine kupitia somo na maombi haya

  • @user-je8qx8ze8o
    @user-je8qx8ze8o 3 місяці тому

    Amen

  • @user-re2oz8ry9y
    @user-re2oz8ry9y 6 місяців тому

    Ameni

  • @bonifacedeljaykay1221
    @bonifacedeljaykay1221 6 місяців тому

    Amen

  • @Paulamulito
    @Paulamulito 6 місяців тому

    Amen

  • @neemakaaya3252
    @neemakaaya3252 6 місяців тому

    Amen