Maombi dhidi ya Uovu wa nyumba kwenu ||MID-NIGHT PRAYERS || DAY 1 || 01/07/2024
Вставка
- Опубліковано 30 чер 2024
- Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
- M-Pesa Lipa Namba : 5252176
- MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
- KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
-Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
Gospel Teachings for soul winning Purpose. - Фільми й анімація
Kweli kabisa naona mungu ndani yako P.S. George ❤❤❤
Mimi niko kampala nimejiunganisha na mazabahu yenu juu ninasaidiwa sana sana kwa neno kwa maombi basi Mungu awabariki sana
Mungu namuona akinihudumia kupitia madhabahu hiii Mungu akubariki kwa mafundisho mazuriii
Baba. Mungu nipate ufunuo nashukuru saboti kenya
Amen ninafuatiria maobi nikiwa nairobi paster nisaidie maombi ya kujaswa na roho na kunena luga mpia
Amen
Nauona wema wa Mungu hakika kwa maombi haya.🙏 Thank you Jesus!
Majira yangu yamewadia🙌🙌🙌🙌
Mungu uinuliwe
Teta na wanaoteta na Mimi Bwana teta nao Yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 waliopanga kunirudisha nyuma fire them in Jesus Name 🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu kupitia haya madhabahu yako nikumbuke na nyumba yangu🙏barikiwa mtymish wa mungu kwa maombi 👏🙏
Mungu naomba kupitia hii madhabau ya pstor george mukabwa maisha yangu na watoto wangu yabadilike na kila mipago yote ya nguvu za giza isipate nafasi katika familia yangu
Amen 🙏🙏 barikiwa mtumishi wa mungu hakika naona malango yangu yakifungu kwa jina la yesu
Ameen
Asante Mungu ❤
Amen ,n'a mimi uni kumbuke
So so powerful 💪🏿💪🏿💪🏿 🙏🙏🙏🙏 thank you my Father Lord,You are my shield 🛡️🛡️🛡️🛡️🛡️🛡️,my redeemer,my guider,my protector e.t.c,you never get tired of me my God. 🇰🇪🇰🇪 Father cover my motherland Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with your blood,protect our leaders and my fellow kenyans by your blood in Jesus Name,give the knowledge and wisdom iin Jesus Name,and most of all our kenyan youth 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 cover the oooh dear Almighty God 🙏🙏🙏.pastor God bless you Abundantly.
Asante yesu 👏👏 lazima nipate mafanikio kwa uwezo wa Bwana yesu kiristo 🔥🔥🔥🔥🔥
Thank you JESUS
Asante Bwana unastahili Kuinuliwa kila wakati sifa na utukufu zikurudie
Asante baba wa mbinguni unastahili kuinuliwa
Jamani 😭 jana niliwatafuta nikawakosa yaani naumia mno 😢
Asante muchungaji kwa maombi
Amen Amen Amen
Amina Mtumishi Barikiwa
Najiunganisha na maombi ya hii madhabahu
Mungu nisaidie na kuniokoa
Asnte babainuliwa milele na milele baba
Amen Amen
Ameeeeeeeeeen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Amen!!!!!
Nawafuatilia nikiwa saudi arabia na nimeungana nanyi kwa mfungo
Allelua na pokeya
Jamani Studio Sauti iko very low
Sauti ni ndogo saana studio
Plz kesho pia ss Tupate maombi ya ucku wa manane Nimepata ya mapema lkn Nlikua Niasubiri ya ucku pia
Nilikuwa nakuuliza no ya pastor George Mukabwa ya WhatsApp ni gani... nataka kuongea nae ili nikituma sadaka yangu..anitambue..alafu leo sauti ipo chini sana jamani
0753333008.George.
@@pastorgeorgemukabwajrc asante
@@pastorgeorgemukabwajrc ni ya tanzania au ya kenya.?
Ndo niweke code please
Amina,,teta nao yesu
Me naomb kufaham ratba ya maomb haya yanaanza saa ngp?
Asubuhi saa kumi na mbili hadi saa moja.
Jioni saa kumi na moja hadi saa moja.
Usiku saa Tano hadi saa sita na nusu.
@@pastorgeorgemukabwajrcshukuranii saana
Mbna leo hamkuweka live Jmn Nalikua Niasubiri mumetubania lkn
Sauti please
Amen
Amen Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen