SHEKHE KISHKI amwaga machozi hadharani kisa ma SHARIF wa uongo huruma 😭😭

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • #nyundotv #sheikhsharif #shekhekishki

КОМЕНТАРІ • 155

  • @nyundotv
    @nyundotv  3 місяці тому +18

    ASANTE KWA KUFUATILIA UA-cam CHANNEL YETU PIA AHSANTE KWA KUTAZAMA VIDEO HII PIA TUNAOMBA USISAHAU KU SUBSCRIBE 🙏🙏

    • @FatumaZuberi-ln1cl
      @FatumaZuberi-ln1cl 3 місяці тому

      Mashaalah❤❤❤❤❤mashaalah tupo pamoja.nawewe

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 3 місяці тому +2

    Naaaam Sheikh Nurdin Kishk endelea kusimama ktk haqq namuomb Allah azid kukupa nguvu kutetea haqq na akulinde na killa hilla mbofu , amiin 🤲 2po pamoj naww Sheikh wetu , na hao masharif feki na wapamb wao namuomb Allah awaumbue dunian na akhera

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 3 місяці тому +3

    Biidhni Alah ataanguka tu kila atakae udhalilisha uislam.
    Shukran sheikh Kishki Allah akujaalie umr tawil wenye kheri na barakah,Allah akuzidishie ilm naafi'a uzidi kutetea haki.
    Amiin Yaa Rabb Al a'alamiin

  • @Shufaashufaa-q9s
    @Shufaashufaa-q9s 3 місяці тому +1

    Allah akudizishie kila la khery na azidi kukusimamia In sha Allah

  • @KhalimaKhassani
    @KhalimaKhassani 3 місяці тому +1

    Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha shekhe wetu tuko pamoja nawewe wallah binafsi nimejifunza mengi kupitia mawaiza yako shekhe

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt 3 місяці тому +12

    Jazaka allah ghAiru sheikh mazinge kapambana kwenye din,ila anamaliza vibaya inauma Sanaa kuona mazinge kawa mwamposa

  • @Raissaabdoul
    @Raissaabdoul 3 місяці тому +2

    Allah akulinde sheikh akuweke mbali na shari zote mbaya Allah akuzidishiye nguvu ya kupambana na watu wabaya Allah akupe heri zote zaduniyani na Ahera

  • @Tuaibosaide-h7s
    @Tuaibosaide-h7s 2 місяці тому

    Allha akujaliye kishik uzidi kwakumbosha mema ❤❤❤

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 3 місяці тому +2

    From Burundi Allah azidikukulinda sheih kish

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 3 місяці тому +10

    Subhanallaah Allah akujaze khery shekhe

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 3 місяці тому +2

    Asallam maalequ Maashallah Maashallah Maashallah Allahadulilah Allahadulilah Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha shekh Kishnki Maashallah Maashallah Allahadulilah Allahadulilah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @BashiruAhmad-o4t
    @BashiruAhmad-o4t 3 місяці тому +1

    Subuhanna llah Allah akuongoze na akujalie kauli sabiti sheikh kishk

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 3 місяці тому +4

    Swadakta sheik kishki Allah akuifadhi na mabaya....wachane sana hao masharifu feki njaa tupu yawasumbua

  • @samirasaidi9306
    @samirasaidi9306 3 місяці тому +10

    ALLAH mlinde shekhe kishk umpe umri mrefu azidi kukemea mabaya yaso nahaki katika dini yetu YA ALLAH tupe mwisho mwema.

  • @sharifaals6427
    @sharifaals6427 2 місяці тому

    Allah akulinde inshaa Allah

  • @TatoArfan
    @TatoArfan 3 місяці тому +1

    Mashallha shee mungu akuongoz mana Yule sio nabii anazuza

  • @MudyBoss
    @MudyBoss 3 місяці тому +9

    Asante haki isemwe hata kama inauma shekh kishnki

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 місяці тому +1

    THE ONLY SHEIKH IN EAST AFRICA WHO CAN STAND FOR THE TRUTH WITHOUT FEAR

  • @Aishajuma-m3v
    @Aishajuma-m3v 3 місяці тому +1

    Masha'Allah Allah akupe umri twaweel shekh wetu

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 3 місяці тому +5

    Allah akuhifadhi sheikh wetu
    Natuko nawe kwa kwa vita hiyo ya kupinga hao wapotesaji

  • @azizauwase9207
    @azizauwase9207 3 місяці тому

    Kwa kweli shekh nakupenda kwa ajili ya Allah napenda ku fata mawaidha yako sana.Mimi naishi Rwanda . Tena Allah akupe maisha marefu

  • @HalimaismailySaid
    @HalimaismailySaid 3 місяці тому +8

    Allah akulipe niko na sheikh kishki mpk watuuwe 😊haki ifyatwe waislam tunaende wapi huu upako sijui umetoka wapi

  • @Naju645
    @Naju645 3 місяці тому +17

    Allah akuweke akulinde shekhe wetu umeongea point hao mashekhe wanao muunga mkono njaa Tu tena nimemshangaa Sana huyo walid

    • @khasaheJunior
      @khasaheJunior 3 місяці тому

      Sasa Walid si kapewa kibunda na sharifu fake unataka aseme nini😢

    • @oshaooshao3301
      @oshaooshao3301 3 місяці тому +1

      Amiin

    • @Nassir-z7v
      @Nassir-z7v 3 місяці тому

      aaamin inshallah

    • @MoodyOne-g5t
      @MoodyOne-g5t 3 місяці тому

      Huyo kishki ndo awafahamishe watu huyo sharifu olijino ni yup na Yuko wapi Kama huyo ni fake na wakati Kuna waumini wanasema kadri wanavyohudhuria visomo kwa huyo sharifu fek Kuna mwanga wanauona kutokana na majanga yao Sasa wewe Kish una maono gani ya kumjua huyu ni sharifu ama si sharifu na hata wewe una mapungufu usiwaingize wenzio motoni ikiwa Muhammad mtume Allah. Amemsamehe lakini bado alikuwa akiomba msamaha kwa mola wake

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 3 місяці тому

      ​@@MoodyOne-g5tkila ubaya na uovu lazima ukemewe,ubainishwe ili watu wajue,ataekubali yuko sawa asiyekubali ni juu yake.Ufeki ktk dini upo na huo ni utapeli.

  • @Kamikazifitina
    @Kamikazifitina 3 місяці тому +4

    Jazakumukheri sheik kishiki

  • @MohammediNduwimana
    @MohammediNduwimana 3 місяці тому

    Allah akuhifadhi shekh wetu kipenzi unaeweza kutufunza sisi tusiyeweza kujua tunachokifanya katika kumtukuza Allah

  • @KamwanyaMariam
    @KamwanyaMariam 3 місяці тому +4

    ❤amin mungu akulipe mema

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 3 місяці тому +2

    Sheikh nakukubali nakupenda kwaajili ya Allag. Mwalimu wangu wa kwenye mtandao

  • @kabelegecletus718
    @kabelegecletus718 3 місяці тому +5

    Ndugu zangu katika dini Imani hajajariwa mwanadamu isipokuwa alie neemeka na Rahma za Allah

  • @allykabwanga1348
    @allykabwanga1348 3 місяці тому +3

    🎉ALLAHUAKBARU ALLAH AKUPE AFYAA MAALIM

  • @Fatmarajab1175
    @Fatmarajab1175 2 місяці тому

    Wallah nilikuwa na ngojea sana sheikh Kishki aongee kuhusu hili swala maana tumewachoka sana Hawa masharifu wa uwongo

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Місяць тому

    ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH

  • @jumaajumaa5863
    @jumaajumaa5863 3 місяці тому

    Shukran sana Sheikh kishki .(ALLAH) akulinde akupe afya Na umri uzidi kupinga bidhaa zinazo kithiri.

  • @YassnKalyango
    @YassnKalyango 3 місяці тому +8

    Elimisha shekh uko sahihi kabisa

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 3 місяці тому +2

    Allah akupe nguvu na afya ya kuwakemea maana sasa hiviwamezidi njaaa hao.

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 місяці тому +4

    Shukran Shaikh

  • @rehanimaya6992
    @rehanimaya6992 3 місяці тому

    Allah akujaze Nuru sheikh wetu

  • @ZuhuraMarande-fl2zw
    @ZuhuraMarande-fl2zw 3 місяці тому +2

    Shekh wetu sisi Tuko pamoja na wewe 😢😢

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x 3 місяці тому +2

    Allah atulindiee shekh kishik Hawa matapeli

  • @AhmedHImran
    @AhmedHImran 3 місяці тому +1

    Masha Allah tabaraka Allah sheikh Allah atuhifadhi tuko na wewe benet sana yaani umenyooka sana kwani ukweli umewapa ukweli ingawa watakataa lkn uko sahihi kabisa

  • @KamwanyaMariam
    @KamwanyaMariam 3 місяці тому +2

    Allah akujalie Killah laheri

  • @hajimtundu6936
    @hajimtundu6936 3 місяці тому +4

    Hao ni mashekhee njaaa,wanaharibu sifa ya uislaam

  • @FasidaShaban
    @FasidaShaban 3 місяці тому

    Allah akulinde na kila aina ya mabaya na akupe nguvu ktk kulingania mema na ukujalie pepo ya fridaus uwe pamoja na mtume nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 3 місяці тому +2

    Allah_akulipe_kwa_hilo_

  • @HabibukavenukeHabibu
    @HabibukavenukeHabibu 3 місяці тому +1

    Usiache kusema shehke Allah akupe nguvu

  • @MwabiaHafidhi
    @MwabiaHafidhi 3 місяці тому

    Allah tusaidiye uyu shalifu atumtaki❤❤❤❤❤

  • @MauKaniki
    @MauKaniki 3 місяці тому

    Shekhe wetu kishki Allah akuhifadhi

  • @abibumbota5160
    @abibumbota5160 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤ unaongea vzr

  • @MariamHussein-q2p
    @MariamHussein-q2p 3 місяці тому

    Allah🤲 akupe akheri jmn😢

  • @NassorKhamis-p9o
    @NassorKhamis-p9o 3 місяці тому +1

    Allah akubaari

  • @hassanmakata2274
    @hassanmakata2274 3 місяці тому

    Allah akuongoza

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 3 місяці тому

    Unayoyasema ni kweli tupu, Allah akuhifadhi, amiin

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 3 місяці тому

    Be blessed Shkh Kishk

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 3 місяці тому +1

    mashaallah jazakallahu khairan

  • @HassanKibandulo
    @HassanKibandulo 3 місяці тому

    Safi kishki.maostax wengi ssv wamekuwa hawana misingi y allh wamekuwa machawa kama wakina mwijaku.wanashindwa tambua wameitwa masheq kwakuwa niwajumbe wamwenyezi mungu.ssv msikitini badala yakutajwa allah namtume wake mtu ana nadi watu nakutaja watu malufu misikitini kama wakongo kwenye Boling tunakwenda wapi tunaowategemea kutuongoza kwenye wislam😢

  • @abdulkarimmavuo645
    @abdulkarimmavuo645 3 місяці тому +3

    Hata mtume Muhammad walimuita majnoon, sheikh kishki ni mwiba kwa ma conman

  • @KisuwaMwabaka
    @KisuwaMwabaka 3 місяці тому

    Allah akujaalie. Machawa na watu wa kishirikina.washirikina wote hao sharif

  • @aisha-t5o3e
    @aisha-t5o3e 3 місяці тому +1

    Subhan Allah

  • @mdhakasd3224
    @mdhakasd3224 3 місяці тому

    Tupo pa1 shekhe wetu

  • @sultanhilarious8893
    @sultanhilarious8893 3 місяці тому

    Mashallah

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 3 місяці тому

    Uko sahihi KISHKI KAZIYA HAPO HAPO MZEE WA UKWELI MASHARIFU MAJINA NI MATAPELI TENA MATAPELI

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 3 місяці тому +2

    Biashara ya dua imekuw kubwa nshakutana na shkh akanammbia. Nna shaitwan dua yake ni lki mbili nilichoka anaejibu duaa n Mung xjui anampa kiasi gan mpka. Tunuunue dua

    • @FatumaMuya-w5h
      @FatumaMuya-w5h 3 місяці тому

      Mimi nilimuomba sheikh hukohuko Tanzania anisomee kisomocha dua nina shida .akaniambia nimtumie $100.akasema atanisomea siku Saba lakini siku yatatu akaniambia nimtumie $50 nikamtumia akaendelea kunisomea siku ya saba akasema nimtumie $500 nikamwambia nitapata wapi hiyo pesa na sijaona mabadiriko yoyote akasema nikachukue deni nimpatie yeye. Kwani mabadiriko yatakuja tu nisijali nimpe kwanza pesa yake.nilichoka sana nikamzimia simu akanitumia ujumbe kuwa yeye anajua kutengeneza na kuharibu pia nikamtumia $250 haijapita hata wiki mbili akasema nimalizie pesa iliyobaki nilijisikia vibaya sana nikamblock. Kama anaweza kinifanyia kitu kibaya afanye tu lakini nimechoka mtoto hadi sasa bado naishi na mzungu.kumuona mara moja kwa week

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 3 місяці тому +1

    Takbr

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 3 місяці тому

    Uko swahihi sana shekh endelea kutunasihi na hao wapambe wao wanatetea upumbavu nawao ni miongoni mwao,,,,,njaa na umaarufu na vyeo vitawatia pabaya hao wengine wakubwa ktk milango ya dini eti wanatetea ujaahili ,,,,huli ni janga shekh

  • @NagoryDume
    @NagoryDume 3 місяці тому

    Shekhe kishki,,
    Huku dk sure nae anamtetea sharifu feki 😢😢😢😢

  • @rayaabdallah1869
    @rayaabdallah1869 3 місяці тому

    Manyau nyau😂😂😂الله يحفظك شيخ❤❤

  • @jafaryramadhani-y5v
    @jafaryramadhani-y5v 3 місяці тому

    Alla akulind

  • @ShaqharMagram
    @ShaqharMagram 3 місяці тому

    Kishk u are the best

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 3 місяці тому +1

    Huyu ndo sheikhe tuna mkubali Burundi sijuwi Tanzania mna matatizo gan yani mambo mengi wa Tanzania mna zusha muonekano wa hayo mambo si tafauti na makafiri huyu sheikhe ata pingwa sana ata tukanwa sana sababu si mtu wa maulidi

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 3 місяці тому

    Watakuelewa tu shekhe wangu. Yani dini imeinguliwa na mashehe wa mchongo nchi hii

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Місяць тому

    Zaidi ya kutafuta Tawheed ienee ktka maisha yetu

  • @Tuaibosaide-h7s
    @Tuaibosaide-h7s 2 місяці тому

    Gostei muito de che

  • @Naah-o2c
    @Naah-o2c 3 місяці тому +2

    Sisi sio wajinga tupo pamoja na kishki mpka mwisho nguvu moja 💪💪❤️tunaompenda kishki gonga like apo

  • @AshrafSalim-t3u
    @AshrafSalim-t3u 3 місяці тому

    Mm niko pamoja naww Sheikhe

  • @emmyzuga6486
    @emmyzuga6486 3 місяці тому

    Msema ukweli siku zote huonekana mbaya sema kwende shekhe wangu

  • @salahasalaha2224
    @salahasalaha2224 3 місяці тому

    Sheikh wa mkoa wa dareslaam hajiangalie

  • @AthumaniChimwaga
    @AthumaniChimwaga 3 місяці тому +2

    Mashaallah shekh

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 3 місяці тому +2

    shalifu anapiga Pesa wanagawana na mashehe wapambe wanaficha ukweli

  • @ZuhuraMarande-fl2zw
    @ZuhuraMarande-fl2zw 3 місяці тому +1

    Tuko pamoja kishki

  • @RajaaRajaa-id5wx
    @RajaaRajaa-id5wx 3 місяці тому

    Upo sw shekh

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 3 місяці тому +1

    KEMEA MAPEPO HAYO NISHASEMA NIĹICHOKIONA KWA SHEKHE MAZINGE SHEKHE MWAIPOPO SHEKHE MAJINI DKT SULE WOTE HAWA NI MAPEPO WATU WASHIRKI HAWA WANAFIKUNAA HAWA LAKINI NIKAAMBIWA MIMI KAFIRI MMESHINDWA KUJUA MAANA YA NENO KAFIRI NENO KFIRI NI MTU ANAYEENDA KINYUME NA MAMBO YA MWENYEZI MUNGU

  • @RehemaAbdul-s4g
    @RehemaAbdul-s4g 3 місяці тому +1

    hawo wanawo jiita masharifu nawaombeya kwa Allah aweze kuwafunguwa macho kwasababu bado wako gizani

  • @AishaMuharami
    @AishaMuharami 3 місяці тому

    shekh waambie awa maan wengi hawajui kitu ndo tunafata muongozo kwenu mashekh lakn baadhi yenu ndo kama iv wanatuvuruga tu na upako kwenye uislam we ulisikia wap

  • @ayushiabubakar1930
    @ayushiabubakar1930 3 місяці тому

    Sina ilimu nigekuwa nawe kwenye membar mungu akujaliye umri ata kama sija soma kwa kili ya haraka haraka

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 3 місяці тому +1

    ❤❤

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 3 місяці тому

    Majambazi haoo wamezidi ktk mitandao biashara zao za haramu hawana haya!! Allah atawaona kwa tamaa zao awadhalilishe Yarrab..

  • @MariamSaid-k6g
    @MariamSaid-k6g 3 місяці тому +1

  • @MoodyOne-g5t
    @MoodyOne-g5t 3 місяці тому

    Basi usharifu upewe wew nurdin kishk na watu wote wanaenda pale waje kwako uwombee maana wewe ndo sharifu unatokanana na nasaba ya mtume Muhammad ila kaa ukijua masharifu kama hao wapo kibao tena ni wanafanya ugagnga umemuona huyo kijana tuu,muacheni anatafuta rizk zake atakutana na mola wake

  • @SaidiIssa-d6u
    @SaidiIssa-d6u 3 місяці тому +1

    Kishik nakumbuka wewe ni mtu wa kwanza kupinga utapeli wa babu wa loliondo kwa hiyo 2ko pamoja siku zote

  • @SaidOmari-sx4ix
    @SaidOmari-sx4ix 3 місяці тому +2

    Sheik wangu ni kweli mtu ajisomee mwenyewe,jee kama hajui basi pia asitafute sheik wakumsomea?

  • @othmanabeidy4460
    @othmanabeidy4460 3 місяці тому

    Yani hao ni Wana fiki wanajua wanayo yafanya ila wanadhihaki waislam Hadi mazinge ni chawa sija tegemea kweli!!

  • @MohammediNduwimana
    @MohammediNduwimana 3 місяці тому

    Asalam alaikum warahmaturullah wabarakatuh naombeni mtu ambaye ana namba yake shekh wetu anitumie kuna kitu nataka nijue

  • @SaidIsmail-w2w
    @SaidIsmail-w2w 3 місяці тому

    daah mtihani sana

  • @shebeabdallah5505
    @shebeabdallah5505 2 місяці тому

    Shekh kishki huyu kijana hana dini kabisa taratibu zote hizo za kikristo . Uislam hauna taratibu hizo za kudhalilisha wake zetu na watoto wetu huyu kijana hana nia nzuri kwanza hata ilmu ya dini hana .

  • @BabaAli-f4s
    @BabaAli-f4s 2 місяці тому

    Na hawa wadudu wajue kishki ni imamu shaafi ahmad ibnu hambal na masheikh wa aqida wote

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 2 місяці тому

    Waeleze ukweli Shkh wetu mana Tznia inaongoza kwa wasanii aibu tupu vishekh uchwara njaa wizi vijambazi hawana hata aibu?

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 3 місяці тому

    Mwatafuta umaarufu tu....kama mazinge amaliza vibaya huenda ikawa hata nyinyi mnamaliza vibaya.
    Wengine unawaita kwako mbona hawa huwaiti wawaangaza hadharani?

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 3 місяці тому

    Ukichunguza sana lamda mkongo kaja kwenye mpatizo tu kisha asepe zake

  • @mrmajengotz.
    @mrmajengotz. 3 місяці тому +1

    Mudiru wanaokupinga nafsi zao zinawasuta wallhahi,,,,,

  • @JghghfgjjgfHvfghhhff
    @JghghfgjjgfHvfghhhff 3 місяці тому

    10:28❤❤

  • @BabaAli-f4s
    @BabaAli-f4s 2 місяці тому

    Na ajue ya kuwa Allah amekataa kuangalia Haram