HAPA NDIPO BALAA LILIPOANZA KIDAWA ANGEJIBU TU HILI SWALI ANGELIA MACHOZI YA DAMU|| Muhammad Bachu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 184

  • @hasanalrashid3311
    @hasanalrashid3311 3 дні тому +7

    Assalam aleykum warahmatullah wabrakatuh sheikh bachu Hakika mtu ujizaa kweli sheikh bachu kajizaa Allah amrehemu sheikh let u na wewe endelea sheikh nakuona mbali ktk helim ya duni yetu tukufu

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 2 дні тому +3

    MashaAllah sheikh Bachu Allah akuhifadh uzidi kuitumikia dini yake

  • @NurainAbdaallah
    @NurainAbdaallah 3 дні тому +3

    Sheikh elimu umebarikiwa na akili mashallah sheikh muhammad allah akuhifadhi

  • @IsmailEl-mazroui
    @IsmailEl-mazroui День тому

    sheikh bachu mashallah jazakah llah kheyr , mashekh wengine wao maulid tu na kujichangny na wanawake wawatunze hela lkn ufafanuz wa kielim aaaaahh

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 3 дні тому +4

    Shukuraan saana sheikh Muhammad bachu, Umeeleza vyema

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 23 години тому

      Hajaeleza tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji mtume s a w hajafundisha wala maswahaba sasa isiwe sibida athibitishe bachu mtume s a w amefundisha

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 2 дні тому +5

    Chuma hicho
    Mashallah Bacho wakomeshe

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 День тому

      Mpuuz Sana ww, kasome acha kufuata mkumbo

  • @Kassim-k6h
    @Kassim-k6h День тому +1

    Soon Watu wataelewa haki , BACHU Usichoke

  • @SurprisedCurling-si9yr
    @SurprisedCurling-si9yr 2 дні тому +2

    Muhammad nassor bachu tunakuelewa kabisaaa ...

  • @HauaAliSaide
    @HauaAliSaide 2 дні тому +2

    Mashaallah meu esposo a verdade sempre vence💪 te amo meu esposo depois vens buscar teu presente

  • @johnpepe980
    @johnpepe980 День тому

    Muhammad bachu Umekwama ktka mdahalo huo bhana acha kujikosha kiongozi tumeangalia mwanzo mwisho umeweka matabu laptob hunalte mwenzio Anatowa vitu kichwani still Umekwama

  • @NURUDINIATHUMANI
    @NURUDINIATHUMANI 3 дні тому +3

    MAMBO YA TAWAQALL
    YANARUHUSIWA KUYAFANYIA TATABUI , ISTIQRAA, AU ISTINBATWI
    KWANI HAYO
    NI MAMBO NA FURUUGH NA SIO USULL
    TAWHIID NI USUUL
    HATUNA MWALIMU
    MSAHIHI ILLA ATAKUA NI ALLAH NA MTUME MUHAMMAD S, PEKEE

  • @johnpepe980
    @johnpepe980 День тому

    Hapana bhna bachu kwa hili unajikosha tu munakasha tumeuona lkn kwa mada ile pale umekwama na jmaa humfiki kielimu kaka kwa mengine tunakkubali lkn kwa lile Umepigwa ndugu yang yena zauso USILAZIMISHE KUONEKANA FASAHA JAMAA YUPO XAWA YULE

  • @mikidadiyusufu5666
    @mikidadiyusufu5666 День тому

    bachuw muogope mungu wacha uwahabia na ukafiri wenu huna elimu na wanao kuungamkono majuha wenzako

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 2 дні тому +1

    NYINYI MNASEMA ALLAH ANA MKONO ANA MIGUU AMEKAA KATIKA KITI CHA ENZI MNAKUFURU HATARI SANA

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 2 дні тому

    Allah atuongoze ktk usawa

  • @hamisadnan2319
    @hamisadnan2319 2 дні тому +1

    Huyu Hana upana wa elimu ila ni mbishi mjanja na mpotezaji muda munamsumbua Bure alimu wangu Sheikh Kidawa

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 2 дні тому

      Kidawa hajajibu swali anakwepa tu

  • @IsmailEl-mazroui
    @IsmailEl-mazroui День тому

    Weng hatumuelew bachu sbb tunasom qur an tumalze msahaf lkn tungejua na tafsir na maan yake kiundani tungeweza kumuelew vzr bachu maan elimu ya dini bila tauhid saw na chakula kukosa chumvi hakiwez kuw na ladha nzur

  • @feizalmas
    @feizalmas 3 дні тому +5

    Assalamualeykum. Jamani mnapochangia maoni humu acheni mapenzi na muogopeni ALLAH. bachu kaleta vitabu karibu 25 ili afundishe ila hakuna kitabu alichofunua zaidi ya kopi za barazanji ambayo kila kunapokucha anaipinga leo barazanji sahihi huyu ni mnafiki na mwisho wake anajichekesha kama duyuth muogopeni ALLAH

    • @omarykibunta4950
      @omarykibunta4950 2 дні тому

      Hujaelewa Muhammad bachu hakusema kwenye kitabu Cha maulidi hakuna maneno ya ukweli

    • @NassirAliy
      @NassirAliy 2 дні тому

      Ww ndio duyuth Kwa ufahamu mbaya ulionao

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 2 дні тому

      Huyu mtu ni chizi ambae ameandika huu ujumbe jmn pole sana nenda ukasome tena hata ww ukiend chuon huend na vitabu na summary yk kw baadh ya v2 inategemea ikiwa point zimo ktk summary bx haina haja ya kufungua kitabu na hiyo ni kawaid na ikiwa kile k2 hakipo ktk summary ndio vinafunguliwa vitabu ila ushahid ukiutoa ktk summary wkt waonesha ni ushahid wa kwel sasa kuna ulazima gn wa kufungua kitabu orig wkt summary yatosha we jamaa kwel una akili timamu au ndo nyny mulokimbia kusoma coz ya vitabu ni bidaa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      @@omarykibunta4950 si alitaharisha tusisome vitabu hivyi vya washirikina na vinauongo ndani yake

    • @AlakhShaykhu
      @AlakhShaykhu 2 дні тому

      Umetoa ushaur mzur VP unatukana ewe mja

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 2 дні тому

    MOHAMED BACHU UNAVISOMA VITABU WAKATI HADI MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM ANAONDOKA DUNIANI HAKUWAHIPO KUWACHA KITABU CHA NAHAU WALA FIQI WALA BALAKHA WALA UTATU WENU WA AKIDA ZENU ZA KINASWARA
    NYINYI NI WAVURUGAJI WA UISLAM NAWALA SIYO SALAFI NYINYI NI WANAFIKI WA DINI YA KIISLAM TU

  • @NassoroAlly-pp7gr
    @NassoroAlly-pp7gr 2 дні тому +1

    Bachu hivi unaelewaga swali kweli siujibu ulicho ulizwa

  • @AllyKhalfan-d4o
    @AllyKhalfan-d4o 2 дні тому +1

    Semeni haki bachuuu munaqasha wapili anashindwa nakuhisi nduguyangu bachu utaadhalilika Kila siku achana na hayo masuala ya munaqasha

    • @manrectorz
      @manrectorz 2 дні тому +1

      Wewe umeelewa hata jambo moja kwenye Munaqasha huu au unaangalia tu majoho na vilemba vikubwa😂. Acha uzezeta jitahidi kusoma kwa manufaa yako ndugu

    • @fatmasalim7132
      @fatmasalim7132 2 дні тому

      Hakika umemjibu sawa!

    • @IsmailEl-mazroui
      @IsmailEl-mazroui День тому

      ttz lenu mnatak ajib kwa kuropoka anajib kwa kusom maandiko ya wanawazuon

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol 20 годин тому

    SIKUONA ELIMU HAPA ILA NI KIBURI KIMEZIDI NA KUPINDUKIA MIPAKA

  • @NURUDINIATHUMANI
    @NURUDINIATHUMANI 3 дні тому +2

    swali ni doogo tu
    Tuletee mwanawachuoni alie kuja kusema humo tuna As,mAi wa sswifaat Acha ujanja mwiingi ktk dini

    • @Ahmadiyyāh.02
      @Ahmadiyyāh.02 3 дні тому

      Assalāmu Aleykum wa rahmatullāh wabarakatuh alhabib.shida ni kwamba wote hawafahamu Tauhidi .lakini Quraan Tukufu Imeshamaliza kabisa dalasa la Tauhidi katika suratul Tajrid (Ikhlās).ukisoma Al-TafsĪr Al-Kabīr ya Hazrāt Mirza Bashirrudiin Mahmūd Ahmad Khalifatul Masihi Thaani Al-Muslēh Al-Mahū'd r.a amesherehesha kwa maelezo mapana na marefu kuhusu suratul Ikhlās.shida ni kwamba wanajikuta wanazuoni ilhali wote wanazama katika shirk kwa namna moja ama nyengine

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      @@Ahmadiyyāh.02 mwanazuoni wa mwaka gani 😂😂

    • @Ahmadiyyāh.02
      @Ahmadiyyāh.02 2 дні тому

      @@IbraFareed nenda googling kisha andika Tafsiri Kabir ,utamjua wa mwaka gani 😂😂😂, hahahaha acha uvivu

  • @isaack100
    @isaack100 2 дні тому +1

    Bhachu nyinyi mwasema kama Jambo ni zuri angelifunza mtume maswahaba wake wapi mtume kawafunza

  • @isaack100
    @isaack100 2 дні тому +1

    Hivi ndivo alivo koroga mjadala wa Mombasa hakujibu swali Auliza swali

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi 2 дні тому

    Hapo inatakiwa are said mshiraz

  • @SaidhijaSalum
    @SaidhijaSalum 2 дні тому

    We jamaa umebarikiwa sana

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 2 дні тому

    Mimi nilikuepo sheikh dawa amesema Sunnah zimegawika sehemu 3mbonahajatoa ushahidi ktk quruani nahadithi lakini tunakubali kwasababu nimas ala ya ijtihadi

  • @NuruMuhammad-jf2ug
    @NuruMuhammad-jf2ug 2 дні тому

    Umefahamishwa vizuri lakini umekazana na Mungu watatu Kisha uwaambie watu nimakafiri niwashirikina we ndio msafi Sana Basi Kuna wakushindieo umeshindwa usijidai bure umeshindwa!!

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr 2 дні тому

    Sisi kama masufy tumekubwliana kuwa, sikuhizi tutakula sahani moja pamoja namuhammad Bachu, hakuna mdahalo atashinda tena kielimu nimwendo wakumburuta tu dadeki😏
    Kenya tumemtandika kaja tz tumemtandika tena, nabdo tunamtafuta tena pambafu 😎

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 2 дні тому +2

    Namuomba sheikh Bachu
    Aepukane nayo haya mambo
    Maana ANAZIDI KUJIABISHA
    Na sheikh kidawa amemshikana kwenye koo
    Hapo HANA AYA WALA HADITH
    Ndo mana kampoa sanah
    Allah amuongoze

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd 3 дні тому +1

    Soma shekhe bachu

  • @ZahranJuma-ye2gr
    @ZahranJuma-ye2gr День тому

    Wanafiki kweli hawa form three nimesoma aina tatu za tauhidi shule bachu wasikusumbue hao .

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 2 дні тому

    Mtoto kijana acha kuji aibisha , ukisema tawhid tatu tayari apo umegawanya Mungu .

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd 3 дні тому +1

    Shekhe bachu Kama unaibu hata redioni usingejieleza Tena shekhe bado umtupu time kauli ipi mungu maswahaba wamegawa tawhiid acha porojo

    • @abdullatifmnyamis372
      @abdullatifmnyamis372 3 дні тому

      We huelewi

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      @@abdullatifmnyamis372 Namuomba sheikh Bachu
      Aepukane nayo haya mambo
      Maana ANAZIDI KUJIABISHA
      Na sheikh kidawa amemshikana kwenye koo
      Hapo HANA AYA WALA HADITH
      Ndo mana kampoa sanah
      Allah amuongoze

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 3 дні тому

    Upande ukitak aya na khadith upande unatoa vitabu kam kwamba hawajui marejeo ni wap Allah atuongoze

  • @canoksancomprehensivelearn7182

    Haki itabaki kuwa haki na wanaofuata matamanio watabaki kuwa katila giza maana Allah kaahid hatawaongoza maana matamanio yao ndio mungu wao. Wao waaishia ushabik na matusi hatawaongoza atayekuja na haki hata mara moja

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 23 години тому

    Wajua bachu jibu swali wacha ujanja umeambiwa ni bidaa kama sio bidaa mtume s a w alifundisha wapi ama maswahaba hapo hutoi jibu bachu

  • @allysharifally6988
    @allysharifally6988 День тому

    Hapa umejiabisha huwezi kutetea hizo tawhidi tatu hata kwa bahati mbaya maana upo kwenye bidaa na hata hujui

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 2 дні тому

    UNASOMA VITABU NI BIDAA ILI UHALALISHE BIDAATU ZALALA YA UTATU WENU
    KAMA MANASWARA MUNGU BABA MUNGU MTOTO MUNGU ROHO NYINYI MAWAHABI NI MAYAHUDI

  • @ZahranJuma-ye2gr
    @ZahranJuma-ye2gr День тому

    Waengeze ya nne tauhidu almutaabaa kumfuata mtume ni tauhidi kitabu ni kaulu almufidah

  • @saidabdurahman7936
    @saidabdurahman7936 День тому

    Yule haji upepo ameandika caption ya uongo sana 😅😅

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 2 дні тому

    Mawahabi niwapumbavu wanatetea utatu shayaatwinu nnasi

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn 2 дні тому

    Duu elimu za sasa hivi Hazina baraka kila mtu anajikuta mwamba

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd 3 дні тому +3

    Mashekhe kila bidaa no upotevu mmeusahau? Leo

    • @SaidMadai
      @SaidMadai 2 дні тому +1

      Yao itakua bidaa hasani😂 wahuni mawahabi kbs ktk dini

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      @@SaidMadai😂😂😂

    • @NassorAmbar
      @NassorAmbar День тому

      Sasa itakuaje bidaa wakati misingi yake ipo kwenye quran... Or hujaisikia aya ya suratul maryam hapo.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed День тому

      @@NassorAmbar Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ?
      je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba
      ‎مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ
      Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ?
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3?
      Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3?
      Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3
      Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ?
      Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ?
      HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI
      VERY SIMPLE
      na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH
      naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 День тому

    Bachu huu mjadala pia umeoshwa tena huo ndio ukweli

  • @mikidadiyusufu5666
    @mikidadiyusufu5666 День тому

    kumbe bachuw ni mcheza kammari2 ibilisi amekaa kifuani mwako mdogowa diamond

  • @KassimIsmail-q1j
    @KassimIsmail-q1j 2 дні тому

    Hekma ya kuweka kipande hicho ni nin kwa sababu tulioona mjadala tumejua matokeo ni yapi lkn inaonesh wazi hupo kwa kunufaish jamii bali upo kwa mashindani zaid,, muogopeni na atakufundisheni

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      😂😂shekh wenu wa kisufi kawatia aibu anasema kusoma vitabu ni bidaah, kusoma vitabu vya wanazuoni ni bidah sasa ndomana mnakuwa wajinga kusoma vitabu mnaogopa et ni bidaah ndomana mnatusumbua kuwafundisha sasa kama mwalimu anasema kusoma vitabu ni bidaah je wanafunzi watakuaje

  • @Ahmadiyyāh.02
    @Ahmadiyyāh.02 3 дні тому

    wanazuoni wanahitalafiana mitandaoni,shida ya kutokuwa na ukhalifa unaonekana

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 дні тому

    Itikadi 2 tafauti katu hazifungamani.Mnakasha ni kupoteza muda.

  • @zuleikhaabdhallah-bu1sg
    @zuleikhaabdhallah-bu1sg 3 дні тому +1

    Acha ujanja bachu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      Ujanja upi nyi mnataka aelezaje wakati mwalimu wenu kawatia aibu maswali ykayakimbia na kasusa kuulizwa maswali au ujafatilia mjadala mwanzo mwisho

  • @AsampiMpili
    @AsampiMpili 3 дні тому +13

    Hivi unadhani Imaam Shaafii (Rahimahullah) alivyosema masufi ni wapumbavu unadhani alikosea? Hapo watakisumbua na hawatokubali hojja ni Bora ukakaa chini2 kufundisha vitabu watu wafaidike Sasa unakuta mtu hajasikikiza hata dakika5 tayari kshacomment ndo maana sheikh wao akasema vitabu ni bidaa.

    • @azizisingi7068
      @azizisingi7068 3 дні тому +1

      Shida ya mawahabi ni huwa hamuelewi mnachokisema mnasema hamna bidaa nzuri nanyinyi mnazu sasa niakili au matope hayo

    • @mohammedmataucar66
      @mohammedmataucar66 3 дні тому

      ​@@azizisingi7068shida y maghuraf nyie ubongo umekaza bid'aa ni ibada ambayo mtu akifanya anaamini analipwa ..asili ya ibada ni dalili sasa sjuw hapo wanaongelea kuabudu kwa kayfiya gan ?

    • @muhammadmbabe9411
      @muhammadmbabe9411 3 дні тому +2

      Wewe acha uwongl imamu shafii ajasema ivyo unazani imamu shafii ni mjinga kama wewe

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 2 дні тому

      ​@@azizisingi7068bidaa ipi iyo waliyo zuwa

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 2 дні тому

      WEE MWEHU NINI
      IMAM SHAFII KASEMA HAYO MANENO WAPI
      HEBU TUWEKEE HICHO KITABU NA HUO UKURASA HAPA.

  • @sadikadam5251
    @sadikadam5251 День тому

    hahahahhah sasa vitabu vyote na laptop juu wakt mwenzako yupo kawaiada na still kakupga pazito mm nimeangalia mjadala mzima co kipande kimoja

  • @HafidhiBugi
    @HafidhiBugi 2 дні тому

    hujui kitu banaa kasome uko

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 2 дні тому

    Eeeh Mtu mume haitwi KIDAWA weeee 😂et sheikh KIDAWA

  • @BinBadhadha
    @BinBadhadha 2 дні тому

    mbna kwa saidi ww umeshindwa kusema cjui

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 3 дні тому +1

    @all
    TAUHIDI SIO SUALA LA ISTINBATWI. ILI UGAWANYE TAUHIDI VIPANDE VITATU KUWE NA DALILUN SWARAHATAN. JE IKO WAPI AYA ILIOGAWANYA TAUHIDI VIPANDE VITATU. IKO WAPI AYA AU HADITHI TAWATUR IMESEMA YANKASIMU TTAUHIDI ILAA THALATHATI AQSAAM

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      Ameshindwa huyo sufi mwenzenu anakimbiya aya kubali hakki hata kama inatoka kwa adui yako,najuwa inauma kijana yupo vzr kufundisha sufii mmetia aibu kazira kujibu hadi maswali.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      @@AbdulIssa-o7e Namuomba sheikh Bachu
      Aepukane nayo haya mambo
      Maana ANAZIDI KUJIABISHA
      Na sheikh kidawa amemshikana kwenye koo
      Hapo HANA AYA WALA HADITH
      Ndo mana kampoa sanah
      Allah amuongoze

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah День тому

    Hivi mtu anaenda kinyume na maamrisho ya mtume s, a, w anakuwa nani, mimi sisemi semeni nyinyi, kwa hakika kusema Tauhid ni 3 ni kinyume na mafunzo ya mtume na maswahaba, mtume amekufa dini ya kiislam imeshakamilika leo hii mawahabi wanasema Tauhid ni 3 wametoa wapi, mbona mawahabi nyinyi ni watu wa kufru sana na hata mukielezwa hamufahamu muna vichwa vigumu sana, lakini sbb ni kuwa hamna elimu na kazi yenu ni ubishi tu kusoma hamitaki kazi yenu ni kelele tu fitna uadui husda na kutukana masheikhe kuwakufurisha waislam na kujifanya waongofu kumbe hamna chochote zaid ya uongo, Mawahabi si watu wazuri ni pote kwa ajili ya kuudhofisha uislam na hili kundi linafadhiliwa na Marekani na mayahud ndio mabwana zao, lakini juhud zao zote pamoja na kushirikiana na wanaooana wao kwa wao miji zungu watakwama tu dini hii Allah ameahid kuilinda mwenyewe fitna zenu ni bure tu uislam utasonga mbele lnshaallah

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 дні тому

    Aseme sijui kama kule mombasa alivyokataa kusema kama hajui.

  • @azizisingi7068
    @azizisingi7068 3 дні тому

    Huyo ni kidawa tu umeshindwa kutoboa kwasaidi unafkiri utatoboa???

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 2 дні тому

    haya mabishano ndio yametubakisha hapa tulipo

  • @RahmaShabani-y8l
    @RahmaShabani-y8l День тому

    Acha uongo mada inatakiwa akubali Kama kugawanya tawheed nibidaa au sio bdaaa?ndo mada namjadala tumeuckiliza mwanzo mwxho bacho alixhndwa

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 2 дні тому

    halafu ktk vitu vinavyoikitisha.
    nikumfanya mtu 1 anawakilisha msimamo wawatu wote kwani kufanya hivyo nikumfanya m1 anaelimu kuliko wote

  • @hassanali4838
    @hassanali4838 День тому

    Hii mijadala haina tija wala faida

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 2 дні тому

    kwanza muelewe nyie hapo wote mnanukuu tu haya mambo yameshasemwa nawachuoni kikubwa kwahiyo kuendelea kubishana nikudhihirisha ujinga wenu

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha 2 дні тому

    Bachu umeshindwa mjadala tumeufuatilia vyema

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      Akangaly vzr huenda macho yako na masikio yana maatege, shekh wenu kasusa kujibu maswali, arafu kawatia aibu sana amekimbia kujibu swali katika surati mariamu,ameogopa kabisa ndo masufi mlivyo wabishi tuuh hata mkishindwa mnavumisha khabari mmeshinda hamna kitu mjadala nimeufatilia mwanzo mwisho huyo mzee ni mtupu kabisa kakimbia maswali kama sabasi tanga alishindwa kujibu maswali arafu anajikanyaga kanyaga tuuh sijui muda haitoshi wakati alitamba jenga maswali hata 20 nayahibu kwa dakika 10 kuingia uwanjani analeta talbis nyingi kijana yupo vzr anawanyosha tunajuwa mnamchukia ila hilo sihatujali kabisa

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 2 дні тому

    bachu kama una elimu somesha watu acha kusumbua watu kwenye mihadhara kila siku ipo siku utadhaliika kwakubishana

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 2 дні тому

    Nilichogundua bachu anachukiwa na watu wanajipanga kumchafua et yeye ndo kauliza swali bado kawajibia bado mnakoment et ajajibu swali da shida bachu

    • @johnpepe980
      @johnpepe980 День тому

      Ww unaonekana mtupu kweli ww

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 2 дні тому

    Mbona huyo video umeikata?

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 День тому

    Hahahaah, bachu acha kuuliza maswali ya kijanja, watu wana akili kuliko ww mpuuz

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 День тому

      Haisaidii bidaa kutokuwa bidaa, aya imeshasomwa sasa vipi mnapinga hadi aya ili mjifurahishe. Tawhidi inajitosheleza kwa kupwekeshwa Allah. Ila kiushabiki masufi mko sawasawa kaleni wali na mpige ngoma

  • @kbereky
    @kbereky 2 дні тому

    MUKITAKA KUMJUA BACHU NI DEBE TUPU WAPI HII AYAH INAGAWANYA TAUHEED❓
    رَّبُّ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا فَٱعْبُدْهُ وَٱصْطَبِرْ لِعِبَـٰدَتِهِۦ ۚ هَلْ تَعْلَمُ لَهُۥ سَمِيًّۭا ٦٥
    Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yake. Basi muabudu Yeye tu, na udumu katika ibada yake. Je, mnamjua mwenye jina kama lake?

  • @mustafaibrahim5200
    @mustafaibrahim5200 2 дні тому +1

    Bachu anawadhalilisha wapiga madufu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      Tunataka aya au HADITH
      😂😂
      Sio lawama

  • @hassaniomari9407
    @hassaniomari9407 День тому

    Chaajabu kakusanya mivitabu halafu hajafungua hata kimoja anasoma kwenye karatasi alizopiga copy😂😂 huyu bacho mwanaharamu kabisa😂😂😂

  • @OMARIOMARI-j5j
    @OMARIOMARI-j5j День тому

    hapo kapigwa na bachu

  • @AbdullahiHussein-c8n
    @AbdullahiHussein-c8n 3 дні тому

    Wapi hapo

  • @suleimanmkanga
    @suleimanmkanga 2 дні тому

    Tarumbeta la mawahabi kabala hujafa mungu atakuonesha hakki

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      😂😂mnachekesha kweli mtu ache hakki agate batwili aixee nyi mmepotea arafu mnajifariji nyi masufi kumbe hamjijui kama mpo katika upotevu kama wakristo wanavyojiona wapo katika haki.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      Kwaakili yako bachu aache sunnah aje kuabudu makaburi subutu, au shekh wenu ndo atajuwa hakki kabla hajafa

  • @omaryshiza195
    @omaryshiza195 2 дні тому

    Kijana siasa tupu....mada wapi kwenye Hadith au Qur an hivyo vigawanyo vya tawhiid!? Wamuuliza sheikh mambo yametajwa kwenye Aya hii yakumpwekesha Mungu wap na wap na mada?!

  • @hamisadnan2319
    @hamisadnan2319 2 дні тому

    Labda Hawa wahabiya wa Kenya ni tofauti na Hawa wa Tanzania maana hapa huyu anakubali kiaina kuwa kunabidaa hasana lakini kutamka hataki

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV 2 дні тому

    Bachu hana akili sana....Unaaambiwa utoe dalili

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 2 дні тому

    UNAJUA SH KIDAWA KAMPAT HUJU MJINGA KWA KUWEKA MKKATI "HAIRUHUSIWI KUNUKUU MANENO NJE YA KARNE TATU BORA"
    HIVYO HIYO TAFSIRI YAKO KAITOA NANI?????

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV 2 дні тому

    HIVI HUYU BACHU HAKOMI?

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 2 дні тому

    Muongo mwehu bachu,umeikata bali umeshindwa hoja na siku zote utadhalilika kwa ujinga wako.

  • @RAMZANJumma-hr3ff
    @RAMZANJumma-hr3ff 2 дні тому

    Sasa haya hiyo mwanazuoni gani alie kutangualia amesema ndio tawhid nitatu au ni maoni yako

  • @TalibAbdallah-e6o
    @TalibAbdallah-e6o 2 дні тому

    Bachu uongeaji wako tu ni Riya tu na kujiona

  • @mbaroukkhalfani9244
    @mbaroukkhalfani9244 2 дні тому

    Wewe Mohamed bachu wajiabisha wewe mwenyewe na hekma za kuwa na elimu huna maana akili yako na jeuri inakisumbua na upo kiushindani tu na sio kielimu.lkn ndio zama za mwisho watoto wadogo watakipata elimu ndio ufisadi undhihirsha

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 дні тому +2

    😂😂duuh hawa jamaa hawajawahi kubaligi hakki hata siku moja, wamepotea arafu wabishi hawo kufundishwa, leo wanajifanya wanajuwa dalili kwa kitabu na sunnah, mbona mambo mengine ukiwapa dalili kwa kitabu na sunnah wanazikataa, saasa anakwepa hiyo aya anajuwa imefanuwa sifa za Allah katika tahweed, anajuwa akikubali hapo amenasika, wangekuwa na tahweed hao wasinge yaendea makaburi kuwaomba wafu, mashekh wao walokufa wanawajengea vibanda ili wakawaombe, sema tusiwakatie tamaa mpk kufa kwao huenda wapo wanaondoka na ilmu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      Sasa dalili ni nini sheikh
      Acha LAWAMA TOA AYA AU HADITH
      MCHEZO UISHE

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 2 дні тому

    Shida masufi wanapima mambo kwa akili

  • @TalibAbdallah-e6o
    @TalibAbdallah-e6o 2 дні тому

    Wanachuon ni wale mnaowataka nyie tu wengne makafr

  • @alisudiramadhan3151
    @alisudiramadhan3151 2 дні тому +1

    Bachu ambao hawakwenda madrasa ndio watasikiza pinda pinda zako wallah hakuna ulilo lijibu hata moja wewe watafuta views na comment utakwenda ulizwa mbele ya Allah kwa unavyo ruka ruka kwenye dini

  • @alisudiramadhan3151
    @alisudiramadhan3151 2 дні тому

    Bachu wacha janja zako huna dalili zozote tuwacheni kufata map3nzi bacgu kuna mungu muogope jamani

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      Amuogope mungu kwani yeye katunga kichwani mwake, si katowa katika vitabu walivyoandika wanazuoni kanukuu sasa kosa lake lipo wapi muogopeni ninyi wazushi mnaomsingizia mwenyezi mungu kila siku, wanaibuka watu kuharibu juzi kasimams mmoja wa mashekh zenu huko mwanza anatafsili koraani kwa matamanio yake kuwafurahisha viongozi wa serikali kuwa et mwenge wa uhuru umetajwa kwenye koraani subuhana llah sijui tafsili ya babu yake nani hiyo ndo zenu kuzusha zusha mambo masufi,

  • @HamadFoum
    @HamadFoum 2 дні тому

    Huna lolote majigambo izo pesa chukuwa ww

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 2 дні тому

    Bacho wacha ujinga wewe kuna hukumu siku ya kiama hivo kujichekesha ni tabia za kikafiri

  • @DawamMohamed
    @DawamMohamed 2 дні тому

    Bachu mada ni je vigawanyo vya tauhid nibidaa au sio bidaa?ww watoa maelezo mareefu ili umtoe mpizan kwenye mada nahio ndio tabia yako hio

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      Mbona shekh wenu kauliza tahweed 3 umetajwa na nani katika karne 3 bora alizotaja mtume muhammadi, ametajiwa imamu abuu khanifa ni imamu wa karne ya 3 ametuhibitisha hilo kakaa kimya alijuwa wahabi tuuh ndo wakwanza kusema hivyo kumbe kuna wanazuoni kibao walotangulia wamethibitisha hilo sasa nyi viburi sana na wapinzani wa kijahli mnafanya ushindani wa simba na yanga hii dini umletei mtu upinzani mnajisumbua bure

  • @duniaduaratv1216
    @duniaduaratv1216 22 години тому

    Nani aliyetafsiri hizo tawheed 3 katikaasalafi swaalihn kama kweli ni khabari tuliyorithishwa na sio bidaa ?

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 Годину тому

      Wanazuoni wengi sana wameitafsiri hivyo
      Na hata wewe mwenyeo ukitafsiri hiyo Aya utaliona Hilo

  • @NuruMuhammad-jf2ug
    @NuruMuhammad-jf2ug 2 дні тому

    Mjinga Sana we waona watu hawaelewi leo vipi wanazuwoni wafaa kufwatwa nawewe wataka hadithi naqur-ani ? Wacha kibri humo we

  • @AthumaniAmiri-fv5zp
    @AthumaniAmiri-fv5zp 3 дні тому +1

    Yani kushindwa ushindwe wewe alaf uje ujitape kwenye page yako kama sh kidawa kaaibima😂😂😂😂 haupi sawa kichwani we bachu

    • @khalifamohd5992
      @khalifamohd5992 3 дні тому

      Unaonekana na wewe wale wale wafata mkumbo😂

    • @AthumaniAmiri-fv5zp
      @AthumaniAmiri-fv5zp 3 дні тому

      Mfata mkumbo ni huyu bachu wenu anae jibabaisha ukitaka ujue huyu nijinga tazama yeye ndio kila siku anakazi ya kubishana na wanachuoni sio wakisalafi wala wakimaulid kila siku niyeye tu ndio anaminyana

    • @habibuchakusaga7981
      @habibuchakusaga7981 3 дні тому

      We itakua dish limeyumba

    • @habibuchakusaga7981
      @habibuchakusaga7981 3 дні тому

      ​@@AthumaniAmiri-fv5zpwe itakua dish limeyumba

    • @AthumaniAmiri-fv5zp
      @AthumaniAmiri-fv5zp 3 дні тому

      @@habibuchakusaga7981 kama mimi dishi limeyumba vp kuhusu bachu😀😀

  • @ZogoMtaani
    @ZogoMtaani День тому

    Jahil murakkab

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 3 дні тому +1

    AKILI HUNA BACHU TAUHIDI TATU ZINATOKA WAPI ALHABEEB?. UO NI UKASISI.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      Kwahiyo wanazuoni walofasili hiyo aya ni makasisi sio yeye katowa kichwani au amenukuu vitabu kama mkisema ukasisi mkawatukana hata kina imamu abuu khanifa, ahmadi bin hambari kuwa ni makasisi subuhana llah subuhana llah, vitabu vimefasili vigawanyo vya tahweed ninyi mnasema ukasisi msiba huo

    • @abalkaram786
      @abalkaram786 2 дні тому

      @@AbdulIssa-o7e
      NI MWANAZUONI YUPI ALIPFASIRI TAUHIDI TATU?.. UNAEMJUA WEWE KUWA ANATAMBULIKA KTK FASIRIL QORAN YUPI?.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      @@abalkaram786 daah kumbe munakasha kuna watu hamjauona fullu mzee kawatia aibu masufi wenzie kabisaa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 дні тому

      @@abalkaram786 anamuuliza bachu, et kwamba nani kaatika karne 3 bora alizotaja mtume amegawwanya vigawwo vya taahweed, bila ubisshi profeser bachu bingwa wa kusoma vitabu akamtolea naniu imamu abu khanifa imamu wa karne ya pili baada ya mtume ametaja tahwed rububiya tahweed ruhuhiya, kisha akaja kumtolea mwanazuoni mwengine karne, ya 4 kisha akaja mtolea, imamu suyutwi imamu wenu masufi ametuhibitishia tahweed 3 kwa dalili alizotoa katika aya surati mariamu Allah ametaja sifaa zake na wanazuoni katika kusherehesha hiyo aya ndo wamefafanua sifa za kupwekeshwa Allah, katika sifa za aina 3 sasa mzee wenu kawatia aibu sana masufi wenzie cha ajabu anasema kuwa et kusoma vitabu vya wanazuoni ni bidaah duuuh ametushangaza sana yani inamana anaposema kuandika vitabu bidaah, manake kina imamu shafii, imamu Maliki, imamu ahmadi, na abuu khanifa watu wasisome vitabu vyao ikiwa kusoma vitabu vya wanazuoni anakuambia ni bidah subuhana llah yani masufi ndo mmefirisika kihoja kabisa mimi siongei mengi fatilia munakasha fullu utaona hadi mwisho ulikuwaje.

    • @IsmailEl-mazroui
      @IsmailEl-mazroui День тому

      Kwanz jifunze au waulize wanaojua unajua kutoa shahada ni tauhid, unajua kusoma suratul ikhlas nz suratul faat'ha ni tauhid je hz mbili ni sawa