WEWE SHARIFU FEKI ACHA KUTAPELI WATU KATIKA UISLAM HAKUNA MAJI YA UPAKO QUR'AN YENYEWE HUJUI KUSOMA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- WEWE SHARIFU FEKI ACHA KUTAPELI WATU HUJUI HATA KUSOMA QUR'AN VIZUR ATA SURAT ALFATIHA KATIKA UISLAM HAKUNA MAJI YA UPAKO WEWE UMETOA WAPI MAMBO HAYO NJOO NIKUPE MTAJI WA BIASHARA0.mp4
Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
UA-cam: / @khidmaonlinetv350
Siku zote msema kweli watu wanamchukia shekhe kasema ukweli lakini kuna wengine wanasema anajifanya kakamilika hakuna mwanadamu alokamilika sawa lakini kwa hili kaongea ukweli shukran shekhe wangu waislam wanajisahau sana
Khaswah ushirikina umekithiri sana
Khaswah ushirikina umekithiri sana
Khaswah ushirikina umekithiri sana
❤Na kuna wajinga wengi wanawaamini wapuuzi hao
Shukraan kwa ujumbe
Mashaalah Allah akuhifadhi na akufikishe mwisho ulio kuwa mwema,mana mashekhe wengi siku hizi wanatumia dini kama ajira yakujipatia kipato na siyo kuwasaidia watu kwa ajili yakupata radhi za Allah.
Mashaallaah Allaah akupe fraha ya duniya na Akhera Akudumishe ktk ibada Allaah atujaaliye firadausljanna ww nawazazi wangu namm mwenyewe nawaislaam wote wonye kuipenda dini ya Allaah Amiin inshaallaah
Mashallah sijaona comment hata moja ilio kupinga sheykh wangu sheykh wetu.Baaraq llahu fee
Mashallah may Allah reward for speaking the truth
Maa shaa Allah, hutba imegonga ndipo, waambie ukweli sheikh
Naam Sheikh Nurdin Kishk masha Allah, tabaarakallah, namuomb Allah azidi kukupa nguvu ktk kutetea haqq na akulind na killa hilla mbaya kwako, amiin
Mashallah sheikh Allah akupe umri mrefu wenye kheri jiji la wajanja limepata sheikh alhamdulilah waodanganya wezao leteni hoja mezani mungu akubaik kishki
Shukran
P😢
P😢
Hao masheikh feki Allah awaumbue dunian na akhera , wana kibri sana , sheikh wetu Nurdin Kishk tunajivunia mno uwepo wako Allah azid kukuwek na akupamb kwa Afya na sifa njema
Mashaallah mungu akupe nuru ya duniya kipenzi cha watu kiahki
Tuko pamoja na wewe kung'oa mizizi ya ushirikina na ushenzi
Allah akuhifadhi sana sheikh
Amiin
Kabisa shekh kishk anasema ukwel wallah watu wameingia ushirikina sana
Amiin
❤❤❤
Naam❤❤❤❤
Allah akupe kila la kheri shekh wetu na uwe na umri mrefu amin
Allah azidi kukutia nguvu sheikh wangu
Mm ni mkristo ìla napenda sana masòmo yaķo yaanì uko vizuri ni.ķweli mùngu akubaŕiki sana utapeli ùmezìdi
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AKUJAALIE UINGIE UISLAM AAMIN
mwenyezi mungu akuongoze uweze kusilim inshaallah
Mashaallah
Habari,upo wap ndugu yetu
😅😅@@AsyaMbarouk-tk2gl
MashaAllah tabarakallah Sheikh wetu Allah SWT akukinge na hasad akupe uzima uzidi kutetea dini hii ya haki. Ameen Yarabb
Allah akulip hapa dunian inshaallah ❤❤ utapeli umezid duniani wallah MUNgu atuokoe inshaallah
Mashallah unatusaidia sana sisi tulioslim ukubwani Allah akuweke shekhe kwa ajil yetu na kizazi kijacho
Mashaallah allah akufanyie wepesi
Amin
Shekhe kishk allah akutangulie 🤝🤲
Allahu akuhifadh sheikh wetu akuzidishiye Rehma zake akupeumrimrefu uzidi kufunguwa umma
Subhanallah Masha'Allah Masha'Allah allah akujalie umr marefu uzuri kutuelekeza kwenye mambo yahaki wallah nakuomba mungu anijalie kizazichangu kijekua kama ww inshaAllah yarabbi itakabali hii dua najihisi kulia kiukweli
Mashallah Shekh,sema uwaambie nasie maamuma tusiejua tuelimishe,angalau nami ni mmoja ninae pinga shirk.Mungu akulinde na aluhifadhi na hasid za watu yarab.
Shukran sheikh dini inahitajiya watu kama nyinyi .
Mwenyezi mungu akutunze shekhe kishiki
Safi sana Shekhe Kishki Allah akuhifadhi. Mashekhe jitahidini kusimamia dini msikubali dini yetu kuchezewa
Dini yenu dhaufu
@@fredrickgitonga1972dini yetu imenyooka Wala Haina ukale na usasa kama nyie
Maashaallah, Allah akuhifadhi na azidi kukuinua, Na sema kwel Allah yuko pamoja nawe, Shekh Uko sahihi kemea, hakuna wakukemea,.... wengi wanahitaji maslah ya pesa, tunawaona sana na tunashangaza na ushekhe wao, wanaangalia dunia zao hali ya kuwa umma unaangamia wako kimy na kurushiana maneno ya dharau kwa wasema Kweli mfano wako.
mashallah shekhe kishki mwenyezi mungu akupe umri mrefu ila mimi nilikuwa naombi moja siku moja shekhe nakuomba utembelee mkoa wa tanga wilaya ya kilindi ukawatolee dawa walau watu tupate kuitambua dini zaidi
Wape ukwel usiwaope mafedhul hao
allah akuifadh Ishaallah🤲
Masha Allah tabarakah rahman Sheikh wetu Allah akupe siha njema na umri mrefu wenye khery dunian hadi akhera shukran sana wallah kuelimisha umma wa kiislam Allah akulipe pepo ya juu insha Allah
Masha Allah🎉🎉🎉
Salam Alekum Mashaallah asante sheikh wetu na Allah akulinde uendele kutuelimisha
Sheikh Nurudini Kishiki , Nahapa visiwa vya KOMORO Tunakufwatiliya Vizuri , Allah Akubariki Innshaallah . Ali Adam. Visiwa vya KOMORO.
Asante Sana shekhe nurdin kishq Allah akifadhi na akupe umri na afya uzidi kuitangaza Dini yake na kuilinda Dini yake
Masha Allah jazaka Allahu kheiran hili jipu lilikua limeiva wewe ukaja kulipasua na kulikamua atapona sasa na wenzie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
اللهم صلي و سلم وبارك عليه. صلو عليه.
Allah atuepushe na Shari na fitna za iblis, mayahudi, manaswara, wanafik na washirikina, amiin
Maadui wa Uislamu ni Sita nao ni: Ibliis, Mayahudi, Wakristo, Washirikina, Wanaafiqi, Watu wa Bid,aah(Wazushi ambao leo ni wengi mnoo).
Ameen
Amiin yarrab
@@mussakantumba9914😢😢😢
Leta ushahidi wakristo ni maadui wa waislam
mashaAllah hongera shekh Kishki ww msema kweli kipenzi
Umezungumza mambo muhimu sanaa jazakallah shekh wetu
Asante sheikh kishki mijtapeli kweli kweli afadhali umewaanika wajitafakari wa muogope Allah
Allah akupe umri mrefu sheikh bora utesemee jaman
BARAAKA LLAAHU FIIK SHKH,ALLAH AKUJAALIE AFYA NJEMA UZIDI KUWAUMBUA HAO MATAPELI WA DINI
Mola mlezi akuongoze inshaAllah akupe umri mrefu ili utufunze zaidi Ameen
Jazakallahu khair. Allah s.w akulipe kher zaidi shekh wetu. Umesema ukweli mtupu. Enyi ndugu zangu tumuogopeni M.mungu na tuogopeni siku tutakayorudishwa kwake. Tutende mema na Allah s.w atatujaalia maisha mazur duniani na akhera.
Allah akulinde naakuzidishie ili uendelee kuelimisha ummah
Allah akulipe shekh wangu Kwa kupinga huu ujinga na uzalilishaji wa dini yetu,,
Mashaallah shekh kishk
Allah akup uhai sheikh kishkh kl tanzania wew ndo kiboko yao allah hajakosea kukupa ilmu
maashaallah baarakallahu fiika
Allah aendelee kukulinda shekhee
Allah akujalie maisha marefu uzidi kutuelimisha na kututoa taka za maskio maana sai masih dhajal ashafika dalili zinaonekana allah atuepushe na fitna zake
Amiin InshaaAllah mwambie ukweli Dunia imeisha watu watafute UTAPELI tu
Ahsante sana Shekhe wangu watu wengi sahv wana act kujiingizia kipato ikiwa hawajali wanapotosha Dini yetu Tukufu 😢 Allah akujaalie Shekhe🤲🏽Nakumbuka ulikuja Madrasa yetu pale Bbt ukatufundisha Dua moja hv mpk leo nimeihifadhi ❤
😢😢😢😢😢😢shehe wetu tunakupeda sana 😢 🙏 huu ni musimba kweri😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Shekh Namuomba Allah akulipe wallah Allah nishahid juu ya unayo fanya ktk dini yke nimetokea kukupenda kwaajili ya Allah na Allah atukutanishe peponi Amiina
Mashaallah shekhe langu. Tupe mawaidha shekhe. Allah atuweke mbali na shirki jamani😢
Mola Akuifazi sheikh wetu akupe maisha bora duniani akukinge na vijico❤
mashallah sheikh wetu allah akubarik atupe mwsho mwema
Maasha Allah... Jazzakallah khayra shehe Kishki
Asant Nimekuelewa sana Allah atuongoze inshaalla
mashaAllah
Mungu akulinde sheikh kishki, njaa za maamuma wetu zimefika pabaya
❤❤❤❤ SHEKH KISHKI MASHALLAH ALLAH AKULIPE JANNA Inshallah
Shekhe umeeleweka ewaaaa Allah akulipe kheri nyingi fidunia wal-akhera
Kishki Baraka llahu fiik
Allah akuhifadhi shehe wetu
Mashallah uwe na umri mrefu wenye manufaa nawe
Allah azidi kukuifadhi shekh Nirdiin dunia ya sasa kira mja anaangalia jinsi gani atajiingizia kipato najifunza mengi kupitia hotuba zako japo sina elimu ya kidini ila naiifunza na Allah aniongoze ktk kuzingatia swala dunia ni Mapito
Qut
Naaam Naam uislam dini ya haqi,,, shukran saana sana
Mashaallah tabarakallah allah sheikh kish tabarakallah allah akulinde sasa maneno yako saiv imefikia yote
Mwenyezi Mungu akuepushe na husda na maradhi ustadhi uzidi kutuelemishi
Mungu akulinde sana shekhe kishk kwa kuendelea kuwalingania watu
Allahumma aamyn,shukran jazeela🙏🙏
Asante shekhe kwakukemea uovu huu
Shekher wangu nakukubali sana inshaallah mungu akufanyie wepes katika kila jambo lako na uzidi kutuelimisha maa amuuma
Shekhe Tunakupenda❤ Kwa Ajili Ya Allah
Jazakallah khaira
From 🇧🇮 mashaallah ❤
Safiii maalim wangu
شكرا وجزاك الله خيرا وبارك الله فيك قد استفدنا جدا جدا..
ALLAH akuzidishie sheikh🙏
Maashallaah molla azidi kutumilikisha wasema kweli .sema ukweli hata kama unauma.kulhaq
Kuntu
Allah akupe heli dunian & ahela kw kua mkweli
Masha aallah Allah akulipe Kila la kher
Allah akuifadhi
Mashallay
Wachape kisawasawa hao Shaykh, wamejisahau sana.
Allah akujaze kheri habeeb
Amchape nani wahabi huyu hajielewi,angekuwa na nasaba ya mtume huyu asi ngekuwa wahabi wala asingepinga mawlid vitus vinavyompinga mtume nine mashaka kwenye nasabu yake
Tuna mashaka na nasaba yako kishki sababu zamani watu wengi sana walijisingizia wao ni nasaba ya mtume walikuwa wanawadanganya watu mfano mtu anatomy Yemen huko antenna Somalia wasipomjua nae anajiita sharifu au Sayyid ,na watu wanamwita hivyo sababu hawamjui alipotoka ndio unakuta kuanzia yeye na wanae wote washakuwa masharifu baada ya hapo,sasa sidi Tuna maxhaka na wewe kama ungekuwa sharifu wewe usingepinga mawlid hakunaga sharifu wa ukweli anaepinga mawlid wewe unamushkel jichunguze ,mtume alimkataa sharif Hussein wa makkah kuwa sio all bayt wake unalijua hili au unataka kujisifu tu?
@@d15355 Nawe unaona umeongea ??
@@ShamsudeenOmary mimi si mfuasi wa mawahabi na wapinga mawlid kama ulivyo wewe
@@d15355 Hilo halinihusu ila umeongea maneno ya dhulma
Ni kweli sheikh wangu nakufatilia sana
mashaallah sheikh chalenchi asome surah yasini hazarani let’s see if he gonna pass the test I love you sheikh kishki
Sheikh Nurudi Kishki spoke the truth. Alhamdulillah tuko maju na tuna mtambua kama Sheikh Nurudin Kishki. Allahu Mabarik
Allah akuhifadhi shekhe
Nimependa hii mashaallah
Mungu akutangulie yalinikuta hoyo yakwenda kwa sharif yaliyonikuta mungu ndio ajuae sijaenda tena zaidi yakumuelekea Allah nashukuru
Hassan Hussien shabab ahlel jana Allahu maswaleala Muhammad wa ale Muhammad
Ma sha allah
Sheikh kishki
Mungu akubariki na akuhifadhi
Shukran kwa ukumbusho
Mazinge mweupeeeee
Allah akufurahishe duniani na sheria
Dah sema shekh ukweli wakuogopwa allah tu na ww allah atazidi kukulinda
ALLAH akuhifadhi akujalie pepo yadaraja yajuu uwe pamoja namtume Muhammad salallahi wasalam iiinshallah mwili mzima wanisisimka najihisi hata kupiga kelele 😢😢😢😢
Mungu akutunze sana,Sheikh na akuhifadhi
Nakubali sheikh for kenya
ALLAH akulipe shedh wangu ,mm iliniuma hii kitu wanataka kutuchanganya ambao ndio tumetoka uko
Maashallah shekhe wetu ndugu yetu muislam mwenzetu hakika unazd kutufumbua waislam wenzako maana kila ck yazuka mapy inshaallah allah atakulipa kher na azid kukulinda na hasad za waja hakika unatufundisha mema mm napenda sana mawaidha yk na najifunza mengi sana allah anifanyie wepes niwe mwenye kufanya mema na nisiwe mtu wa shirki