DR.SULLE 'BWAWA LILILOTOKANA NA KUDIDIMIA KWA ARDHI KWA DUA YA MCHA MUNGU/MAJI YAKE NI DAWA
Вставка
- Опубліковано 26 лют 2024
- #islaamic #drsulle #tanzania #health
Habari hiki ni kipindi cha ziara za Alhaj-Dr.Sulle katika kutembelea Nchi mbalimbali kuhakikisha unapata kitu cha kujifunza na leo tumekuja na Bwawa hili lililopo Nchini Comoro ambalo lina maajabu makubwa sana mtazamaji fuatilia kisa hiki kisha tuachie maoni yako hapa karibu.
ALLA akuzidisheye umri na kupe memakatika duniani na kesho akhera
Manshaallah Allah akutangulie sheikh wetu.
Namuomba Allah akujalie uweze kufanya ziara Ya Jordan kuutembelea mti wa ajabu "The only living Swahab". maana ulitoa historia yake vizuri sana. Natamani ufike Sheikh.
Huko ndio kuna stori ya kweli sio hio comorro
@@Fardadihdacha ujinga kama hzo za uongo andaa channel yako ya ukweli
ALLAH AKBAR,,,HII KUBWA SANA SHEIKH JAZAKALLAH KHEIR
Ndugu huo sio uislam ,,yy aseme kama ameenda kutafuta dawa ila asitumie kigezo cha kini ,,hakuna ki lichoachwa kufundishwa kwenye dini yetu,, tena sure amche Mola wake mlez
Mungu anakudrazake Kwakwelii sheikh allah akupeumri mrefu kwakutujuza ulichokiona atupe nia tufike kotehuko
Allahu Akbar kweli duniani kuna maajabu mengi shukran sheikh wetu tumepata faida bila kwenda huko Comoro
Hahaaa iyo kaaba imejengwa na wanadamu
@@user-om7ov3ji3rndio ni Nabii Ibrahim na mtoto wake
Mashaalah shehe wetu Kwa kutupatia elimu hiyo, mwenyezi Mungu akulipe heri zaidi,,,, naomba zawadi ya maji kutoka bwawa hilo la maajabu.
Mashaallah allah jalia umaty Muhammad ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
fanya kazi shekh kosowa dini ya Allah malipo yako iko kwake Allah ❤
Amina yarabby atujaalie sote na sisi tuje tujionee
Karibu Comoro …na hapo kuna maajabu sana nishawahi kwenda chini ….may Allah protect our continent nd the the rest of the world insh’Allah..🙏
Allah akuzidisheye Ameeena yarabi 🤲🤲🤲
Ma shaa Allah
Jazakallahu khairah alhaj sule, kwa kutujuza hayo. Kwakwel tumepata faida
Mungu akujalie shekh wetu
Allahu akbar ❤Allah akup umri mlefu sheikh wangj
Allah ndie ajuwae.sio Allah na Mtume Swalah Allahu alayhi wasalam
Kweli kuna maajabu Allah akulinde shekhe wetu
Ostazi dr sure mashalla kwa historia muku akupe maisha malefu
MashaAllah. nakuelewa sana
Mashaallah Dr Sule kiukweli din yetu ni dini ya kwel Allah awajaalie wale ambao sio Waislam wabadilishe din na kua Waislam inshaalah
Mashaallah sheikh wetu
Subhanallah AllahuAkbar
Doctor Sule fanya mazoezi ndugu
Tulia wewe karuke ruke huk na karate zako
SubhanaAllah ALLAH nimjuzi wakila kitu
Sio miujiza apo kuna mizimu
Mwenyezi Mungu akuinuwe zaid nduguyang
Allahu Akbar Dr sule Allah akulipe kheri
Mashallah sheikh unatufundisha mengi
Allah akubariki sana dr.sule ziara zako zinanipatia darasa kubwa sana
Mashalla ndugu apo kuna mazingatio mm natia Nia inshallah nitafka apo
Alhamdhulillahi kupitia channel hii nimejifunza
DR sulee nakuoba ufikee mjinikwetuu unaitwa M'vouni babao hukoo utafurahi sanaa kwasababu kunavitu ambazo huwezi kuzipataa mahalaa popotee nahukoo nimjii abaoo ngazijaa zimaa wanapwajuaa kwamajabuu
Hello
ALLAH akufanyie wepesi sheikh, katika tafiti zako mbalimbali
Màashallah.... Allah azidi kukuzishia umri mrefu shekhe wetu uzidi kutupa elmu
Yaani jamani, Dr Sulle kiukweli kutoka kwa ndani ya moyo wangu, Mungu wa kweli ktk Kristo Yesu, natamani kuona unamhubiri Yesu Kristo. Mungu afanye njia juu ya hili
Mbona ana muhubiri sana Yesu ..... fwatilia video zake za zamani amemuhubiri sana Yesu Kristo ....amehubiri Maryam Mama wa Yesu kuwa ndio Mwanamke Bora duniani kuliko wanawake wote duniani tangu kuumbwa ..... amehubiri sana habari za Yesu mfwatilie
Like zenu Leo nimekuwa wa kwanza
Mpunguzage ujinga kwani kua wa kwanza ndio nin unaacha hata kumshujuru mungu na azid kumpa saha na afya Dr sulle unakumbilia wa kwanza kwaio tuku fanye nin
❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️😂😆😆
mungu mkubwa jamani
Hawa watu wa like kumbe wako kila pahali mtu aniambie ni za kazi gani?
Maashaala tabaraka lah Amin Amin Amin yarabil ❤
Masha'allah ila Utapingwa na wengi sana khaswa waislam wenzako,na wakristo
Mashallah Allah akulipe kila la kher shekh🎉
Subhanallah ☝️ Allahu Akbar
Subhanallah Allahu akbar
karibu sanaa Comores 🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲 ❤
Asalam akeykum hivi naomba nikulize kufika comoro nauli yake sh ngapi
I admire to go back home
@@ayshazambia6509 inategemeaa kwasababu inapandaa inashikaa wakatii inakuaa million mojaa au lakii 9 ndio navokuaaa
@@abdullazaqjuma7592 semakiswahilii
Shukran shekh wetu, tunaomba utuulizie huyo mtu mwema alikuja hapo mwaka gani kwa miaka hii ya kidunia au karne gani.
Shukrani sana sheikh..
I have learn a lot
Subhana Allah .Allah akbar
Masha allah
Masha Allah
Amina ❤❤
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukran sana sheikh
Allahu akbar
Mashaallah mungu akuluzuku
Asante sana
Allhu hu Akbar 💖
INSHAALLAH
Masha Allah Al ustadh
Pongezi Kwa kazi nzuri yenye mungu alitumia wwe Ili watu wawese kupona,,Nina swali Niki nikihitaji hayo maji naweza peta kweli ,juu mmi nko kenya
Subhanallah
Wewe Unautumia Uislamu kwa kuchumia Tumbo Yako baas but Fahamu kuna siku Utaulizwa mbele ya Allah
Innalillah wainna ilayh rajioun
kwa hiyo ulitaka atumie ukristo kujaza tumbo lake?
@@salimchimwaga8384 Unataka Kusema Uislam ulitumilizwa tujazie matumbo ...?
Acha ukicha sawa
Acha chuki zako za kidini hii channel haikuhusu nenda channel zenu
Allahu wakbar
Allah akubarik❤
ماشاء الله 💫
Allah akbar
Subhana’allah 🙏..
MashaAllah 💕
ALLAHU AKBAR
Allah is great for all people ❤❤
Mashallah
Allah akbaru
Maashalah
Sheikh nimepata kitu safi sanaa kwakuelimisha kwa kina MUNGU azid kukupa mwanga
Allahu akbary😢
Mashaaalah
Shukran
Nimependa Hi
Inshaallah
Allah akupe afya na jannat Ila Mimi ninaumwa ninaomba Allah wangu allahu rahman arahim anipe AF ya na mwisho mwema
Subhanallah allahu akbar
MA SHA ALLAH
Maashallah
Nakupenda sana Dr Sulle
Hakika Tunapata elim nyingi kupitia wewe shekhe sule,, allah azid kukupa umri mrefu
Siyo kweli maelezo yako yanakinzana nadharia za kutokea kwa maziwa Kama hayo, kwetu Rungwe Kuna ziwa Ngozi . Ni mabwawa au maziwa ya asili yanayotokana na mripuko wa magma kutoka chini kitendo hicho kinaitwa volcanism
Akili yako ni mgando sio kola kitu chanzo kinafanana na kingine hata sayansi ipo hivyo!
Allah is the greatest.
Subhanallah!!
Allah Akbar
Mungu nimwema sana
Tuna kazi kubwa!
I (if not we) really need tangible evidence of all that you are saying. Written history😊
Elimu ni muhimu sana...Dr wa Dini hawezi elewa what is Nature and Geography hapo basi amesimama bila kuelewa what is Volcanic force and Tectonic Forces.
Yeah ni volcano
Ungeanza na Bismillah halafu ndiyo urushe Hilo jiwe utapata majib sahihi
Mwenyenzi Mungu Ndiye Ajuaaye mambo yote ya dhwahiri na ya siri
Marshall
Tutembee tuone maajabu ya Allah SHW. Kwani Allah ametutaka tutembee ulimwenguni ili tuone dunia alivyoiumba.
Tagadharini Nduguzanguni Na Hawa Mashekhe Matapeli.
Watakunyishweni Maji Machafu na Pesa Mtoe.
Hawana Hata Haya
We hunaiman nd maan unaktan na hao matapeli kw7b unafanya maomb kw majaribio yaan we unamjaribu allah
Subahanallah
Maashaallah ❤
Asalaam aleykum warahamatullahi wabarakatu! hongera sana Doctor sure mwenyezimungu akupe unlike mrefu inshaallah, pia hapa kawe mzimuni liliwahi kutokea tukio kama hilo ila hapa msikiti na kijiji vyote vilizama na eneohilo kwa Sasa linatumika kuzikia walimnyima maji sharifu
Chapa KAZI dr
Hiyo message sijui inamuhusu nani! Mimi ni muislamu ndugu yangu.
Mimi ni Mkristo ila namwelewa sana Dr Sulle
Shukran sana..
Inshaallah jitahid sana Kuufuatilia/Kuusoma Uislamu na ukikupendeza fanya Maamuzi Magumu uwe Muislamu Muumini.
Kuna baadhi ya Wakristo hudhani, husema na huamini eti Mwana wa Maryam tu ndiye aliyefanya Miujiza na Kwa Miujiza yake basi eti wamefanya (Yesu) ndo Mungu Wao!🤫
Sasa c alikuwa mchawi huyooooo😂😂eti mtu wa Mungu!!! Mbona hata mbeya kuna ziwa la maajabu
Inatakiwa uwe na akili sana kujua miujiza na uchawi. Uchawi unafanywa kwa elimi ya duniani na miujiza hutokea kwa kumuomba Mungu. Hata nabii Musa alitupa fimbo chini ikageuka nyoka. Ungekuwa wewe kilaza uko wakati huo pia ungesema uchawi. Haya ungemuona yesu anatemea mate udongo ukawa matope akamuweka mtu machoni akaona ungemuita mchawu kwa sababu hutaki kujifunza na kuelewa
TAPELI MGANGA HUYU