Kingdom of God

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Welcome to Watch the Song sung in the language of Haya, which describes the Kingdom of God.
    Traditional (K. K no. 1)
    Empoya Zokwijuka Ebigambo Bikuru
    Harmony & Arrangement by G. S. Masokola
    Sound Eng: Shimanyi FM & Paschal P.(DUKE)
    Instrumental: G.S. Masokola
    Video Director: MDETE TM
    Audio& Video: CGen Pro

КОМЕНТАРІ • 69

  • @alodiaprudence6681
    @alodiaprudence6681 10 місяців тому

    Mwakola muno tuli bawe niwe mukama tulibawe niwe isheichwe⛪🙏🙏💕🥰♥️

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 4 дні тому

    Hurula Mungu waitu nitwengamba ichwena. Tulibawe niwe Mukama,tulibawe ni iwe Isheichwe.

  • @zephrindomicianlufurano6207
    @zephrindomicianlufurano6207 11 місяців тому +2

    Wanakwaya wa Mt. Theresia wa mtoto Yesu, mmeimba vizuri na kuna cha kujifunza hasa pichi ya juu na pumzi.
    Wimbo yapendeza utafsiriwe kwenye lugha zinazotumiwa na watu wengi hasa Kiswahili na Kingereza ili ujumbe mzuri uliomo kwenye wimbo uwafikie watu wengi kwa sifa na utukufu wa Mungu. Mungu akubarikini ili hata mara moja msinyamazishwe na malimwengu.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 4 місяці тому

    Asante kwa wimbo mzuri. Nyinyi ni kwaya nzuri sana . Na asante sana kwa kumwimbia baba askofu Mwijage wimbo bora na mzuri kupitiliza

  • @user-lw2ol1wo6v
    @user-lw2ol1wo6v 11 місяців тому +3

    Siku Wakatoliki watakapogundua hazina iliyositirika ndani ya Kanisa Katoliki huo utakuwa mwisho wa kutangatanga kwa baadhi ya waumini wake.Hii ikiwa ni pamoja na muziki wake wa asili,mafundisho ya kina,liturjia,sala,mapokeo yake matakatifu na mengine mengi.Sasa hivi kwa mfano kwaya zimeacha muziki wa asili na kuanza kuiga uimbaji wa madhehebu mengine.Huu wimbo ni mmoja kati ya nyimbo nyingi za kihaya zinazopatikana kwenye kitabu cha sala na nyimbo(EKITABO KY'ENSHALA N'EMPOYA).Ni nyimbo zenye Teolojia na utunzi wa hali ya juu sana lakini cha kushangaza siku hizi haziimbwi na zinaelekea kupotea kabisa.Nawapongeza waandaaji wa kazi hii takatifu na kwa namna ya pekee huyu kijana aliyeweza kugundua hazina hii.Ni wito wangu kwake na kwa wadau wengine wa muziki mtakatifu kurudi sasa kwenye muziki wa asili wa Kanisa Katoliki badala ya uimbaji wa kisasa(sebene,nk) ambao hauna ladha ya Kanisa moja,takatifu,katoliki na la kitume!!!

  • @BarakaAthanas
    @BarakaAthanas 11 місяців тому +3

    Hongerenii Kwa kazi nzuri🥰shida sasa hatuelewi maan ake

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende 11 місяців тому +4

    Hongeren sana kazi nzuri sana

  • @renatuskaiziregeremigius8329
    @renatuskaiziregeremigius8329 11 місяців тому +2

    Wimbo mzuri Sana,, Mungu awabariki kwa kazi nzuri sana

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 4 місяці тому

    Mungu awabariki na kuwalinda kupitia uinjilishaji wenu Hakika inapendeza ni matumaini yangu mtatuletea na nyimbo nyingine nyingi za kihaya 🙏

  • @andrewpeter-ut1ez
    @andrewpeter-ut1ez 11 місяців тому +5

    Wewe Ni Mungu, sisi Ni wako. Furahia wimbo mzuri kutoka kwaya ya Mt. Theresia wa mtoto Yesu Maruku-Bukoba🎶🎵💪

  • @user-qe6cm7vw4o
    @user-qe6cm7vw4o 11 місяців тому +1

    Wow🎉kazi nzuri sanaaa hongereni

  • @joejosca7594
    @joejosca7594 11 місяців тому +2

    Mmetisha sanaa hongereni karibu sana Texas Marekani mkatikise kidogo

  • @kc-lq9jt
    @kc-lq9jt 11 місяців тому +3

    Very interesting song👍 . Omukama abebembele mno.

  • @exaudiusmarinus6500
    @exaudiusmarinus6500 11 місяців тому +3

    Hongereni sana wana Maruku kama Mwalimu wa Jimbo am proud of You

  • @mZeeBabu123
    @mZeeBabu123 11 місяців тому +4

    Wimbo mtamu

  • @VicentMajaliwa
    @VicentMajaliwa 11 місяців тому +3

    Hongereni sanaaaa

  • @jacksonsabayi8672
    @jacksonsabayi8672 11 місяців тому +3

    Alooo hongereni sana kazi inapendeza sana

  • @aghatusbiro6722
    @aghatusbiro6722 11 місяців тому +2

    Mungu awabariki sana, Hongereni kwa kazi nzuri🤭👏👏

  • @imeldakabadi472
    @imeldakabadi472 11 місяців тому +2

    Hongereni sana kazi nzuri mbarikiwe pia Hakika sisi ni wako Mungu💞💞,Mungu awabariki nyote mzidi kuinjilisha vyema

  • @serykarumuna
    @serykarumuna 11 місяців тому +3

    Isee mpka machozi yamenidondoka kwel tulibawe mukama❤❤❤❤❤

  • @madlipzkenyamadlipz2951
    @madlipzkenyamadlipz2951 11 місяців тому +2

    Yaaan boojo mwanyijukya omukaa
    Nyimbo ni nzuri sana sana

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 11 місяців тому +2

    Hee naikumbuka hii nyimbo ongeleni sana mungu

  • @johnandrea2431
    @johnandrea2431 11 місяців тому +3

    Hongera sana wanatheresia kutoka maruku tunawapenda sana upendo wa kristu ukatawale ndani ya uinjirishaji wenu.

  • @leavyaustine6441
    @leavyaustine6441 11 місяців тому +2

    Utulivu ni mkubwa outstanding melody dreesing code matched the theme good facials Mungu azidi kuwabariki❤❤❤❤

  • @AbdulyRahimu-eu9py
    @AbdulyRahimu-eu9py 5 місяців тому

    Ujumbe mzuri....... Mungu awabariki saaana🙏🙏🙏

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 11 місяців тому +1

    Nashukuru SK nimeupata

  • @ELVIAHKABIKIRATIMANYWA-lg1ge
    @ELVIAHKABIKIRATIMANYWA-lg1ge 7 місяців тому

    Kaziro bojo mwanyijukya Ara muno Mungu ababele

  • @kizitonkuba5623
    @kizitonkuba5623 11 місяців тому +2

    Nice song GSM utunzi mzurii

  • @rosejuvenaly6888
    @rosejuvenaly6888 11 місяців тому +2

    Hakika Sisi ni wako Mungu , 'Tulibawe'! Sifa na utukufu ni zako!

  • @winniempanju320
    @winniempanju320 11 місяців тому +3

    Hongereni sana Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Maruku🙏🏽❤👏🏽👏🏽👏🏽🎊
    Wimbo mzuri sana, sauti nzuri sana, mpangilio mzuri sana, production nzuri sana na quality ya video ni nzuri sana. Waimbaji mmependeza sana, mna weledi, utulivu, unyenyekevu na unadhifu wa hali ya juu; na muonekano mzuri sana. Tunamshukuru Mungu kwa ajili yenu na tunajivunia sana kazi yenu na vipaji vyenu. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwainua. You can always count on our support🙏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🤝

    • @kwayayamttheresiamaruku8296
      @kwayayamttheresiamaruku8296  11 місяців тому +2

      Asante sana mama yetu kwa pongezi hizo. Tunakushukuru pia kwa ufadhiri wako. Mungu mwema azidi kukupa afya njema pamoja na familia yako. Salamu zako tumezipata.

    • @winniempanju320
      @winniempanju320 11 місяців тому +1

      @@kwayayamttheresiamaruku8296
      Amina!🙏🏽 Asanteni sana, nanyi pia mzidi kubarikiwa🙏🏽

  • @mutabilwadennis416
    @mutabilwadennis416 11 місяців тому +1

    Mwagila mayo!!!Umukama abalinde

  • @jacklinemueni7201
    @jacklinemueni7201 11 місяців тому +1

    Wow🎉

  • @winfidepurity3401
    @winfidepurity3401 11 місяців тому +2

    Congratulations 👏👏....

  • @EliaTumain-zh2ih
    @EliaTumain-zh2ih 11 місяців тому +1

    🎉🎉🎉

  • @philipokabadi3553
    @philipokabadi3553 11 місяців тому +3

    High quality pictures, the dressing🔥, melody and mentality 🔥, the message and entire creativity is absolutely 💯

  • @titusrweyemamu1445
    @titusrweyemamu1445 5 місяців тому

    Sky is the only limit. Am proud of you

  • @AMSISTUDIOZ
    @AMSISTUDIOZ 11 місяців тому +1

    🔥🔥🔥

  • @AlfredinaAloyce-pb1rk
    @AlfredinaAloyce-pb1rk 10 місяців тому

    Kwakweli mmeua hongereni sana ❤️🔥🔥

  • @DelfinusAudax
    @DelfinusAudax 11 місяців тому

    Hongera sana tunajivunia na nyie

  • @JosephRweyemamu
    @JosephRweyemamu 3 місяці тому

    Akale ni dhahabu!!!❤❤

  • @user-qz7cb3hq2z
    @user-qz7cb3hq2z 11 місяців тому +1

    Hakika umepigwa mwing kwa wimbo huuu mungu awabariki wana theresia wa maruku

  • @annarweyemamu3471
    @annarweyemamu3471 3 місяці тому

    Mungu awaongoze hakika

  • @paschaziakabakama8200
    @paschaziakabakama8200 11 місяців тому +1

    HONGERENI SANA,MMEUTENDEA HAKI

  • @kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo
    @kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo 7 місяців тому

    Wimbo mzuri Sana 🎉

  • @geolgejohn5089
    @geolgejohn5089 11 місяців тому

    Mtumishi;kabad;nimekubal;mmeuza;

  • @flaviarushunju6609
    @flaviarushunju6609 11 місяців тому +2

    Amazing song

  • @jasonjonas4110
    @jasonjonas4110 11 місяців тому +4

    Wow!..❤❤

  • @yohanambano872
    @yohanambano872 11 місяців тому

    Hongereni

  • @muturimwanake
    @muturimwanake 8 місяців тому

    Nice song 🎉🎉🎉❤

  • @silvanusmjuni1144
    @silvanusmjuni1144 11 місяців тому +1

    Kazi nzuri hongera sana wana marukuu

  • @tumusiimeomukama3151
    @tumusiimeomukama3151 11 місяців тому +1

    Ongereni Sana, tu naomba mtafsiri kwa kiswahili.

  • @arnoldmlokozi5642
    @arnoldmlokozi5642 11 місяців тому +4

    Wimbo mzuri...
    Nashauri ili usiwe wa sehem moja mngeweka subtitles ili yeyote atayeangalia Video hii ajua nini kimeimbwa. Zaidi kazi nzuri sana

    • @kwayayamttheresiamaruku8296
      @kwayayamttheresiamaruku8296  11 місяців тому +1

      ipo inafanyiwa kazi kiongozi

    • @kayroserey1678
      @kayroserey1678 11 місяців тому

      Greetings from Oklahoma USA. I'd like to thank you for suggesting this. Subtitles make it easier for me figure out how to spell a word to get translated. I pray for Africa.

  • @kabadiabel4038
    @kabadiabel4038 11 місяців тому +1

    Nice work, keep it

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 11 місяців тому +1

    Hongereni sana

  • @isaacksusuma3855
    @isaacksusuma3855 11 місяців тому +1

    Nimeipenda quality ya video kiujumla, sema lugha kidogo apo subtitles muhim

    • @DirectorMdeteTM
      @DirectorMdeteTM 11 місяців тому

      Asantee ,

    • @kabadiabel4038
      @kabadiabel4038 11 місяців тому

      Tutafanyia kazi wapendwa wetu hatutawaacha muendelee kuteseka kuitafuta tafsiri ya wimbo, asantenisana kwa matashimema na mkitutakia utume mwema, tunawashuruni nyoote na Mungu awabariki nyote Amina

  • @josephsamweli2486
    @josephsamweli2486 11 місяців тому +2

    Huu wimbo mngeimba kiswahili mngetisha sana ila hongereni Kwa jinsi tu mnavyoimba japo kuwa me sielewi mnachomaanisha😅

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 4 місяці тому

    Asante kwa wimbo mzuri. Nyinyi ni kwaya nzuri sana . Na asante sana kwa kumwimbia baba askofu Mwijage wimbo bora na mzuri kupitiliza