Samia AKIIONA HII Video, KITANUKAAA...Heche AKINUKISHA Tarimeeeee

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 121

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 17 днів тому +4

    Mm naona watu wanatafuta ugali wakiupata wanatuacha tunakufa watu wasiasa ni waongo sana mm hanishauri Bora na mm nipambane mwenyewe

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 6 днів тому

      Hahaha upo sawa kabisa.. mwanasiasa msikilize kisha nenda kafanye kazi uendeshe maisha.. watu wanajua sna jinsi ya kuwateka watu akili na kuwaamisha ila akishapata nafss ndo utajua hujui... siasa sio dini mtu anaongea hivi mchana na ikifika jioni anaongea tofaut na mchana.. angalia wakihama vyama ndo utajua ukweli pindi wakipewa nafasi ya kutaja ubaya wa huko alipotoka hahaha.. tuendelee kufanya kazi kwa bidiii pia tujikomboe kifkra... kuhusu rasilimali za nchi kuwanufaisha wananchi wake inategemea na kiongozi wa juu mwenye mamlaka

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali 2 дні тому +2

    Magufuri❤❤❤ rip baba

  • @KitokiSospeter
    @KitokiSospeter 6 днів тому +3

    Sana mwamba,nakukubali sana.

  • @kelvinIddy-k2p
    @kelvinIddy-k2p 23 години тому

    Nakukubali sana heche

  • @Kivuruge255
    @Kivuruge255 6 днів тому +1

    Some how una points hii nchi ujinga ni mwingi mno😢

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman 19 днів тому +1

    Wewe unatibiwa wapi achakutundanganya

  • @hamzaameir4680
    @hamzaameir4680 15 днів тому +1

    Sababu ndio aliyopo madarakani na ndio kiongozi mkuu mwenye amri ya mwisho.mitano tena kwa mama samia suluhu Hassan ❤

  • @abdallahmagomba4022
    @abdallahmagomba4022 День тому

    Umesoma wapiii kama sio tanzaniaaa kama vipi nenda hukohuko ukatawaliwee

  • @AshrafuJonny-sz4gs
    @AshrafuJonny-sz4gs День тому

    KWeli kabisa

  • @mnanze
    @mnanze 13 днів тому

    NIMUHIMU SANA WANANCHI WATZ KUSIMAMIA SIASA,KURA,NI WAKATI SASA VYAMA VISIWE NA NGUVU ILA MTU (MWANASIASA) PEKEE MZALENDO ACHAGULIWE,UJINGA UTAISHA LINI EE MUNGU IOKOE TZ TOKA KWENYE WINGU LA GIZA TOTORO.

  • @lucassusu-q1s
    @lucassusu-q1s День тому

    Kama elimu unaitukana eti uchafu basi na wewe huna elimu unauchafu maana hata wewe umesoma na nataka kuamini unatuambia uchafu,unashindwa kutofautisha professional na elimu ya kujua kusoma na kuandika ili baadaye uwe na uwezo wa kusomea taaluma(professional)

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 4 дні тому +1

    mnatuongopea tu wote niwanafiki tu wote njaa tu kesho nakeshokutwa ukijiunga na ccm wala sishangai

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 4 дні тому

    cuf yalipumba imetufunza sana
    nanyie chadema tokea slaa niwalewale

  • @georgeshigela3643
    @georgeshigela3643 3 дні тому

    Napenda ukweli sifungwi na itikadi

  • @WilsonBoaz-c4j
    @WilsonBoaz-c4j 15 днів тому +1

    Watanzania weng nikama wamerogwa

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 День тому

    Kama Barabara inajengwa ishu iko wapi?

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 4 дні тому +1

    tanzania hakuna upinzani tunongopeana tu wote ni ccm nyie wanafiki tu

  • @juliusnyerere5393
    @juliusnyerere5393 2 дні тому

    Hujui kuongea choyo chako hichooo
    Hata chadema wakitawala. Wewe uwe waziri. Mshahara. Pia atakuwa ana kulipa. Mtu wa chini. Na Kati yao hao pia. Watakuwepo wasioweza kula. Hata mloo mmoja. Ongea. Point zako.Sio samia. Halafu hayo maneno. Una kopia kwa wabunge wenzio kuwadanganya hao hatu wa hapo kijijini kwako.

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 День тому

    Ndo yeye Samia huu ni utawala wake kila kitakacho fanyika ni chake Mzee tulia Samia piga kazi

  • @juliusnyerere5393
    @juliusnyerere5393 2 дні тому

    Tatuenj kwenye Chama chenu kwanza kabla ya kumfata samia.
    Chama chenu ni Cha democratic
    Ila Bado watu mnaongoza Nyie tu Miaka 20. Jee ni democracy hiyooo. Kabla ya kutoa. Kibanzi. Kwenye. Jicho la mwenzako. Kwanza mtoe boriti kwenye macho yenuuuu.

  • @SaidiOmari-g3f
    @SaidiOmari-g3f 5 днів тому

    huna akili ww Samia ndo laisi wa inchi lazima atajwe Kila linapofanyika jambo

  • @abdallamohdhiyonineematush408
    @abdallamohdhiyonineematush408 День тому

    Uyujamaa mjinga sana

  • @SaidiOmari-g3f
    @SaidiOmari-g3f 5 днів тому +1

    naww utakufa tuu cku yako bado

  • @emmanuelnkya5547
    @emmanuelnkya5547 24 дні тому

    Mmmh 😳😳😳😳😳 ngoja aone

  • @Oscarmarwa-fitnesstrainer
    @Oscarmarwa-fitnesstrainer День тому

    Wewe unekuwa mbunge hakuna ulichofanya kwenda huku

  • @cyprianshayo4044
    @cyprianshayo4044 4 дні тому

    Heche kagombee uenyekiti,,, toa yule ropokaji

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 2 дні тому

    Uyu mzee mjinga sana, yeye amekiri kwamba anaeweka viongoz madarakan ni rais asa kwanini asishukuruwe rais wkt ikitokea viongoz wake wamefanya vzr ktk maendeleo!

  • @GabrielMwambengo
    @GabrielMwambengo 4 дні тому

    Ukweli mtupu!

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 4 дні тому

    Ebu Kwanza nicheke🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alfu nilie😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 5 днів тому

    NANI KAMA HECHEEEEEE

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 20 годин тому

    Huna sera bwani wakisema ndio nini. Wewe mbumbu kama hao wanaokusik8lizq. Kakojoe ukalale huna sera.

  • @abubakarali-wahid2876
    @abubakarali-wahid2876 4 дні тому

    Acha ubaguzi na watu Zanzibar hiyo mbaya

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 14 днів тому +1

    Huyu jamaa ni mpumbavu kodi inaweza kujenga barabara bila usimamizi mhuu mpumbavu kuliko huyu hakuna

    • @mrmahmoud1278
      @mrmahmoud1278 День тому

      kwa hio wao wapinzani wanatafuta nini ktk siasa? ikiwa serikali sio inayofanya mambo? anawachukulia hao washabiki wake kua ni wajinga huyu

    • @williamchrispian3957
      @williamchrispian3957 День тому

      Ila said inaonesha huna akili hata kidogo

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 5 днів тому

    HELA SIYO ZA SAMIA UPO HELA NI ZA WATANZANIA WALIPA KODI ZA VITUMBUA, MAANDAZI, NA VITUNGUU UPOOO. SAMIA HANA HELA. HAYO MAGOLI ANAYO NUNUA SIYO HELA SI ZA SAMIA NI ZA WATANZAMIA MASKINI.

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro День тому

    Sasa Serikali inaongozwa nani kama sio Samia na chama cha CCM wacha kupotosha jamii

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 5 днів тому

    HECHE JUUUUUUUU

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 6 днів тому

    Unadunda adi lini?

  • @BilalYaile
    @BilalYaile 6 днів тому

    Wanasiasa si watu wa kuaminiwa.Hata huyu akipata uongozi,atatusahau

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 4 дні тому

    mjinga niwewe

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 3 дні тому

    Lakin mtan wangu Mh Heche hakuna maendeleo ya yanaweza kwenda Jimbo lolote bila Rais na pia Aliye tangulia mbele za haki unahis wew hautatangulia ?

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si День тому

    Kodi za wananchi

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 5 днів тому

    HECHE SAFIIIIIIIII

  • @nyotaphina8167
    @nyotaphina8167 День тому

    Siasa za maji taka ndio hizi😊

  • @OmarySekembuke-w8p
    @OmarySekembuke-w8p День тому

    Hujui kampeni ww unafki ndo ulonao hupatiki ktu hpa

  • @jumadinya3796
    @jumadinya3796 4 дні тому

    Acha kubagua watu kws ubaguzi wako chuke ni mbaya

  • @KilsonSanga
    @KilsonSanga 2 дні тому

    Kodi zetu

  • @EmmanuelGervars
    @EmmanuelGervars 5 днів тому

    Kwann chadma msiwe mnatoa hoja zenu so kuongelea chama chamapinzduzi

  • @HussainMaula-l1s
    @HussainMaula-l1s 6 днів тому

    Acha usenge huwezi kuongea mpaka useme katoka zanzibar

  • @oscarmgeradinukauangaze1130
    @oscarmgeradinukauangaze1130 24 дні тому

    Aiseeee nihatari

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 5 днів тому

    HECHE HONGERAAAAAA

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu 2 дні тому

    Kusema kweli ndiyo muelekeo ya ukombozi wa haki ,watanzania wanahuzunisha kiakili sijui lina wataamka wamelala usingizi Totolooooo wanaota kula na ujinga na kujipendekeza.

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman 19 днів тому

    Ulishindwa halali

  • @mohammedbakarykitema1860
    @mohammedbakarykitema1860 13 днів тому

    Ww jailing vitu vya msingi .

  • @NANGUJIMAKAME
    @NANGUJIMAKAME 6 днів тому

    Oo😮

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 5 днів тому

    HECHE OYEEEEEERRRR

  • @HamisWawila
    @HamisWawila 7 днів тому

    Eche njaa izo

  • @KhamisKhamis-r7s
    @KhamisKhamis-r7s 16 днів тому

    Huyu muongo Halafu hanasera

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 6 днів тому

    Kama wewe kama umeshindwa kujenga,kwanini tusimsifie aliye jenga,wewe una maroli mengi mbona hjajenga choo hata kimoja,jinga wewe

  • @elibarikkiakyoo-w7p
    @elibarikkiakyoo-w7p День тому

    😢😢

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 4 дні тому

    Safi kamanda

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 24 дні тому

    Masomo hakuleta samia ilianza toka enzi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 21 день тому

    Tatizo hamtangazi sera zenu mkipewa Dora mtawafanyia nini Watanzania acheni matusi

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 24 дні тому

    Tafadhali usitukane watanzana eti niwajinga nawewe unaogombea wiiongoze nchi yawajingaa?watakiwa wa nanchi utuombe msamaha nnchi nzima.huwezi kuomba kura kwawatu unao watukanaa hatahivyo sera za chadema nimatusituu

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 19 днів тому

    Yanakuhusu hayo sema,hoja .Huna akili nahuji kuonja ubunge tena

  • @GdhdhhCxhshd-ql6zg
    @GdhdhhCxhshd-ql6zg 24 дні тому

    Wacha kupotosha watanzania hawato waujerumani umewaonaWapi kenya hkujuwi badilika wewe kwanza

  • @marthadominick2212
    @marthadominick2212 24 дні тому

    Waelimisheni watu wasiende waone watafanyaje wataenda kuwakusanya majumbani hizo kura hewa wataziwekaje km wananchi hawaendi

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 4 дні тому

    WEWE MJINGA KWANI KUNA ÙBAYA GÀNI RAIS KUSÌFIWA PUMBAVU SANA!!! SIO SAIZI YAKO

  • @eliusobadia8683
    @eliusobadia8683 19 днів тому

    Huo ni ukweli... Jah-Rastafarian atusaidie tujitambue,Pasipo kujitambua tutaitana mikutano kibao na hàkuna mabadiliko

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 24 дні тому +1

    Wewe heche acha usanii we huku soma Tanzania?we umesomeshwa na serikali burre leo ndo umekuwa mwenye maneno ya kijinga na ya ubaguzi nacho kwambia hufai hata chembe kuwa kiongozi wa nchi hii ya Tanzania

  • @samwelmachaka936
    @samwelmachaka936 16 днів тому

    Mwongo wewe njaa tu ukipewa madalakà hutasema

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman 19 днів тому

    Na hauta Pata tena

  • @DavidVallerian-w5j
    @DavidVallerian-w5j 4 дні тому

    Ss ww ukipata uongozi utakulanao hao wananchi hv nyie wanasiasa mnatuchukul8aje cc mama hatoki ataendelea kuiongoza nchi akitoka mama anafata makonda

  • @YohanaKasigi-s7z
    @YohanaKasigi-s7z 7 днів тому

    Hee. Babaangu. Acha. Iyoskendo. Babaangu

  • @GdhdhhCxhshd-ql6zg
    @GdhdhhCxhshd-ql6zg 24 дні тому

    Wewe huna akili

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 24 дні тому

    Acha ngonjera kichaa wewe hakika heche mjinga sana ,nakushauri ulete sera siyo upumbavu huo

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 24 дні тому

      Mpumbavu kabisa wewe unatumia mavi kichwani kufikiria

  • @richardmwaibula1582
    @richardmwaibula1582 6 днів тому

    Hivi kwani sera zenu ni zipi?

    • @MartinOnesmo-rk7hy
      @MartinOnesmo-rk7hy 3 дні тому

      Wapinzani,,maana yake kupinga..wakisupport chochote ni bora wasiwepo.

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 3 дні тому

    Wewe ni hater hauna sela zozote

  • @manenohamisi2858
    @manenohamisi2858 2 дні тому

    Kama nchi wa jinga mjinga ni wewe

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 17 днів тому

    Kiukwer mh uyu waga anaongea point sana ni kwer kabisa somo la 90-70 Ni mambo hayana maana yoyote kwa jamii

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack 7 днів тому

    We'we nimpumbavu tu K mmoja magufuli mbona aliyapinga hayo na aukumuuga mkono pumpavu wewe

  • @abdallahmagomba4022
    @abdallahmagomba4022 День тому

    Kwanza tengeneza chama chako acha ujinga weweeee

  • @RamadhaniNgwena-x6m
    @RamadhaniNgwena-x6m 8 днів тому

    Ww ukiwa Rais usihudumiwe

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 5 днів тому

      Atakwenda mwenyewe shambani kuzalisha mazao.

  • @IssaKaminyoge
    @IssaKaminyoge 17 днів тому

    Mungu yupo ukisema ukweli wanasema huna sela Ila Leta tupikipik wengekusifia

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 24 дні тому

    Hovyo wewe na hao wanao kusapoti

  • @HamisWawila
    @HamisWawila 7 днів тому

    Unajua otuba zakijinga kamaii uwezi kusikiliza na ww unasikiliza utakua mjinga

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman 19 днів тому

    Akigombea uwenyekiti atauwawa

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 22 дні тому

    Katoa hela ya mfuko wake labda

  • @NANGUJIMAKAME
    @NANGUJIMAKAME 6 днів тому

    😅

  • @Ratifarashidi-x7i
    @Ratifarashidi-x7i 3 дні тому

    Mpumbafu.we we.unapotosha.uma.ujuwi.u nacho.kiongea.mbwa.wewe

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 22 дні тому

    Nikashangaa mfalme anatembea kwa miguu alafu mtumwa kapanda farasi

  • @HAMZAALI-c3g2f
    @HAMZAALI-c3g2f 5 днів тому

    TATIZO MAMA MZANZIBAR HAMUMTAKI WEWE ULIPOKUA MBUNGE TARIME JIULIZE UMEWAFAMYIA NN WATU WA TARIME?

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 5 днів тому

    UKIWA RAIS UTAKWENDA SHAABANI MWENYWE KULIMA NA KUVUNA MAZAO. PIA, UTAKWENDA BAHARINI KUVUA SAMAKI MWENYEWE NA UTAKWENDA KUOMBA KIBARUA UPATE MAHITAJI. SHUKRAN 😂 HIVI WEWE MAISHA YAKO YANAFANANA NA MWANANCHI UNAEMDANGANYA HAPO?!

  • @manenohamisi2858
    @manenohamisi2858 2 дні тому

    Huna jipya wewe

  • @oscarmgeradinukauangaze1130
    @oscarmgeradinukauangaze1130 24 дні тому

    Ahahahahhaha

  • @mirajiramadhani8128
    @mirajiramadhani8128 2 дні тому

    Sasa zanzibar inausika na nini Sema wewe mjinga kama wajinga wengine

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 24 дні тому

    Nyote kijani waitala silaa mjinga ni wewe na chama chako na silaa muliyo fanyia Wana nchi wamesahau

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 20 днів тому

    naomba kaka usikate tamaa kusema ukweli ningependa ugombee uwenyekiti wa chama taifa

  • @MagaliKiswili-bj6yz
    @MagaliKiswili-bj6yz 3 дні тому

    Mjinga wewe na ao unao ongea nao magu Kesha kufa Barbara Ana jengaje malehem magu ccm na Samia ccm

  • @AlphaxardJohn
    @AlphaxardJohn 14 днів тому

    Huna hoja wewe

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 24 дні тому

    Hakuna mpumbavu huna hoja

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 24 дні тому

      Kwani sio kweli? Mpumbavu nani? Kama sio wewe? Mpuuzi sana