MIRAJI|TUACHE USHABIKI UNAIKATAAJE PENALTY? MPANZU AMEMPA KIPA MAN OF THE MATCH |KMC SIO WA KUTUTESA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 154

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 18 днів тому +19

    Jean Charles Ahoua , Similar to Mario Baloteli, when it comes to penalities, Miraji you are absolutely right, Great content ,I really like Tanzania soccer .

  • @BensonGoodluck-f2i
    @BensonGoodluck-f2i 13 днів тому

    Miraji unajua mpaka unakera hongera sana kaka🎉

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 18 днів тому +2

    👏👏👏👏👏 simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 18 днів тому +2

    Inachekesha sana miraj anamukumbuka ahua leo 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 18 днів тому +3

    Pamoja sana wangu

  • @sulledabo7267
    @sulledabo7267 18 днів тому +5

    Wakwanza mm like zenu

  • @KassimAlly-p6e
    @KassimAlly-p6e 18 днів тому +5

    Nipo hapa wa kwanza

  • @mwenealexis3111
    @mwenealexis3111 18 днів тому +7

    Jamani kuna watu wana comment harafu hawajui hata timu iliyo cheza na Simba, prison ilicheza na Simba jana kweli,uto wamechanganyikiwa mbaya

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 18 днів тому

      Kwahio mtu kakosea kucomment unamlaumu shabiki wa Yanga?

  • @KivumaTalha
    @KivumaTalha 17 днів тому

    Sijapenda mraji unatoa code zetu

  • @nathanaelchezalikatundu8869
    @nathanaelchezalikatundu8869 18 днів тому +1

    Mpanzu, of course kuna attempt alifanya ni nzuri. Lakini kuna attempt alifanya sikujua kwa nini alifanya attempts. Nafikiri akitaka kuisaidia timu ni vema ajue ni wakati kani wa kushuti na niwakati gani wa kucheza pass. Some of his attempts kwa kweli zipo very simple. Na alifanya hivyo hata mechi ya Kagera. He has to change especially kwenye kupiga.
    Mimi natakuwa mtu wa mwisho sana kumchukulia poa Jean Charles Ahoua,, nafikiri watu wanamuanalyse tofauti. He is brilliant na anacheza na wenzake.

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 18 днів тому +3

    Heri ya Christmas ❤

  • @mwajumaabdallah3254
    @mwajumaabdallah3254 18 днів тому

    Umenifurahisha leo kaka Miraji.

  • @kenanjohn2062
    @kenanjohn2062 18 днів тому +1

    Sijawahi kumwelewa mnaemwita mzee Saidi...aisee Madini ya hii chennel yapo hapa

  • @OnesmoLeonard-z5f
    @OnesmoLeonard-z5f 18 днів тому

    Changambaaaa unazingua wikiii hiiii yote hatumuoni Mzee Saidi kesho ni BOX DAY tuleteee mzee Saidi kama ni zawadi kesho.ila mzee SAIDI 🔥🔥

  • @PhilemoniNamayala
    @PhilemoniNamayala 18 днів тому +4

    One love

  • @AshaAmiri-l2g
    @AshaAmiri-l2g 17 днів тому +1

    Simba kila mechi ikicheza ni fainali tunaijuwa hiyooooo kuna timu zina pambana na simba lkn mjuwe ubaya ubwe ubwe

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 18 днів тому +1

    MIRAJIIIIIIII saa mbovu, ila wenzio wanasema uwanja umelogwa 🤣🤣🤣🤣

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 18 днів тому +4

    Tunashukur kwa ushindi

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 17 днів тому

    Tunamtaka Mzee wetu Said

  • @PaulLambert-n4r
    @PaulLambert-n4r 18 днів тому

    Nakwenu pia 🎉🎉

  • @YussufAli-l2g
    @YussufAli-l2g 18 днів тому +1

    Gamba tunamuhitaji mze saidiiii🎉

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 18 днів тому +2

    KUFUNGWA AFUNGWE JKT INAKUAJE UCHUNGU UMPATE UTOPWENGA? SASA TUNAMSUBIRI NDUGU YAO SINGIDA.

  • @kenanjohn2062
    @kenanjohn2062 18 днів тому +1

    Timu za kuchukua UBINGWA ushindi wao ndio huwa kama huu wa Simba..hiz hizi Goli moja moja mpaka Ubingwa

  • @SHARIFF-N5W
    @SHARIFF-N5W 18 днів тому +2

    Miraji tumeona mpira sema ukweli refa kapendelea sana simba.faulo nyingi sana refa kaziminya hakuwapa prison paka moja ilikua ya wazi baada ya wachezaji wawili wa prison wamechezewa mazambi wapo chini na mpira unaendelea mchezaji wa prison kapigwa viatu sana na mtu tatu paka wakampora mpira kisha ikaenda mchezaji wa simba kaguswa tu faulo hapo hapo .refa kawaumiza sana jkt nimesahau ni jkt na ni mchezo wa jana zidi ya simba na jkt .Refa anafaa kufingiwa aliwaonea jkt zahiri wazi wazi haikua vizuri.niko sweden nimeona kila kitu

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 18 днів тому

      We ndio hukuangalia mpira Simba alicheza na jkt walio cheza na prison ni yanga sasa hapo yanga ndio alikuwa anapendelewa hadi gori la mkono alipewa

    • @SHARIFF-N5W
      @SHARIFF-N5W 18 днів тому

      @evansdecaprio8196 ndio nimesahau nipo sweden .kwelio nao yani mechi ya jana refa ameharibu sana sana kwakiasi kikubwa amewazuru jkt

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 17 днів тому

      Kwahiyo ukiwa Sweden ndo unasahau mkuu haya bhana

    • @SHARIFF-N5W
      @SHARIFF-N5W 17 днів тому

      @deniseliuter3002 hahahaha kawaida binadamu

    • @Lazarokidulanya
      @Lazarokidulanya 17 днів тому

      Prison na jkt wp na wp hahahaha😂😂😂

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 18 днів тому

    simba hatali shikie apo apo na kocha fadlu mzuri sanaaa

  • @emaculatemakoi8226
    @emaculatemakoi8226 18 днів тому

    Kwan mzee said yupo wap jaman

  • @SaleheHakim
    @SaleheHakim 17 днів тому

    Wanao mtaka mzee said ndio wanafanya watanzania tuonekane hatujui mpira ndio mana kuna coach aliwasema baazi ya mashabiki wa Tim fulani wanashangilia kama nyani

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 18 днів тому

    Inshaallah tutaongoza

  • @MubaMuba-rf8vl
    @MubaMuba-rf8vl 18 днів тому

    Miraji na chagamba mzee Said yko wap

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 17 днів тому

    Ila kwa mutale kuna kazi ya ziadaninatakiwa ifanyike kwa haraka sana ili kumnusulu ili afanye nzuri nae

  • @FadhiliMilowe
    @FadhiliMilowe 18 днів тому +1

    Nyie Kila SIKU mnamtaka Mzee said Mzee said Mnapeenda kucheka Cheka MADINI YANAPATIKANA HAPA Simba ☝️☝️❤️💪💪

  • @geraldmagembe4428
    @geraldmagembe4428 18 днів тому +2

    Timu yako nzuri sana, mapungufu uliyonayo kwa timu yako uwezi mdogo wa ufundi binafsi wa wachezaji wengi ulionao. Kwa timu zetu za ndani uwezekano wa kupata matokeo ni mkubwa lakini kwa timu zenye ufundi zitawasumbua sana

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 17 днів тому

      Sawa Sawa ndo maana Simba anashika nafasi ya pili kwenye group wote wakiwa Na point Sita lkn Yanga aliye na wachezaji Bora anafanya vizurii ndo maana ana point Moja Sawa,Sawa well good let's see

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 18 днів тому

    Simba tuache unafiki kocha ni mbovu

  • @MagembeAngelo
    @MagembeAngelo 18 днів тому

    Milaji chagamba nawakubali Sana wakurungwa

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 18 днів тому

    Miraji uko sahihi

  • @HusseinIdrissa-ed6tl
    @HusseinIdrissa-ed6tl 18 днів тому

    Mzee said yupo wap

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 18 днів тому

    Sina mashaka na timu yangu SSC popote tunakiwasha ahsanteni kwa uchambuzi uliotukuka🫡🫡

  • @AmuorKing
    @AmuorKing 18 днів тому +1

    Miraji nilikua nakukandia ila leo umezungumza mpira ntaendelea kukuamini miraji usiniangushe nyie kwangu mko wawili tu weye miraji na seif na GB 64. bas hao wengine wachumia tumbo

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 18 днів тому

      Umejìsahau Nawewe Amuorking Mmekuwa Watatu Sasa

  • @zawadichahorota1207
    @zawadichahorota1207 18 днів тому +1

    Tutawafunga singida watake wasitake ,wakibana tunatumia ubaya ubwela

  • @AbdallahJambia-fo1tn
    @AbdallahJambia-fo1tn 18 днів тому

    Chagamba jau Sanaa 😂😂😂 eti nyau nyauu😂😂😂😂 mmetisha wanangu

  • @JumaJumakpg-s2i
    @JumaJumakpg-s2i 18 днів тому

    Hkk master

  • @AminaBakari-sl6by
    @AminaBakari-sl6by 18 днів тому

    Chagamba tunamuomba mzeee saidi jmn me nishachoka kama anaumwa tuambie bc mashabiki zake tunateseka

  • @HassanMkwenda
    @HassanMkwenda 18 днів тому

    Utabaki na hayo hayo, cc tunasonga mbele,.baada ya kuongelea mechi yako ya Leo utapunguza gepu?

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 18 днів тому

    Miraji hile alipiga Nouma. Nkibusawala alipiga hole ale alicheza kipa akamalizia. Awesu ikawa offfsd

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 18 днів тому

    Kwahio mzeeee Said ndo basi tena ao?

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 18 днів тому

    Yaa Amuna baya wanangu

  • @YahyaKhalfana
    @YahyaKhalfana 18 днів тому

    Chagamba yuko wap mzee said

  • @KivumaTalha
    @KivumaTalha 17 днів тому

    Sasa hapo mraji unatoa code zetu

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt 18 днів тому +1

    Miraji leo umechemsha, Simba jana kabwebwa wazi wazi.

  • @SHAibuYahaya-e1e
    @SHAibuYahaya-e1e 18 днів тому +1

    Mna tumalizia bando tangazo refu

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 18 днів тому

    Leo umeamka salama miraji

  • @EzekiaMaketa
    @EzekiaMaketa 18 днів тому +1

    Kiwango Cha mpanzu kilizidi wapi anapiga on target mbali kabisaaa anajaribu tu

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 18 днів тому

      😂😂😂😂 yaan Kuna muda wanamahaba Hadi wanachekesha

    • @nathanaelchezalikatundu8869
      @nathanaelchezalikatundu8869 18 днів тому

      Aisee safi sana. Umesema kweli. Very sure, jamaa anapiga tu, popote bila ulazima. Na si mara ya kwanza hata game ya Kagera alifanya hivyo. For me at least game ya Kagera hata alifanya vizuri.. He must play with other players.
      Kwangu nadhani alichaangia sisi kuchelewa kupata goli maana alikuwa anampa mipira kipa zaidi ya mara tatu. He has to change..

  • @alfanisebalua9333
    @alfanisebalua9333 18 днів тому

    chagamba mzee saidi yuko wapi

  • @CHRISTOPHERWAILESAN
    @CHRISTOPHERWAILESAN 18 днів тому

    Chagamba usipoangalia hilo bega litashuka angalia sanaa

  • @JumaJumakpg-s2i
    @JumaJumakpg-s2i 18 днів тому

    Ile inaitwa Hala Madrid

  • @jumaseif-bf9dd
    @jumaseif-bf9dd 18 днів тому

    Chagamba kaka vip mzee wangu yuko wapi side boy

  • @Robert-ev5hp
    @Robert-ev5hp 18 днів тому

    Unasherehekea Christmas kwa furaha furaha furaha na raha.

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 18 днів тому

    Milaji Leo nakupinga JKT hawakujichanganya aliejichanganya ni refa

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 18 днів тому

    Ila Simba khaaa 😂😂😂

  • @dollovictor
    @dollovictor 18 днів тому +2

    Hilo tangazo la namba kabla ya interview linatumisia bando

    • @RamseykingGenius
      @RamseykingGenius 18 днів тому

      😂😂😂😂🔨📌📌😋

    • @RobsonLugomi
      @RobsonLugomi 18 днів тому

      Huwa napereka mbele Huwa sisikilizi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Shubbykm
    @Shubbykm 18 днів тому

    Hakika leo hapana

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 18 днів тому

    Milaji acha kukoli watu mpanzu kacheza nn wakat alikuwa anapiga piga mpira?

  • @KaristoMsango
    @KaristoMsango 18 днів тому

    Miraji tunabadirisha tairi huku gàri inatembea

  • @knovael-h9d
    @knovael-h9d 18 днів тому

    Mzeee saidi mbona humtafuti tumemumisi Sana kwani anaumwa

  • @kimrudiger4454
    @kimrudiger4454 18 днів тому +1

    Wapi mzee Saidi?

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 18 днів тому

    Mara moja Ubaya ubwela kwasimba hii sijui iweke ukuta gani ili usifungwe

  • @SHARIFF-N5W
    @SHARIFF-N5W 18 днів тому +1

    Refa ameumiza au ameua nguvu za Tanzania prison kwa kuwanyima faulo zao zote yani paka ilikua inatia huruma .yani unaona kabisa refa anataka simbab washinde sio fair play

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 18 днів тому

      Kweli wewe umevurugwa,Jana Simba alicheza na prison?

    • @SHARIFF-N5W
      @SHARIFF-N5W 18 днів тому

      @RashidiMwiga nimekosea ndio kacheza na jkt sio prison hahahaha

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 18 днів тому

      @SHARIFF-N5W sawa imepita hiyo tugange yajayo.

    • @SHARIFF-N5W
      @SHARIFF-N5W 18 днів тому

      @RashidiMwiga ndio imepita lakini sio sawa kabisa alichofanya refa wa jana .maonevu kwa timu moja

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 18 днів тому

      @SHARIFF-N5W hivi kayoko Yuko wapi na kwanini?

  • @sulledabo7267
    @sulledabo7267 18 днів тому

    Nawaona nawaona 😂😂😂 wazee wa penat

  • @husseinabdallah916
    @husseinabdallah916 18 днів тому

    Kaka milaji nakukubali mkubwa akosinyuma

  • @RajiiYusials
    @RajiiYusials 18 днів тому

  • @ElastoKehegwa
    @ElastoKehegwa 18 днів тому

    Ila kwer tujenge uwanja wetu simba

  • @msumbimohamed6116
    @msumbimohamed6116 18 днів тому

    Ebwana mlete mzee said aje kutuchambulia kiwango cha yanga sasa hivi na simba hii pia aje kumjibu gb64!!

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 18 днів тому

      Mzee said ametombwa nyuma juzi anaugulia maumivu, akipona chagamba atamleta😂

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 18 днів тому

    Mutale tapeli sana

  • @AbilaisaidimwerondoMwerondo
    @AbilaisaidimwerondoMwerondo 18 днів тому

    Hivi hiyo mikofi anayo kupiga haingii

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 18 днів тому

    Singida watapgwa kama wamesimama

  • @yohancabbaye7456
    @yohancabbaye7456 18 днів тому +19

    Wanaoamini Simba hachomoki kwa Singida Black Stars gonga like apa💪

    • @allykayanda6930
      @allykayanda6930 18 днів тому +8

      Ule ni mtego,singida atapigwa tatu bila,mziki wa simba nihatar

    • @mussangalawa2403
      @mussangalawa2403 18 днів тому +4

      Miongoni mwa mechi rahis kwa simba iyo kaka ngumu ya jana Singida wanaruhusu sana

    • @A.shebyhdjdjd
      @A.shebyhdjdjd 18 днів тому +2

      Kama jana matokeo yalikuwa vile yaani hao kwa namna ya aina yeyote ni lazima washinde either kwa wao wenyewe au kutokana na refa

    • @Khaleed5767
      @Khaleed5767 18 днів тому +4

      HATA JANA PIA MULIKUJA NA MATOKEO MKONONI..
      NA MECHI YA SINGIDA NJOONI NA MOTOKEO YENI.. NDIPO MTAKAPOONA DADA YENU TUNAMSANUA...

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 18 днів тому +2

      Simba imenunua marefa wote. Wanataka points 3, walianza kwa kitesho kuwapelekea sanda marefa, machambuzi yote yalikaa kimya. Refas wameambiwa kwa jinsi yoyote ile, hata kuchezesha dak. 100, penalt, na kupiga filimbi ikiwa mpinzani anaenda kufunga goli.

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 18 днів тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏♥️♥️♥️♥️🦁🦁💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏

  • @jofreymhagule7505
    @jofreymhagule7505 18 днів тому

    Bravo miraji jesh

  • @JumaJumakpg-s2i
    @JumaJumakpg-s2i 18 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hafidhiabdullah3172
    @hafidhiabdullah3172 18 днів тому

    Miraji acha unafiki na huo unaoleta wewe pia ni ushabiki unapotea ongea ukweli acha unafiki

  • @shebbylove5264
    @shebbylove5264 18 днів тому

    Laiki kwa tunao msubir mzee side

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 18 днів тому

    Ata kama penati ni sahihi ila Simba kabebwa sana matukio mengi refa hakuwa fair ndio maana kimataifa hawatoboi washalemazwa kwa huruma ya marefa

    • @RashidiMwiga
      @RashidiMwiga 18 днів тому

      Sawa wewe kimataifa umetoboza

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 18 днів тому

      Kimataifa kama Simba hatoboi timu ganiBongo imetoboa?😂

  • @salumsaid7301
    @salumsaid7301 18 днів тому

    Wazee wa mbelekooo

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 18 днів тому

    Mmebebwa

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 17 днів тому

    Baba mwenye nyumba anatakiwa kutoa taarifa kama kuna fundi atakayekuja.. sio ajijie tuu.. namtoa balu hata kama nyumba ni yake!.. kama demu wangu yuko uchi je? Ambake ? Kuna sheria ya baba mwenye nyumba kuingia kwenye nyumba aliyopangisha kwani kuna mkataba wa nyumba na malipo aliyopokea..! miraji ni shabiki wa yanga kama manara, mchome na mzee saidi!

  • @InnocentGodfrey-h8k
    @InnocentGodfrey-h8k 18 днів тому

    𝑾𝒆 𝑪𝒉𝒂𝒈𝒂𝒎𝒃𝒂 𝒎𝒛𝒆𝒆 𝑺𝒂𝒊𝒅𝒊 𝒚𝒖𝒌𝒐 𝒘𝒑 𝒖𝒏𝒂 𝒖𝒈𝒐𝒎𝒗𝒊 𝒏𝒂𝒚𝒆 𝒌𝒘𝒂𝒏....?

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 18 днів тому +1

      Mzee alitombwa nyuma juzi anaugulia maumivu akipona chagamba atamleta 😂

    • @InnocentGodfrey-h8k
      @InnocentGodfrey-h8k 18 днів тому

      @laninjeje8290
      🤣🤣🤣. 𝑰𝒍𝒂 𝒃𝒐𝒏𝒈𝒐 𝒉𝒂𝒚 𝒃𝒂𝒏

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 18 днів тому

    Simba tuache unafiki kocha ni mbovu

  • @ibrahimemmanuel1060
    @ibrahimemmanuel1060 18 днів тому

    ❤❤❤

  • @KilapayaIbuni
    @KilapayaIbuni 18 днів тому

    🫡🫡🫡

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 18 днів тому

    Simba tuache unafiki kocha ni mbovu

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 18 днів тому

    Simba tuache unafiki kocha ni mbovu

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 18 днів тому

    Simba tuache unafiki kocha ni mbovu