Lissu AVUJISHA Siri Jengo Makao Makuu CHADEMA, na JOIN THE CHAIN!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @PiusJuma-h8r
    @PiusJuma-h8r 12 годин тому +6

    Lissu nakupenda sana, kwa kusimamia ukweli

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 15 годин тому +4

    Sema tu si mbowe anajifanya mtakatifu watu wamechoka kudanganywa kama watoto wadogo

  • @zachariahariohay359
    @zachariahariohay359 10 годин тому +2

    Lissu ni msema kweli

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 12 годин тому +5

    Tumechoka na story za huyu too much

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 13 годин тому +4

    lisu anasifiwa sana ila ipo siku mtaelewa ukweli tu.
    lisu nimtu wasifa hakafu hana kugha yaadabu waviongozi wanchi anamwita rais kama dada yake anashindwa hata kusema mh rais

  • @godfreysemwenda5988
    @godfreysemwenda5988 8 годин тому +1

    Wewe hufai hata kuwa mtendaji wa mtaa unatoa siri za vikao hufai

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 13 годин тому +3

    ndio kifo rasmi chachadema

  • @sanchouisso4342
    @sanchouisso4342 14 годин тому +3

    We we lissu kuwa na staa,omba mungu akupe hekima,siyo vema sana kuongea mambo ya chama chako,kiongozi yeyote yule duniani,hupaswi kuwa hivyo, ili uwe kiongozi kunahitajika hekima,hayo unayoongea watu wanakushangaa we we ni kiongozi was aina gani?kila siku mambo hayo hayo,jengeni chama kuweni wamoja,kila siku kwenye mitando kweli,

  • @KishiwaMaganga-g1r
    @KishiwaMaganga-g1r 6 годин тому

    Mbona mh unamshambulia sana mwenzako wewe hakushambulii punguza maneno mwenzako kuna maisha baada ya siasa utashinda utaitaji mawazo ya mbowe

  • @karakairasa2161
    @karakairasa2161 3 години тому

    Kwani lazima usema hata kama huna data kamili!

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 16 годин тому +4

    Mbona kama vile chama hakina msemaji wa chama tena?

  • @JosephIsrael-t6n
    @JosephIsrael-t6n 10 годин тому +2

    Siri za nn?Tundu lisu ni muwazi,mkweli na mpambanaji anatoa ukweli khs iana na viongozi walaghai,Wala rushwa na mafisadi! Kosa la Tundu li wapi kuweka wazi kina Wenje na mabwana zao na Wenje kakiri,wewe watokea wp kuitetea uchafu?

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 12 годин тому +2

    huyu lisu ukimsikiliza kwa makini unaona yuko na shida kwani kunavitu vingine hutakiwi kusema kiutendaji wa chama hata lisu unahusika kwa namna flani kila kitu unaongea ili uonekane uhusiki nayo.

  • @rumanyikajoe7038
    @rumanyikajoe7038 4 години тому

    Things Fall Apart. " Sasa imeisha, CDM" Kwa jinsi hii. Muombeni Mungu tuu, awasaidie. Kama mnakumbuka kuhusu mnara wa Babeli Sasa imekaribia.

  • @TumsifuSwai
    @TumsifuSwai 12 годин тому +1

    Lisu hufai kuwa mwenyekiti kabisa Kwa sababu huna busara pia huna uvumilivu sasa unataka uwenyekiti huku unavujisha Siri za chama hafai kabisa kuwa mwenyekiti. Nahisi umetumwa kuvuruga chama na siyo vinginevyo.

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 13 годин тому +3

    Lisu unajizalilisha sana. Aufai kua kiongonzi ndio mahana na mkumbuka ,makoda mkuu wa koa wa arusha aliongea sahii, eti lisu wakua wanamuacha mje kwenye vikao muimu. Lisu toka chadema salama

    • @OctavianMniko
      @OctavianMniko 9 годин тому +1

      @@Allyiddsud weka hoja kwA mbowe anafaa na lisu hafai sio kuandika umbea ambazo hauna hoja

    • @BahatiS.wambua
      @BahatiS.wambua 8 годин тому

      Ninamuheshimu sana Lisu ila ninamashaka naye, anatabia ya kushabikia uzishi. Kama Mbowe atampisha basi chadema ijiande namtu wa namna hiyo.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 5 годин тому

      ​@@BahatiS.wambuakama upi

  • @benedictogesa2206
    @benedictogesa2206 13 годин тому +1

    Kwani hii ndiyo kampeni au ? Maana Mimi sielewi halafu wapiga Kura ndiyo akina Nani naona chadema ndiyo Keisha habari yake maana siyo kwa kushambuliana huko Kama Ni ujenzi Basi wajenzi wenye kasoro maana kila mmoja anatoa tofari kwenye msingi na kutupa sioni mtu anayejenga sagala gete

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 8 годин тому

    Mungu nisamehe,huyu mtu anaitwa lissi simpendi,simpendi na ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi hata kidogo,

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 2 години тому

    Kumbe huyu jamaa lapulapu

  • @OctavianMniko
    @OctavianMniko 13 годин тому +2

    Unajitapa kwA kwamba wewe ni mfanyabiashara mkubwa unashindwaje kujenga chama kijitegemee kwA miaka 20 ukiwa kama m/kiti mbowe ni tapeli wa kisiasa TU SI zaidi ya hapo

    • @StevenNyanguye
      @StevenNyanguye 9 годин тому

      Asingeweza kujenga chama,yeye sio mtu wa mwisho kwenye maamuzi

  • @OctavianMniko
    @OctavianMniko 13 годин тому +1

    Mbowe tapel

  • @AngomwileMwangwala-r1l
    @AngomwileMwangwala-r1l 9 годин тому

    1:04

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 14 годин тому

    UYO MTU JINA LAKE ALIYETEKWA AU ?

  • @benny4345
    @benny4345 9 годин тому

    Siri gani imevuja hapo?! Tumieni akili. Mkiendelea kupotosha tutakareport ka channel kenu kafungiwe!

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu 22 години тому +2

    Hayo unayozungunza yatakungalimu na hayo ndiyo yatakayo kuangusha,maana hayana maana kimtazamo,unaituhumu Serikali utazungumza na nani kwa Akili yako hiyo,Lisu ukimtuhumu Hakimu au jaji unafikiria nani atalisikiliza Shauri lako, sema ukijitambua lazima utazungumza na Taifa. Ujipange Taifa siio Chadema.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 16 годин тому +2

      Huna akili alizonazo yeye, ndiyo maana unahisi serikali au hakimu ni miungu yako

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 14 годин тому +1

      Muache aseme.Tanzania tunahitaji watu wakweli kama Lissu.Ni bora Lissu aweke wazi ili watu wajirekebishe.Masuala ya kuficha ficha mambo ni kufuga wezi na mafisadi.