MAMA MZAZI WA KICHECHE AFUNGUKA MAZITO, KICHECHE YUKO WAPI ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 130

  • @ezramutumakimeria7673
    @ezramutumakimeria7673 2 місяці тому +14

    Huyu mwanahabari nampenda kama mapigo ya moyo. I really love this girl ❤ .

  • @JuliethaJulius
    @JuliethaJulius 2 місяці тому +20

    Mama kicheche mzuri sana💞

  • @Babyvai-l2u
    @Babyvai-l2u Місяць тому +2

    KUMBE UNAFIGA TAMU KAMA ASALI ❤❤USIJICHUBUE USO MADAM UMEPENDEZA SANA UPO NYUTRO❤🎉❤🎉

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 місяці тому +14

    Kweli wamemfelisha kicheche bora arudi tu kwa bosi vevo 🌹 🌹

  • @adamchigamba2862
    @adamchigamba2862 Місяць тому +2

    Huyu dada anaweza sana, Mbengo TV wakimuachilia inakufa

  • @BabyRiziki-v5q
    @BabyRiziki-v5q 2 місяці тому +15

    Tsunamutaka kicheche walioba😂😂😂

  • @AbiTech96
    @AbiTech96 2 місяці тому +14

    Rey, umbea uta kuuwa 😅
    😅😅😅😅😅
    Pole sana na kazi, ila ume payuka😅

  • @KuruthumSaidi
    @KuruthumSaidi 11 днів тому

    Nakupenda kicheche❤❤

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 місяці тому +6

    Kumbe Mwali tu❤❤❤

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 2 місяці тому +7

    Mama kichecheeee dah maisha Allah mzuri alhamdulilah

  • @AMEMUSSA-cr8my
    @AMEMUSSA-cr8my 2 місяці тому +7

    Mwandishi hongera una moyo!

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 2 місяці тому +7

    Kupanda na kushuka ni kawaida katika maisha so sioni ajabu kicheche kushuka

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 2 місяці тому +6

    Af we dada mtangazaji mbona unafanana na huyo mama, nyie mtakuwa ni ndugu mnamust kicheche Kwa style hyo😂😂

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 2 місяці тому +6

    Daaah Mama Kicheche mashallah

  • @Samuelmolel.3331
    @Samuelmolel.3331 Місяць тому

    Mungu atamrudsh 2❤❤❤❤❤

  • @Fiddkim
    @Fiddkim 2 місяці тому +12

    Kenya❤😮😮

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 місяці тому +6

    Mashallah leyya🎉🎉🎉

  • @Collokenya
    @Collokenya Місяць тому +1

    Mtuletee kicheche mbwa sisi😅😅

  • @justapaulo6853
    @justapaulo6853 Місяць тому +2

    kichechr ndiyo king

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 2 місяці тому +5

    Siku hz Unapendwza Mtangazaj😂

  • @Omrankasiga
    @Omrankasiga Місяць тому +1

    kweli hawa wanafiki kweli

  • @SamuelOkech-c1y
    @SamuelOkech-c1y 13 днів тому

    🇰🇪 mama kicheche mzuri

  • @SaidAbdallah-n3v
    @SaidAbdallah-n3v 2 місяці тому +5

    Hahaha ety mbea uwiiii anauza mihogo jmn

  • @CASIMIROVEVO
    @CASIMIROVEVO 2 місяці тому +5

    UMENENEPAH SANA ALO😂😂😂

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 6 днів тому

    Eti yuko marekani😂

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 Місяць тому

    Nyie tudanganyeni tu Uyo ndo mamaake kicheche tena mzazi kha !

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 2 місяці тому +1

    Apo Marekani Tumepigwa Na Kitu Kizito Kichwaniiii😂😂😂😂😂😂😂Mma Waficha Maradhi Kifo Kitakuumbuwa😂😂😂😂😂

  • @FerdinandKasongo-ht5kt
    @FerdinandKasongo-ht5kt 2 місяці тому +7

    Tunaomba namba zake sisi watu wa marekani

  • @SMovie-e1s
    @SMovie-e1s 14 днів тому

    Kichecheeeeeeee napenda

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 2 місяці тому +5

    Mbengo mmeanza kutengeneza move sasa ili mpate idadi ya wa tazamaji mnaharibu , kusema bibi harusi aolewa na mume wa pili hii niuongo na mme off watu wasi coment ,

  • @KaltasiKigelulye
    @KaltasiKigelulye Місяць тому

    😂😂😂swala msiba lazima tuzungumze bwana eeeee

  • @BabuAli-w8p
    @BabuAli-w8p 2 місяці тому +1

    Nakukubal mama kicheche upo vizur

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd 2 місяці тому +6

    Kwan kicheche ana umarufu gan

    • @LomeoPhiri
      @LomeoPhiri Місяць тому

      Anapendwa sana,inakuuma??😂

  • @RamadhaniWalima
    @RamadhaniWalima Місяць тому

    Dada anasaut nzur sana

  • @Sango-dawa
    @Sango-dawa 2 місяці тому +3

    Nice video

  • @Mrnyika
    @Mrnyika Місяць тому

    Umesema kwelimama ❤

  • @HaradiHongo
    @HaradiHongo Місяць тому +2

    Mama kichehe Bado bint iv

  • @justapaulo6853
    @justapaulo6853 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤kicheche

  • @Djrapher255
    @Djrapher255 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂 Suala la msiba nasisitiza

  • @matizukuwe
    @matizukuwe Місяць тому

    MAITZU KUWE❤❤

  • @bless.2559
    @bless.2559 Місяць тому

    MBWA KICHECHE,
    PUMBAVU ZAKO😂😂😂😂😂😂
    MBWA WEWE😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwogeramwimeti9902
    @mwogeramwimeti9902 Місяць тому

    Mama kicheche mzuri zaidi ya mwanawe

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r 2 місяці тому +5

    Baba asma n yup jmn

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 місяці тому +1

    Cheche eeeh lumbaaah😂

  • @kevy254
    @kevy254 2 місяці тому +4

    Enyewe kuna kaukweli mahali ju kina dada wembamba wapenda sana umbea😂😂😂

    • @TotoTondolo
      @TotoTondolo 20 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we koma 😂

    • @kevy254
      @kevy254 20 днів тому +1

      @TotoTondolo ambia Martha anifunze kunyamaza 😁😁😁

    • @TotoTondolo
      @TotoTondolo 20 днів тому

      @@kevy254 sawa 👍

  • @kadijaa7771
    @kadijaa7771 2 місяці тому +20

    Kwani akiuza mihogo kuna nn si anatafuta rizki

    • @SekelaJakson-ls7dd
      @SekelaJakson-ls7dd 2 місяці тому +3

      Tena mi navoipenda ya kukaanga 😂😂😂

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 2 місяці тому +3

      @@SekelaJakson-ls7dd wacha weee mitamu

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 2 місяці тому +1

      Et si biashara kama.biashara nyingine

  • @ByammonyiBaliwa
    @ByammonyiBaliwa 2 місяці тому +5

    usha nenepa kwanza

  • @MohamedJuma-t1t
    @MohamedJuma-t1t Місяць тому

    Kumbe mama waukweli

  • @MiriNdimo
    @MiriNdimo 2 місяці тому +2

    ukiona mtu anamzungumzia mtu kaishiwa hao wete wanao sema kicheche yupo kwao wanamungua steringi makoti

  • @munabalushi2964
    @munabalushi2964 2 місяці тому +1

    Tumemmss sn kicheche jamanii😢

  • @SalumuRamadhani-y4y
    @SalumuRamadhani-y4y 2 місяці тому +2

    ayo maigizo yenu tumechoka.

  • @Masukemakoye-s9u
    @Masukemakoye-s9u 2 місяці тому +3

    eti Sim kaiacha😂😂😂😂😂

  • @KIPUDA2021
    @KIPUDA2021 2 місяці тому +1

    Huyu mama kazaliwa 1991 au 2000

  • @EstherMwaluko
    @EstherMwaluko Місяць тому

    Yupo kwetu mbezi/makabe na anaendeleaj Sanaa yake km kawaida..

  • @Elizadaniel2
    @Elizadaniel2 2 місяці тому +1

    Huyu mtangazaji mnafki sana na mchonganishi sana

  • @SalumMmaka-o6w
    @SalumMmaka-o6w Місяць тому

    Mie siamini kua huyu ni mamaake kicheche

  • @abdiazizabdi9583
    @abdiazizabdi9583 2 місяці тому +2

    Korosho ni nini jamani

  • @JonathanMutua-y3w
    @JonathanMutua-y3w 2 місяці тому +4

    Weee mama acha kudaganya banah vevo ni mnyama

  • @rachelkihaka
    @rachelkihaka Місяць тому

    Jamani kwani huyu mama ake na kicheche si ndo kaigiza kama mwenye nyumba kwenye simba mweusi anaongea sana kuliko maelezo au so yeye jamani waonaji

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 2 місяці тому +5

    Aah huyu mama agiza na tabu mtingita kama tomboy?

  • @zakariawilliam-3816
    @zakariawilliam-3816 2 місяці тому +2

    Huyo mdada ni chaumbea Sana inatakiwa apigwe kibao 2 ya kutosha kabsa

  • @ChristerDanisha
    @ChristerDanisha 2 місяці тому +2

    Mbona Bado mdogo

  • @MadramaMartin
    @MadramaMartin Місяць тому

    ❤❤

  • @labankarani6973
    @labankarani6973 Місяць тому

    Baba Asma Ni mgani

  • @MuharamiNgasinda-eo3ld
    @MuharamiNgasinda-eo3ld Місяць тому

    Anatoa mizimu anatoa uchawi,

  • @MarthaMbega
    @MarthaMbega 24 дні тому

    Kicheche

  • @MuharamiNgasinda-eo3ld
    @MuharamiNgasinda-eo3ld Місяць тому

    Sio mwanae ni mipango ya mbengo tv

  • @Petersonkimombo
    @Petersonkimombo Місяць тому

    Mama yake na kicheche

  • @DesertTears
    @DesertTears 2 місяці тому +12

    😂😂😂 kicheche na marekani😂😂😂 waigizaji hawa😂😂😂 kwenda Congo tu ma picha na video kama yote ila marekani kimya kimya 😂😂😂

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 2 місяці тому +1

      😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂

  • @Fetty-i1v
    @Fetty-i1v 2 місяці тому +1

    Huyo ni mama mzazi kweli wa Kicheche? Mbona anaonekana ni mdogo?

  • @KichecheMakoti-y2jpacha
    @KichecheMakoti-y2jpacha 2 місяці тому +5

    Mbwa mimi nahitaji mahojiano apo pumbavu zako

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina 2 місяці тому +1

    Nataka kujua kuwa kwani kicheche alikuwa na subscribe wangapi UA-cam ili ni wajibu kisomi na kiricho fichwa hapa😢😢😢😢😢

  • @kalokazadogo4856
    @kalokazadogo4856 2 місяці тому +4

    Kumbe mama kicheche ni mtulinga 😅😅😅😅 kicheche mitulinga

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb Місяць тому

  • @KuruthumSaidi
    @KuruthumSaidi 11 днів тому

    Harudi sarama

  • @WinfredahAminga
    @WinfredahAminga 2 місяці тому

    Miogo tena😂

  • @jascinthakameleki104
    @jascinthakameleki104 2 місяці тому +3

    Marekani anaitwa tu, anaenda! Visa ya huko ni ngumu usitudanganye mama

  • @KIB-JSANLEY
    @KIB-JSANLEY 2 місяці тому

    Kicheke ndo nani

  • @BenjaminTz-fg1lu
    @BenjaminTz-fg1lu 2 місяці тому +1

    Dada wa mbengo tv umekua mweusi

  • @MuharamiNgasinda-eo3ld
    @MuharamiNgasinda-eo3ld Місяць тому

    Mbwa yy na mizmu

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 2 місяці тому +2

    Huyu dada si ni yule Dume jike wa tabu mtingita

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 2 місяці тому +1

    Lakini unajuwa lakini wew acha tu Ally Rodrigue south Africa nakukubali Sana

  • @Younomane
    @Younomane Місяць тому

    Nautu tumashavu twake nikicheche mtupu$

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb Місяць тому

    Nkupnd San

  • @AnnaGido-iw3pm
    @AnnaGido-iw3pm Місяць тому

    Kicheche kimemlamba

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 2 місяці тому +2

    Wajipe shughuli,... Wamuache mwenzao

  • @FadhilihabimanaLiverpool
    @FadhilihabimanaLiverpool 2 місяці тому

    Iko Americani state gani

  • @suleimanhemed9543
    @suleimanhemed9543 2 місяці тому +1

    Washamba na ushamba

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 2 місяці тому +7

    Wanajidai hawakuwa na taarifa ya mwandishi kufika. Waongo hao😂

  • @MuharamiNgasinda-eo3ld
    @MuharamiNgasinda-eo3ld Місяць тому

    Mbwa wewe na kicheche

  • @SammyDikongwa
    @SammyDikongwa 29 днів тому

    😢😢😢😂😂

  • @JustinKaoma-b7r
    @JustinKaoma-b7r 2 місяці тому +2

    Ni utumishi ngani mama anazungumzia?

  • @YUSUFUMBEZI
    @YUSUFUMBEZI Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 2 місяці тому

    😮😮😂😂😂

  • @JosephLaisa
    @JosephLaisa 2 місяці тому +7

    iiiii uwogo awesi kuwa mama kicheche bhana

  • @SharifaRashid-tg9kx
    @SharifaRashid-tg9kx 2 місяці тому +7

    Ila mbego siku utakuja kupigwa 😂😂😂

  • @AllyRodrigue-vb9ce
    @AllyRodrigue-vb9ce 2 місяці тому +2

    Nikwambia wewe

  • @bongeniiii
    @bongeniiii 2 місяці тому +2

    Pesa yote ilikua inapitia kwa Baba asma acha kukataa, na pesa walikua wanatolea pale segerea mwisho

  • @Siwenesaidexa
    @Siwenesaidexa 2 місяці тому +3

    😂😂😂😂

  • @AdelaMgaya-st1vb
    @AdelaMgaya-st1vb 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂