MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 496

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 роки тому +15

    Ushammaliza Sasa roho yako imetulia, nakama kweli we utatapa Sana, namwisho utakuja kuongea ukweli, mwanaume mmbaya we, halafu hata chembe ya aibu huna, tulia Sasa utachokitaka utakipata, nakama wekweli vile vile machozi wa baadhi ya watanzania hayatakuacha salama

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 роки тому +65

    Kila siku maneno ya shetani Nitamu Sana kuliko ya mungu kifo cha Rais wetu Tunakuchuku Sana lakin mungu ndiyo ujibu yote hakuna Atakae ichi milele duniani

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 2 роки тому +17

    Nakumbuka ulimpenda Sana membe awe raisi nasiyo JPM mungu akasema huwasipangiwi Mambo nataka JPM awe raisi chini kwachini mtaftano ukaaza nidhambi Sana lakini tunahasira mioyoni mwetu

    • @lovenesstweve8499
      @lovenesstweve8499 Рік тому

      Can u imagine hii nchi bwana tuna jificha uso ila moyo ni siri

  • @mercykileo7987
    @mercykileo7987 3 роки тому +4

    JPM NI THE BEST PRESIDENT IN TANZANIA. Hakuwa mnafiki na hakuwa mwizi kama waliomtangulia. kuondoka kwake dunia mlilazimisha,,...am sure you are very jealous of his achivement you guys who killed him. we know our enermies. He ashamed the enermies of Tanzania. I love Magufuli and hate the killers.

    • @paulmusa2378
      @paulmusa2378 3 роки тому +1

      Labda ni kweli sasa make hata sielewi chochote, mmmh labda!

  • @bizimunguadolphe1973
    @bizimunguadolphe1973 3 роки тому +19

    Kwa kweli Mimi ni murwanda lkini
    Nilipenda sana raisi magufuri

    • @hindukassimu8401
      @hindukassimu8401 Рік тому

      Yn inaniuma cn Kipind cha lais wet makufuli wat walikuwa wanaaman sana biashala kokote unafanya lakin sasaiv wat wanafukuzwa ovyoo amani akuna km kweli mlikuwa pamoja na lais wet makufuli faten alokuwa anafanya yy mbona kufa kwake km nifulah kwa watu kaliakooo wat wanafukuzwa Biashala azifanyik km kweli mnauchungu bc wachen watu wawe hulu katika mambo alotaka lais wet makufuli mungu amlaze mahali pema lais wet makufuli uko alip inaniuma cn asante laisi wetu
      Mstaafu jakaya km kweli mungu anakuon asant

  • @mikenjoro8197
    @mikenjoro8197 3 роки тому +6

    Hotuba faridi, pevu na yenye uchanganuzi mwafaka.
    Kongole Rais Mstaafu JK.
    Buriani Rais JPM...lala salama Jembe

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 3 роки тому +9

    Kikwete vumilia maneno ya wachache ambayo wanakuzushia bila wewe kuwajibu.. na Mkapa nani kamuua?
    Nyerere nani kamuua?
    Imani imekwisha na watu wamebakia na dhana tu

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 Рік тому

      Yeye turn.

    • @allyshija2613
      @allyshija2613 Рік тому

      R I P JPM, mungu ibariki Tanzania hongera J m k kwa hotuba nzuri usia wangu Kwa wenye maneno yasio na ushahidi tumuogopeni mungu,

    • @MwanaheryBudi
      @MwanaheryBudi 4 місяці тому

      Uyu mzee huwa akurupuki kijibu.

  • @azizamvungi6203
    @azizamvungi6203 2 роки тому +3

    toka huko..mnafiki wewe sana .unataka mwanao ridhiwani aendee kuuza madawa ya kulevia?kesho utaulizwa na Allah

  • @jacquelinemwakapola7959
    @jacquelinemwakapola7959 3 роки тому +7

    Wakati mwingine hata shetani hugeuka kua malaika😷

  • @annakimaro7125
    @annakimaro7125 3 роки тому +21

    Mungu anakuona ila hiyo safari ujue yakila mmoja sasa tunamwachia mungu atatenda kwawakati wake namajira yake Sisi Kama watanzania tumemkabidhi Mungu Kama kweli we...... Mungu akubariki Sana

    • @giztony2009
      @giztony2009 8 місяців тому

      Acha ujinga usiongelee vitu bila data

  • @georgebenard3923
    @georgebenard3923 3 роки тому +6

    Kweli siunajua mipango yote, ujumbe ulikuwa nao tangu tarehe 9 yaani mnatufanya sisi wajinga,

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 роки тому +37

    Allah azidi kukupa umri mrefu wenye manufaa Mh. RAIS WETU MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE, AAMIIN.

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 роки тому +4

    Aliyatimiza aliyoyakusudia. Sasa alifariki tarehe 15/03 au alifariki tarehe 17/03. Ulijua nini kilichokuwa kinaendelea

  • @mohamediazizi3658
    @mohamediazizi3658 3 роки тому +41

    Ila mzee wetu rais wetu mstaaf JK pls tunaombatu utaratibu aloweka huyu mdogo wako alotangulia mbele ya haki ungeni mkono utimizwe sio kafa na alivyotengeneza vife naomba zingatieni hilo napia muogopeni mungu wetu. Mungu mpumzishe pema aamen 😭😭😭😭

  • @athumanyusuph1099
    @athumanyusuph1099 2 роки тому +2

    Mtu mkubwa kama wew huwez kutuambia hukuwa na habari juu ya kifo cha mdogo wako...mim nnachojua akiondoka duniani taarifa zinapelekwa kwanza kwa watu wakubwa then ndo zinasambazwa kwa ndugu na majiran

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 3 роки тому +3

    Unajikosha kwenye hiyo public...unajiuma umaa tu but damu hiyo ipo juu yenu..gonna payed but GOD

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 роки тому +5

    Kauli hiyo ya Kikwete kuwa hakujua Hadi akaona kwenye TV Ni uongo!

  • @mariambmganga8674
    @mariambmganga8674 2 роки тому +1

    Kwani makamu atavaze msiba bika kukujuza wewe jama rais msitafu ivi unasemaje wewe? Mbona sikuerewi?

  • @khamikhan4805
    @khamikhan4805 3 роки тому +5

    Nimejisahau muda wote najua namsikiliza Mr president JK daah huyu ana busara maneno yake huchoki kumsikiliza

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 3 роки тому +3

    Tatizo ukweli ulitakiwa kuhusema wakati akiwa Hai.kinacho tupa mashaka,JPM aliongea hivi,wewe lazima umpinge.mpaka JPM aliwambia wazee wastaafu,kaeni kimya.wakati mnatawala hakuna aliye waingilia.mikataba iliyo sainiwa kwenye ndege,......TUTAMKUMBUKA JPM DAIMA.

  • @muhimbesingh4468
    @muhimbesingh4468 3 роки тому +12

    Congratulations my former President Hon.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.💟💟💟👍👍👍

  • @jumachristopher1399
    @jumachristopher1399 3 роки тому +12

    Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwete ubarikiwe kwa busara na hekima zako 🙏🏼🙏🏼😥

  • @kasililamecksatano7302
    @kasililamecksatano7302 3 роки тому +14

    Huyu mzee safi sana

  • @hassanjuma2688
    @hassanjuma2688 3 роки тому +6

    ALIKUWA JEMBE LAKO ILA MLIPOTAKA AWE PUPPET WENU ALIKATAA NDIPO UADUI UKAANZA...WAARIBIFU WA NCHI NI WALE WALIOZOEA KUIBA NA KUTAKA RAISI ALIEMADARAKANI WAMTUMIE KWA MASLAHI YAO YA LEO NA KESHO..RAFIKI WA KARIBU NI ADUI MBAYA SANA

  • @missmrs829
    @missmrs829 3 роки тому +5

    Mmmmh et nasikia wewe ndo chanzo cha kifo cha magufuli??? yaan ktk viongozi wa Tanzania nilimpenda sana magufuli sanaaaaah tu ila nyinyi wapiga pesa tu

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 2 роки тому +2

    Taarifa ya kifo mama alitoa taarifa ile usiku
    Wewe nahoa wazee wenzio mlikuwa mnafanya kaka mkuu

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 3 роки тому +4

    Mama janet kama hakuskilizi hivi anakuona kabisa sio mtu mwema kwake

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 3 роки тому +2

    Ukweli ktk watu ambao huwa siwapndi kuwaona wala kuskia saut zao ktk taifa hili la tz we kikwete ni number1 hakika huwa staki hata iona sula yako yani sjui nikwanini japo skujui 😡😡

  • @respiciusjoseph2293
    @respiciusjoseph2293 2 роки тому +2

    unachoongea na kilichokuwa kinaendelea havina ushirikiano nadhan umeshindwa mamna nzuri ya kupangilia nn cha kusema Mungu n mwema kakunyima maneno ya kuongea.. so everything was being put clear kwa hiyo siku... RIP JPM tutaonana baadae......

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 3 роки тому +5

    .....mm na magufuli wangu tuuu...pumzika magu wetu....

  • @aishaharuna4118
    @aishaharuna4118 3 роки тому +4

    Mh kumbe mmependa kufa magufuli mungu atawaona

  • @jshshhhsywuuw6047
    @jshshhhsywuuw6047 3 роки тому +17

    Mungu ibariki Africa mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania wote mungu ibariki familia ya mzee kikwete'

  • @saimonsimon9446
    @saimonsimon9446 2 роки тому +3

    Kukaa na rafiki asiye na faida
    Ni sawa na kukaa na adui asiye kudhuru

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 3 роки тому +2

    Hv mpaka makamo warais anatangaza msiba wamagu ww hunahabari jamani

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 3 роки тому +6

    Waliopita walipita ktk kuongoza nchi hii ni safi sasa kama wataruhusiwa hawa watu tutarudi shidani hatupendi kurudi nyuma mambo mengi yalizorota yamewekwa sawa,sitegemei myachafue.

  • @meaa2262
    @meaa2262 3 роки тому +15

    Rais Kikwete is very articulate 👌 RIP Rais magafuli ✝️🕊️🕊️🕊️till we meet again God willing

    • @deogratiustweve2611
      @deogratiustweve2611 Рік тому

      Mbonaweweunatosha namamayetu Samia tunawaombea muishi miaka mingi

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 роки тому +30

    Umeongea vizuri sana Mzee Jakaya Kikwete tuendelee kushikamana ndugu zangu Watanzania

  • @esteredward6980
    @esteredward6980 3 роки тому +2

    Hunalolote umrfurahi iliuendelee kutawalatena usimtaje jpmwetu mnafikiwewe barabara nyeupo kufanya mamboyenu

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 3 роки тому +2

    Ukweli ktk watu ambao huwa siwapndi kuwaona wala kuskia saut zao ktk taifa hili la tz we kikwete ni number1 hakika huwa staki hata iona sula yako yani sjui nikwanini japo skujui 😡😡

    • @andersonmwenda6390
      @andersonmwenda6390 2 роки тому

      Ni kwa ajili ya ujinga ulionao tu,hakuna kingine

    • @MwanaheryBudi
      @MwanaheryBudi 4 місяці тому

      Kama humjui unaanzaje kumchukia kama si ujinga wako wa kusikiliza maneno ya mtaani

  • @Katabapictures
    @Katabapictures 2 роки тому +2

    Mlianza na mkapa ili mmutoe jpm innalillah wainnalillah lajun

  • @kassimloav2402
    @kassimloav2402 2 роки тому +2

    Tutamkumbuka alisema namkumbuka na Nina muombea am week pena pepon mungu wewe ndiio kimbilio

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 роки тому +2

    yaani mtu unajifanya ujui kitu heti nasikia nasikia tu duuh aisee wewe mtu mbaya sana

  • @amaniabdi9755
    @amaniabdi9755 2 роки тому +2

    Acha upumbavu wenu,Huyo tarehe yake ilifika Mungu kamchukua.acha maneno yenu ya kishetani.

  • @kulwamussa3612
    @kulwamussa3612 2 роки тому +1

    wewe ni mnafiki nanimshenzi wanchihii tushakujua kilakiti apoloho yako imelizika sana kwani huu ulikua nimpo kifochamagur kime tengenezwa nawananchi tushawajua maadui watafuna nchii nawashenzi leobilahaya mbele zamungu unajitoa kimasomaso lakini mkumbuke baada yakuondoka kunahukum yahaki kabulini nakesho kiama kwasasa hakuna mtanzani mtakae mdanganya tunafatili mpaka mavi tunayapekua hata uficheje tutajuatu leo watotowenu unawadi wanasoma shule zakingeleza sawa elim simmeihalibu wenyewe kimakusudi ili mtoto wafukala asipate ulaisi nandivyo ilivyo wewe hatuna imani nawewe mpaka kizazi choko hatuna imani nacho mtoto wanyoka ninyokatu

  • @mamayohana9461
    @mamayohana9461 2 роки тому +15

    Mzoefu kweli ulichokifanya tunakiona nchi nzm na dunia yoote asante kikwete Mungu anakuina

  • @kcgangfamily001
    @kcgangfamily001 3 роки тому +20

    Poleni watanzania kwa msiba wenu ila Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

    • @bizijustin9201
      @bizijustin9201 3 роки тому

      Poleni ndugu zetu watanzania. Tumepoteza kiongozi asiye was kawaida. Tulimupenda JPM ijapo sisi so watanzania. Nafurahia sana Tanzania kuwa na viongozi wenye nia nzuri.

  • @kilalaurio9922
    @kilalaurio9922 3 роки тому +9

    Mungu ashambulie wote wasemao uongo.

  • @gastontimiza3899
    @gastontimiza3899 3 місяці тому

    Maisha marefu kwako mzee kikwete
    Endelea KUPUMZIKA KWA AMANI chuma chetu JPM tutakukumbuka daima

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 3 роки тому +3

    Wezi anzeni kuiba maana tumesikia wizi umetokea, mzuka wa magufuli na machozi ya watanzania yatawatesa mno

  • @ruthyohana23
    @ruthyohana23 2 роки тому +1

    Mkutano was saa sita usiku acha uongo

  • @issaibony3474
    @issaibony3474 3 роки тому +5

    Hapa hukumumunya maneno mstaaf kikwete hengera Sana kwa hutuba nzur

  • @jackgorshowusa5943
    @jackgorshowusa5943 7 місяців тому

    Rais akifariki vipi itangazwe kabla ya Marais wastaafu kuelezwa. Makosa makubwa Tanzania.

  • @richardmichael1965
    @richardmichael1965 2 роки тому +5

    Baaada ya kifo cha jpm na mienendo ya maneno yalivyo endelea inanipa mashaka saana uhai huuu tunaootumia ni wa mungu namachozi ya watanzania wengi mungu anayaona sizani Kama wanashiba yuda daada ya kumsaliti yesu kwa pesa aliona amefaulu kilichomfanya akajinyonga nn tena no comment

  • @aliymwazoa3051
    @aliymwazoa3051 2 роки тому +2

    Usafi wa moyo wako utawazeesha wote wenye chuki na husda na wewe watakuona kijana siku zote

  • @kulwamussa3612
    @kulwamussa3612 2 роки тому +1

    Sasaivi unatambatu kunakuishi nakunakufa iyolazima namalipo mtakutahuko

  • @seducerkapero7306
    @seducerkapero7306 3 роки тому +6

    kuna nyimbo naitafuta naoma anaye ufahamu aniaandikie jina lake hapa ni bolingo ya hapahapa bongo kuna sehemu wanaimba "yuda alimuuza bwana yesu...kuna maneno yanendelea mbele ila siyakumbuki.

    • @amrikibazo9429
      @amrikibazo9429 3 роки тому

      Inamalizikia akafia msalabani na kufufuka siku ya tatu

    • @seducerkapero7306
      @seducerkapero7306 3 роки тому

      @@amrikibazo9429 izo sasa fujo mi niko serious labda sikutakiwa kuuliza umu,nimejaribu ulizia wanaonizunguka pia hawajua.ni bolingo sio ya dini

    • @munguanaishitv
      @munguanaishitv 3 роки тому

      Akudo impact

    • @calabash4221
      @calabash4221 3 роки тому

      Kaini alimuua Abel....FM academia..wimbo unaitwa ACHA TAMAA

    • @evansmtambo3394
      @evansmtambo3394 3 роки тому

      nadhani ni ile Yesu alivyomjibu Yuda "wamsaliti mwana wa Adam kwa kumbusu"

  • @tusaangulile1400
    @tusaangulile1400 2 роки тому +1

    Mtu mbaya anaonekana kwenye msiba unacheka ama umefulahi ufaidike

  • @ksnjos001
    @ksnjos001 3 роки тому +5

    Kama angekuwa hamtaki asingeweza kukaa uwaziri muda wa miaka kumi... wadangaji njaa wengi sana duniani Kweli mzee wangu JK

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 3 роки тому +15

    Huyu jamaa kwenye hotuba amebarikiwa! Na anaonekana ni mtu mnyenyekevu.

  • @joycemosha1898
    @joycemosha1898 5 місяців тому

    Jamhuri ya muungano wa africa duniani kote hela za walipakodi mnajengeana nyumba nuts kwa marafiki maraisis kwa hela za wold ba ki ya mab araba ndiyo maanaa aarabu you know what's going to football today's issued to yourselves towardss mwendazake died hess not speak specially for in stoo yatoke ajiuzulu uongozi ameshindwa uongozi kwanza zile zawadi za africans zitoke akaatoe mshegelwa mshengelwa ndiyo are kuhutubia mawaziri waliokuwa hawapendwi wabadilifu anaowaongoza kuwaongoza endeleza za mwendazake alikataa bandari kupewa wachina bagamoyo alisema ni kichaa aliyefanya haya miaka 99 kumilikizia kufilisi nchi yetu ya utajiri wetu duniani simu huzipati tenancy nimelalaaaa jasusi kutangaza kifo chake chase makamu hayuko tanganyika

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 Рік тому +3

    Mh! Imani yangu naamini watu wenye uchungu na NCHI hii niwatu wa KANDA ya ZIWA.
    NI NYERERE NA MAGUFULI TU.
    Wengine niwatoto wa mjini waliozoea kula mkate na maziwa japo kwa kugawa walivyonavyo.

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 3 роки тому +4

    Mnakinyongo na JPM, afu maneno yako kuna uwalakini. JPM Kafanya makubwa sanaaa. Nyinyi ni kujitapa na mipasho lakini vitendo empty!!

  • @gilbertjoseph5539
    @gilbertjoseph5539 3 роки тому +11

    Wisdom man I currently understand

  • @danielmollel5538
    @danielmollel5538 Рік тому

    wee ni mzooefu wa kuuwa. tunakujua usizani atujui. nyinyi ndio amtaki kuona watanzania wakifaidi matunda ya inchi Yao. mama mshamueka kidedea aezi fanya kitu kama amjui. maana mshazoea kunyonya Mali ya wa Tanzania. MTU asie kujua akisikia ukiongea anaeza akasema wee ni kiumbe kizu Sana kumbe wee ni mnyama kupita kawaida. mtoto wako aliona kitu ndio maana alikuliza hivyo.

  • @linaryugen6400
    @linaryugen6400 3 роки тому +9

    Yaani. Nakuprndaga sana msaafu wetu

    • @andersonyshauri9220
      @andersonyshauri9220 3 роки тому

      Yani kuongea kwako msitaafu huwa sichoki kukusilia umejariwa sana hekima na busara mungu akuweke na pole sana na kuumia

  • @yohananyamaruri9105
    @yohananyamaruri9105 3 роки тому +2

    me nakuchukia sana kikwete nakuchukia sana,haiwezekani baada ya kifo cha mpendwa wetu jpm maneno yanazagaa mitandaoni kwamba ww ndo unahusika asilimia 100,lisemwalo lipo kwa nini asisemwe mwinyi,ujue kama unahusika basi umetengeneza vita na MUNGU machozi y watanzania masikini yatakulilia daima.

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 роки тому

      Namie nasema kama kweli, kwakweli amelia watu nawengine kupoteza ndugu zao wakati wakiaga mwili wa magu, kwahyo kama kweli ameuwa mpaka was na hatua huyu baba da acha 😭😭

  • @BakuzaSimon
    @BakuzaSimon 8 місяців тому

    Machonyetu akili zetu ufahamu wetu unauwezo wa kuchambua meme na mabaya nani MZURI na nani siyo tutakutana Kwa Mungu Kwa kuwa SS sote ni wajabwa Mungu Kila nafasi itaonja mauti

  • @MwalimuFikirini
    @MwalimuFikirini 5 місяців тому

    Hotuba yake ni kama riwaya fulani niliwahi kusoma nilipokuwa shule ya upili.

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 3 роки тому +10

    Napenda hotuba zako bure

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 3 роки тому +3

    Watoto wenu wanasoma shule za kingereza ulaya wakati watoto wa watanzania hata shule za kata hawakuenda ila magufuli ndio aliyeona umuhimu wa watanzania wanyonge hamna kama magufuli wengine maneno laini kumbe wapigaji2

  • @saidyomary1671
    @saidyomary1671 2 роки тому +2

    Kama kweli umemua makufuli kwa ajiri ya kusaini mikataba yako kihuni mungu atajibu

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 8 місяців тому

    Mmmmmhhh JPM vichaa wamemuondoa mzalendo waingie mikataba ya ovyo mtaona hata miaka 3 haitafika atatukomesha.

  • @IssackMaingu-ng5lk
    @IssackMaingu-ng5lk 10 місяців тому

    Rais aliyejawa na unyenyekevu, uvumilivu, busara, hekima na utashi na kupendwa kwa makumi, mamia, maelfu na mamilioni ya watu

  • @salilamsigwa4323
    @salilamsigwa4323 3 роки тому +7

    Ila huyu baba nampenda sana mzee wa hekima na tabasam tu

  • @hamsodadyhamso
    @hamsodadyhamso Рік тому +2

    Daha kwa kweli imeniuma sana

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 2 місяці тому

    Samahani jamani mhe daktari Rais Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya nne.
    Nakuombea nikiwa na akili zangu timamu nilimchumbia Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu mtarajiwa jamani nakuomba uniombee kusudi aharakishe hiyo Ndoa yetu tukufu yaTanzania Bara na Visiwani salama salimini na haraka itakavyowekana mkuu.

  • @mzalendohuru...4967
    @mzalendohuru...4967 2 роки тому +1

    Acha unafiki mrisho u know what u did 😏

  • @bintmailiga8184
    @bintmailiga8184 3 роки тому +6

    Da inauzunisha kwa kweli mungu akuzidishie umri mrefu raisi wetu mstaafu mh kikwete il uendelee kuungana na rais wetu mh Samia tukiwa na watanzania tusiyumbe tusiiyumbishe Tanzania yetu Mana nyinyi ndio tegemezi letu na mungu yu pamoja nasi na mungu ilaze roho ya mpendwa wetu ,jembe letu ,mkombozi wetu J.P.Magufuli mahali pema pepon amii ama kweli ili pigo kwa watanzania

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 3 роки тому +12

    Duh! Usilolijua ni usiku wa giza.... Nimekuelewa JK nimechagua kuyaamini maneno ya kinywa chako kuliko kuyaamini maneno yasiyo yako....REST IN PEACE JPM

  • @robertigohe9338
    @robertigohe9338 3 роки тому +4

    Wape pole wafiwa tu, mengine siyo sehemu na wakati wake

  • @khadeejaalmahri6217
    @khadeejaalmahri6217 3 роки тому +3

    Wallah watanzania tunakuamini asilima Mia shujaa wetu wanaosema hukua unampenda magufuli wajiulize ulipokua Rais kwani Kuna ambae alikua Ana uwezo wa kukulazimisha umteue kuwa WA,ziri kwa kipindi chako chote?

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 7 місяців тому

    Wakati huo ulitengana naye, Hotuba ya sasa ina nn.usitafute umaarufu kupitia marehemu.

  • @emmanuelmsalika1444
    @emmanuelmsalika1444 3 роки тому +2

    Hata chizi anaweza akaelew kinachoendelea

  • @zulfakassim7050
    @zulfakassim7050 3 роки тому +11

    MH. JAKAYA MWENYEZI MUNGU Aendelee kukupa maisha marefu

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 3 роки тому +13

    Allah saidia Tanzania yetu

  • @byamukamawilliam760
    @byamukamawilliam760 3 роки тому +14

    Rest in internal peace magufuli

  • @samiridrisasimba4011
    @samiridrisasimba4011 3 роки тому +22

    Mh Jakaya Mrisho kikwete Asante kwa hutuba yko nzuri zidumu fikra za Magufuli ,tusicheze na ngoma za maaduwi ,Watanzania tushikamane ,tumuunge mkono mh Samia Suluhu mwisho namuomba mh Samia asichoke kusimama barabarani nakusikiliza kero za wananchi pls masuala ya lockdown mwiko TUDUMISHE FIKRA ZA MH JOHN POMBE MAGUFULI

  • @wazirisaidi5116
    @wazirisaidi5116 3 роки тому +7

    Namkubali sana Kikwete.

  • @bfox3549
    @bfox3549 7 місяців тому

    Who’s here after Lowassa’s death? Wale waliosoma Cuba wataelewa

  • @ezekieltairo1086
    @ezekieltairo1086 Місяць тому

    Ogopa sana kitu cha kusoma kilichoandikwa ndo ukiongee kiufupi tunabaki na maswali kichwani je akiongea kutoa kichwani atajikuta anakosea ama kuna vitu baadhi vya muhim atavisahau ama atachanganya mafaili sikosi maswali

  • @godfreykitebo7382
    @godfreykitebo7382 2 роки тому +1

    Kumbe taarifa ilikuwa nayo mapema ulipokuwa na wazee siku Ile tena Samia anatangaza taarifa unayo

  • @khadujifuad9360
    @khadujifuad9360 3 роки тому +11

    Kikwete i love you sooo much my dear father my x president.. busara zako nazipenda sanah
    Mwenyezi mungu akupe umri mrefy wenye afya njema
    Amin

  • @Lupirya
    @Lupirya 6 місяців тому +1

    RIP

  • @oneclick2023
    @oneclick2023 3 роки тому +13

    mzee kwa speech ,huwa nakaa kwa kusikiliza sana busara zako since ukiwa Rais.

  • @praizematagi7818
    @praizematagi7818 3 роки тому +7

    Tutakukumbuka dady jpm!!!!!!

  • @deodatusbernad9323
    @deodatusbernad9323 2 роки тому +3

    Kweli baba we we ni mzalendo wa kweli

  • @esteredward6980
    @esteredward6980 3 роки тому +1

    Nendazako uongotu kajipongezeni na shetan wenu

  • @johnmfutakamba4837
    @johnmfutakamba4837 Місяць тому

    Kila nafsi itaonja umauti;muhimu katika maisha yetu tumefanya nini katika maisha ya wenzetu hapa Duniani!

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 7 місяців тому

    Fisadi nmwenzio katangulia bado wewe wezi wakubwa

  • @peterngorongo6138
    @peterngorongo6138 3 роки тому +2

    Umetulisha mahewa tu