SIMULIZI ZA MAISHA YA MSOMERA KUTOKA KWA WAKAZI WALIOHAMA KWA HIARI HIFADHI YA NGORONGORO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 18 днів тому

    Wanaosupport ni ccm damu damudamu

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 13 днів тому

    Hili si jukumu lenu. Fanyeni kazi mliyopewa ya ukandarasi. Siasa za kupigia debe maamuzi mabovu si yenu achieni wenyewe masala wao.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 18 днів тому

    Wekeni vivutio barabara njia.2ntmya rami.na taa.barabarani

  • @kingmdogo-fb5td
    @kingmdogo-fb5td Місяць тому +1

    Yangu macho ila sioni mbele kuhusu hili

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 3 місяці тому +2

    Hasara mliyowasababishia hawa ndugu haitalipwa. Wamepoteza maisha yao ya asili mbali na kuacha urathi wao. Wamehama kwa hiari au wamelezimishwa ili kupisha ufisadi na ugaidi uitwao uwekezaji ambao kimsingi ni uchukuaji. Kumbe sasa tunatawaliwa na akina Mangungo wapya?

  • @labismarite7219
    @labismarite7219 Місяць тому

    Hamna jambo

  • @seurimasaitz4958
    @seurimasaitz4958 2 місяці тому +2

    Rubbish news.
    Urithi wa ngorongoro ni maisha ya jamii ya Maa. Na hao wanaohama sio kwa hiari bali ni vile vipesa wanaodanganywa pia watapewa ndoo inawasumbua ndugu zangu hao. Yaani unawatoa raia wa nchi yako kupisha mgeni? Ufisadi mkubwa sana.