Wote wanaoshiriki kuuza Ardhi hii ya tanzania nina uhakika mbali na kifo ambacho kinatusibiri sisi wote ....Ila nasema yeyote Alieshiriki kuuza Aridhi hii ya Tanzania kwa waarabu huko falme za kiarabu Nasema itawatafuna kabla ya kifo chao hakijafika kwamana hii lazima ulimwengu ushuhudie ulichofanya❤
Lakini kwa nn wahame?? Hiyari imetoka wapi wkt mwanzo walikataa?? Hifadhini wameishi miaka mingapi toka tz iumbwe? Kwa nn watumie gharama kubwa Ivyo kuwajengea nyumba na kuwahamisha?? Ngorongoro kunani? NI masuala ya hifadhi tu au Kuna kingine?
hukuki nikuha kwa kulazimishwa huwezi kosa huduma zamsingi ukaendelea kukaa pale yani kunahuduma zimesitishwa kutolewa ili uhame mwenyewe kwahiyo unaona kwanini nifie hapa misri unaondoka mwenyewe kwwli tanzania nishidaa tupu
Kama wanapata mahitaji stahiki bora ya kibinadamu hakuna ubaya,na siyo ngorongoro tu kuna maeneo kama Ngarenaro, ungalimited sio sehemu salama kwa binadamu, hakuna njia faire,TANESCO idara maji wapite kutoa huduma
ulielewa alichomaanisha yule mbunge? ni kwamba kuwe kuna usawa katika kupata Ajira kati ya vijana wanaopitia jkt na wasipita jkt kwa sabab wapo vijana wanaofanya vizur lakin hawakupita jkt na wapo vijana wasiofanya vizur na wamepita jkt
Acha kuchanganya mada kama sio ajira za majeshi ni waajiriwa wa sekta nyingine mwanajshi anaajiriwa akifamaliza mafunzo yao yaani unaongea ukiwa umejiamini na kiwatusi wahaya
Nyie wamasai mnaoshangilia maafa mtakuja shangaa na kujuta na Maisha baadhi yenu mnavyoambiwa mseme mtandaoni. Mmeonyeshwa mahali pa malisho ya ngombe zenu au kuanzia sasa ufugaji bye bye?
jamani kweli ni nyumba ambayo anastaili kushi mtuu karnee hii utasema ni nyumba yamabox watoto anajifunza kujengaa huu nimsiba ndugu zangu msipo badilika kubadili hii serekali kunasiku mtachimbiwa mashimo chini ya arizi muambiwe muishiii
Ng'ombe mmoja anahitaji eka moja je mtawatosheleza au mnakaribisha ugomvi kati ya wageni na wenyeji. Je ardhi mnayoichukua kutoka kwa wenyeji je mnawafidia? Maana sheria zipo wazi kua hata kama ni kwa manufaa kwa nchi, serikali inatakiwa itoe fidia. Sasa ukweli ni kua hakuna fidia inayotolewa.
Maana yake kero ya zanzibar kushiriki jumuiya ya africa mashariki , maana yake Tanganganyika ishiriki kama tanganyika na sio Tanzania , sasa hapo tunasema serikali 3 muhimu ambayo itakua , Tanganyika. Zanzibar na Tanzania Maswala ya Tanzania na zanzibar au Tanzania bara hakuna nchi duniani inaitwa Tanzania bara au visiwani maana hata Tanganyika ina visiwa
Naipongeza serikali kwa hizi juhudi. Kwanza kuwawezesha makazi mapya. Pili tanga ina ardhi yenye rutuba watapata chakula na mifugo itapata chakula. Ngorongoro ni hifadhi ya wanyama pori ile hifadhi inatakiwa irudishe uhalisia wake. Kuongezeka kwa watu ngorongoro kunaharibu mazingira halisi ya eneo hilo. Na ikumbukwe kuwa eneo hili la hifadhi ni zawadi Mungu alitupa hakuna eneo lingine duniani ambalo lipo kama ngorongoro. NAIPONGEZA SERIKALI KWA HATUA HII. Na mimi nafikiri huu ni mpango wa mungu, maana Mungu hatorudia kuitengeneza eden. Sisi wenyewe tutairudisha eden
Hongera raaisi wetu mpendwa kwa kuwajali raia hawa wa kimasai!!hakika unaupiga mwingi,wanaojiita wapinzani watasubiri sana!! alllah akulinde na MAHASIDI!!
watanzania fungukeni akili sio mnapongeza tu serikali huku wanauza urithi wetu mbona mnakua manyumbu sana hawa wameondolewa kwasababu miaka ijayomtanzania ataingia Ngorongoro kwa paspot
Siyo miaka ijayo, tayari tunaingia na passport ya mpiga kura ambayo umepigia ngorongoro, kama hujapiga huingii labda ulipie permit kama wazangu vyenye wanafanya
Mmebaki nyie mnaoopongeza serikali siku wakiamka wakawaambia nyie sio watanzania sijui mtasemaje yaani mtaambiwa nyie muame nchi hii mpelekwe Malawi ukoo😅😅😅😅😅😅😅
Mm najiuliza, Unajenga nyumba ya vyumba 3 maana yake vyumba 2 na sebure Moja! Mimi nanvyojua wamasai Huwa mwanaume Mmoja anakuwa na wanawake 3 had 4 na watoto zaid ya 12 . Je, kama unampatia familia Moja nyumba Moja ataishijee lkn?? Mnanyanyasa watu Kwa mamlaka mliyonayo! Hizo mbazoliport nyie maliporta mnalipo hizo ndogo tu za walio maskini ambao wanafurahia, je wake walio na Mali nyingi wanapigwa wanakufa . Mbunge hasikilizwi
Kwahiyo ulitaka wajengewe nyumba za vyumba 12 au killa mwanaume mwenye familia ajengewe nyumba 3 hadi 4 kwavile tu unaamini kila Mmasasi ana wake 3 hadi 4? Na kwanini useme eti "...maana yake ni vyumba 2 na sebule 1" wakati umeshaambiwa vyumba 3? Yaani wamekufafanulia kabisa kwamba chumba 1 cha wazazi, 1 cha watoto wa kike, na kingine cha watoto wa kiume lakini bado unatoa tafsiri zako za eti "chumba 2"?
Mtu kashasema chumba kimoja cha wazazi viwili vya watoto wakike na kiume sasa unataka upindishe kauli za wenye nyumba uweke fikra zako Heka 2 na nusu makazi Heka 5 za kulima serikali ulitaka iwape nini tena Nyonyo??? Wengine ad wanafurahia na wamesema ila ww tena kwavile unepewa mdomo wa kuongea basi huna budi kuongea lako
Ng'ombe mmoja anahitaji eka moja je mtawatosheleza au mnakaribisha ugomvi kati ya wageni na wenyeji. Je ardhi mnayoichukua kutoka kwa wenyeji je mnawafidia? Maana sheria zipo wazi kua hata kama ni kwa manufaa kwa nchi, serikali inatakiwa itoe fidia. Sasa ukweli ni kua hakuna fidia inayotolewa.
Good job vijana wa JKT Mungu atawalipa kwa kazi yenu njema
Watu wamezaliwa Ngorongoro watapelekwaje Mkoa wa Tanga?
MIRAD AYO,,NDIO MOJA YA VYOMBO VYA HABARI AMBAVYO NAVIKUBALI,,, HONGERA SANA RAIS MAMA SAMIA KWA KUWAJALI WATU WETU,,,
mujue mutakufa tu muache kila kitu munanyanganya kimabafu😂😂😂😅
mmewaamisha wamaasai ili muuze ngorongoro. wananchi kazi kutukuza tu
Wote wanaoshiriki kuuza Ardhi hii ya tanzania nina uhakika mbali na kifo ambacho kinatusibiri sisi wote ....Ila nasema yeyote Alieshiriki kuuza Aridhi hii ya Tanzania kwa waarabu huko falme za kiarabu Nasema itawatafuna kabla ya kifo chao hakijafika kwamana hii lazima ulimwengu ushuhudie ulichofanya❤
Wewe umeletewea dini mpaka na mzungu au hujajiona? Babu zako wa 1800 walikua dini Gani?
@@Moc.khalfan so maendeleo ni dini?...🤺
Acha bangi kuna maana hauelewi nn au unatetea nn?@@Moc.khalfan
@@Moc.khalfanhapa siyo swala la dini, ni kuuza nchi kwa Waarabu😢
Aya bana yote tumwachie Mungu mkuu. Amen.
Watanzani hawo ni watumwa wa mwarabu . Mnanyanyasa. Wenzenu kwa vipande vya pesa mungu yupo ,.
Kweli mungu awabariki kweli zaidi ya sans
Mshenzi tuu amehongwa..umehogwa nyinyi ni watumwa.tuu.
Lakini kwa nn wahame?? Hiyari imetoka wapi wkt mwanzo walikataa?? Hifadhini wameishi miaka mingapi toka tz iumbwe? Kwa nn watumie gharama kubwa Ivyo kuwajengea nyumba na kuwahamisha?? Ngorongoro kunani? NI masuala ya hifadhi tu au Kuna kingine?
hukuki nikuha kwa kulazimishwa huwezi kosa huduma zamsingi ukaendelea kukaa pale yani kunahuduma zimesitishwa kutolewa ili uhame mwenyewe kwahiyo unaona kwanini nifie hapa misri unaondoka mwenyewe kwwli tanzania nishidaa tupu
I wish them good luck, Mungu awalinde na awatie nguvu sana, Asanteni kwa kueshimu maamuzi ambayo yanania njema,❤
Sasa wanyama mtafuga namna gni??
Hongera Raise wetu mama Samia umebadilisha maisha Hawa wafugaji kiukweli no mazuri
wanajeshi ni waaminifu sana, wapewe na sehemu nyinginezo
Mungu atawalaani na tayari mnalaana kinacho fuata mtakiona,
Kinachoendelea hapa sio sawa ila wengi hatuwezi kuona wala kuelewa kwa sasa. Let’s just wait and see
Wanajeshi wetu wamefanya vyema sana ,nachotamani ni kuona wamasai hawaachi utamaduni wao
JKT❤
Salut kwa jkt❤
Huyo Mwenyekiti wa Kijiji Ana akili na nusu 🎉🙏👍👍
🇹🇿mbuga Imeuzwa kwa kwa waarabu.
Mwaarabu ana nguvu ya pesa
Tatizo ufinyu wa akili ndio janga Lataifa
Sasa unauhakika kua wameuzuwa waarabu au unachuki za kupandikizwa
Tatizo lenu nyie mnashindwa kutofautisha kati ya Ngorongoro na Loliondo.
Lakin msiwazuie kutumia miti shamba , hzo ndyo dawa zao za asili na zinawafanya kuishi mda mrefu pia
MIMi HUWA NASHANGAA.KWANN WAWEKEZAJI WANATAKA SEHEMU TULIZO WEKEZA SISI SI NAO WAKAANZE WAONE UCHUNGU WA KUANZISHA JAMBO
Mmmmh naona magari ya mjombaaa .....ama kweli maji hayaendi mlimani
Kazi nzuri sana
Mama Samia Mungu akupe maisha marefu .......
Hongera sana kwa Serikali yetu kwa kazi nzuri
❤❤❤Thanks Commander's Kazi Kazi
Afisa Tarafa ni one of the best English teacher hajawai tokea Tanzania kafaulisha watu wengi sana
Nyumba au choo ni vituko kweli TZ
Mmehoji wageni au wahamiaji mbona hamjawahoji wenyeji kujua changamoto wanazozipitia kutokana na ujio wa wageni?
Umenena vyema
Msisahau na masikiti na chuo cha watoto kusoma quran. Allah atuwezeshe.
Safi sana selikari
Arthi ya asili ina thanani Sana kuliko hizo nyumba. Asili nibora kuliko artficial
Kama wanapata mahitaji stahiki bora ya kibinadamu hakuna ubaya,na siyo ngorongoro tu kuna maeneo kama Ngarenaro, ungalimited sio sehemu salama kwa binadamu, hakuna njia faire,TANESCO idara maji wapite kutoa huduma
Safi sana serikali yetu unafanya vizuri sana
Tunavyojua kabila letu ni kuwa na mke zaidi ya moja je hilo mmezingatia?maana naona family inakabidhiwa nyumba moja
NA ENEO LA EKARI 2.5 ILI MWENYE FAMILIA KUBWA AWEZE KUWA NA SEHEMU YA KUONHEZA NYUMBA
Alaf anatokea mhaya mmoja amevimbiwa ndiz anasema jkt kisiwe kigezo cha ajira za majeshi ili hali vijana hao wanafanya kaz kubwa sanaa cijui hawaoni
ulielewa alichomaanisha yule mbunge? ni kwamba kuwe kuna usawa katika kupata Ajira kati ya vijana wanaopitia jkt na wasipita jkt kwa sabab wapo vijana wanaofanya vizur lakin hawakupita jkt na wapo vijana wasiofanya vizur na wamepita jkt
Jkt kisiwe kigezo cha kupatia kazi serikalini.
@@hamadsheni8997 yeah mbunge alikua na hoja kweli na jkt iwe hiari sio lazima
Acha kuchanganya mada kama sio ajira za majeshi ni waajiriwa wa sekta nyingine mwanajshi anaajiriwa akifamaliza mafunzo yao yaani unaongea ukiwa umejiamini na kiwatusi wahaya
Wamasai mtajuta
kwann
I really dont know the motive behind!
Kwa nini msiwape waarabu huko??? Mungu anawaona
Hongereni makamanda. Mko makini
Mimi siungi mkomo unatowa watu unapereka watu ???🇹🇿🇹🇿🇹🇿😳😳😳
Nyie wamasai mnaoshangilia maafa mtakuja shangaa na kujuta na Maisha baadhi yenu mnavyoambiwa mseme mtandaoni. Mmeonyeshwa mahali pa malisho ya ngombe zenu au kuanzia sasa ufugaji bye bye?
Mmwiguru Kara tenda
Saluti sana kwa askari wetu
jamani kweli ni nyumba ambayo anastaili kushi mtuu karnee hii utasema ni nyumba yamabox watoto anajifunza kujengaa huu nimsiba ndugu zangu msipo badilika kubadili hii serekali kunasiku mtachimbiwa mashimo chini ya arizi muambiwe muishiii
onyesha nyumba unayoishi wewe
Naomba kuuliza tu, hii fedha ya ujenzi na gharama zote za uhamaji inatokana na nini?
swali zuri hapa kinachoendelea……..
Ng'ombe mmoja anahitaji eka moja je mtawatosheleza au mnakaribisha ugomvi kati ya wageni na wenyeji. Je ardhi mnayoichukua kutoka kwa wenyeji je mnawafidia? Maana sheria zipo wazi kua hata kama ni kwa manufaa kwa nchi, serikali inatakiwa itoe fidia. Sasa ukweli ni kua hakuna fidia inayotolewa.
Hakuna mtu aliyekuwa anamiliki ardhi ngorongoro, huwezi fidiwa kitu ambacho humiliki.
Safi sanaaaaaaaaaaaa nimependaa
That place is really beautiful can i get a land ?
Ndani ya inchi yako unakua mkimbizi halafu chamana ni kuzwa kwa inchi na washenziiiiii
Huwez kuwajudge kama wakimbiz kwa sabb unakuta nyumba sio kutelekezwa
nyinyi niwangiji sana
Mbona sahivi mnawajengea slop
Good job
Safi sana kwa point yako
Wamasai mpk wamejengewa ndio wamehamaaaaa😅😅😅
Maana yake kero ya zanzibar kushiriki jumuiya ya africa mashariki , maana yake Tanganganyika ishiriki kama tanganyika na sio Tanzania , sasa hapo tunasema serikali 3 muhimu ambayo itakua , Tanganyika. Zanzibar na Tanzania
Maswala ya Tanzania na zanzibar au Tanzania bara hakuna nchi duniani inaitwa Tanzania bara au visiwani maana hata Tanganyika ina visiwa
Naipongeza serikali kwa hizi juhudi. Kwanza kuwawezesha makazi mapya. Pili tanga ina ardhi yenye rutuba watapata chakula na mifugo itapata chakula.
Ngorongoro ni hifadhi ya wanyama pori ile hifadhi inatakiwa irudishe uhalisia wake. Kuongezeka kwa watu ngorongoro kunaharibu mazingira halisi ya eneo hilo. Na ikumbukwe kuwa eneo hili la hifadhi ni zawadi Mungu alitupa hakuna eneo lingine duniani ambalo lipo kama ngorongoro.
NAIPONGEZA SERIKALI KWA HATUA HII.
Na mimi nafikiri huu ni mpango wa mungu, maana Mungu hatorudia kuitengeneza eden. Sisi wenyewe tutairudisha eden
Pongezi kwa JKT UZURI HAWO NI WAMASAI HAWATAJAL HAYO MAENEO
Hata miirqdibyq serikali ktk halmashauri wape jeshi. Maana rqsilimqli vijana tunao wengi. Wakurugenzi na wahasibu wanaiba pesa
Mimi naona wamesaidiwa sana, Kwa sababu nadhani wengine hawakuwa na makazi mazuri ya kuishi lakini hapo wamepata nyumba.
we jamaa acha kuzima data sisi tunauzwa nyie mnashabikia
Asa eka mbili itatosha kwel Kwa masai kuchunga ngombe au mnatengeneza bomu uko
ESther Luxury ya Mwigu boy
Mwiguri ni Frester, Dar to Bukoba na sio hizo
Bado safari ni ndefu sana.
Maaai wa tanga 😂😂😂
Uhame kwenu .. ukafurahie ugenini ..labda uwe kichaa .. msituone wajinga ... tunalala gest nzuri kuliko nyimbani na hatutaki
SEMENI MABANDA SIYO NYUMBA. NINA FAMILIA YA WATU 14 VYUMBA 3? ILA MMEFANYA VEMA.
Wana ngorogoro msiache arizi yenu
Maybe
Hongera raaisi wetu mpendwa kwa kuwajali raia hawa wa kimasai!!hakika unaupiga mwingi,wanaojiita wapinzani watasubiri sana!!
alllah akulinde na MAHASIDI!!
umeanza uchama
Mabus mwiguru nchemba
Kamaniraha
Safi sanahongera
watanzania fungukeni akili sio mnapongeza tu serikali huku wanauza urithi wetu mbona mnakua manyumbu sana hawa wameondolewa kwasababu miaka ijayomtanzania ataingia Ngorongoro kwa paspot
Acha akili yako finyu wewe. Leta ushahidi kwa hilo
Siyo miaka ijayo, tayari tunaingia na passport ya mpiga kura ambayo umepigia ngorongoro, kama hujapiga huingii labda ulipie permit kama wazangu vyenye wanafanya
nyumba haipigwi hata plaster
Losihvp songoyo
Mmebaki nyie mnaoopongeza serikali siku wakiamka wakawaambia nyie sio watanzania sijui mtasemaje yaani mtaambiwa nyie muame nchi hii mpelekwe Malawi ukoo😅😅😅😅😅😅😅
Unatolewa pazuri unapelekwa pakame
Hifadh ni mateso kwanza si salama kwa watoto kuna wajinga wanafundisha ushoga huko huruhusiwi kulima wala kumilik ardh ya nini kuishi huko
Bado naskiliza
😢😢
Naona wamasai wakirudi Tena ngolongolo😢😢😢
Sema sababu Ni wamasai wanaishi popote
Tanga wameletewa vita😂
😂😂😂😂😂😂😂
Wahamiaji haram
Wajinga watafurahia hicho kitu
Mm najiuliza, Unajenga nyumba ya vyumba 3 maana yake vyumba 2 na sebure Moja!
Mimi nanvyojua wamasai Huwa mwanaume Mmoja anakuwa na wanawake 3 had 4 na watoto zaid ya 12 .
Je, kama unampatia familia Moja nyumba Moja ataishijee lkn??
Mnanyanyasa watu Kwa mamlaka mliyonayo!
Hizo mbazoliport nyie maliporta mnalipo hizo ndogo tu za walio maskini ambao wanafurahia, je wake walio na Mali nyingi wanapigwa wanakufa .
Mbunge hasikilizwi
Kwahiyo ulitaka wajengewe nyumba za vyumba 12 au killa mwanaume mwenye familia ajengewe nyumba 3 hadi 4 kwavile tu unaamini kila Mmasasi ana wake 3 hadi 4? Na kwanini useme eti "...maana yake ni vyumba 2 na sebule 1" wakati umeshaambiwa vyumba 3? Yaani wamekufafanulia kabisa kwamba chumba 1 cha wazazi, 1 cha watoto wa kike, na kingine cha watoto wa kiume lakini bado unatoa tafsiri zako za eti "chumba 2"?
Mtu kashasema chumba kimoja cha wazazi viwili vya watoto wakike na kiume sasa unataka upindishe kauli za wenye nyumba uweke fikra zako
Heka 2 na nusu makazi
Heka 5 za kulima serikali ulitaka iwape nini tena Nyonyo???
Wengine ad wanafurahia na wamesema ila ww tena kwavile unepewa mdomo wa kuongea basi huna budi kuongea lako
HUJASIKILIZA MPAKA MWISHO. HAPO WAMEPEWA NA EKARI 2.5 KWA KILA MTU ILI KAMA FAMILIA YAKO ITAONGEZEKA UWE NA NAFASI YA KUJENGA
CT suck
Maasai.makao.mapyamema
Hii.imenikumbusha.op.ngodano.kigoma.naop.vijiji.74.75.hongeleni.sans