MWAKINYO Afunguka KINYONGE Sana, SAKATA la PAMBANO Lake KUSTOPISHWA, Amtaja DULLAH MBABE...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 тра 2024
  • MWAKINYO Afunguka KINYONGE Sana, SAKATA la PAMBANO Lake KUSTOPISHWA, Amtaja DULLAH MBABE...
    BONDIA Hassan Mwakinyo ameongoza mabondia wenzake watakaopigana kwenye pambano lake kesho la 'MTATA MTATUZI' kupima uzito na afya ili kujihakikishia kucheza..
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 54

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 2 місяці тому +11

    Sema mwakinyo anaonekana mwelewa na mtulivu saaana na ana adabu.
    Hata sijuagi wanaomchukia wanamchukia ktk engo ipi❤

    • @brownjulius8514
      @brownjulius8514 2 місяці тому +2

      Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

  • @mselematrans3474
    @mselematrans3474 2 місяці тому +5

    Nakuamini saana Hassani mwakinyo na ninaimani kesho unashinda

  • @mirajikawimba8648
    @mirajikawimba8648 2 місяці тому +2

    Mwakinyo mwenyezi mungu yupo nawe .naamini utashinda upo vzl

  • @FadhiliMussa-rq9fc
    @FadhiliMussa-rq9fc 2 місяці тому +3

    Kaka kwetu tanga hatoki mtu tunakuombea. Dua kaka ushindi lazima🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AbdallahHersi
    @AbdallahHersi 2 місяці тому +2

    Komaa Kaka in shaa allah utashinda

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 2 місяці тому +4

    Champeeezzzz one time🎉🎉

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 2 місяці тому +2

    Uko vizuri

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 2 місяці тому +3

    Tunakuombea dua bondia wetu wa tanzania hakuna mwingine

  • @JoshuaJoseph-yq8tt
    @JoshuaJoseph-yq8tt 2 місяці тому +7

    Kamanda uko vizuri pambanana sana nina imani utashinda

  • @jamilijuma2738
    @jamilijuma2738 2 місяці тому +1

    Nakuombea dua hasan kwa uwezo wa allh utashinda

  • @NandoliHabiby
    @NandoliHabiby 2 місяці тому +3

    Dua zote nakupa kaka

  • @NandoliHabiby
    @NandoliHabiby 2 місяці тому +3

    Dua kaka

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 2 місяці тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania tuko nyuma yako dua zetu dogo

  • @Borderonemedia
    @Borderonemedia 2 місяці тому +3

    💪🔥🔥

  • @user-rw8wm8xg9y
    @user-rw8wm8xg9y 2 місяці тому +1

    Mapema tuu round za Awali champezi kesho anashinda

  • @MwavuaMwamvua
    @MwavuaMwamvua 2 місяці тому +2

    Utashinda kaka

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 2 місяці тому +1

    Ninakukubali sana Kaka,na nipo pamoja nawe na jamaa tutamkalisha tu.

  • @user-ul1jm5bo6f
    @user-ul1jm5bo6f 2 місяці тому +4

    Nikweri champenz

  • @kaluseaugustin8068
    @kaluseaugustin8068 2 місяці тому

    Unajibu vizuri saana champez

  • @shabaniiddi510
    @shabaniiddi510 2 місяці тому

    Jamaaa noma sana hata lisipokuepo jengine litakuja inshallah wacha wakubanie tu siku watakubali

  • @ibradedapro5758
    @ibradedapro5758 2 місяці тому +1

    God bless champez

  • @iddyhussein4069
    @iddyhussein4069 2 місяці тому

    Hassan mzuri tu watoto watanga manen nd mengi wazuri tu

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 2 місяці тому +2

    Naimani utashinda mpambanaji

  • @FatumaMwaluhanga-ui3kl
    @FatumaMwaluhanga-ui3kl 2 місяці тому

    Mwakinyo anamaneno yamenyoka mpaka raha sana bindia wakwanza tanzania mwenye maneno yalio nyoka napwent nyingi ndan

  • @mtimkavumtimkavu1886
    @mtimkavumtimkavu1886 2 місяці тому +2

    Kuku mke tangu lini akawika?

    • @user-vy8uf3ih4h
      @user-vy8uf3ih4h 2 місяці тому

      Ndio hvy ht Kam hajawika jua litakucha t

  • @Mohammed-ml9rw
    @Mohammed-ml9rw 2 місяці тому +2

    😬👏👏👏👏👏

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 2 місяці тому

    Nakukubari

  • @isihakamohammed1137
    @isihakamohammed1137 2 місяці тому

    Bro sisi wa makorara ndio tunatambuwa hakuna na hatokuwepo na atakeee jikanyangaa mpe mualiko aje uwanja wa mzoezi kombezi

  • @WinifridaJonathan-cq2nw
    @WinifridaJonathan-cq2nw 2 місяці тому

    Omba uraia wa nchi nyingine maana wadudu wanakuharibia😢

  • @ogomamangasa5046
    @ogomamangasa5046 2 місяці тому

    Hivi pambano halipo?

  • @kellybreezytz2491
    @kellybreezytz2491 2 місяці тому +1

    ILA CHAMPEZ 😂😂

  • @hassantupa
    @hassantupa 2 місяці тому +3

    Yaa mwaambaaaaaaa.💪💪💪💪🥰🥰❤️🔥🔥🔥👏👏👏

  • @abiiclevertz
    @abiiclevertz 2 місяці тому +6

    Goat

  • @jamilijuma2738
    @jamilijuma2738 2 місяці тому

    Uko vzr mdogo angu me piah nakuamini xn maan ww ni bondia namba moja hapa tz

  • @user-sy3mj5gh5g
    @user-sy3mj5gh5g 2 місяці тому

    Mwenehu mrungu yu pamoja nawe

  • @Obertan_coolkid-04_
    @Obertan_coolkid-04_ 2 місяці тому

    Champez ni champion

  • @elysetv1107
    @elysetv1107 2 місяці тому

    Hao na hilo bango waambieni tunaliona watulie shenzi

  • @SamwelMaro
    @SamwelMaro 2 місяці тому

    nduguyangu pambana mabondia feki watuzingua usijali hassani

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 2 місяці тому

    Unakipaj kingin zaidi ya ngumi

  • @nurumwenkale7278
    @nurumwenkale7278 2 місяці тому

    Kastopisha Ili akutane na konde

  • @StevenDaniel-dc6cy
    @StevenDaniel-dc6cy 2 місяці тому

    TZ bila mwakinyo haiwezekani

  • @abdullzahor3019
    @abdullzahor3019 2 місяці тому

    😂mwakinyo ni mbabaifu km pambano nimehairika bas watu warudishiwe viingilio vyao hawa jamaa wajanja wa kupiga hela tu kubabazao😊

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 2 місяці тому

    Mtangazaji kuwa makini na kazi Yako bhana wapi jamaa kasema mabondia wa Tanzania sio wazuri,,he said "not that I win hammis Maya means Tanzanian boxers are not good, they're good"

  • @JumaMomo
    @JumaMomo 2 місяці тому

    Mungo atakujsrliya

  • @kichenjewillian5720
    @kichenjewillian5720 2 місяці тому

    Champ

  • @saluuhans
    @saluuhans 2 місяці тому +2

    "Kuku mke awike asiwike jua litakuchwa tu" 😂 #mwakinyo 🙌

    • @Basagamp4
      @Basagamp4 2 місяці тому +1

      HAHAHAHA UTAMUWEZA MTANGA KWA MANENO HAHAHAHHAHA

  • @mtesingwanyanguri3431
    @mtesingwanyanguri3431 2 місяці тому

    Mura huyo atapigwa tu muda tupo nyuma yako mwakinyo na kuandikiwa nikiwa kibara Bunda mara.

  • @DavidNchimbi-yp3gz
    @DavidNchimbi-yp3gz 2 місяці тому +1

    Mjinga mmoja natamani upigwe Sana leo unajifanya una mdomo Sana