MWAKINYO: SINA CHA KUJIFUNZA KWA MFAUME, TWAHA KIDUKU/SIO WATU ZURI KWANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 108

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 Рік тому +6

    Nafuraha Sana Kuona Hekima Na Busara Na U OG wake Huyu Champion 🔥

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 Рік тому +7

    Mwakinyo is supper ster the world

  • @omarymwigula9826
    @omarymwigula9826 Рік тому +5

    True unajiandaa kupigana mwaka mzima unapigana siku moja na unachoka vile vile

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 Рік тому +7

    Mwaki kaongea utumboweeee mwishoni ndio kasema ukweli kua serikali inazngua...haitaki kuwekeza seriously kwenye michezo lkn ikitokea umejipambania mwenyewe ukatoboa ndio wanakutafuta na kujikomba komba hii inatupunguza sana Uzalendo sisi kama wana michezo tunao peperusha bendera ya Tz nje ya nchi....
    Lkn MWAKI.. anatakiwa kuwaomba radhi viwete kwa kuwadhihaki kwa kusema eti mtu hupaswi kua mchafu unanuka kama soksi ya kiwete...NO hii sio uungwana kwa nduguzetu

  • @gweja882
    @gweja882 Рік тому +2

    Jamaa mkomavu sana,afu ilo Bango nyuma ni mwakinyo au mwanyiko

  • @KASSIMUMIKIDADI
    @KASSIMUMIKIDADI Рік тому +5

    Mwenye uelewa mdogo pekee ndie atakae mtafsiri mwakinyo tofauti...lkn mwenye uelewa mpana zaidi ndie atakae elewa nini mwakinyo anakimaanisha...na anachokimaanisha kikiwa kwenye uhalisia kitakua na matunda kiasi gani

  • @hassankuka1104
    @hassankuka1104 Рік тому +5

    Msema ukwer unataliwa ..piga kazi mwakinyo

  • @PaulMabula-l2w
    @PaulMabula-l2w Рік тому +2

    MWAKINYO anaenda kupotea kwenye game,majivuno sana mzee

    • @ScagoProfessional
      @ScagoProfessional Місяць тому

      bro w nimwenye busar
      na manenoyko mazuri kwenye kujibu maswli
      ndio wanayachukulia unamajivuno. ila kiukwl unajua bro

  • @samsonnyihita3985
    @samsonnyihita3985 Рік тому +14

    Viumbe vingine bhana ivi leo hii unamlinganisha mwankinyo na kiduku au mfaume kwa vigezo vp kwa mfano mwankinyo kaweka historia kubwa africa dunia inamfahamu leo kiduku anajulikana wp au hao wengine kwa ufupi mabondia wakaze watengeneze rekodi na si kupauka ovyo ovyo dah!

    • @waziriuledi6322
      @waziriuledi6322 Рік тому

      Acha sifa ipo siku utapigwa mpaka uitee mama

    • @gwajimagwajima
      @gwajimagwajima Рік тому

      Historia gani alioiweka?

    • @IddKasabe-kf2wk
      @IddKasabe-kf2wk Рік тому +1

      Mwakinyo ananyota mbili kiduku mbili kaangalie wangap saivi Tanzania na afrka wangap hata uko ulaya kashinda pambano moja tu

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 Рік тому +4

    Mwknyo me nakupenda tu unavyojibu maswali upo makn sna ktk kjib maswali

  • @rukydaudy3005
    @rukydaudy3005 Рік тому

    Mwenyez Mungu atuepushe na kibri ,nadhani nimeeleweka

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 Рік тому +5

    Mtangazaji wangu pendwa…maswali yakitaalamu sana

  • @mohdomar3766
    @mohdomar3766 10 місяців тому

    Umeongea jambo kubwa ambalo asinge ingea bondia yoyote mwakinyo ww kunakitu mungu kakubariki naendelea kujueshim kwa kulisemea taifa ukweli wahusika wasikie hili 🧏🧏🧏🧏

  • @asifiwemichael4408
    @asifiwemichael4408 10 місяців тому

    kaka unauelewa mkubwa kuliko wanavo dhania big up broo

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +5

    MTANGAZAJI ANATEKENYA KIUFUNDI ZAIDI,,NICE.

  • @toney..
    @toney.. Рік тому +1

    Hassan Mwanyiko X
    HASSAN MWAKINYO 👍

  • @AllyMilunda-k3b
    @AllyMilunda-k3b 11 місяців тому

    Upo OK sana umenyooka sna

  • @BonnyVenture-s1c
    @BonnyVenture-s1c Рік тому +1

    Mwakinyo safi sana kutoa ukweli kuhusu support kwenye boxing

  • @Paplick9
    @Paplick9 Рік тому

    Main point zifanyiwe kazi 📌📌📌

  • @HamilHaroub
    @HamilHaroub Рік тому

    Good hasani from zanzibar iddy bwinoo

  • @SuleimanHemedy
    @SuleimanHemedy Рік тому +1

    Aliyesikia drafti uliwe kete mbili ili ule Sita tupeane like 🙏🙏

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Рік тому +3

    hakuna cha ajabu hapo, watanzania mmezoea kulinganisha, mbona mnamlinganisha diamond na hamonize, diamond ni wakimataifa huwezi mlinganisha

  • @herypinda
    @herypinda 8 місяців тому

    mwakinyo namuelewa sana anachosema anachofanya pia

  • @M3MEDIA07
    @M3MEDIA07 Рік тому

    Fact my brother gavement tz ni miyeyusho.

  • @barikislaa80
    @barikislaa80 Рік тому +1

    Mwakinyo una akili sana umemkimbia twaha kiduku kipindi akiwa wa moto na baada ya kiduku kupoteza umepata ujasiri wa kumtaka kiduku.. hongera sana 😂😂

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ Рік тому

    Ukimsikiliza kiundani zaidi
    Jamaa anakiburi sana
    Acha makasiriko msikilize mara mbili mara tatu

  • @dugabeachonline4493
    @dugabeachonline4493 Рік тому +4

    MWANYIKO...NANI KAONA BANGO LIMEKOSEWA JINA

  • @benosilwani5208
    @benosilwani5208 Рік тому

    Mwakinyo ni bondia MZURI SANA, ila ajitahidi sana kutafuta manene yasiyomuongezea maadui.
    Mfano " UNANUKA KAMA SOKSI YA KIWETE " viwete hatapenda sentensi hii.

  • @feroozrajab4391
    @feroozrajab4391 Рік тому +1

    Bongo Mwakinyo na Ibrahimclass ndio mabondia wastaarabu.Wengine ni watemi tuu wa mitaani,Na ndio maara mashabiki zao wote ni vijana wa mitaani wanao ishi kwa wizi mitaani.

  • @Nigaboy-p4s
    @Nigaboy-p4s Рік тому +4

    Mwankinyo ndoa bingwa wa ngumi tz,,,,,,,,,,,ila kule ulaya aliangalia maslah

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 Рік тому

    Bondia bora ninae kukubali hapa Tz

  • @hamisiyusuph2362
    @hamisiyusuph2362 Рік тому +1

    🙏🙏

  • @philipomwasha5325
    @philipomwasha5325 Рік тому +6

    Jifunze namba ya kuongea kihekima we ni mkubwa,tatizo hamna taasisi inayoweza kufundishia mtu akiwa mkubwa basi ajiwakilisheje mbele za watu

  • @hassanraphael3565
    @hassanraphael3565 Рік тому

    Sawa wajina

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 Рік тому +8

    Kama ulikuwa haujui ni kwamba tangie uhuru Hadi leo mwakinyo ndo bondia mwenye record Bora

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 Рік тому

      😅unawajua akina magima.shabani,matumla bwana na rashid brother,Bruno tarimo vifua viwili na wengine😊

    • @mkanulamajid500
      @mkanulamajid500 Рік тому

      @@othumanlorenzo260 Sana tu ila mwakinyo number one

  • @purechuse
    @purechuse Рік тому

    point

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 Рік тому +1

    Nakukubali lakini umeongea vitu vya uongo vingi

  • @EXAVERYWAYSTON
    @EXAVERYWAYSTON 11 місяців тому

    Wa tz wanaakili ndogo watakuja kufia ulingon

  • @josephmay4260
    @josephmay4260 Рік тому +4

    jamaa mwamba sana

  • @HamilHaroub
    @HamilHaroub Рік тому

    Fayaaaaaa

  • @suleykilindi5117
    @suleykilindi5117 Рік тому +2

    sema uyu msenge ananyodo sana😅😅😅

  • @islamicreligiontv2718
    @islamicreligiontv2718 Рік тому +1

    "Mwanyiko" Alie ona tujuane hapa

  • @alonerider7164
    @alonerider7164 Рік тому

    Ivi ni Mwakinyo au Mwanyiko?

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 Рік тому +3

    Mwakinyo namuelewa hata ktk anachoongea

  • @mubamoyo44-zc4rc
    @mubamoyo44-zc4rc Рік тому

    Halaf kweny hiyo picha hapo nyum ya mwakiny ndiy wameandik nn sasa yan badal waandike mwakinyo wameandik MWANYIKO

  • @DijaMriri-wc4qd
    @DijaMriri-wc4qd Рік тому +2

    Ntampataje mwakinyo anafanana mjomba wangu sana jaman😢alipoteaga mda sana nahisigi ni yeye afu alipoteleaga tanga

  • @2FlevaJin
    @2FlevaJin Рік тому +1

    We we Fredrick pembe ndio fala

  • @isayaashangai1081
    @isayaashangai1081 Рік тому

    Ila somber somber konyoo Nakubali wee mwandishi, kila la heri Champez 🙌🏿

  • @binnassor-ls4dy
    @binnassor-ls4dy Рік тому +3

    Mi nilikuwa mshabik mkubwa sana wamwakinyo lakn tangia kubanwa nakiatu cna imani kabisa

  • @NoelDonaldDonald
    @NoelDonaldDonald Рік тому

    Kak komaa xana ao wengine Wana kuchangany tu

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 Рік тому +1

    Ila kwa kweli tuongee uwazi bana kiduku hajui ngumi ni mashabiki tu kumbeba tu nae alivyo kavu bichwa limemvimba anataka pambano na mwakinyo acha umama wee

    • @IddKasabe-kf2wk
      @IddKasabe-kf2wk Рік тому

      Ajui ngumi wapigane sasa mbona anakwepa

    • @madollarmadollar7097
      @madollarmadollar7097 Рік тому

      Mwenye uelewa atakua anamuuelewa mwakinyo ni kwa nni hataki kupigana na kiduku coz mwakinyo lengo lake nikuenda international flight zaidi huyu jamaa wenu lengo lake mazoezi anayo fanya nikutaka akuje amupige tu mwakinyo sasa mwenye akili apo ninani coz hata mwakinyo akikubali hata leo kupigana na kiduku itakua haina faida yoyote kwake ispokua kwanyinyi mashabiki ndio mutakua mnafurahia tu

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 8 місяців тому

    Kiatu kilikubanaa

  • @BabafahadFahad
    @BabafahadFahad Рік тому

    💪💪💪💪🔥🔥🔥

  • @aboubakarkamikaze-vr9gk
    @aboubakarkamikaze-vr9gk Рік тому +3

    Huyu jamaa hajiamini na maemo yake hayana fact

  • @ibrahimkilete7132
    @ibrahimkilete7132 Рік тому

    BANGO LIMEANDIKWA MWANYIKO 😅😅

  • @machakumedia
    @machakumedia Рік тому

    Hilo Bango limeandikwa Mwanyiko. Ina maana hawajaliona au?

  • @AwadhisaidiMndoakingdom
    @AwadhisaidiMndoakingdom Рік тому

    Kak we ndo mwamba wasikuumize kichwa waseng wanatak kukushusha

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому

    Mfaume mfaume bangi zinamsumbua hana jipya

  • @edwardsinkonde9878
    @edwardsinkonde9878 Рік тому

    Acheni utoto ivi kwanini wa bongo hampendani 😂

  • @YusophSaide
    @YusophSaide Рік тому

    Acha ujinga pigana kilasiku umejianda😂vizuli mbona upigani😂 alikumbatia taisoni ww nn pigana ww

  • @HamisKalulumbe-fv8hc
    @HamisKalulumbe-fv8hc Рік тому

    Sisi tupo kwenye bango

  • @BlackTarzan-n1t
    @BlackTarzan-n1t Рік тому

    Namkabal sana

  • @JacklineArsone
    @JacklineArsone 7 місяців тому

    Champenz

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 Рік тому

    ukipigwa nitafurai

  • @RichardCossan-rk1ub
    @RichardCossan-rk1ub Рік тому +1

    Mwakinyo ana tofaut na fei toto stori zao zinafanana broh sopa Amin kwamba uyoo jamaa miyayusho saana alafu sio shujaa wa ukweli ila we mwandishi chukua tyuu habar basi 😊😊

    • @ahmadsalim8990
      @ahmadsalim8990 Рік тому +2

      Acha kuropoka champez Hassan mwakinyoooooo ndo icon ya boxing Tanzania

    • @onesmothimos2635
      @onesmothimos2635 Рік тому

      Wewe ulio ludia kauli ya mwakinyo alivo sema soksi ya kiwete unaona ndo inshu sana kwako mkundu wako

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa Рік тому

      We choko nini

    • @ahmadsalim8990
      @ahmadsalim8990 Рік тому

      @@Rolemodel_wa_taifa choroko mbaazi

    • @RichardCossan-rk1ub
      @RichardCossan-rk1ub Рік тому

      Wewe naic mtanga na wtt wa tanga unawajua Awana marinda🖕

  • @ManAbuu-vc8hf
    @ManAbuu-vc8hf Рік тому

    Champez

  • @abuuda4754
    @abuuda4754 Рік тому

    Soksi za kiwete... Mmmh chunga kauli, your growing up mjinga wewe

  • @HamisiSalumu-ze3ce
    @HamisiSalumu-ze3ce Рік тому +1

    Box unae pg gananae
    Mbona uwezo wa lenki yupo chin
    Una tua minishia nn
    Kama ww Ni bora kaka

  • @shaibuhammad-l6d
    @shaibuhammad-l6d Рік тому

    Mnafiki mkubwa kafili wewe

  • @tonnyelias9454
    @tonnyelias9454 Рік тому

    Mjinga mmoja tu uyu maneno kibaoaa

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 Рік тому +2

    Ndio mana ukaona uze pambano lako huko nchini England ili uje kutamba kwamba wewe ni bondia mzuri kijana wewe bado sana ila kwakuongea tu hujambo sana ndio mana wahenga walisema mjinga akipata utaona majigambo yake wewe mwakinyo ni fara tu

    • @abiboseleman1649
      @abiboseleman1649 Рік тому +2

      Kama vp uingie nae tuu ulingoni bob tujue nani muongeaji

    • @BakariGoba-hh6go
      @BakariGoba-hh6go Рік тому +1

      Kwani akiuza pambano linakuuma nn

    • @ahmadsalim8990
      @ahmadsalim8990 Рік тому +1

      Kabla hujamuongelea vbaya champez Hassan mwakinyoooooo jifunze silabi sio fara Ni fala boya ww Hassan mwakinyoooooo ndo icon ya boxing Tanzania

    • @JeremiahMyrosse-qb1yj
      @JeremiahMyrosse-qb1yj Рік тому +1

      @@BakariGoba-hh6go Atakuwa alimuuzia bibi yake mjinga huyo asitu muongelee vibaya Mwakinyo

    • @kichenjewillian5720
      @kichenjewillian5720 Рік тому

      Acha ujinga kiukwel ..unazingua uza na www

  • @KisofaOg-wv8ex
    @KisofaOg-wv8ex Рік тому

    ua-cam.com/video/aVaia6YaW-Y/v-deo.htmlsi=x58znitIflbBNC3N kalibu