"NIPENI Huyo M SOUTH, ITAKUWA Ndio MWISHO Wake KUJA TANZANIA, KIDUKU Sio BONDIA wa TAIFA" - MWAKINYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • "NIPENI Huyo M SOUTH, ITAKUWA Ndio MWISHO Wake KUJA TANZANIA, KIDUKU Sio BONDIA wa TAIFA" - MWAKINYO
    BONDIA Hassan Mwakinyo amesema yupo tayari kucheza na Msouth Assemahle Wellem ambaye kwa hapa Tanzania amempiga Twaha Kiduku na kupata droo kwa Seleman Kidunda.

КОМЕНТАРІ • 205

  • @bigemagomabigemagoma6312
    @bigemagomabigemagoma6312 7 місяців тому +23

    Ivi mnamuelewa mwakinyo au mnaleta chuki zenu TU. Mwakinyo ameongea point sanaa.
    Msikilizen kwanza kabra ya kumkosoa. Hii inaonesha waTz wengi wana roho ya korosho na vijicho vibaya roho mbaya Tz

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 7 місяців тому +38

    Mwakinyo anafahamu ngumi na mifumo ya ngumi. Hongera Mwakinyo

    • @mohamedswalehe4777
      @mohamedswalehe4777 7 місяців тому +1

      Bwege tu huyo bondia muoga,akileta mabondia wake wa kupigana naye analeta wagonjwa

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 7 місяців тому

      ​@@mohamedswalehe4777Ngumi si matako kaka useme kila mtu anayo

    • @mohamedswalehe4777
      @mohamedswalehe4777 7 місяців тому

      @@saidbakari2408 achague mabondia imara bana kupigwa kupo tu asiogope

    • @BarakaAmani-p7v
      @BarakaAmani-p7v 6 місяців тому

      Mwinjo hauna viwango vya kupigiana na msauzi acha siasa

  • @Mja_Gongo
    @Mja_Gongo 6 місяців тому +8

    Huyu jamaa mimi siyo shabiki yake,lakini nimemfuatilia sana interviews zake,jamaa anastahili kunifanya niwe shabiki yake,from now on nimemkubali na nina mpa heshima kubwa kwamba yy ni best fighter

  • @rashidmsuya5721
    @rashidmsuya5721 7 місяців тому +20

    Aseeh we jamaa unatakia ata upewe kauongozi mbn unatema madini sana sio kama porojo zao pamoja sana kaka nakukubali zaidi ya sana

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 7 місяців тому +22

    Huyu jamaa yuko so smart,, Mwakinyo yuko smart

  • @saadmotto965
    @saadmotto965 6 місяців тому +7

    Mwakinyo anajua sana ngumu na ana uelewa mkubwa wa ngumi na anafatilia sana sana, huyu ni pure boxer and fighter....

  • @mohamedchenge-b6k
    @mohamedchenge-b6k 7 місяців тому +6

    Mwakinyo Anaendelea kudhihirisha ubora wake

  • @colmanuiso545
    @colmanuiso545 7 місяців тому +7

    Mwakinyo Anajua Ngumi [Boxing]
    Japokua judges yesterday walimuonea Yule Kijana aliyepigana Na Kidundaa

  • @DaudiMade
    @DaudiMade 7 місяців тому +8

    Mwakinyo nimekuelewa ila majaji wa jana sikuwaelewa huyu bwana mdogo alishinda

  • @ismailmollel4242
    @ismailmollel4242 6 місяців тому +5

    Ukimsikiliza vizuri mwakinyo ,amethibitisha kua kidunda kapigwa ,,kuna visentensi falni anaviongea hv yani

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 7 місяців тому +4

    Kamanda kidunda kadundwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂c

  • @abdallahussi2978
    @abdallahussi2978 7 місяців тому +6

    Kwa hiyo maana ya ndani ya mwakinyo ni kwamba kidunda amepigwa anaona haya tu kuweka wazi

    • @MmafiaMmoja
      @MmafiaMmoja 7 місяців тому

      Sema wewe ulivyoona kidunda kashinda au?

  • @otitokinyaha2292
    @otitokinyaha2292 7 місяців тому +13

    It’s true Mwakinyo, SA boxers are well equipped and have more resources and well maintained by there management

  • @ZuberiAbdallah-vs1ko
    @ZuberiAbdallah-vs1ko 7 місяців тому +4

    Maneno yenye busara usemwa na wenye busara hongera kwa maneno mazur

  • @sumarago_tv
    @sumarago_tv 7 місяців тому +8

    Majaji walio hamuwa mchezo wa kidunda na south africa boy inafaa awe disqualified in boxing decisions. Ukweli nikwamba kidunda alidundwaaaaa. Uwamuzi droo haukuwa sahihi. Mawazo yangu naomba walimu wa mchezo wa ngumi wawe making katika kufindisha mchezo huu na pia majaji wasiwe na upendeleo katika maamuzi yao. Na hili litafanya maboxing wetu kufanya mazoezi vizuri na watajuwa ukipigwa umepigwa sio ukipigwa upendeleo upo kwasababu ya hom ground. Tunaomba majaji wale wasitoe tena uwamuzi katika pambano lolote.....for the benefit of boxing in tanzania.🇹🇿

    • @paterinishayo-ef4sx
      @paterinishayo-ef4sx 7 місяців тому

      Mm nasikitika wamemchafulia yule dogo cv yake ilitakiww isome mapambano nane yote kashinda unaenda kumwekea droo ya nn sasa wameniudhi sana kama mtu anauwezo apewe tuu

    • @SajiKizunga
      @SajiKizunga 6 місяців тому

      Tupe vigezo vya ushindi na utoe ushahidi,,mkilalamika tu haitosaidia,,majaji wanajua vigezo ,,wakati nyie mnaangalia mtu kuchoka,bila kujua scores za Kila mmoja Kwa Kila round

  • @harrisntibuhera8201
    @harrisntibuhera8201 7 місяців тому +4

    International champion nan? Anabishaa💯💯💯

  • @Fesary
    @Fesary 7 місяців тому +4

    Umabadilika sana, leo umeongea point

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 7 місяців тому +3

    ila jamaa anatemaga point sana

  • @JohnsonJohn-hm8ck
    @JohnsonJohn-hm8ck 7 місяців тому +13

    Mwakinyo 🥊 ana kitu kikubwa sana

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 7 місяців тому +9

    Currently,No boxer is ready for Asemahle wellen....the boy is skilled boxer

    • @yusuphsaid564
      @yusuphsaid564 7 місяців тому

      Exactly

    • @thepresidenttobe5481
      @thepresidenttobe5481 7 місяців тому +3

      Mwakinyo is skilled enough to knock him down. Get informed

    • @athumanmakunja941
      @athumanmakunja941 7 місяців тому

      @@thepresidenttobe5481no way huyo wellen yupo skilled na anagumi kali sana + height yake sioni kama wabongo tunawezana nae

  • @hafidhahmedabdallah5027
    @hafidhahmedabdallah5027 7 місяців тому +4

    Game itakuwa ni rahisi sana kwa Hassan

  • @MohamedHassan-t9e
    @MohamedHassan-t9e 7 місяців тому +2

    Mwakinyo umepotea ndege pia anamfumo wake anaoishi ambao amejaliwa na Allah na anaulimwengu wake

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 7 місяців тому +2

    Uyu jamaa ni mwamba sana kwa Fact zake namkubalia sana Mimi binafsi

  • @HarrisonMshua
    @HarrisonMshua 7 місяців тому +4

    Umeongea vizuri sana Champez💯☝️✍️⭐️

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 7 місяців тому +3

    Mwakinyo ndio pekee anaweza kumlaza dogo wallem usingizi fofofo ndani ya raundi saba za pambano.kwakua miongoni mwagharama iliyotupata ni umri mkubwa wa captain.ndio maana akaipata Drow

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 7 місяців тому +4

    Nafurahi sana Tz wanajaribu sana katika michezo na WA Tanzania watafaulu wakifuata utaratibu wakimataifa coz boxing au ndondi ni kazi kama kazi zingine tuu na zinaingiza kipato muulizeni mwakinyo

  • @atyahoodotcome1846
    @atyahoodotcome1846 7 місяців тому +3

    Leo ndio umeongea point bro

  • @zuberihussein5761
    @zuberihussein5761 6 місяців тому

    Anajua anachofanya.... Sema bongo ukiwa na misimamo tu, we jeuri 😂😂😂😂.. na unafungiwa Busta

  • @SelemaKidundo-ii2pz
    @SelemaKidundo-ii2pz 6 місяців тому

    Kidundahajapigwa ilamcuezo nidrooo kilamtukalambasakafu

  • @likoswegenius5662
    @likoswegenius5662 6 місяців тому +1

    Hauchelewi kusema viatu vinakubana Mzee tunakujua vizuri😅😅😅😅

  • @SamaSamatime
    @SamaSamatime 7 місяців тому +1

    Azam wachen chuki 😅

  • @CarlosMponda
    @CarlosMponda 6 місяців тому

    Wadigo 😂😂😂 hatuna baya kabisa hutapigwa kw manen na vitendo atakavyokuja ndy tutakavyompiga mwakinyo hilo jina limekaa pahal husika cheza boxer kak waache hao wapigane

  • @deniskyangala3400
    @deniskyangala3400 5 місяців тому

    Ikitokea mwakinyo akampiga uyu msouth, nasema mwakinyo ndio bondia bora tanzania kwa ngazi zote, yule msouth mtu sana tena sana, nirikua na matunaini na kinunda ila kilichomtokea sitamani ata warudiane kupigana tena, msouth akili nyingi, power na pumzi anazo za kutosha, shorty yupo perfectly.

  • @StevenMgassa
    @StevenMgassa 7 місяців тому +3

    Yani huyo mwakinyo ndo hawezi kabisa kupigana na msouth na hawez akakubali kupigananae maana atapigwa

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 7 місяців тому

      Mimi Kama Mtanzania Twaha Kapigwa Kidunda Kapigwa Hila Nikuambie Ukweri Yule Bondia Wa South Anatumia Akili Sana Ndio Mana Kawapiga Wote Nilio Kutajia Hila Amini Siku Mwakinyo Akiletewa Huyu Bondia Ndipo Utakuja Kumueshimu Mwakinyo

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 7 місяців тому

      Kaka Naomba Fuatilia Ngumi Vizuri

  • @DidierMkubwa
    @DidierMkubwa 7 місяців тому +4

    Kabisa uko sahihi hassani

  • @nasrasalumu7005
    @nasrasalumu7005 6 місяців тому

    Kidunda kiukweli kapigwa hakuna sale pale wamempa tuu hiyo sale na hata mwakinyo atapigwa msimchukulie poa dogo

  • @ezraelsewejo9755
    @ezraelsewejo9755 6 місяців тому

    Kidunda kapigwa tuache ushabiki ndomana hatusongi mbele

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 3 місяці тому

    Mwehu wewe Mwakinyo uwezii kupigana nauyu dgo hata raundi 4 Utoboii

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 7 місяців тому

    Huyu mwakinyo ni bruce lee kabisa japo yeye ni boxes mifupa miwili anayo mikononi mwake

  • @AyubuMungii
    @AyubuMungii 7 місяців тому +2

    Umeongea kikubwa na kiufundi sana master champez,ww ndo jicho letu saiv, waweke mawe ya kutosha umwadabishe huyo mtoto wa madiba

  • @EnockPetro-h4n
    @EnockPetro-h4n 6 місяців тому

    Tz hayupo wakumuweza yule dogo huyo hasani atachaguriwa huo uso

  • @TerryDodd-y7y
    @TerryDodd-y7y 15 днів тому

    Walker Helen Miller Donna Lopez Timothy

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 7 місяців тому +2

    Kabisa uyu nibondia
    Mwenye maarifa uwa
    Siyo mtu mkari sanaa
    Uyu ukikaa nae mbal
    anamazala sana jebu yake
    Uwa ni kari sana na inaumiza

  • @Presenterramjtz
    @Presenterramjtz 6 місяців тому +1

    Tanzania one champeeez more stamina, pumzi. Busara na maufundi one love mwambaaa ❤❤

  • @omarybasho2341
    @omarybasho2341 6 місяців тому

    Tatzolako utataka mabilioni ilu promota ashindwe

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 7 місяців тому +2

    Mwakinyo is Tanzania 🇹🇿 one

  • @sirkipingu6721
    @sirkipingu6721 6 місяців тому

    Apo sasa umeongea, ukimtandika uyo haina aja tena ya kupigana na kiduku wa kidunda

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 7 місяців тому +1

    Mwakinyo akili kubwa anaongea kama mtu mwenye utimamu wa akili 🤝

  • @NasraAbdallah-k8r
    @NasraAbdallah-k8r 7 місяців тому +5

    Perfect man champez

  • @dwaynekijangwa9591
    @dwaynekijangwa9591 7 місяців тому +1

    Hiyo Ndio Maana ya kua professional boxing

  • @MakasiWaziri
    @MakasiWaziri 6 місяців тому +1

    Mwakinyo anajua nini anafanya nampa big Up

  • @KhalidKilale-p4p
    @KhalidKilale-p4p 7 місяців тому

    Mwakinyo usijaribu kwahuyu dogo atakuua..

  • @DominickDebolah
    @DominickDebolah 7 місяців тому +3

    Ww ndio mkukombozi utaoba san

  • @kondradymboya6557
    @kondradymboya6557 7 місяців тому +2

    Azam ndo wamegoma kumpelekea maiki??

  • @FrankHamis-n8n
    @FrankHamis-n8n 6 місяців тому +1

    Mwakinyo ,the best of tz

  • @YuleBoy-ze2td
    @YuleBoy-ze2td 5 місяців тому

    Ana ropoka2 huyo hakuna box humo. Hana rolote

  • @HusseinStriker
    @HusseinStriker 6 місяців тому

    Aaa kwa sasa chmpez utawaona mabon'go *2 hahaha

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 7 місяців тому +1

    Tatizo lako Mwakinyo unapenda kudandia treni kwa mbele! Yule Dogo Msouth usimchukulie poa, endapo hukienda kichwa kichwa anaweza kukupiga KO ya aibu.

    • @KhalifaIddi
      @KhalifaIddi 7 місяців тому +1

      Bob mchezo wangumi unaujua lakini? Isije ikawa unaongea kwachuki . Na vile vile upiganaji wamwakinyo unaufahamu?

    • @salamaswahibu5
      @salamaswahibu5 7 місяців тому

      Mwakinyo kashapgana mechi nyingi ngumu je ushawah kumuona akipigwa k o bondia mzur niyule mwenye maarfa yakupigana nauwezo wakumsoma mpinzan nakujua style yakuchza ili aparfome mfano salim mtango mchnja yohana na ibrah class hao wanapigna kwa nidhamu naufundi ila sio kutumia manguvu nakota kota lazma mchezo uwe mgumu kwa style hyo

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 7 місяців тому +1

    Kidunda kabebwa kengele inagongwa bado second 35

  • @goodwellmutambo7607
    @goodwellmutambo7607 7 місяців тому +4

    Pamoja sana Chapeez

  • @ItechnologyTZ
    @ItechnologyTZ 6 місяців тому

    wewe hata round ya 6 usiki utakula vitasa sana

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 6 місяців тому

    Toka hapa... Uchelewi kutuuza..... Yaanii uchukue pesa utuachie mabishano....
    Nilisha Sema brother unapoelekea utakuwa Kama 20% hii Bongo
    Wewe brother ni Sawa nipo na Gold katika nchiii Yangu alafu hainipi faida.....

  • @YasreArafat-kk9en
    @YasreArafat-kk9en 7 місяців тому +2

    oya champ umeongea kuntu

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 7 місяців тому

    Uyo dogo akili nyingi jichanganye tuu

  • @NassoroNassoromageni
    @NassoroNassoromageni 6 місяців тому +2

    Umeongea vizuri sana

  • @ONEdreamfilmtz
    @ONEdreamfilmtz 7 місяців тому +7

    Ameongea point sana ✅

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 7 місяців тому +1

    Huyu apewe mwakinyo,
    ,sema uzito wa ibra class ni wa chini ila ibra angemuweza km uzito ungekua sawa.

    • @mrishongwikwi6448
      @mrishongwikwi6448 7 місяців тому

      Mmmh Ibra ataharisha uwanjani hamuwezi kabisaaa

  • @binsalum4339
    @binsalum4339 7 місяців тому

    WATANZANIA tunaushamba sana,kwani LAZIMA hadi mmpige tafteni bondia mwingine sio huyu huyu,

  • @ommary75
    @ommary75 7 місяців тому

    Huyu msambaa hana lolote mweupe tu

  • @hemedindege4232
    @hemedindege4232 7 місяців тому +1

    Salut mwakinyo hakuna mwingine

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 6 місяців тому +1

    Nakupenda sana mwakinyo mungu azidi kukulinda daima ❤❤❤❤

  • @AbiibakarAlaw
    @AbiibakarAlaw 6 місяців тому

    Mtetezu wetu ktk boxer y tanzania

  • @RamadhanKhalfan-tq1go
    @RamadhanKhalfan-tq1go 6 місяців тому

    Namkubali mwakinyo kwanza anajiamini pili mjur mchezo wa ngumi sio mchrzo wakitoto kwahyo tuondoeni chukizetu zisizokua na faida

  • @mahanjisanga3077
    @mahanjisanga3077 7 місяців тому

    Wewe mwakinyo acha mkwara . Kama kidunda kashindwa utaweza wewe .kidunda pare amepingwa .tu amebebwa tu kuficha aibu ya jeshi retu .

  • @allykazoa8324
    @allykazoa8324 7 місяців тому +5

    Mwakinyo Acha kuongea San Itakuja kukukosti cku moja Dogo Umuwezi Ata Kidogo.

    • @criminalminds7723
      @criminalminds7723 7 місяців тому +1

      Tukuletee wewe wamueza?

    • @allykazoa8324
      @allykazoa8324 7 місяців тому

      @@criminalminds7723 ikiwezekana mlete Ukiwemo na ww pia

  • @MartinKibosho
    @MartinKibosho 5 місяців тому

    Mwakinyo ni professional

  • @cyriacuskakira1101
    @cyriacuskakira1101 6 місяців тому +1

    Mahojiano mazuri haya! Safi👏🏾

  • @maniggakenny8131
    @maniggakenny8131 7 місяців тому

    Sio asemale ni asemahshe ana hasira na watanzania kwasababu uku tunawakanyaga sana Dada zao😂😂😂....mi naona bwana shemej asemahshe angekabiziwa MFAUME MFAUME mapafu ya mbwa

  • @abelaidan
    @abelaidan 6 місяців тому

    Kila siku nawaambia huyu jamaa ni professional boxer. Watu wanatumia mihemko kumpinga na kumkataa huyu jamaa

  • @hafidhimashaka7231
    @hafidhimashaka7231 7 місяців тому +2

    Champez una baya

  • @MbarakAhmedAbdalla
    @MbarakAhmedAbdalla 5 місяців тому

    Usijisifu kijana nihatari sana

  • @HisaniKasim
    @HisaniKasim 6 місяців тому

    Nakukubari sana kaka

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 6 місяців тому

    Atapigwa huyu mpaka akome

  • @ismailmollel4242
    @ismailmollel4242 6 місяців тому

    Huyu mwakinyo kuhusu makocha kasema kitu jaman ,,kama makocha wa boxing tz mmesikia hii fatilieni asee

  • @hansboytz7494
    @hansboytz7494 7 місяців тому +6

    Mwakinyo Respect xn

  • @MusaAchuz
    @MusaAchuz 6 місяців тому

    Nakukubali xn mwakinyo kwaxbb tunatoka wote tanga na unajua boxing tuletee heshima ya taifa tupigie huyo msouth

  • @pauljuma4384
    @pauljuma4384 6 місяців тому

    One love king boxing in TZ😂

  • @mot.tvmsamvu6770
    @mot.tvmsamvu6770 7 місяців тому +1

    jicho anapiga ili.tujue kweli naomba omba pambano hili

  • @iddirashidi4753
    @iddirashidi4753 6 місяців тому

    Mwamba pekee tunae mtegemea

  • @MahmudAbbas-m5f
    @MahmudAbbas-m5f 7 місяців тому +1

    Panda nae usiongee sana unatuboa

  • @andrewmcha-jf3go
    @andrewmcha-jf3go 7 місяців тому +1

    wewe ndio usijaribu kabisa utapasuka mbaya

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 6 місяців тому +1

    Nakukubali Mwakinyo

  • @jumamlanda5266
    @jumamlanda5266 6 місяців тому

    Bondia wangu,my only favourite boxer in tz Hassan mwaking! Day1 nakuona kwa TV sikujua kwamba ww ni m tz mwamba huyu apa,na unaonekana skills zaualimu unazo pia.All the best king H.M

  • @Gidason
    @Gidason 6 місяців тому

    Mwakinyo we ni mwamba

  • @mgazaabeid5873
    @mgazaabeid5873 7 місяців тому

    kaka maneno mengi vitendo kidogo, kuwa km wenzio, wamemtaka msouth wamepewa! kiduku amekalishwa, Mjeda Pia amekalishwa!

  • @ErastoKabuje
    @ErastoKabuje 7 місяців тому +1

    Kipimo cha huyu mtoto wa madiba ni mwakinyo atamgeuza kipati haludi tena tanzania

    • @RamadhaniMzashi
      @RamadhaniMzashi 7 місяців тому

      mamae km kpigwa kidunda huyo mchza maikoko hawez

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 6 місяців тому

    Mwakinyo: "lazima liwe kwa nini lisiwe, labda nife kwa7bu mimi naishi kimifumo!." What a conscious!

  • @GodfreyMaghembe
    @GodfreyMaghembe 6 місяців тому

    semaa ana ringaa ringaa😂😂😂

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 7 місяців тому

    MKIAMBIWA CHAMPEZ NI MMOJA TU HAPA TANZANIA MNAPIGA MAYOWE. MPENI HUYO KIJANA WA SOUTH AFRIKA APIGANE NA MWAKINYO ATAMPA ADABU NAONA KUNA HAJA HIYO HIYO

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 7 місяців тому

    Oya wa nyumbani mwakiinyo nipigie huyo msauzi analeta jeuri sanaa kwa kuja kuja tzn anawachukuliaje huyo