HB SADEC BOXING AFUNGUKA USHINDI WA HASSAN MWAKINYO/AMUOMBA MASHABIK WASIMTUKANE MWAKINYO NA PROMOTA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 10

  • @eliudkimani8977
    @eliudkimani8977 2 місяці тому

    Ata wamtusi Mwakinyo ni Baba lao🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 2 місяці тому

    Huyu mwakinyo mlimzinguwa kusudi ili mumpandishe majiha . Ingawa wote ni watanzania achazko hizooo

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 місяці тому

    Huyu bwana ni kazidiwa na janja janja

  • @ibraahmketo2883
    @ibraahmketo2883 2 місяці тому

    Acheni uwongo huwezi kila siku uwandae mapambano alafu usipate kitu punguza uwongo jua unaongea hazalani na watu wenye akili ndomaana mna wazulumu mabondia kila siku

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 2 місяці тому

    Kaongea vzr ila mwakinyo ndio bondia ukweli usemwe akiacha kuongea sana atafika mbali

    • @ramadhaniabdulkadry288
      @ramadhaniabdulkadry288 2 місяці тому +1

      Hakuna kitu USHINDI wake niwakutengeneza mazingira MCHONGO .unapiganaje na mtu ajala vema .yote iyo ni MCHONGO WA mwakinyo we uliona kampiga wapi na ananjaa ..bondia kashindwa kuendelea njaa.. mwakinyo akakamilisha MCHONGO wake

    • @kazumarihamisilikumbato9213
      @kazumarihamisilikumbato9213 2 місяці тому

      Unaongea ukiwa unakunyaa au? We unahisi swala za gharama za maboxer wanagharamiana maboxer wenyewe? Ni kila mmoja kivyake na mkataba wake wao wanakutana siku ya kupima uzito na siku ya kupigana tu, kwa hiyo haki zako utazipigania wewe mwenyewe kupitia kwenye uongozi wako kwenda kwa promota ambaye ndiye mwandaa pambano. Kama huna elimu yoyote kuhusu huu mchezo ni bora uulize au ukae kimya na sio unakurupuka tu unajishishia thamani kwa watu wanokujua na wasiokujua pia kupitia hizi comment zako, ila kama una chiki na bondia hizo chuki zako usizilete humu maana unajidhirisha mbele ya jamii kuwa una roho mbaya juu ya binadamu wenzio mwisho na wewe utachukiwa kwa tabia zako mbaya maana ubaya utakurudia mwenyewe na mwisho wa ubaya ni aibu. Tafakari chukua hatua. Ahsante.​@@ramadhaniabdulkadry288

    • @kazumarihamisilikumbato9213
      @kazumarihamisilikumbato9213 2 місяці тому

      Nimemjibu @ramadhaniabdulkadry288

    • @user-zg6ne2nn9w
      @user-zg6ne2nn9w 2 місяці тому

      Maboya bado wapo kumbe sasa iyo kazi ya mwakinyo kumlisha bondia

    • @wildlife5730
      @wildlife5730 Місяць тому

      @@ramadhaniabdulkadry288 akili finyu