Daa! Mwakinyo unafaa kuwa mshauri bora ktk mapito ya kimaisha. Mwenye uwezo wa kuelewa, hawezi toka bure hapa bila kupata kitu. Mungu akuwafikishe ili uweze kufikia ndoto zako. Cha msingi ni kujitambua tu. Kelele za chura, zisikutishe ukashindwa kunywa maji. Maji bora unayo yataraji, yanauwezo bora wa kuijenga afya yako kuliko bora maji, yatakuhatarishia maisha yako. Kwa kuwa unalo lengo, ni dhamira yangu kuwa nami hapo utanielewa. Endelea kumtanguliza Mungu mbele ktk kila hatua yako, kamwe hutafeli. Ahsante sana.
Big up Mwakinyo. Umefanya mahojiano mazuri sana-hujajigamba na pia umemtanguliza mbele Mungu na mzazi wako. Pia umepotezea imani za jadi/ushirikina. Huyo Kiduku achana nae kabisa. Asipende kugeuza jina lako kua sehemu ya kujitafutia umaarufu.
Nenolangu moja zidisha ibada na muombe m/mungu sana yeye ni mmoja mwenyenguvu na siku ya kukutana na Twaha akupe ushindi kuliko ulioupata Kwa watu wote
Mtu ambae amejaliwa na mungu chochte kumzidi yoyote mpe heshima yake km anastaili pongezi mpongeze nimejifunza hvyo na kua na moyo mgumu!...Tanga ni zaidi ya shule
We Acha kupotosha watu amesoma sana Qur'ani ndio maana ana hekma unataka kutuaminisha hekma ni kupigana box au nini au kusoma sana Qur'ani ni kucheza mchezo huu hii ni michezo isiyo na maana kwa waislam tena ni haram hekma gani sasa acha kuharibu maneno.
@@radhiaabdallah3180 Usiongee porojo dini ya uislam haiongelewi kwa utashi wako inakwenda kwa kunukuu twende kisomi sasa ebu niambie kua mtume amefundisha au ameruhusu box wapi kwenye hadithi ipi kaipokea nani na imesahihishwa na mwana chuoni gani katika maulamaa wa Hadithi pili je wajua kua mtume amekataza kupigana usoni ni haram ? Je unajua kua box sio haram kupigana usoni ? kama unahitaji ushahidi nikutajie hadithi ya kukataza kupigana usoni kama wanavyofanya mabondia pia nikutajie na kauli za maulamaa wanosema mchezo wa box ni haram sio mtazamo wangu kama unavyodai wewe .
I admire the love he has for his mom, the same feelings am holding for my earthly god (Mom)...Mungu ampe maisha marefu SIKU nafanikiwa awepo to enjoy the fruits
Proud of you young brother, umeni inspire mno! Mungu akufikishe kwenye destiny aliyokupangia, proud of all my Tanga people. siku moja uje kuwa mbunge au kiongozi wa Tanga na ninaamini utaifikisha Tanga to another level. Born and grew up in Tanga na ninalikumbuka hilo la Mzee Mwakinyo.
Sio ubondia tu huyu anaweza kuwa star upande wowote wa maisha iwe uongozi katika siasa, dini biashara na maeneo mengine. Tulia, unaweza kufanya mambo makubwa.
Xawa mwakinyo usije kupigana na Hawa wakanga njaa mabondia wa tz,watakuroga ilimradi wakupige Ili wajilikane,temana nao wapuuzi Hawa ucje jichanganya mzee baba
Hongera Sana mwakinyo mie shabiki mkubwa ninae kukubari nipo bwanga namie ndo ilikuwa ni ndoto yangu ila nakuomba atusaidie nasisi tunatamani kuwa Kama we'we mie nakuombea kwa mungu uendelee
Jamaa alikuja hospital Makorora kipindi fulani nipo pale na Fungameza.... jamaa sio kwenye camera tu ila discipline yake is real. Yuo the G O A T bro. we support u
Mimi nimejifunza sana Katika hii interview kua, ukiwa na jitihada na imani ya mungu unaweza kufika popote utakapo.huyu champion anamoyo wa aina yake mmungu ambariki love from España ndugu yako nakusaport sana na hii show ni kali kinyaama...besos mmmwaaahhh
Kwenye kufunga na kuombewa na usiowajua ni jambo kubwa. Umakini wako ni wa kiwango cha juu sana. Unaonekana huwezi kubadirika. Aisee utakuwa namba 1 duniani siku moja. Unavyoongea ya moyoni mwako yanaeleweka kwa wanaojua lililo asili.
Mwakinyo uko vizuri Sana na nimependa interview yako. Ila hiyo nguo ya Jeshi co vyema kuivaa katika interview yako kumbuka mavazi ya Jeshi yana utaratibu wake hapo umekosea
@@nyamtigaibrahim530 sasa kwann amevaa nguo hii ila naamini baada ya maongezi nguo hiyo ilichukuliwa na wenye mamlaka ya nguo hiyo, kwani hakuna mtu aliye juu sheria hata kama uwe nani ukivaa hii nguo wenye nguo wataichukua tu
Bro usishangae,mimi niliishi London 2004 hadi 2009, miezi 6 ya Mwanzo nilikuwa napotea kila mara,hasa kwenye mfumo wa usafiri,namna ya kuunganisha usafiri ni shidaa.yaani kuna Aina 3 za train,Tram,Tube na Zile za juu pamoja na Mabasi sasa.Unakata ticket moja kilingana na Zone unapoishi na kule unakotaka kwenda.Zone one ni Central London, basi ilikuwa balaa😄 Lakini pia huyu dogo yupo vizuri na ana utulivu wa hali ya juu sana ukilinganisha na wengi wa aina yake.Mungu azidi kumsimamia afikie ndoto zake.
Watu wa Tanga tujuane. Like zenu hapa mpaka Twaa kiduku aone wivu. Amboni moja hiyo
Tupo🤛👆
This man! Mwakinyo ukiendelea na HEKIMA na UNYENYEKEVU huu, Tz tutakuwa gumzo Duniani, MUNGU akutunze sana Champion
Daa!
Mwakinyo unafaa kuwa mshauri bora ktk mapito ya kimaisha.
Mwenye uwezo wa kuelewa, hawezi toka bure hapa bila kupata kitu.
Mungu akuwafikishe ili uweze kufikia ndoto zako.
Cha msingi ni kujitambua tu.
Kelele za chura, zisikutishe ukashindwa kunywa maji.
Maji bora unayo yataraji, yanauwezo bora wa kuijenga afya yako kuliko bora maji, yatakuhatarishia maisha yako.
Kwa kuwa unalo lengo, ni dhamira yangu kuwa nami hapo utanielewa.
Endelea kumtanguliza Mungu mbele ktk kila hatua yako, kamwe hutafeli.
Ahsante sana.
Mungu akubariki sana maneno makubwa
Big up Mwakinyo. Umefanya mahojiano mazuri sana-hujajigamba na pia umemtanguliza mbele Mungu na mzazi wako. Pia umepotezea imani za jadi/ushirikina. Huyo Kiduku achana nae kabisa. Asipende kugeuza jina lako kua sehemu ya kujitafutia umaarufu.
Jamaa ana displine in which ndo hio itamfanya afike mbali zaidi,,,in all God bless Mwakinyo 👏👏
⁰
@@jakichamotel8650 s
Nimekubali boksa yako sifa namba 1 kuona ngumi ya mpinzani inapokuja kwako na kuipisha au kupanchi
Nenolangu moja zidisha ibada na muombe m/mungu sana yeye ni mmoja mwenyenguvu na siku ya kukutana na Twaha akupe ushindi kuliko ulioupata Kwa watu wote
Mtu ambae amejaliwa na mungu chochte kumzidi yoyote mpe heshima yake km anastaili pongezi mpongeze nimejifunza hvyo na kua na moyo mgumu!...Tanga ni zaidi ya shule
amesoma sana Qur'an Hasan kumemfanya awe na hekima sana atafika mbali sana
Sanaaaaa
We Acha kupotosha watu amesoma sana Qur'ani ndio maana ana hekma unataka kutuaminisha hekma ni kupigana box au nini au kusoma sana Qur'ani ni kucheza mchezo huu hii ni michezo isiyo na maana kwa waislam tena ni haram hekma gani sasa acha kuharibu maneno.
@@mahengomahengo8191 Kwan ww n dhehebu gan ndugu Yang
@@fatmamussafatmamussa4104 Mimi Ni Ahlu sunnat waljamaa
@@radhiaabdallah3180 Usiongee porojo dini ya uislam haiongelewi kwa utashi wako inakwenda kwa kunukuu twende kisomi sasa ebu niambie kua mtume amefundisha au ameruhusu box wapi kwenye hadithi ipi kaipokea nani na imesahihishwa na mwana chuoni gani katika maulamaa wa Hadithi pili je wajua kua mtume amekataza kupigana usoni ni haram ?
Je unajua kua box sio haram kupigana usoni ? kama unahitaji ushahidi nikutajie hadithi ya kukataza kupigana usoni kama wanavyofanya mabondia pia nikutajie na kauli za maulamaa wanosema mchezo wa box ni haram sio mtazamo wangu kama unavyodai wewe .
Mwakinyo full of wisdom, Mwenyezi Mungu amfikifikishe
I admire the love he has for his mom, the same feelings am holding for my earthly god (Mom)...Mungu ampe maisha marefu SIKU nafanikiwa awepo to enjoy the fruits
Nice mze
Nimemsikilizaa Mwakinyo anabusara Sana, Mungu mwema utafika Mbali sana.
"watu usio wategemea, wanaweza kua usivyotegemea kuliko watu unaowategemea"-Mwakinyo. #Champ
Huu msemo nimejifunza kwako
Kweli
Proud of you young brother, umeni inspire mno! Mungu akufikishe kwenye destiny aliyokupangia, proud of all my Tanga people. siku moja uje kuwa mbunge au kiongozi wa Tanga na ninaamini utaifikisha Tanga to another level. Born and grew up in Tanga na ninalikumbuka hilo la Mzee Mwakinyo.
Baada ya mchezo wa jn nimerudi kuangalia mwakinyo😍
Duu bro kwa harakati hizo.. usikubar mabondia wa bongo wakutumie kujiinua hata kama wana uwezo kiasi gani we kula kwanza matunda yako
Sio ubondia tu huyu anaweza kuwa star upande wowote wa maisha iwe uongozi katika siasa, dini biashara na maeneo mengine. Tulia, unaweza kufanya mambo makubwa.
saf sana mwakinyo maneno yako ya kiekima
Xawa mwakinyo usije kupigana na Hawa wakanga njaa mabondia wa tz,watakuroga ilimradi wakupige Ili wajilikane,temana nao wapuuzi Hawa ucje jichanganya mzee baba
Hongera Sana mwakinyo mie shabiki mkubwa ninae kukubari nipo bwanga namie ndo ilikuwa ni ndoto yangu ila nakuomba atusaidie nasisi tunatamani kuwa Kama we'we mie nakuombea kwa mungu uendelee
Am so proud of him... he is a good champ ...mi ni number one fun wake akitoka mamaake
Uhhh unachkua nafac yangu
Ooh my God very humble I really like him jamani Allah azidi kusimamiya thanks you so much again sister ❤
nakukubali sana brother mwakinyo
Umeniinspire sana bro na hii interview yako, Allah akuzdishie
Jamaa alikuja hospital Makorora kipindi fulani nipo pale na Fungameza.... jamaa sio kwenye camera tu ila discipline yake is real. Yuo the G O A T bro. we support u
Hongera mwakinyo yaan nmekupenda zaidi na nmeondoka na kitu kikubwa sana kweny hii interview ALLAH akufikishe utakapo bro 🙏😍😍😍😍
Asante Sana SALAMA KWA kufanikisha hii interview na our champion. Nimejifunza mengi Sana. HUSUSAN watu kuuza MECHI PASIPO MATAKWA ya mpiganaji.
Mwakinyo hongera sana, nimwfurai kukuona unavyo hojiwa na salama, mola naomba endelee kukulinda mabalaa yaliyo jificha.
Mfano wa kuigwa sio roporopo ngumi malengo sio kufurahisha watu nimekuelewa champez Allah akubariki inshallah
Ana heshima sana. Best interview
Mimi nimejifunza sana Katika hii interview kua, ukiwa na jitihada na imani ya mungu unaweza kufika popote utakapo.huyu champion anamoyo wa aina yake mmungu ambariki love from España ndugu yako nakusaport sana na hii show ni kali kinyaama...besos mmmwaaahhh
For real!
Mwamba unapangilia maneno vizuri sana kudadeki
Zidisha jitihada ili siku moja upate ubingwa wa dunia wa WBC au WBA au WBO au IBF
Hilo neno kudadadeki nikaamua kusoma jina nilihisi ni wewe 😂
@@abduljembe6608 Unazingua kudadeki 😂😂😂
@@Ram_1893 Hahaha 🤣
Jamaa ana nidham sana na upeo wake ni mkubwa plus sensitive sana... Mungu akuongoze
Kwenye kufunga na kuombewa na usiowajua ni jambo kubwa. Umakini wako ni wa kiwango cha juu sana. Unaonekana huwezi kubadirika. Aisee utakuwa namba 1 duniani siku moja. Unavyoongea ya moyoni mwako yanaeleweka kwa wanaojua lililo asili.
Inshaallah
Safi sana sana....ninyi nyote!..Salama pia Mwakinyo..
Mecheka sana swali la Mexico na uchawi!
HAA HAAA alierusha kitambaa kamaliza pambano
Nice interview...ur the winner one ...Mungu atakupatia ukitakacho ukiwa na subira
Maneno Ya Kufika....UbongoniAsante!
Mungu akujalie ufikie ndoto zako
Ameen Ameen Ameen
Fantastic interview from salama and mwakinyo
Awe kama ww
Busara na hekima ni mtaji nakuelewa sana mwakinyo
Mwakinyo akili yake imetulia sana God bless sana kaka
Allah akulinde hasan we love you na nakuombea kila Siku
One of the best interview to watch
Tanga Hz mishe za mkono zipo kwenye DNA zetu!!!💪💪💪
Nakufananisha na Khabib nomagomedov
Respect bro
🤣🤣🤣🤣 nimecheka kusikia hiyo dawa aliyopewa ya kuzuia tumbo la kuhara
Hongera mzee baba wacha waseme maneno nelikawaida tu mdomoni
Good interview maisha ni safari bado.
Safi sn na interview nzr. Dada salama naomba mlete Anenus Edgar ufanye interview naye, nitafurah sn kiukweli.
Sio anenus ni Ananas Edgar
Salama good lucky .... uko vizuri kwenye career ako
Ni professional hasa Mwakinyo Mungu akuongoze uzidi kupaa
Salama munaendana na mwakinyo
Kwahiyo waowane au😂😂😂😂
Wote wa tanga
Salama mwakinyo ana speech kari sana yan anajua kuongea vzr i like this mybe interview zinanijenga hta mm kua na speech nzur kwenye mambo yang
Nimependa hadithi yako bro
Champion!Mwakinyo 💪💥
Uzuri nduguyangu hunaangalia sana uzuri unajituma unifunza kitufuni zaidi namimi nisikate tamaaa
I have nothing to say but We're proud of you brother
Champez ana maneno ya kumjenga mtu kabisa ni sawa na mzee mwenye akili
Safi umejibu vizuli sana ndugu
Jaman na mpenda huyu kaka mwakinyoo❤❤❤❤❤
Daah atafika mbali na mafanikio makubwa .Mwakinyo ,
Oya wewe mzee uko vizur nakukubali sana
Allah azidi kukulinda salama na mwakinyo
Ana hekima na hofu ya Mungu.Atafika mbali na atafanikiwa sana.
Hongera Hassan from East Africa in Tanzania 🇹🇿.Watching from Africa in Kenya🇰🇪at Kilifi county
Upo vzr bro Mwakinyo mungu akubriki sana!!,
mwakinyo da great boxing fighter number 1 Tz.
Maneno ya busara kwa mwakinyo 👏👏
This is one of the best interviews never happened before.Keep it up Mwakinyo coz You are the best boxer.
Yaaaaani! Huyu jamaa anavyoongea kwa startent yake hana tofauti na mwana fa wanalafdh flani hv ameizing #Big up broda
Jamaa atafika mbali anaielewa boxing na longolongo zake zote
Whaaaaao salama upaja mweupeeeee @salamajabr
Kiduku haendi kupigana nnje anatakapambono namtu aliejitoa kutangazataifa aende akapambane ilikuonyesha kwamba tunavipaji siokutupigia kelele kwasabu kampiga dulam babe
Duh! Nimeipenda hii interview, naanza kuipenda boxing taratibu
He is so brave Mashaa Allah ....I am in love ooooh😁😂😂😂
Me 2🙈
Uko timamu sana my brother wewe niwambele2 ishaa lla making 🙏 from tanzania 🇹🇿 🙏
Komaa mwakinyo nakukubal sana mkuu lushoto Soni moj
Mwakinyo uko vizuri Sana na nimependa interview yako. Ila hiyo nguo ya Jeshi co vyema kuivaa katika interview yako kumbuka mavazi ya Jeshi yana utaratibu wake hapo umekosea
Kwani huyu jamaa ni mwanajeshi?naona kavaa nguo ya Jeshi
@@onesmokabia80 Sio huyo ni bondia tu
@@nyamtigaibrahim530 sasa kwann amevaa nguo hii ila naamini baada ya maongezi nguo hiyo ilichukuliwa na wenye mamlaka ya nguo hiyo, kwani hakuna mtu aliye juu sheria hata kama uwe nani ukivaa hii nguo wenye nguo wataichukua tu
Hivi unajua sheria na mamlaka zinasemaje kuhusu matumizi mabaya ya nguo hizo kama sio mhusika?
Usikimbilie kuhumu, angalia kwa makin nguo gani ya jeshi inachata kubwa hapo kifuan?? naimani hukuona
sarama naomba nisaidie kumfikishia ujumbe uu mwakinyu me nauwezo wa kipga bx kama ato jari💪
Mashallah tanga ni wakarimu maisha yake rahisi watu wake wakarimu
Best interview of the year
Mwakinyo dah sio poa mungu akuongz
Sio ngumi tu hata kuongea anajua ukitaka maneo ya hekima yapo ukitaka shombo atakimbia wewe Tanga oyeee🥊💪
Interview ya miaka3 iliyopita nimeiangalia leo hii 2rdmarch2024 lkn ikopoa sana
Nimependa ulivyo onesha mapenzi yadhati
Choo baada ya siku14😁😁😁ulivyoenda kushusha mzigo naona choo kilijutaa
Ubondia hatarii
Kwa mara ya kwanza naanza kukufatilia mzee baba 👏👏👏big up kwa bibi mkubwa wako 🙏
الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم تسليما كثيرا إلى يوم الدين 🕋🕋🕋🕌🕌🤲
Daah jamaa afanye mpango akutane na mayweather
Mbro wajitaid sana mungu akujarie
Mwakinyo champion boy
Twah kiduku jifunze kupitia mwakinyo
Hahaaa kumbe MWAKINYO alipotea UK.
Bro usishangae,mimi niliishi London 2004 hadi 2009, miezi 6 ya Mwanzo nilikuwa napotea kila mara,hasa kwenye mfumo wa usafiri,namna ya kuunganisha usafiri ni shidaa.yaani kuna Aina 3 za train,Tram,Tube na Zile za juu pamoja na Mabasi sasa.Unakata ticket moja kilingana na Zone unapoishi na kule unakotaka kwenda.Zone one ni Central London, basi ilikuwa balaa😄
Lakini pia huyu dogo yupo vizuri na ana utulivu wa hali ya juu sana ukilinganisha na wengi wa aina yake.Mungu azidi kumsimamia afikie ndoto zake.
Duh- ninooma poleni ndg
Dahh nakukubar sana jamaang ukati tamaa
Genius Mwakinyo!!
Jamaa ana hekima sana
Mwenye zi mungu hakulind kilauendako
Asante Mwakinyo.. Mungu akutunze 🧜♂️
such kind of words are amazing brother .。。。
Na MUNGU AKUINUE KIWANGO KINGINE KAKA
Dada uko vizuri toka kipindi cha mkasi napenda sana interviews mnazo leta
Big Up sana dada salama na champez nakubali
Very humble,all the best champ
Mishabikiyako nakufatiriya sana wewe nakuaminisana
Asante champion wa muda wote
Big up chalii yangu/good fighter
Heshima Nyingi Sana bro Tanga imetukuza na imetulea
Alie muona bondia amevaa tisheti ya jeshi twende sawa