Kwenye ufugaji wa Nguruwe ndiko pesa ilipo!! “Mimi utajiri wangu ni nguruwe tu!!”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @aBjofarm_tz
    @aBjofarm_tz  Місяць тому +1

    TANGAZO!! Kuanzia Kesho Jumapili tarehe 20/10/2024 tutaanza utaratibu ikifika saa 9:00pm (saa tatu usiku) na kila alhamisi muda huo huo tunakuwa live kwa maana ya active kusoma sms na kujibu maswali yanayo husu ufugaji KITAALAMU!! hivyo tukukaribishe sana kuanzia kesho jumapili unaswali una maoni na ungetamani ujibiwe papo hapo karibu tuzungumze mezani na majibu mengine tutakuwa tunayapata kutoka kwa wataalamu walioko maeneo mbali mbali ya nchi yetu na hata nje ya mipaka yetu. kwahio utapata kujifuza zaidi kupitia comments za watu lakini kupitia maswali yako yanayo husu ufugaji wa mifugo yoyote hata kama ni sungura na kuku, karibu sana. Namba ya whatsapp ni 0756020665. aBjo Farm tuko Pwani ya Bagamoyo karibu na Bunju Dar es salaam. Waweza pia kutufuatilia instagram @aBjofarm_tz na ikiwa unahitaji Mbuzi wa nyama/ Ndafu kwaajili ya sherehe/ X Mass ama unahitaji kufuga tunao mbuzi wa mbegu za mapacha halisi kabisa mbzui tunaouza kwa sasa ni wa kienyeji na hao wa kufuga ni asili ya kienyeji lakini ni mbegu ya Buha goat, (sio Boer goat) na walio wengi wana mimba. Huduma ya delivery inatolewa, karibuni sana

  • @FrankMkwanda
    @FrankMkwanda Місяць тому +2

    Mwishoni mwa mwakani mimi ntakua sio huyu. Mungu anipe afya na uhai. Amina

    • @Selemlaki132
      @Selemlaki132 Місяць тому

      @@FrankMkwanda unataka kuforce uitwe boss hadi mungu apende

  • @siphaeljoseph2156
    @siphaeljoseph2156 6 днів тому

    kazi nzuri inanipa moyo mimi gejofarm

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  4 дні тому

      Karibu sana Siphael, tumefurahi unatufuatilia.

  • @bwiganemwamasage3844
    @bwiganemwamasage3844 Місяць тому +1

    Mmeanza kazi yenu vizuri kaka. Hongereni na nashukuru kwa elimu.

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Asante sana kaka endelea kutufuatilia yako mafunzo mengi mazuri yaliyotayari kurudhwa na yanamafunzo mengi sana mazuri.

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 Місяць тому +3

    Na mimi ni mfugaji wa nguruwe pia.Niko Marangu Moshi.Natamani kuwa na youtube channel kwa ajili ya kujitangaza

  • @Poison-i5g
    @Poison-i5g 17 днів тому

    God bless you maze mkuu inafurahisha l want be like you

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  15 днів тому

      Asante sana Poison kwa kututia moyo sana! Nimefurahi kusikia u ataka kuwa kama mimi!!🤣🤣 it is possible you have to take a step bro! Unaanzia pale ulipo tu.. just simple.

  • @drisayaambulatoryvetclinic1514
    @drisayaambulatoryvetclinic1514 Місяць тому

    Hongera sana mie nafuga wa kienyeji , kimsingi hawanilipi nataka niuze wote nipate hawa wawil wa kisasa

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому +1

      Pole sana kaka na hongera kwa kuamua maamuzi sahihi na wala hautajuta kuwa na hawa wakisasa utakuwa unacheka kila week ukiwatazama na kulinganisha na week iliyopita utagundua kuna mabadiriko fulani. Chamsingi zingatia lishe bora na yenye virutubisho sahihi vinavyoweza kukuletea matokeo mazuri bila kusahau maji kuwako kwenye banda 24/hrs. Tumeandaa video nzuri inayo elezea A to Z namna nzuri ya kuchanganya chakula cha nguruwe kwa vitendo, nguruwe wa umri wa week kadhaa na mpaka wa miezi 6 na kuendelea. Tumempata mtaalamu mmoja
      ameelezea vyema zaidi. Ijumaa hii ya tarehe 25 tutairusha ina maelezo mazuri na ya kina itakayowezesha watu wengi tupunguze gharama na tupate matokeo mazuri sana.

  • @aBjofarm_tz
    @aBjofarm_tz  Місяць тому +2

    Namba za simu ziko kweye description wandugu zangu wazuri!!

  • @charlesmonyo7735
    @charlesmonyo7735 26 днів тому

    Asante munu akubariki naomba kuuliza kuna madhara gani kama nguruwe waliozaliwa na mama mmoja kuzaliana.

    • @WinroseDavid
      @WinroseDavid 23 дні тому

      Watakufa maana iyo cross haifai kaka na dada hapana

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  23 дні тому

      Nguruwe waliozaliwa na mama mmoja wakipandana wanaweza kuleta changamoto na madhara makubwa kwa sababu ya athari za inbreedin (kuzaliana kwa wanyama wenye nasaba ya karibu). Madhara haya ni pamoja na:
      1. Kuzorota kwa Afya Inbreeding huongeza nafasi ya kasoro za kimaumbile kama vile miguu dhaifu, matatizo ya kupumua, au kasoro za viungo.
      2. Uzalishaji Duni Watoto wa nguruwe waliopatikana kwa njia ya inbreeding mara nyingi hawana nguvu nzuri ya ukuaji, hivyo kukua polepole, uzito mdogo, na nyama duni. Hii hupunguza tija katika uzalishaji wa nguruwe kwa ajili ya biashara ya nyama.
      3. Kupungua kwa Ustahimilivu dhidi ya Magonjwa Inbreeding hupunguza kinga asilia ya mwili, hivyo watoto wa nguruwe hawa wanakuwa rahisi kuambukizwa magonjwa au kushindwa kuvumilia hali ngumu za mazingira.
      4. Tabia Mbaya na Matatizo ya Kisaikolojia Inbreeding inaweza kuleta mabadiliko ya tabia kama vile uchokozi au hofu kupita kiasi, ambayo yanaweza kuathiri uzalishaji na usalama wa wafugaji.
      Kwa kifupi, kuepuka kupandisha nguruwe wenye nasaba ya karibu ni muhimu ili kuhakikisha kizazi bora, chenye afya, na chenye tija katika ufugaji wa kisasa.

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  23 дні тому

      @@WinroseDavidwanaweza wasife ila mara nyingi wanaweza baadhi wakazaliwa na mapungufu ya viungo ama uwezo waakili kutokuwa sawa! Akawa anapiga kelele bila sababu za msingi na akawa kama zuzu tu! Ama jicho moja halioni ama yote mara miguu haina nguvu ama hawez tembea kwa hio yako madhara mengi!: NB: sio lazima madhara yatokee ila kuna uwezekano mkubwa wakuyapata. Ila tu suala la kupandisha nguruwe wenye uhusiano wa kidamu au vinasaba vinavyofanana itaathiri ukuaji na ubora wa mbegu ya nguruwe wako hata kama hawatapata changamoto za ulemavu na changamoto zinginezo za udhaifu wa mwili ila suala la ubora wa ukuaji na vinginevyo hautavikwepa.

  • @beatriceissaya3467
    @beatriceissaya3467 20 днів тому

    Am proud of you master 🤜

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  20 днів тому

      Thanks madam, you are welcome

  • @mlokaferdinand
    @mlokaferdinand Місяць тому

    Hongera kwa kazi nzuri kaka,unatupa elimu nzuri sisi tunaonza,Mungu akusimamie nawe upate camera man😊

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Asante sana Mloka kwa kunitia Moyo. Camera man popote ulipo nakuomba uje jamani watu wanatamani niwe na camera man!!📢📢🤣🤣

  • @DavidMasawe-l9w
    @DavidMasawe-l9w 19 днів тому

    Nimeipenda hiy

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  15 днів тому

      Wow! Asante sana mr. David!! Karibu sana na endelea kuwa sehemu ya aBjo farm Tanzania ili ujifunze mengi zaidi!!

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 Місяць тому

    Hongera sana bro,una mbegu nzuri sana

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      @@eradolyamuya3929 wow! Asante sana kaka karibu sana

  • @ProphetJofreyKaigarula
    @ProphetJofreyKaigarula Місяць тому +2

    Nimependa jinsi ulivyokubali kwamba kuna mtu alikushika mkono na ukamtaja

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Ni suala zuri kumpatia mtu haki yake inapostahili kabisa!!

  • @stevenmhina7222
    @stevenmhina7222 22 дні тому

    Wanaanza kumchakachua na kitimoto, Dah, hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe, !!!

  • @YUDAMASOTA
    @YUDAMASOTA Місяць тому

    hongera sana naomba namba yako ya simu mm niko katavi ninataka kuanzisha huu mradi

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  15 днів тому

      Asante sana na karibu sana Mr. Yuda. 0756020665

  • @SelinaChikoti
    @SelinaChikoti 17 днів тому

    Pia nami kama kuna group niunge

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  15 днів тому

      Hapana bado hatujawa na group kwa sasa. Endelea kujifunza kupitia UA-cam chaneli yetu utakuwa bora katika ufugaji maana utajifunza kutoka kwa watu mbalimbali na wazoefu wa muda mrefu katika ufugaji.

  • @amraniissa530
    @amraniissa530 22 дні тому +1

    Naomba namba zako mkuu

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  21 день тому

      Karibu boss! 0756020665. Namba za mawasiliano ziko pale juu kwenye description ama maelezo yanayoeleza aBjo farm ninini na inafanya nini so kwa yeyote ambaye hajaiona iko pale. Tunawakaribisha kwa ushauri wa ufugaji, namna ya ujenzi bora wa mabanda na mambo kama hayo.

  • @MAGAGI_Burundi
    @MAGAGI_Burundi 17 днів тому

    ❤❤❤

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  15 днів тому

      Karibu sana Ndugu Magari kutoka nchi jirani yetu ya Burundi!!

    • @MAGAGI_Burundi
      @MAGAGI_Burundi 14 днів тому +1

      @@aBjofarm_tz
      Nachukuru saaana mjilani mwema.

  • @mboneakaguo1320
    @mboneakaguo1320 Місяць тому +5

    Kama kuna magroup ya wafugaji wa aina hii mkuu tafadhali naomba link

    • @aBjoTastyFood
      @aBjoTastyFood Місяць тому

      Magroup yako integemea na ukanda ulioko kaka

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Inategemeana na ukanda ulioko kaka ila magroup yako mengi hapa nchini

    • @helentelemla5623
      @helentelemla5623 Місяць тому

      Mimi nipo Arusha naomba niunganishe na magroup ya wafugaji wa nguruwe.Bafo ni mchanga ktk ufugaji

    • @filiudkahebeba597
      @filiudkahebeba597 Місяць тому

      Weka namba ya simu

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Ngoja nitakutafutia kaka nipe muda niwasiliane na watu walioko ukanda wako

  • @dominickkisulo8017
    @dominickkisulo8017 Місяць тому +1

    Naomba namba zako bro
    Mm ni simtengu nko MOROGORO

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Namba ziko pale kwenye Description (pale kwenye maelezo ya nayohusu chaneli yetu). kwa wale ambao kwa bahati mbaya hamjaziona!!0756020665 Tuko Bunju Dar es salam. (Kimere Resort)

  • @FrankeIgiraneza
    @FrankeIgiraneza Місяць тому

    Kbs

  • @StanleySwaiOsta
    @StanleySwaiOsta Місяць тому

    Napenda sana me naomba niunganishe kwenywe magroop ya Whatsapp kama yapo

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Wow tunafurahi kusikia kama unafurahia video za mafunzo yetu, lakini kwa sasa hatuna magroup ya whatsapp ila unaweza endelea kujifunza mambo mengi sana hapa kwenye chaneli yetu ya youtube ambapo utapata mafunzo mengi kutoka kwa wadau na wabobezi wa ufugaji kote nchini, lakini pia Juma tano hii nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza huo mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.

  • @aBjofarm_tz
    @aBjofarm_tz  25 днів тому

    Namba za mfugaji huyu ziko ktk video mwanzoni mwanzoni pale.

  • @richardthomas4487
    @richardthomas4487 Місяць тому

    Mimi ninao wakienyeji saivi wamefika 20 itabidi niwabadili nitafute wakisasa nilianza na nguruwe wawili🙏🙏

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Ooh! Hingera sana kwa kuanza na ninaamini siku ukinunua wa kisasa utakuwa unacheka namna wanavyokua usiku na mchana ndani ya week 3 tu baada ya kuwaleta utashangaa ukubwa wao na uzito pia. Ili mradi uzingatie lishe bora na maji masafi muda wote.
      Juma tano hii nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza huo mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.

  • @MariamDilla
    @MariamDilla Місяць тому

    Mm nipo dar nataka kuanza nahitaji mawazo mapya

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Wow! Karibu sana. Inakubidi uwe na elimu ya kuanzia kisha uanze na utaendelea kutafuta maarifa ili usifuge kizamani na usije pia kupata hasara kwa hio elimu ni muhimu boss wangu. Na endelea pia kujifunza hapa aBjo farm ambapo utapata kujua mambo mengi sana kutoka kwa wadau wa mifugo na wabobezi wa ufugaji nchini kote. Lakini pia unaweza endelea kujifunza mambo mengi sana hapa kwenye chaneli yetu ya youtube ambapo utapata mafunzo mengi kutoka kwa wadau na wabobezi wa ufugaji kote nchini, lakini pia Juma tano hii nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza huo mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 Місяць тому +1

    Nyie hamjui kuna sie waisilamu

    • @selector728
      @selector728 Місяць тому +2

      Kwani umeitwa

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Pole sana kaka Sele, lakini unaweza ku unsubscribe ili video zetu zisikufikie ingawa maudhui yetu hayaishii kwenye ufugaji wa mfugo aina moja bali hata kuku, mbuzi, ng’gombe nk. Mafunzo na taarifa za namna yakufuga zitakuwa zikiruka hivyo kama hutojali unaweza kubaki kwaajili ya kujifunza na kupata elimu juu ya mifugo mingine inayokupa amani. Ila ikiwa hutapata amani kuwa hapa basi uwe na amani ku unsubscribe.

    • @eliahmwakibolwa4516
      @eliahmwakibolwa4516 Місяць тому

      Kwan waislam, wakati wengine wanafuga kupitia watu wengine

  • @MariamDilla
    @MariamDilla Місяць тому

    Kaka naomba namba Yako ya simu ya mkononi tafadhali

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Ooh! Karibu sana Mamaa Mariam!! 0756020665 aBjofarm_tz

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 Місяць тому

    Bado sisi tuanakimbizana na ajira za serikali duu!

  • @Voice_of_Nzega
    @Voice_of_Nzega 26 днів тому

    Nipo nzega pia naomba mawasiliano nae

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  7 днів тому

      Mawasiliano yake yako kwenye video mwanzoni katikati na mwishoni. Karibu sana

  • @VailethFute-i1t
    @VailethFute-i1t Місяць тому

    Mbegu bora napataje mkuu

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Utapata boss vaileth unapatikaana wapi?

  • @magrethmkoga30
    @magrethmkoga30 Місяць тому

    Naomba number yako kama una group naomba

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Asante kwa kuwa nasi Dada Magreth. kwa sasa hatuna group lolote ila unaweza kuendelea kujifunza na kujionea kwa vitendo namna bora ya ufugaji na maelezo yenye kuelimisha kutoka kwa wadau na wabobezi ktk ufugaji kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kupitia youtube chaneli hii ya aBjo Farm Tanzania. Tutahakikisha kila juma nne na ijumaa tunaweka maudhui (content) yenye kuleta elimu kwenye kilimo ama ufugaji. Hakikisha ume subscribe ili usipitwe na ujuzi. #ufugaji ni pesa #pesa iko kwenye mifugo.

  • @HassanNasibu-q6m
    @HassanNasibu-q6m 8 днів тому

    Sorry je. Ni Kwa. Unenepeshaji. Wa ngombe

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  7 днів тому

      Nisaidie kuweka ujumbe wako vizuri Kaka Hassan

    • @HassanNasibu-q6m
      @HassanNasibu-q6m 7 днів тому

      @aBjofarm_tz nauliza. Vpi. Unenepeshaji wa. Ngombe Kwa ajili ya. Nyama. Formula. Zake

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 Місяць тому

    Mkuu vipi,nikihitaji mbegu nitapata

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Karibu sana, unapatikana mkoa gani boss

    • @boniventuresilayo1391
      @boniventuresilayo1391 Місяць тому

      @@aBjofarm_tz dar

    • @winfridluoga7567
      @winfridluoga7567 Місяць тому

      Mimi napatikana Madaba, nawezaje pata mbegu na bei gani? ​@@aBjofarm_tz

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      @@boniventuresilayo1391unaoata kaka tumia namba hii kwa mawasiliano zaidi. 0756020665

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      @@winfridluoga7567madaba iko mkoa gani Dada Winfrida! 0756020665.

  • @ClaraUrio
    @ClaraUrio Місяць тому

    Naomba namba ya simu

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  15 днів тому

      Karibu sana Mis. Clara 0756020665

  • @Mshanajr10
    @Mshanajr10 Місяць тому

    Anyone ana duroc Spp nipate Namba zake tufanye bussiness

  • @FrankMkwanda
    @FrankMkwanda Місяць тому

    Ngurue mmoja mkubwa kwa ww unamlisha kiasi gani? Wadogo je?

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Ijumaa nitaweka video inyoonesha viwango vya vyakula wananavyopaswa kula nguruwe kulingana na umri wao. Endelea kutufuatilia kaka Frank. Lakini pia
      Juma tano hii nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza huo mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 26 днів тому

    Umeshafika kwa huyu TP Mr manguruwe ukaona? Maana huyo jamaa mr manguruwe ni propaganda na ni mtu wa Ajabu sana

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  24 дні тому

      Sijaelewa ujumbe wako boss wangu umelenga nini!

  • @EdwrdMoshi
    @EdwrdMoshi 8 днів тому

    Amna lolote

  • @odilomsuha7896
    @odilomsuha7896 Місяць тому

    Naomba kama kuna group la WhatsApp niunganishwe

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  Місяць тому

      Hapana kwa sasa hatuna group! Pole sana, lakini endelea kufuatilia mafundisho ya kitaalamu kutoka kwa wadau na wabobezi mbali mbali kute nchini kupitia chaneli hii ya aBjo Farm Tanzania.
      Juma tano hii nitaweka video inayoonesha namna ya kutengeneza huo mfumo mzuri wa kunyweshea nguruwe kwa kutumia Nipples na hasa kwa wale watu wenye mabanda ya kawaida na hawawezi kumudu mifumo mikubwa ya gharama na hio itakufanyia mapinduzi ya ufugaji wa Nguruwe maana NGURUWE ni maji kwa %75.