Jaribu Mchanganyiko Huu kwa Nguruwe Wako Utaona Mabadiliko ya Haraka sana ndani ya siku 10 hadi 12

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @josephmkina
    @josephmkina 2 дні тому

    Asanteni sana wadau Kwa kunipa SoMo la jinsi ya kuwahudumia nguruwe, nitalifanyia kazi.

  • @EmmanuelGelard
    @EmmanuelGelard 3 дні тому

    Napenda sana ufugaji huu nanina wafuga sana nipe matilio nakuerewa

  • @FrankeIgiraneza
    @FrankeIgiraneza 12 днів тому +2

    Nawakubali sana🎉❤❤ niko burundi

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  12 днів тому +1

      Asante sana Kaka Frank kutoka nchi nzuri na jirani yetu Burundi!! Endelea kutufuatilia tutafarijika kuendelea kuona comments zako maana zitatupa nguvu ya kuendelea mbele!!🎉

    • @FrankeIgiraneza
      @FrankeIgiraneza 9 днів тому

      ​@@aBjofarm_tz🙏🙏🙏

  • @HappyToursAfrica
    @HappyToursAfrica 14 днів тому +1

    abjo thank you for good lesson. Greetings from Uganda.

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  14 днів тому

      Wow!! thank you for being here Madam Happy!! you are welcome my friend from our very beautiful nation Uganda!!

  • @kevinchalamila6068
    @kevinchalamila6068 7 днів тому

    Je Kuna chakula maalumu kwa mama anaye nyonyesha

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  3 дні тому

      Ndio Kipo kaka, ni hivi karibuni video yake naiweka hapa inayoonesha chakula cha mama mtarajiwa na anaenyonyesha.

  • @NaoEzekiel
    @NaoEzekiel 12 днів тому

    Kaka Mungu akubariki sana kwa hii channeli yako kwa kweli inatusaidia wafugaji

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  12 днів тому

      Amina ndugu yetu Nao tunakushukuru pia kwa kuendelea kujifunza kutoka kwa wadau wa mifugo na kilimo.

  • @mpawenayoegide
    @mpawenayoegide День тому

    Nimependa, Ila mi niko Burundi sasa Naweza nikapata Maelekezo Vizuli Ili Nijitengenezee Uku nilipo kama munaweza kuniachia namba Ingekua Vema

  • @FredyMkumba
    @FredyMkumba 9 днів тому

    Nimeelewa somo ,kwa ghalama hivyo atauzwa kiasi gani ili kupata faida?

  • @UrioEmmanuel
    @UrioEmmanuel 14 днів тому +1

    👍👍👍👍👍👍

  • @bwiganemwamasage3844
    @bwiganemwamasage3844 14 днів тому +1

    Ubarikiwe kaka, sana sana.

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  14 днів тому

      Amina amina sana ndugu Bwigane.

  • @FrankeIgiraneza
    @FrankeIgiraneza 12 днів тому +1

    🇧🇮❤🇹🇿

  • @NaoEzekiel
    @NaoEzekiel 12 днів тому

    Kazi nzuri sana kakaangu

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  12 днів тому

      Asante sana Nao karibu sana uendelee kuwa nasi kwa kujifunza zaidi!

  • @kevinchalamila6068
    @kevinchalamila6068 7 днів тому

    Hapa alizeti mbegu au mashudu ya alizeti

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  3 дні тому

      Nikatika kuharakisha kuongea ila anamaana ya mashudu.

  • @CastoSimon
    @CastoSimon 12 днів тому

    Nimeipenda hiyo

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  12 днів тому

      Ooh! Asante sana Casto kwa kuwa nasi na tumefurahi kuona coment yako.

  • @mayunga-d5f
    @mayunga-d5f 14 днів тому +1

    Waoooooh 🙏🏼

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  12 днів тому

      Asante sana Mayunga kwa kuwa nasi!

  • @Joseph-f3g9o
    @Joseph-f3g9o 8 днів тому +1

    Sijaelewa hapo umesepa Dsp au nini

  • @kevinchalamila6068
    @kevinchalamila6068 7 днів тому

    Kuna utofauti gani kati ya soya mafuta na soya kavu

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  3 дні тому

      Zinautofauti kimatokeo
      **Hii hapa ni orodha ya maelezo kwa mtindo wa nukta bila alama:**
      1. Soya iliyokaushwa mafuta ina kiwango kikubwa cha protini kati ya asilimia 44 hadi 48 huku ikiwa na mafuta kidogo sana chini ya asilimia 2
      2. Soya yenye mafuta haina mafuta yaliyotolewa na ina kiwango cha mafuta kati ya asilimia 18 hadi 20 na protini ya wastani wa asilimia 36 hadi 38
      3. Soya iliyokaushwa mafuta inafaa zaidi kwa kukuza misuli safi kwa nguruwe wachanga au wanaokua haraka kwa sababu ya kiwango chake cha juu cha protini
      4. Soya yenye mafuta hutoa kalori nyingi na inafaa kwa nguruwe wa kunenepeshwa haraka kama wanaokuzwa kwa nyama kwa sababu ya kiwango chake cha juu cha mafuta
      5. Soya iliyokaushwa mafuta ni nafuu zaidi na mara nyingi hutumika kwa kiwango kikubwa katika malisho ya nguruwe wa viwandani
      6. Soya yenye mafuta ni ghali zaidi kwa sababu haijachakatwa lakini inafaa kwa kuongeza nguvu na unene wa jumla wa mwili wa nguruwe
      7. Nguruwe wachanga wanafaidika zaidi na soya iliyokaushwa mafuta kwa sababu protini yake ni rahisi kuyeyusha na haina mafuta mengi ambayo yanaweza kusababisha changamoto za mmeng’enyo
      8. Nguruwe wa nyama wanaweza kufaidika na mchanganyiko wa soya yenye mafuta kwa ajili ya kuongeza uzito lakini inapaswa kuchanganywa na vyakula vingine ili kuepuka mafuta kupita kiasi kwenye nyama
      9. Kwa mahitaji ya lishe ya kila siku mchanganyiko wa soya iliyokaushwa mafuta na vyakula vingine kama mahindi unaweza kuleta uwiano mzuri wa protini na nishati
      10. Kwa lengo la kukuza uzito haraka ongeza kiasi cha soya yenye mafuta lakini hakikisha inachanganywa na vyanzo vingine vya chakula kama pumba nk.. ili kuweka lishe bora na uwiano wa virutubishi

  • @EdwinBugoke
    @EdwinBugoke 14 днів тому

    Kwa nini hawaweki chunvi?

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  14 днів тому

      Chumvi ni muhimu sana ila kuna baadhi ya michanganyo ukiiweka haihitaji chumvi kwa hio kuna baadhi ya vitu kati alivyotaja viko na chumvi tayari so ikiwa hutakuwa na michanganyo yenye chumvi ni vyema kuweka chumvi ya kawaida ya mawe.

  • @MwambaForreal
    @MwambaForreal 13 днів тому +1

    Soya mafuta ni nini na inapatikanaje na inapatikana wali?

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  13 днів тому

      Nenda mahali wanauza vyakula vya mifugo vitu vyote alivyotuelezea mtaalamu wetu ndipo vinapatikana na utauliza kila kimoja na kazi yake na mwisho wasiku utapata mchanganyiko sahihi kwaajili ya nguruwe wako kulingana na umri wao.

    • @ACKTAPUSS
      @ACKTAPUSS 4 дні тому

      Mimi ni mfugaji wa nguruwe Kenya ,naweza penda kujua hii mix ratio yako pia ni linganishe na yangu pia.Ni wapi naweza ipata tafadhali.

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  День тому

      @ karibu sana Acktapuss kutoka Kenya, fanya hivi sikiliza tena video uende una pause ili u note down kila kitu anacho mention and then go the animal feeds shops show them what you have written na useme unahitaji kwa ratio hio aliyokuwa akitaka mtaalamu wetu eg. Soya Kg. 2 wakupimie na mashudu ya alizeti (sunflower cake) etc.. halafu ukisha kamilisha yote nenda shambani kwako uamze ku mix mwenyewe na ikiwa unaweza nenda kwa mashine zakusaga vyakula vya wanyama unaweza changanyia hapo

  • @cottyadam
    @cottyadam 14 днів тому +1

    Mm Nina nguruwe wa kienyeji nikiwalisha mchanganyo huu watanenepa.

    • @aBjofarm_tz
      @aBjofarm_tz  14 днів тому

      Hongera kwa kufuga ndugu Cotty, watanenepa vizuri isipokuwa alie na wa kisasa na wewe wa kienyeji mtapata matokeo tofauti kwa maana ya muda wewe watakaponenepa na kufikisha mfano kilo 70 yule mwenye mbegu ya kisasa wanaweza kuwa kilo 120.. kwa muda unaofanana ila watapishana matokeo.