Ninamshukuru mungu nimelelewa na baba na mama paka leo mim na familia yangu Allah azidi kuwapa maisha marefu wazazi wetu Amin 🙏🙏 poleni sana kwa maisha mlo pitia ndugu zetu
Mungu wangu naomba kibari nifanyie mama bora kwa watoto wangu niwalee mpaka pale watakapokua kuweza kujitegemea Poleni sana kwa wenye mapito ya namna hii Mkono wa Mungu uendelee kuwatetea
Media nyie mungu awabariki sana madada wazur namna hakima sana mnafungu lenu mbele za Allah ndugu zangu .jaman mie sielew niwaombee Dua ipi kwahekma zenu
Baba Mwenyezi MUUMBA MBINGU na aridhi na Vitu vyote Visivyoonekana na vinavyoonekana….. Kiukweli Binadamu Tunapitia Makubwa Mnoooooooo Nimetokwa na Machozi kwa Hawa Watoto Wawili wameishi kwenye Mazingira Magumu …. UJUMBE WANGU KWA WAZAZI pale Mnapoachana Familia Lazima Zitengane cha Kufanya ni Bora KUTUNZA family yako itakuja kukuokoa Mwisho wa Siku Amen😢
Hongereni kwa ubunifu wa hiki kipindi Cha kuunganisha familia zilizokuwa zimepotezanaaa, natamani mngepata wadhamini wengi wawawezesheee muendee mbalii zaidiii.......mnafanya jambo kubwa saana ambalo hata mbele za Miungu naamini linampendeza mnoooo
Mungu aendelee kuwapa njia kama alivyowapa Sasa mkapatana. Naamini kama mama yupo hai mtamuona, na kama alishafariki basi Mungu amlaze mahali pema peponi. Nayajua mnayoyapitia ndugu zangu, Mimi sijui hata kaburi la mama yangu lilipo 😭😭😭😭😭
Ila watu tunaolelewa na kufikia tunaumia basi thuu mungu anatuongozaa....mwisho wa siku tumetofautiana na ndugu zangu wa kambo na wao ndio walikuwa na makosa baba sijui kafikwa na nini ameishia kuniambia nihame nyumbani kwake nikajitafutie maisha na mwanangu😭😭😭😭😭😭
Afhazali aliekimbia ni mwanaum si nimwanamke na arirudi ashalibika tayali 😢 akawa narudi daa mala kwamala 😢 ashafhaliki na ugonjwa waukimwi😭sisi tulikua ni wa burundi 😭😭😭
Jamani kuna watu wanapitia maisha magumu mioyoni mwao pamejaa maumivu mda mwingine hawana la kufanya ni kumshukuru Mungu tu lakini ni maumivu hata kwa wasikilizaji wao.
Jamaniiii inaumiza wanapoachana wazazi watoto ndiyo wanateseka nimeona hii habari nimelia saana wazazi kuweni makini pale mnapogikia maamuzi ya kuachana fikirieni hatma ya watoto wenu kwanza
Inauma kwa kweli Mungu naomba unipe maisha marefu niwalee watoto wangu
Nilikuombea sana upate Ndugu yako nashukuru Dua Langu Allah amelipokea. Ahsante M.mungu Kwa ili na lengine yarabi
Hata kama uwe na chozi la mbali unalia tuuu, nimelia sana, kila lililo jema Clouds. mubarikiwe sana
Dah jamani msinyanyase watoto wa kufikia..imeniumiza sana hii dah😭😭😭😭
Hakika Mwenyez Mungu naomba kibali niwalee watt wangu had wajitambue ikiwezekana kwa mapenz yako ili wasisambaratike🙏
Nimeshindwa kuvumilia, Ee mwenyenzi Mungu ninakuomba unisaidie kuwalea watoto wangu!! Poleni sana wadogo zangu, Mungu awafariji😢😢😢
Ninamshukuru mungu nimelelewa na baba na mama paka leo mim na familia yangu Allah azidi kuwapa maisha marefu wazazi wetu Amin 🙏🙏 poleni sana kwa maisha mlo pitia ndugu zetu
Subhanallah nalia na natabasamu mungu ni mwema namini na.mama atapatikana mung awasimamie undugu wenu udumu
Mungu naomba kibali niwalee wanangu😢😢
Mnatuliza Sana na hichi kipindi😢😢
Ila clouds Mwenyezi Mungu atawalipa kheri.
Kipindi iki acha 2 mungu ndie atawalipa
Ameen
Nimelia pia mnooooo
Poleni Sana wenzetu mliopitia maisha Kama haya hata mm my mom maisha yake yalikuwa Kama hayo
Wangapi tumetokwa na machozi mwanzo mwisho 😢😢😢 jamani inahumiza 😢😢😢
Mimi pia machozi yamenitoka 😢
Mimi nimelia sana
Machozi yamenitoka kwakweli 😢
Daaaaah😭😭😭 so sad 😢😢
ua-cam.com/video/0Jt3LLELrSg/v-deo.html
Mungu wangu naomba kibari nifanyie mama bora kwa watoto wangu niwalee mpaka pale watakapokua kuweza kujitegemea Poleni sana kwa wenye mapito ya namna hii Mkono wa Mungu uendelee kuwatetea
Jamaniii, MUNGU awaongezee umri Mrefu kwa jitihada.
Daa!! Nimelelewa na wazazi wangu miaka 27 lakinii naumia juu ya familia kama hii eeh mungu wee nioe nguvu niwalee wanangu mm😭😭😭
Clouds mnafanya kazi nzuri sana Mungu awabariki🤲
Naijua hii na eeeheee omba isikukute😢😢😢tulikuwa 3 . Wawili wakakimbia mateso na WAKAFA mi ndo naishi tu. Uvumilivu
Media nyie mungu awabariki sana madada wazur namna hakima sana mnafungu lenu mbele za Allah ndugu zangu .jaman mie sielew niwaombee Dua ipi kwahekma zenu
Cloud TV Big up for this step guys,to make life easy for another people 👌🏽
Yaani da Huu ni mrembo sana yaani hapa ulipendeza Japo nipo nje ya mada 😀😀#nimeliaSana 😭
This is very emotional 😭😭😭 GOD have mercy over this kids
Haki nimelipa😭😭😭Mama,Baba Mko Wapi?Dunia imetulemea Dah!Asante Mungu Kwa mitihani 🙏
Pole san tupo tulikua mazingira kama yakwako tuseme tu alhamdulilah .
daah
Mungu atujaaalie maisha marefu watoto wanateseka mno
Daah kipindi chenu ni kigumu,maana nimejikuta nalia kwa wote😭😭
Yani washindwa kujizuia😢😢😢😢😢
Nimelia haya mambo uyasikie tuu kwa mwingineee
Masha Allah mwenyezimngu tabalaka Allah akufanyiye wepesi ❤❤❤❤❤😢😢😢😢
Daah Geah nimelia sana nimesisimka mwil mzima kwel nimeumia jamaniiii wote hayo Ni Mungu tu naamin niwakat sahihi wa Mungu
Hatamimi
Baba Mwenyezi MUUMBA MBINGU na aridhi na Vitu vyote Visivyoonekana na vinavyoonekana….. Kiukweli Binadamu Tunapitia Makubwa Mnoooooooo Nimetokwa na Machozi kwa Hawa Watoto Wawili wameishi kwenye Mazingira Magumu …. UJUMBE WANGU KWA WAZAZI pale Mnapoachana Familia Lazima Zitengane cha Kufanya ni Bora KUTUNZA family yako itakuja kukuokoa Mwisho wa Siku Amen😢
Kipindi kizuri sana mungu hawabariki sana
Mungu nipe maisha marefu nimulee mtoto wangu
Mungu awalefushie maisha.
Naamini mungu watampata mama yao
Nifuraakumbwa ❤🎉🎉🎉🎉kuonana
wamejua kuniliza😢😢 mtt wa kike wakike tu analia mwazo mwisho nyie tushukuru sana tulio lelewa na wazazi wetu mpaka ss
😢😢😢😢😢😢mungu wangu nawaona wanangu kupitia hawa
Wana fanana maashaallah
Ila nyie wazazi wetu hebu tulieni pamoja kutulea watoto wenu mkiachana mnatutesa sana
Khaaaaa, clouds mmefanya kazi kubwa sana
Aisee, Hiki kipindi kinaumiza sana.
sanaa
Kumbe ni wa Singida damu yetu kabisa Subhana Allah
😢😢😢😢Mungu awatunze Mumpate na mama akiwa hai jaman
Hongereni kwa ubunifu wa hiki kipindi Cha kuunganisha familia zilizokuwa zimepotezanaaa, natamani mngepata wadhamini wengi wawawezesheee muendee mbalii zaidiii.......mnafanya jambo kubwa saana ambalo hata mbele za Miungu naamini linampendeza mnoooo
Poleni sana watoto wangu. Mungu awahifadhi. Nimelima sana Leo jamani.
Ushauri wangu mueke tishu wafute machozi hongereni sana❤❤❤
Nimelia wallah, Mungu mwema
Mwenyezi Mungu hawahi wala hachelewi hutenda kwa wakati uliokubalika nimelia sana kuzidi Martha na Hamisi Mungu awafungulie milango watende yampasayo
Nimelia kwakweli, inaumiza sana 😢😭😭😭😭
Mungu awainue zaidi na zaidi wadogo zangu ila mmejua kuniliza kwa kweli😭😭😭😭😭😭😭😭
Daaaah nimelia sana sana jmn 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu aendelee kuwapa njia kama alivyowapa Sasa mkapatana. Naamini kama mama yupo hai mtamuona, na kama alishafariki basi Mungu amlaze mahali pema peponi. Nayajua mnayoyapitia ndugu zangu, Mimi sijui hata kaburi la mama yangu lilipo 😭😭😭😭😭
Mi naogop atakuendelea kuangalia zinatoa machoz 😢
MaashaAllah ila anaeandika heading aemprove kdgo ili izidi kua na mvuto..kwa sbabu clouds ni chama kubwa mnoo♥️♥️
hongereni sanaa clouds Mungu awabariki sanaas
Nimejikaza nisilie nimeshindwa kabisaa😭😭😭
Hongera hamic mm cku zote nakufaham lakin cjui maisha yko ndo nimejua leo
mnaishi mtaa mmoja
Da Huu mzuri Mashallah
Duh nmelia kwa uchungu jmn ukiwa mbaya nyie jmn ee Mungu tusaidie cc viumbe wako
Nimelia sana😢😢😢😢 CLOUDS MBARIKIWESANA TENASANA
Ila watu tunaolelewa na kufikia tunaumia basi thuu mungu anatuongozaa....mwisho wa siku tumetofautiana na ndugu zangu wa kambo na wao ndio walikuwa na makosa baba sijui kafikwa na nini ameishia kuniambia nihame nyumbani kwake nikajitafutie maisha na mwanangu😭😭😭😭😭😭
Wame fanana Maashallah
Mashallah leo ndonimepata muda wakuangalia jamani, mmh! Nimelia mpaka nimeliatena jamani Mungu awaweke Leo tena 😭😭😭😭😭😭😭
Mungu naomba uwape Manisha marefu Claus mnaponya majeraha ya watu
Mbaya sana wamama wa kambo.mtoto wa mwenzako ni mtoto wako.😂😂😂
Mi nitakua siangalii kipind chenu najikuta nalia tu😭😭😭😭😭
Kuna mama wa kambo ambaye ni mama alafu kuna mama wa kambo ambaye ni mbwa
Ni kweli kbs aisee
Mungu awabariki Sana kwa kazi nzuri jamani.
Mim mwenyew nimepitia maisha ya manyanyaso san😭😭
Dada pia mm nimepitia machungu sana but hii imenitoa machozi, mm Niko tu mmoja hivo marafki ndoo bro wangu na siz yangu
Pole sana na ongera kwa tv kuwakutanisha mi naomba tu namba za sim za hawa wawili nina mchango mdogo
Daaaah 😭😭😭 Jamanii, naliaaa nyieeee
Sikutegemea kama ningetuoa ata chozi😭 mejikuta naumia ert
Mungu naomba kibali cha kulea watoto.wangu
Najuta kwann nimeangalia nipo kazini nimelia Kama mtoto aisee touch story
Tabitha jina lamrehemu mama yang mkubwa😢. clouds mmeniliza sana
Hongera sana cloud fm
Tunaomba muwe na vitambaa ya kuwapa watu mnapokuwa mnawahoji. Maana wakipata hisia majozi yanawazidi .
😪😪😪melia mpk mafua Jmn inaumiza😭😭
Kakaangu ningekutafuta ningekupata 😭
Pumzika kwa amani
Pole kipenz
Nalia sana😭😭😭😭poleni sana wote mliopitia maisha haya
Jaman tusaidiane wanapatikanaje
mimi mala ya mwisho kulia muda mlefu nimekuja kuria tena baada yakuona hii big up clouz
😭pole dada angu mungu atawalipa
Alihamdulillh nimelelewa na wazazi wangu wote
Ila hii inaumiza san Pole san wadogo zangu
Mungu ni mwaminifu hata huyu mama atapatikana
In sha Allah
Afhazali aliekimbia ni mwanaum si nimwanamke na arirudi ashalibika tayali 😢 akawa narudi daa mala kwamala 😢 ashafhaliki na ugonjwa waukimwi😭sisi tulikua ni wa burundi 😭😭😭
Yani maman wakambo Mungu anawaona atakma sio wote Ila wengi asili Mia kwa Mia wachawi😭😭😭😭
Hongeren sana team leo tena
Yani nisingwewza kuendesha hicho kipindi yani ningekuwa nalia hadi kipindi kingecmama
Nimelia sana kwakweli 😢😢
Mwenyezi mungu awalinde
Mungu ibariki clouds AMENI
Mungu awasaidie
Duu! Inaumiza😭😭
Hadithi ngumu sannna leo dahhh nimelia sokoni kwa wauza samaki
Amen 😢🎉
😂😂😢 yaskitisha haki
Mwenyeji wa maganzo anaitwa nan mi nipo maganzo 😢😢 nijue pengine naweza kujua na kusaidia
Clouse nyie mnaniliza bana sio vizuri😭😭😭😭😭😭😭
Jamani kuna watu wanapitia maisha magumu mioyoni mwao pamejaa maumivu mda mwingine hawana la kufanya ni kumshukuru Mungu tu lakini ni maumivu hata kwa wasikilizaji wao.
Wengine wanarithi pesa, wengine wanarithi makaburi, dah Mungu tusaidie
Finally mmekua, Mungu mkubwa sana
Nimelia😢😢
Jamaniiii inaumiza wanapoachana wazazi watoto ndiyo wanateseka nimeona hii habari nimelia saana wazazi kuweni makini pale mnapogikia maamuzi ya kuachana fikirieni hatma ya watoto wenu kwanza
Mmmh! Hiki kipindi mbona kizuri na kinatia huzini??