Haitotoakea makiburi mnatuwakilishi vema kanisa katoliki chini ya mwanga kwa mwanga Mungu kweli kwa Mungu kweli heko kwenu nawaombea mdumu ktk kumtangaza Mungu kristo na mama maria chini ya roho mtakatifu
SHIKAMOO Makuburi choir. You always uplifting my soul, PRAISE BE TO OUR LORD JESUS CHRIST.... LOVE FROM ZIMBABWE You have the best GOD Fearing President in Tanzania you are blessed.
Makuburu choir,,you r a blessing to my life.. Ur songs keeps me hoping the best in life... May our Mama Maria mother of Jesus bless u all for ur good voice....
Very touching and inspiring song..it reminds me of my Seminary Life in st.mary's Seminary Nadiket MOROTO..may God's blessings and peace of mind be upon you all.... Seminarian Denis Loduko sixtus Wijnand Apalokwang....
Since January I have been playing this song. It's my best 👌. May God bless Bernard and the team. Much love from Nairobi since we last met when you perform at basilica
Alleluyah Amen 🙏
Nyimbo nzuri,ujumbemzuri,nafarijika Sana ninavoskiliza nyimbozenu, mwenyemunguawariki utumemwema.
Song blessed me every day continue like that GOD blese
Haitotoakea makiburi mnatuwakilishi vema kanisa katoliki chini ya mwanga kwa mwanga Mungu kweli kwa Mungu kweli heko kwenu nawaombea mdumu ktk kumtangaza Mungu kristo na mama maria chini ya roho mtakatifu
Mnaimba vizur mungu awape furaha katika uimbaji wenu namuona boniphace na phabiani wakiwa kwenye furaha mungu awajalie
And that is why I will die a Catholic. No other better way of singing to the Lord.
Henedeni ulimwenguni kote mkayahubiliee mataifa yote ukuu wa mungu. Niko pamoja naye watumishii wa mungu ❤❤❤
🥰🥰🥰🥰 jman mnanikosha san na hzo nyimbo
Yeye hata iweje habadilikiiwe mchana au usiku yeye ni yule yule, bravo sana wanakwaya
Jamani mungu awabarki Sana ira napenda mniunge katka gooup lenu ra nota
Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Mnatufanya tujivunie ukatoriki wetu❤
Hii nyimbo nzuri sana❤❤
Kweli mwanadamu ni nusu kwa nusu
Mumebarikiwa vitamu sana.natamani kujiunga nanyi.
Very nice song, hongera kwenu Mtakatifu Kizito, Baba wa mbinguni awajalie nguvu ya kumwimbia daima na milele
Nyimbo zenu ninzuri Sana tunazipenda Sana Sana
Utulivu @100/100
Tabasami@100
Sauti@100 Napenda sana nyimbo zenu Mungu awabariki sana na mtunzi wa hizi nyimbo.
Mtiririko mzuri sana wapendeza,pongezi
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA
Kweli mwanadam ninusu kwa nusu
Sauti nzuri Mungu ametupatia tuzidi kumrudishia shukrani Amina
Ahsante sana kwa kuimba wimbo nzuri sana
Nabarikiwa sana na wimbo huu
Hahahahahah Oyooooo,,niyule yule hahahah naipenda hii nyimbo jamaniiiiiii,,,mbalikiwe sanaaaa
🎼🎹🥁🎺🎷🎵🎶 HAKIKA MUNGU NI YULE YULE.D.F.Nkoko Mungu akubariki,KMK Mungu awabariki saana
Lakini Mwanadamu Mimi.... Mwanadamu Nusu kwa Nusu 🎶🎶🎶
Hongera sana
makuburi
wimbo mzuri sana lakin naomba mniunge kweny grup la nota naombaaa canaa
Mungu kweli habadliki!!! Nawaskiza na kubarikiwa nikiwa kenya.. Nawapenda sana
Shikamo, kweli nyie ni simba wa yuda hongereni sana mnanipa raha
Mimina kabisa, Nusu kwa Nusu? Asanteni Sana Barikiwa Nyote.
Nyimbo zenu ni nzuri sana Mungu awalinde na baraka awamiminie
AKUNA ATAKAYE MUONA BWANA BILA KUPITIA KWAKE ISA MASIAH ALIYE TUKOMBOA MSALABANI (INRI
I like 😍 the beautiful ❤ song
Mungu alivyo hivyo ndovyo alivyo..habadiriki..congratulations for the blessed song with strong message
Hizo ndo tabia zake.
Iwish iwas there ilove you're songs
Wimbo mzuri waimbaji mungu awabariki
Can't understand yo language but yo songs makes me feel blessed
It says God is the same yesterday, today n forever. He doesn't change
I can't go a day without playing with song...very nyc
Mubalikiwe.watumishi.was.mungu
Number 1 catholic choir in East and Central Africa. 🔥🔥🔥🔥
Hongera
Na kweli mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu.
Napenda sana Roman Catholic song
You people please come to Uganda in kla Christ the king church please
Yes He is a constant.Mungu ni yule,ndivyo alivyo.
Nabarikiwa sana na wimbo huu, Hongereni sanaaa wapendwa kwa kuinjilisha vema
Iyo mimina beat❤❤
please someone share with me this piece from st. kizito choir i want to teach with our choir in Northern Uganda. wonderful piece.
SHIKAMOO Makuburi choir. You always uplifting my soul, PRAISE BE TO OUR LORD JESUS CHRIST....
LOVE FROM ZIMBABWE
You have the best GOD Fearing President in Tanzania you are blessed.
Makuburu choir,,you r a blessing to my life..
Ur songs keeps me hoping the best
in life...
May our Mama Maria mother of
Jesus bless u all for ur good voice....
Nabarikiwa sana na Roman Catholic
Nabarkiwa sana na nyimbo za Kizito Makuburi.
Hakika mko vzr
Very touching and inspiring song..it reminds me of my Seminary Life in st.mary's Seminary Nadiket MOROTO..may God's blessings and peace of mind be upon you all.... Seminarian Denis Loduko sixtus Wijnand Apalokwang....
Since January I have been playing this song. It's my best 👌. May God bless Bernard and the team. Much love from Nairobi since we last met when you perform at basilica
This is my No 1 favourite choir 🔥🔥. This is so amazing I love the guy blowing that 🎺🎺🔥🔥. Very professional. Be blessed 🙏🙏🙏🇫🇮🇫🇮
God forgives
Mnaimba vizuri
Mnanibariki sana makuburi mungu awainue kwakiwango chajuu sanaaa
Nimependa sana nyimbo zenu.
Wonderful. Its soo lovely ❤❤
My favorite 👍
Really touching song,May God bless the concern pple.
OGod strengthen all catholic choir,
This choir is more favorable , be blessed more!
Wimbo mzuri sana kwa wapenda nyimbo
Wonderful keep praising the Lord Jesus Christ AMEN
Mwenyezi mungu awazidishie muendelee kumtumkia kwa njia ya kuimba nawapenda sana
Nawakubali Kwa sanaaa mungu awalinde ni Mimi Natalia kutoka nairob kenya.
#Makuburi is fireeee
Lovely
Mungu awabariki sana
Nabarikiwaa nahuu wimboo🥰🥰
Kazi zuri sana
Mkovizuri
Kabisa !!
Nawapenda sana
Mziki msafi sana...utulivu mia kwa mis
alelujah
Smart sana
I can't go a day without listening this song
Mungu wetu ni yuleyule🔥🔥🔥
I love your songs.God bless you
Waoh am blessed through your song
May you be blessed and keep blessing us through your beautiful voices
I just love this😍😍😍,I play it severally,what a wonderful choir🤩🤩
Nc❤❤❤❤❤
We love in 🇰🇪 be blessed
Hongera Makuburi! 😍
Nawapenda sanaaa .. 💜
Amazing 🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻
So wonderful and organised. Be blessed.
Be Blessed all
💃💃💃 Good Music ❤️
I love it
Émotionnel🙏
❤️❤️❤️❤️❤️song
🙏🙏🙏🙏🙏
"em voices♥️♥️♥️
This song is so amazing I love it ❤️❤️❤️
I get blessed when l listen to your songs