Mt. Kizito Makuburi - Mungu Ni Upendo (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- All our voices to our Lord God the creator of the universe.We will not stop,THE GLORY AND GREATNESS IS WITH HIM forever and ever,Amen
Welcome to KMKMAKUBURI,
You can support evangelism through
⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
NAME: EVELYN JEPKEMEI
⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
A/C No: 3390899162
Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
Swift code: KCBLTZTZ
You're warmly welcome
Bravo mcheza kinanda, vimbao hivyo vinavyogongwagongwa na virungu, mpiga tarumbeta na wacheza ala zote katika wimbo huu zimeenda sambamba na wimbo wenyewe. Acha kabisaaaa
Mpenda Mungu shangwe ni like🎉🎉❤ Mungu awalinde
Hakika YESU akirudi atalikuta Kanisa Katoliki bado lipo 😍😍😍
Very true
Nazaliwa katoliki na batizwa katoliki nandakufa katoliki🙏🙏❤️❤️❤️
hamkoseangi nyinyi kabisa,nawaombea Mungu awajalie nguvu ya kumtumikia Mungu kwa njia ya kuimba,Mimi hapa kutoka Kenya
Mimi sio mkatoriki lakini nabarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu awabariki awainue viwango na viwango❤❤❤❤
Wee hawa watu hatari kwa kuimba Mungu awape umri mrefu
Amina
Mungu awabariki sana muzidi kumtukuza kwa nyimbo nzuri kila kukicha.
Hasant
❤❤❤❤❤
Kam umeipenda stepu ya mguu moja cha like yako . makubuli katika ubora wake
Wako fiti sana
😂😂😂😂😂😂
Nakupenda dem❤❤❤
2025 mbio mbio bado tunasikiliza hii kwaya hongereni sana wanakwaya asee
Amina sana.....napenda sana kuimba nyimbo nikiwa nyumbani na nikiwa kanisani napenda kwa kweli kuimba" nimebarikiwa na wimbo huu
Ngoma nasisitiza Ngoma jmn jmn vaeni earphones musikie jinsi mziki wa YESU ulivo mtam❤
Kua mkatoliki raha sana tunabarikiwa sana ❤
Asanti sana kwa mwimbo mwenye atufundiswa,na sauti nyororo hi,nasikia hapa Uganda
Mnaimba kwakweli mzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri zilizojawa ujumbe wa Mungu
❤ Mwenyezi MUNGU aendelee kuwatunza 😍 ktk uimbaji wenu mnajua kwakweli
Talanta mnazo aisee💓,Ni mkatoliki mwenzenu kutoka Kenya,,,love you guys
Félicitations saana ninawafata tangu RDC djimbo ya Maniema diocèse ya Kindu paroisse mater dei punia
Hakika RC ndio mtakaoimba siku ya mwisho mbinguni🔥💯
Hii kwaya ni moto mkali ü. Mie ni mpentekoste ila hapa hapa ni mibaraka yeke.
Pongezi sana kwa nyimbo tamu tamu tunajivunia kuwa wa katoliki
From Kenya mko....muuuaaaaah tanzanians. Mko tu mbele
Ak hii choir mungu awainue sana huwa mwaniimbia poa na kucheza mko uniform kwa kudance
Mimi naburudika sana na nyimbo hizi na nazipenda mno Mungu awaongoze vema mnapo imba sana❤❤❤❤ i really enjoy your music
Mimi nawangojea tu Hapa kwetu Kenya niwaone LIVE. God you all
Karibu sana Tz
Wow the guy on the keyboard is on another level.....kudoz braza❤
Nampenda mungu
Proud to be a Catholic. Najifunia kuwa mkatoliki. Mungu azidi kuzibaliki kwanya zetu.
Amen bro najivunia pia
All time happy and proud of being a catholic.
Asanteni kwa uinjilishaji ..huwa na barikiwa sana nisikiapo wimbo huu
Napenda sana kumwimbia Bwana
🙏 ashukuriwe mungu
Mungu awaongoze mnaimba vizuri xana
Sauti nzuri I like the way men start with that voice
Na wapenda Sana mimi ni Mcongomane
Mungu ni upendo tupendane
Nyimbo mzuri sana mbarikiwe
What a rendition of 1st Corinthians 13... nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika. Kama sina upendo si kitu mimi...The beauty of this choir is they sing directly from scripture. Keep it up St. Kizito Makuburi . I am not catholic but I I loooove your music and your service. Uinjilishaji wenu ubarikiwe tena sana. Tunawapenda sana kutoka Kenya 🇰🇪
Ok
Good
Welcome
Mm ni mkatoliki nalipenda Sana zeebu langu katika Iman ninaposikiliza nyimbo za injili kiukweli nabaliwa mno nais Kama nipo mbingu mbalikiwe Sana asante
katoliki mpooooooooooo
Tamu sana kwa kweli ,hii nyimbo na nyingi zenu mwasitunga na kuiimba kwa uongozi wa roho mtakatifu,kongore! from Kenya with love.
Mungu awazidishie na Baraka zake zote ziwashukie. Mukasa twakupenda Kenya Natumia mtakuja Kenya siku moja
Hongereni sana kwa mwimbo mzuri
Mungu awatunze❤❤
🎼🎹🎸🎷🎺🎵🎶 E.F.Jissu Hongera sana ,KMK NAWAPENDA SANA One Love
Mungu n mwema 🙏
MINGU NI UPENDO TUPENDANE ❤
Nyimbo tamu sanaa naipenda nyimbo za kizito sanaa
Just love all Catholic songs from Tanzania
Mungu ni upendo tupendane asante makuburi
I bet Tanzania leads in Gospel music; the coherence, finesse, harmony....super🥰
Nyimbo zenyu ni za baraka kuu. Mungu mwenyezi aendelee kuwashikilia pamoja na kuwainua daima.
Asanteni kwa wimbo huu mtamu na wenye maana. Kweli, inatupasa kutangaza zaidi na zaidi kwamba Mungu ni Upendo, kwa njia ya nyimbo.
Mungu awabariki kwaya ya Mt. Kizito Makuburi. Mungu ni upendo awalinde. Nawatakia mwaka 2024 wenye afya njema na mafanikio
Wapi mnapatikan nije nisali na nyie walau siku moja
Mungu niupendo tupendane,niwimbo mzuri sana naupenda sana huu wimbo,Mungu awabariki sana kwa uimbaji wenu mzuri.....na kupitia uimbaji wenu Mungu akawape hitaji la mioyo yenu Amen
Haswa naupenda sana huu wimbo
MUNGU AWABARIKI SANA NIMEBARIKIWA
Hongeren Sana mnatsha kwa wimbo huu MUNGU NI UPENDO
Asanteni sana wanakwaya kwa wimbo huu mtamu Mungu awabariki saana
Huwa mnanibariki sana aise! Hongereni sana
Makuburi katika ubora wao
Sending hugs from Kenya 🇰🇪 jamani tupendaneni!!
The greatest commandment with authority from Jesus Christ.
My favourite choir. Haki na barikiwa tu sana nikiwa hapa Seychelles,, I feel at home,,I really miss such singing., barikiweni I sana
Amina mtumishi
Asee mko vizuri sana mungu azid kuwatia nguvu
I love you guys you have the best voices mnafanya twajivunia Kuwa wacatholici
Umeonaeee
Nawependa Sana mnanibariki mungu awabariki pia
najivunia kuwa mkatoliki pia nawapenda sana kwaya ya makubuli nizisikia nyembo zenu najihisi kuniliwa zaidi kiloho ❤❤❤❤
Nyimbo tamu sana
Mungu azidi kuwabariki sana naomba mniombee mkatoliki mwenzenu nipate mume bora na mkatoliki kama mimi amin sana
What a song
Yaani mnaimba hadi mnagusa moyo....Mungu ni upendo tupendane
Mungu awabaliki Sana na awape maisha marefu mzidi kumsifu yesu kilsto
Hongereni sana mungu Awabariki sana kwenye kila njia mnazopita
The greatest commandment that Jesus gave to us is Love this song tells all that Love does thanks St Kizito choir you are making us catholics proud
Nice song mbarikiwe 🙏🙏🙏
Kazi njema Sana kumsifu na kumtukuza kristo yesu
Mungu wabariki waimbaji wote,waendelee kulitangaza jina lake
Huwa ninafarijika sana kusikia nyimmbo hizi zilizojaa mafundishho mubarikiwe sana
Vocés estáo de parabenens estáo dando un verdadeiro de beleza na organizáçao na elegancia e ná unçao de Deus segue en frente
Upendo utawale mungu abariki amina
Amen
Nawapenda ndugu zangu
Mungu azidi kuwabariki kwa kumwimbia vizuri.
Very nice choir
Am listening several songs kila siku
Nawapenda sana Makuburi munaimba vizuri sana, mnatuinjilisha Mungu awabariki,
Kweli upendo humaliza mabaya asanteni sana nimeburudisha 💓
Cathoric daima 🎉❤
Mola akubariki ninyi saana kwa nyimbo nzuli za kumsifu bwana
1corithias 13...ijapo sema kwa lugha za wanadamu na malaika,kama sina upendo ,si kitu mimi❤
Amazing
mubariwe sana
Najifunia kua mkatoliki mungu tupendane jamani
Mbarikiwe Sana
a blessing
Like old wine in kibuyu, becomes more good.
Barikiweni sana Wapendwa na Mungu awatangulie ktk utume
Amina amina
❤❤❤❤
Kumanisha😊😊😊😮🎉😂❤
❤❤❤❤
MUNGU awe pamoja nanyi katka kutangaza neno kwa njia ya uimbaji.
Catholic forever ❤❤
Be blessed with the lord
♥ 🇹🇿From 🇿🇼
Catholic all the way
Thank very a good song.🎉🎉🎉🎉❤❤
Hongera sana kwa wimbo mzuri
Asante sana kwa wimbo huu bolo, Mungu awabariki
Thank U for you best best presentation
Thank U for your best presentation.