Yoh 1:12 na wote wameeleza sawa, tatizo lao hawaamini na pili hawana Roho ,1kor 12:1-3, 1kor 2:10-16. Sasa hiyo ndiyo shida Kwa wakristo na Waislamu,ni budi wajazwe Roho , Yoh 4:20-26,lsay 9:6-7.Wokovu utakuwa ndani yenu.Amen
Roho munafundishwa nyie munaopotolewa....Toka lini Mungu akazaliwa akatahiriwa akanyonya na akaabudu na akafa na kufufuka....halafu Mungu mwenyewe kasema wapi kama mwanawe yesu
Mungu hawezi kua myahudi ambae ni binadamu alietahiriwa na kubatizwa na Kufa Yesu mwenyewe aliwahi kusema asiabudiwe yeye bali aabudiwe Mungu baba yake. Sasa midahalo ya nini?
@@Catherine-mh8sw Yes, Yesu alikuja kama mwanadamu na yeye ni Mungu 100% Jibu kamili ni pale alipoulizwa kuhusu siku ya hukumu, alisema "Anayeijua ile siku ni Mungu baba pekee. (Na alipoondoka katika mwili huu na kuuvaa mwili wake wa utukufu. " Ile siku anaijua"
@@graceswai9166 ni kweli, na kuna mambo mengine YESU hakutaka kujidhihirisha, mapema kabla ule mpango wa kufa haujatimia,, maana angejidhihirisha, mapema,, Israel wangeamini,, basi watu wa mataifa wasinge pata neema hii.
Pastor(muchungaji) allah!! au Muobaji allah(allah anawaobea waisilamu) Mimi sihitaji maobi ya allah kwa sababu haiwezi kufika kwa Mungu yule wa ukweli.
@@josephmuchina3051 Allah akusamehe tuu maana wakristo ni watu wasio jielewa na mkielezwa pia wabishi kuliko!,wamtukan Muumba wako? Innalilaah wa innaa ilayhi rajiun, hivi hujui Allah,Mungu,God ni neno moja! tofauti ni lughaa Allah =Arabic. Mungu=swahili. God=English angalia ndugu usije ukapata hasara kwa mambo yasio kuwa ya lazima. Au unafikiri biblia ya kiarabu utakuta Allah ataandikwa kwa kiswahili au kingereza? Jibu ni Allah. Shauri yako.
Yesu angekuwa makini na mapepo yangetiii. Kumbuka mapepo yalimtii na kusema ewe Yesu mwana wa Mungu tuna Nini nawe? Ebu acheni kutupotosha Yesu ni Mungu.Anasema hakuna mtu ajaye Kwa baba isipokua Mimi. Yesu anasema Mimi ni njia ya kweli na uzima.mwenye akili na aelewe .hao wanaosema Yesu sio Mungu hao ni wapinga kirsto Yesu
@@harshimissah-wn3cc mtoto wa mke mdogo hawezi kua na nguvu kama mtoto wa mke mkubwa, hata uwezo wa akili wanapishana sana,, hata kule peponi nyie waislamu mtakua wafagiaji tu! Na sisi wakristo tutakua watawala kwenu.
@@BenjaNetanyahunyinyi Si mnasema hamuendi peoni mnaenda kukaa mbinguni tu kama Malaika wala Hakuna starehe yoyote katika makazi yenu baada ya kufa? Hayo aliyasema muhubiri mwankemwa rudia video zake, sio maneno yangu
Waislamu tunajua kua mungu aliteremsha vitabu vi4 ilat hivyo vitatu mumeviharibu ili mpate kupoteza wat na ndiomana bilia ikisema kweli tunasema nikweli na tunaamini na ikisema uongo tunakataa mfano
Mungu kazaliwa siokweli mungu hazaliwi,mungu kaenda harusini siokweli mungu haend harusini,mungu ameenda chooni siokwe mungu haendi chooni,mungu amekaa na binaadamu na ktembea pamoja na kusaidianamawazo sasa nyny hojahizo zote mnazikubali sis hatuwez kuzikuba sijui umenielewa?
MWL NDACHA NA MWL DANIEL NYINYI WENYEWE HAMJIELEWI.....HAMNA MADA HAPO NA HAMTAELEWANA!! MNAONGELELEA KUHUSU YESU KRISTO NA WAISLAMU WANAONGELELEA KUHUSU ISSA BIN MARYAM....WATU WAWILLI TOFAUTI KABISA KAMA MCHANA NA USIKU. NEXT TIME SAFISHENI MAZINGIRA KWANZA KATI YENU!!
Ndacha anaongelea ukweli mtupu kama yalivyo maandiko kuwa Mungu ni mmoja tofauti na Daniel anayetetea Mfumo wa Babeli kuwa kuna Mungu Momoja katika Utatu wa mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatika ambao ni UWONGO WA SHETANI na haupo katika biblia.
Kwaio mungu anatengezaje kitu au huu ulimwengu unatak kusema alikuaj apa duniani akaanza kutengeza mungu kwa utukufu wake akisema tu kuwa kitu kinakuwa acha upimbi ww na mungu wako yesu uyo
Walimu wekeni mdahalo je muhammad ni MTUME Kila siku je Yesu ni Mungu Lakin hamuwek je muhammad ni mtume kwa kusoma Quran na Hadith...hapo waislamu watajua muhammad si mtume kama anavyofanya @CHRISTIAN_PRINCE
Tatizo mnafanya mihadhara na washirkina kama Sulle mkiwaita waislam Sulle NImpiga ramli ss waislam tunamtambua hvo baada ya yy kujiweka wazi bayana kwamba anaushirika na majini, tunaomba mtafute waislam sahih wa kufanya nao midahalo ili mpate kujifunza elim yenye manufaa ila sio sulle..
Yaani mungu aliye muumba maria alitoka ktk kiti cha enzi na kuja duniani akakaa tumbo mwa mwanadam na kuzaliwa na mtu😂. Binaadam akamzaa mungu😂. Kipindi alipo kuwa tumboni maria alikua akimuabudu mungu wa tumboni😂. Alipo ishi duniani akauliwa na binaadam yaani binaandam walimuwinda mungu na kumtia nguvuni na kumuuwa😂. Kwa siku tatu mungu akiwa kaburini dunia haikuwa na mungun😂. Yani tunamfanya mungu kama amitabachan ktk sholai 😂Halaf hapo hapo mungu alimtoa mwanae wa pekee aje aukombowe watu na dhambi mwanae yesu😂. Huyo huyo yesu kawa mwana ambae mwanzo ni mungu. Mungu alisha niepusha na huu ujinga mmmh😂😂
Ndacha salute u man ov God ulimalizana n mazinge umebadilishiwa suleiman n mada hyo hyo kwn hawaelewi
Yoh 1:12 na wote wameeleza sawa, tatizo lao hawaamini na pili hawana Roho ,1kor 12:1-3, 1kor 2:10-16. Sasa hiyo ndiyo shida Kwa wakristo na Waislamu,ni budi wajazwe Roho , Yoh 4:20-26,lsay 9:6-7.Wokovu utakuwa ndani yenu.Amen
Roho munafundishwa nyie munaopotolewa....Toka lini Mungu akazaliwa akatahiriwa akanyonya na akaabudu na akafa na kufufuka....halafu Mungu mwenyewe kasema wapi kama mwanawe yesu
MCHUNGAJI Ndacha Well said, nimepata elimu YAKUTOSHA Kwa HUYU ninayemwabudu YESU KRISTO.
Fatiha
1:5
Allah anaabudu Mungu nq kuomba msaada kwa Mungu na kuomba njia iliyonyooka...
Nawakaribisha tena kwenye mada hii ya Yesu ni Mungu au sio Mungu .tarehe 22-6-2024 ukumbi Bcic Mbezi Jogoo Askofu Gamanywa na Askofu Aulrian Ngonyani
Mungu hawezi kua myahudi ambae ni binadamu alietahiriwa na kubatizwa na Kufa Yesu mwenyewe aliwahi kusema asiabudiwe yeye bali aabudiwe Mungu baba yake. Sasa midahalo ya nini?
Hakuna onyo, linalozuiya wakristo kumwita YESU ni MUNGU, na hakuna hukumu itayotolewa na MUNGU mwenye enzi, kwa watu kumwita yesu ni MUNGU.
Yohana 17:3
@@Catherine-mh8sw
Yes, Yesu alikuja kama mwanadamu na yeye ni Mungu 100%
Jibu kamili ni pale alipoulizwa kuhusu siku ya hukumu, alisema "Anayeijua ile siku ni Mungu baba pekee. (Na alipoondoka katika mwili huu na kuuvaa mwili wake wa utukufu. " Ile siku anaijua"
@@graceswai91661:17 Yakobo Mungu habadilili kenge ww leo awe mungu kesho awe mwanadamu hakuna kitu km icho pumbavu waheed
@@graceswai9166 sas atakuaje mungu wakati anaejua ni mungu baba pekee🤣yey kma ni mungu kwann asijue huu ni msiba mzito
@@graceswai9166 ni kweli, na kuna mambo mengine YESU hakutaka kujidhihirisha, mapema kabla ule mpango wa kufa haujatimia,, maana angejidhihirisha, mapema,, Israel wangeamini,, basi watu wa mataifa wasinge pata neema hii.
Ninajivunia kuwa Mkristo maanake ukristo haupingiki ukweli upo wazi , majini pepo wabaya wanashindwa kwa jini la ya Yesu .
Wee kwa akili zako unafikiri ungesemaje zaidi ya ulivyo sema🤔
Wakristo hawajijui hata
nkueleweshe?
Amen
😂😂kumbuka pia imeandikwa kwa jina LA yesu hata ukinywa kitu kibaya hautadhurika njoo nikupe sumu ya panya halafu tusubiri matokeo😢😢😢.
Pale katika nwili lazima atufuze njia kuwa mungu wangu ndiye mungu wenu,baba yangu ndiye baba yenu
Sule wapi hajuwe chochote from RWANDA Kigali we love you
Aliyewadanganya Waislamu kuwa Yesu Kristo si Mungu ni Mtume wao Muhammad
Kwaiyo wew akili zako Mungu alivyo kuwa kwa tumbo la Mariam Dunia iliongozwa na nan?
@@harshimissah-wn3cckwani wewe unavojua MUNGU ni nini?
@@BenjaNetanyahu ngoja mwanangu arudi chuo aje akujibu
@@harshimissah-wn3cc hawezi kutoa jibu la uhakika.
@@BenjaNetanyahuwewe mwenyewe humjuwi mungu ni nani
Ndacha hapo kwa yohana 5:45-47 soma hapo ndio wajue hata musa aliandika habari za Yesu
Aisee wakristo vichwa ngumu duh eti Mungu kaketi na Mungu maana kuna Miungu wawili apo
allah Dio hajielewi!
Kwa nini anashukuru Mungu,na kwanini anaapa kwa alieuba?
Pastor(muchungaji) allah!! au
Muobaji allah(allah anawaobea waisilamu)
Mimi sihitaji maobi ya allah kwa sababu haiwezi kufika kwa Mungu yule wa ukweli.
@@josephmuchina3051 Allah akusamehe tuu maana wakristo ni watu wasio jielewa na mkielezwa pia wabishi kuliko!,wamtukan Muumba wako? Innalilaah wa innaa ilayhi rajiun, hivi hujui Allah,Mungu,God ni neno moja! tofauti ni lughaa Allah =Arabic. Mungu=swahili. God=English angalia ndugu usije ukapata hasara kwa mambo yasio kuwa ya lazima. Au unafikiri biblia ya kiarabu utakuta Allah ataandikwa kwa kiswahili au kingereza? Jibu ni Allah. Shauri yako.
Ndacha upo vizuri
Wasilamu sule umeutetea wisilamu sule ongera
Yesu angekuwa makini na mapepo yangetiii. Kumbuka mapepo yalimtii na kusema ewe Yesu mwana wa Mungu tuna Nini nawe? Ebu acheni kutupotosha Yesu ni Mungu.Anasema hakuna mtu ajaye Kwa baba isipokua Mimi. Yesu anasema Mimi ni njia ya kweli na uzima.mwenye akili na aelewe .hao wanaosema Yesu sio Mungu hao ni wapinga kirsto Yesu
Jitahidi kutoa ufafanuzi kwa mpangilio, ili msomaji akuelewe vizuri.
Sasa ni mungu au ni mwana wa mungu
I love the way you know qwalan
Wakristo tumewazidi daraja kubwa,sisi tunamuabudu MUNGU wenyewe wanamuaudu Yesu. Sisi tuko juu.
Uliwahi kukutana na mungu
Huyo jamaa nyuma ya mwenyekiti wa kikiristo anafanana na Davido
Kwa aya za biblia alizotoa mbogo ameikubali biblia
Ili MJUE KWELI Waislam mmeshindwa, akiongea Pastor Ndacha, mnakata 😂😂😂😂
Mmi ndo nashangaa Sana
Sule amesaudia sana funua uongo wao uliojificha kwenye maandiko Yao uongo kwishaaaaa yesu oyeee
Natamani siku moja mgemwalika bishop ngonyani fundi wa maandiko geneous mwanathilogia, muwe tim na awafundishe maandiko waislam
22 -6-kutakuwa na Mdaharo huu wa mada hii ngonyani na Gamanywa
Ndacha Akili. Zake nazamawahabi. Ni sawa
Unafaa kua na akili timamu ndo uwez kumuelewa
Waisilamu siku mtaujua ukweli Bibilia ndicho kitabu cha Mungu wengi watalia
Halafu mungu wa bibilia alipigwa na yakobo mpaka akaomba aachiliwa😂😂😂jamani someni kitabu chenu vizuri mpate kuelewa
Sulee mungu anakuona vile unaigiza musaha
Dr sule anahoja dhaifu Sana tena ziko kimwili.
Lazima utofautize yesu katika mwili nakatika roho katika mwili lazima angelala na pia katika roho lazima angetuliza mawimbi
Glory be to God,alfa and omega
Harshimisdah mwamendi alikuwa na miungu 350alisilimu wapi ?akawa muislamu?
Hakuna siku ndacha ana panda chukuani na vikaratasi kwa mkono na yeye c doci ila sule lazima awe na karatasi na asaidiwe na kafiri mwenzake mbogo
Kweli leo nimeamini (dr. Sule) hana elimu
Upo sawa wew elimu elimu unayo
Ukitaka tuingie kwa maandiko
Methali 8 ;22_30 uyu ni yesu kristo sio selimami wewe shule muongo Soma methali 8 22_35 silimani ako na usima wa milele shule muongo hapo
Alaha anaswalia mutume na malaika wanaswalia mwamendi wanamuswalia kwa nani?
Waislam njooni kwa YESU haraka sana!
Tulishamfata Yesu kitambo ndiomana tukawa waislamu
I love muslim aki wakijua hii siri shetani atachomeka
Dah nawaonea huruma san awa wakiristo kesho kiama ata cjui wataenda kujibu vp kwa Allah
😂😂😂😂😂 pole wewe unae ungana nashetani ariye raaniwa mtakua Kuni otee
Wewe uliyepotoka 😢 I beleive for Jesus is the correct
Msengelema
Sulee tabua katika mwili nakatika roho
Furaha yangu qwalan ba bible ziko kwa meza moja
Ver Good Ndacha
Halleluh
Siku moja waislamu mtamkumbuka ndacha na mda utakua umeisha nyinyi fanyeni tu mizaha
nOmba muense Rwanda wuisila wanadanganya watu. naomba raki isha toa wushafu Rwanda.
Hii midahalo mbona inafanyikiaga tu Dar huku mikoani mbona hamjagi
Ndacha komaa nap mpaka wamwamin kristo
WAISLAMU WAMESHA JUA KUWA BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU NA SIYO QURAN MANA KWENYE MIDAHALO MINGI WANATUMIA BIBLIA ZAIDI KULIKO KITABU CHAO CHA QURAN😂😂😂😂
Nikweli kabisa lakin hatuiamini 💯 asilimia ila pia kama mngekuw nyie mnaiamini msingekuwa mlipo Sasa
@@harshimissah-wn3cc mtoto wa mke mdogo hawezi kua na nguvu kama mtoto wa mke mkubwa, hata uwezo wa akili wanapishana sana,, hata kule peponi nyie waislamu mtakua wafagiaji tu! Na sisi wakristo tutakua watawala kwenu.
@@BenjaNetanyahunyinyi Si mnasema hamuendi peoni mnaenda kukaa mbinguni tu kama Malaika wala Hakuna starehe yoyote katika makazi yenu baada ya kufa? Hayo aliyasema muhubiri mwankemwa rudia video zake, sio maneno yangu
Waislamu tunajua kua mungu aliteremsha vitabu vi4 ilat hivyo vitatu mumeviharibu ili mpate kupoteza wat na ndiomana bilia ikisema kweli tunasema nikweli na tunaamini na ikisema uongo tunakataa mfano
Mungu kazaliwa siokweli mungu hazaliwi,mungu kaenda harusini siokweli mungu haend harusini,mungu ameenda chooni siokwe mungu haendi chooni,mungu amekaa na binaadamu na ktembea pamoja na kusaidianamawazo sasa nyny hojahizo zote mnazikubali sis hatuwez kuzikuba sijui umenielewa?
Hilo neno la mti lina mafuzo mengi katika roho
God bless ndacha
Wakristo hawajui maana ya MUNGU.kwa hiyo dunia itakuwa na MUNGU wangapi.
Kama huwezi kuelewa Uungu wa Yesu ...ni nini ingine unaeza kuelewa??
ndacha ni kafiri tu hata ajitetee vipi hana lolote huyo
Huyo ndo master ndacha
MWL NDACHA NA MWL DANIEL NYINYI WENYEWE HAMJIELEWI.....HAMNA MADA HAPO NA HAMTAELEWANA!!
MNAONGELELEA KUHUSU YESU KRISTO NA WAISLAMU WANAONGELELEA KUHUSU ISSA BIN MARYAM....WATU WAWILLI TOFAUTI KABISA KAMA MCHANA NA USIKU.
NEXT TIME SAFISHENI MAZINGIRA KWANZA KATI YENU!!
Ndacha anaongelea ukweli mtupu kama yalivyo maandiko kuwa Mungu ni mmoja tofauti na Daniel anayetetea Mfumo wa Babeli kuwa kuna Mungu Momoja katika Utatu wa mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatika ambao ni UWONGO WA SHETANI na haupo katika biblia.
Kwann Ndacha akuongea mnamkata kata sauti sababu mnajua anaongea ukweli mtupu
Akiwa katika mwili lazima angetairi kayika mwiri pia kuna kutairi kiroho bila roho uwezi elewa
Kiywa kakiri
Huo ni muujiza sio kuumba
Mnazidharaulisha dini zenu Ila nyinyi hamtambui
Kwa namna gani? Je, ni kwa kunukuu maandiko na kuyafafanua? Funguka
Wa Islamu wa mecanganyikiwa kweli,kwanini muna swalilisha baada muna kosa kufuatiliya majibu mukipata majibu.ngojeni moto wa milele nyinyi
Tamko laweza fanyikaje mwili??waisilamu hoja zenu ni dhaifu mno
Kwaio mungu anatengezaje kitu au huu ulimwengu unatak kusema alikuaj apa duniani akaanza kutengeza mungu kwa utukufu wake akisema tu kuwa kitu kinakuwa acha upimbi ww na mungu wako yesu uyo
Kwani wanakatakata sasa 😂😂😂😂😂😂
Lazima kuwe na ujazo wa roho ili mtu aelewe neno
Magonjwa ndacha
Huwezi elewa bila roho mtakatifu
Sio roho mtakatifu ni Roho Mtakatifu. Kama unamaanisha Roho wa Mungu anaanziwa na herufi kubwa
Kweli sule huna elimu hata kidogo
Kwanza sipendagi maswali yake ya kitoto
Walimu wekeni mdahalo je muhammad ni MTUME
Kila siku je Yesu ni Mungu
Lakin hamuwek je muhammad ni mtume kwa kusoma Quran na Hadith...hapo waislamu watajua muhammad si mtume kama anavyofanya @CHRISTIAN_PRINCE
Mitume au manabii wa kweli walikua 25 . Yesu wa 24 na Muhammad wa 25. Yesu alitumwa kuja kuwakomboa wana wa Israel hiyo iko wazi
Kuran inasema mitume ni 25. Yesu wa 24 Muhammad wa 25 hakuna zaidi kama kuna hadithi tofauti basi ni uongo wa kutunga tu
Waislam hawana jipya tena . Sahivi uongo wao uko kweupe
Huyu sule maswali yake ni ya kawaida hata hii jina doctor nilamatani hana elimu wala shahada ya udaktari zake ni story za jana
Ako na maswali ya kitoto sana...
Yani haelewi atokee wapi . Kashatekwa na maswali mazito
Ndacha ako pekeake ana babana na waisilam msikiti mzima
@@KennedyBarasa-mc4mz na bado waagongana tu 😂😂. Yani kwa ufupi ushahidi hana tena ni kubisha tu ili asiaibike
MI sina elimu sana ila napenda kujua kwanini Allah katika Quran anaongea katika wingi? Mfano "Hatukumtuma..."
Tatizo mnafanya mihadhara na washirkina kama Sulle mkiwaita waislam Sulle NImpiga ramli ss waislam tunamtambua hvo baada ya yy kujiweka wazi bayana kwamba anaushirika na majini, tunaomba mtafute waislam sahih wa kufanya nao midahalo ili mpate kujifunza elim yenye manufaa ila sio sulle..
Mhuu kweli hivi?mapete siyaelewi
Ndacha nimigonjwa
Yaani mungu aliye muumba maria alitoka ktk kiti cha enzi na kuja duniani akakaa tumbo mwa mwanadam na kuzaliwa na mtu😂. Binaadam akamzaa mungu😂. Kipindi alipo kuwa tumboni maria alikua akimuabudu mungu wa tumboni😂. Alipo ishi duniani akauliwa na binaadam yaani binaandam walimuwinda mungu na kumtia nguvuni na kumuuwa😂. Kwa siku tatu mungu akiwa kaburini dunia haikuwa na mungun😂. Yani tunamfanya mungu kama amitabachan ktk sholai 😂Halaf hapo hapo mungu alimtoa mwanae wa pekee aje aukombowe watu na dhambi mwanae yesu😂. Huyo huyo yesu kawa mwana ambae mwanzo ni mungu. Mungu alisha niepusha na huu ujinga mmmh😂😂
Mungu aigililie juu bila roho uwenzi elewa
Lazima angekuja kama binadamu ili watu wamujue
Yesu katufunza kunyeyekea kila wakati
I love the word of God it very sweet
Naomba kuwe na kanisa inayohushisa wakristo na waislam
Aja uongo Daniel mwankema wewe ni kafiri mkubwa
Amemkufuru nani?,, maana sijasikia akimkufuru MUNGU wala mitume wa MUNGU.
Huuu ni mdahalo wankielimu ko matusi huwa hatu tumii hapa tuna tumia maandiko
Kama unataka kumpinga mtumishi wa mungu tumia maandiko nasio asika Wala matusi balikiwa na yesu kisto
Ndacha ni zero
Your level of understanding is underline sir...unafaa kua na akili inayofikiria vizuri ndo uweze kumuelewa
ndaca nashuru arakin8 Bado rwanda
Ndacha nimugonjwa