Nimeskiliza kwa makini nilichogundua dkr sule hajibu maswali anayoulizwa bali ni mjanja mjanja tu na kakomaa na wapi yesu kasema..akati jibu lishatolewa.jina la yesu litukuzwe milele amen 🙏
@@trophywilson7211 hivi ndivyo walivyo, mara wanamkashifu mara wanamshabikia. Dr. Sulle mwenyewe alidhibitisha majini akitumia Quran kwa hivyo imani yao iko katika majini
Hishala ili la yesu kuwa Mungu si kweli inyi msio penda kwamini ila kwetu sisi twachie yesu wetu Asante mwalimu Ndacha kwakuwasaidia apendaye na haokoke
Yaani Kabisaa Unaweza Ukasilimu Kwa Kufuata Maneno ya Sulle??labda Mvivu kusoma Maandiko,Waislamu Wengi Kwa sababu ya Lugha ya Kiarabu wanasomewa na Kukalili tu,
Alhamdulillah ala neemat liislam tushuku kuwa waislam hawa watakuja kujuta kesho wakati nabii issa ata wakana kama huja kwa watu wote alitumwa kwa wana wa izraili tuu peke take sio mtume wa watu wote mtume wa mwisho ni nabii Mohamed SAW
Dr Sule we proud of in Kenya, umefikisha ujumbe kwa ufasaha mkubwa, na watu wote wameelewa na hata huyo Ndacha ameelewa vizuri, analinda tuh maslahi yake ya mapato ya kidunia.
Wana macho lkn hawaoni wana masikio lkn hawasikii wana akili lkn zimesinzia hakika yesu sio mungu dhahri shahiri ndacha kashindwa kuthibitisha yesu ni mungu anaruka ruka t hongera daktur kwa somo zuri
Yesu amesema nyinyi ni wa dunia hii,mimi ni wajuu, kwenu aisemi neno ? Nyinyi ni wa chini mimi ni wajuu maana yeke Nini? Yesu siyo mutu kama mnavyo zania poleni sana
Mtoto yeyote anayezaliwa huwa ni muislam wazazi wake ndio watakayeamua abakie katika UISLAM au akabatizwe aondolewe kwenye UISLAM wake aliozaliwa nao katika UISLAM mtoto akizaliwa inatambua kuwa ni muislam ndio maana huwa hasilimishwi
Nawashangaa sana nyinyi Waislamu, leo hii mnamshabikia Dr. Sulle na kumkubali kuwa mmoja wenu lakini anawaposifu majini mnamkataa. Afadhali sisi tunamwamini Yesu ni Mungu nanyi mnawaamini majini (mashetani)
Kama Hukusikiliza Basi Acha Tuliosikia Tuendelee Maana Ameeleza Wazi lakin nimegundua Kitu Kimoja Waislamu kumbe wanapenda Mabishano hata kama kitu Kiko Wazi ni Nature yao Aise
Mti ili kauka sasa mbona mti ukauke ku pitia maneno ya mutu, nyinyi waisilam vipi ? Ukiendeleza hilo andiko mti ulikauka,kwa neno la Yesu kristo Nyinyi waisilam amuna elimu fikiria zenu ni ndogo kabisa koroan 17 :75 Unasema mulipewa sehemu ndogo kabisa mambo ya roh akuna jinsi mujuwe uungu wa yesu kristo Poleni sana
MUNGU HANA MWANA HAJAZAA WALA HAKUZALIWA NA AFANANI NA KIUMBE CHOCHOTE. YESU NI MTUME WA MUNGU ALIYETUMWA KWA MAKABILA 12 YA WANA WAISRAEL WA WAKATI ULE SIO SASA. ALIPEWA KITABU CHA INJILI NA ALIFUNDISHWA TAURATI YA NABII MUSA. MANABII WOTE NI WAISLAMU YESU AKIWA NI MIONGONI WAO.
Asiyemuelewa Dr. Sulle aidha ni mtu jeuri tuu au mtu flani ana akili finyu sana... Hoja zimenyooka zikaenda shule. Shuqran sana Dr. Sulle kwa kutuelimisha. Wasotaka elimu wabaki kwao jikoni.
@@BarakaZabron-py2fz Sitashangaa kuona hujamuelewa... Sio kila elimu baadhi ya vichwa vitabeba... Wengine uwezo wao kuelewa kiasi cha kuvuka barabara tuu
DOKTA SULE HILO SWALI LA YESU KUPANDA MBINGUNI KWA KUTUMIA MAWINGU WATUTHIBITISHIE WAPI MUNGU ANASEMA USAFIRI HUO WA MAWINGU HAUWEZI KUTUMIWA NA BINAADAMU BALI NI MUNGU PEKE YAKE.
NA JE HAKUNA SIFA YA MUNGU WA BIBLIA AMBAYO NA BINAADAMU PIA WANAYO? NAFIKIRI UNGEJUKITA HUKO BADALA YA KUJIFUNGIA KWENYE HOJA YA MAWINGU PEKE YAKE UNGEANGALIA MANBO AMBAYO ALIFANYA MUNGU LAKINI NA BINAADAM PIA WALIFANYA NA BADO WAO HAWAKUA WAUNGU.
Dah ni sw na mtu ananezunguka bila ya kujua njia ya kutoka mana analengalenga tuh na hujui ili andiko kambiwa nani kashushiwa nani yey akiona bwan bc ansema ni yesu inalilahi wa inalilahi rajiun.
Nimefulahi sana kuona waisilam wamekasilishwa na maneno ya sure ndio maana hata hawaja nitokeza kwakua wamemuona anaujinga sana hivyo ndivyo atavyo potea sure mpotoehaji
Yaan ukimsikiliza Ndacha vizur kuhusu uungu wa yesu unaweza kuumwa kichwa ghafla.Maana havieleweki kaanzia wapi na amemalizia vipi mada yake.Mpaka anamchanganya msomaji wake.
Shida ni waislamu hawanaga utulivu wa kusikiliza. Hawataki kujifunza. Wanawaza tu ushabiki. Hawasikilizi kupata uelewa, wamejawa tu na ushabiki. Ndacha yupo loud and clear. Na kama kuna mmoja wenu anabisha aje hapa tueleweshane.
Namwuliza pastor ndacha yaani ana abudu ama ana amini mungu wangapi? Maana yesu ni mungu,babake ni mungu! This is a tragedy of highest degree. What an embarrassment!
I can testify here that the writer of the Quran missed it big on trying to quote the Bible which Muslims claim is corrupted, has been changed over time and has a lot of contradictions. There's no single story lifted from the Bible that has been accurately narrated.... the stories of Moses, Adam, Abraham and even that of Jesus differ so much. It is evident that the narrator lived where Christians and Jews were, he interacted with them, learnt from them then came up with a religion to counter their beliefs. Verses like these can justify my opinion An-Nisa' 4:171 O People of Scripture do not commit excess in your religion or say about Allāh except the truth. The Messiah, Jesus the son of Mary, was but a messenger of Allāh and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So, believe in Allāh and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allāh is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allāh as Disposer of affairs. Aal-e-Imran 3:19 Indeed, the religion in the sight of Allāh is Islām. And those who were given the Scripture did not differ except after knowledge had come to them - out of jealous animosity between themselves. And whoever disbelieves in the verses of Allāh, then indeed, Allāh is swift in [taking] account Al-Anbiya 21:7 And We sent not before you, [O Muḥammad], except men to whom We revealed [the message], so ask the people of the message [i.e., former scriptures] if you do not know.
😂ndacha siku moja alipokua kwenye mdahalo yy na ramadhan kuria alisema zamani alikua akitia viraka akiunga unga lakini sasa ameacha lakini hajaacha bado anatia viraka mpaka sasa😂
Nawaulizeni enyi ndugu zangu waislamu yaani hakuna hata mmoja wenu ambaye anaona kasoro kuu iliyoko katika kile mnachoita imani? Hebu mjiulize maswali haya; 1. Mbona shahada ikaandikwa kwenye bendera ya Saudi Arabia? 2. Mbona nikisali lazima nielekeze uso wangu Mecca ambayo pia iko Saudi Arabia? 3. Mbona nisali nikitumia lugha ya kiarabu ambayo ni lugha ya kitaifa ya Saudi Arabia? 4. Mbona kuitimiza nguzo ya tano ya uislamu ni lazima niende Saudi Arabia? 5. Mbona nijifunze lugha ya Kiarabu ili kuwasiliana na Mungu ( neno la Mungu na sala pia) Cha nyongeza ni kuwa majini nikitaka kuwasiliana nao ni lazima niwaongeleshe kiarabu Yesu wa Nazareti alitokea Israeli katika kabila ya kiyahudi lakini wakristo hawajalazimishwa kuwasilana na Mungu wakitazama Israeli, hawasali wakitumia lugha za wengine n.k
kuelekeza iso macca umeona ajabu kwa sababu labda hujasoma kum 12:5 Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika makabila yenu yote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe uende huko... kumbe telipaswa kuelekeza nyuso wapi ?
@@omaar5693 inaashiria umiliki - dini ni ya wenyewe hapa hapana Mungu kabisa. Isitoshe hijja ni kuko huko, qibla kuko huko, maombi ni kwa lugha yao, kitabu kitakatifu kimeandikwa kwa lugha ya huko na majini mnawasiliana nao kwa lugha yao tu .... ndugu yangu hii imeenda!
@@omaar5693 Ni akina nani walipewa hiyo sheria - haiwezi kuwa waislamu hata na dawa. Soma kuanzia aya ya kwanza. Kadhalika mahali walipoagizwa wazuru sio Mecca. Nyinyi mnaenda Mecca kumpiga shetani kwa mawe kwa hivyo shetani anaishi huko. Pia anawezaje kuwa mjinga hivyo hadi angojee waislamu kutoka pembe zote za dunia waje kumpiga mawe!! Fungua akili ndugu yangu jiulize maswali tata usifuate tu bila kujihoji
@@feiswalislam8465 Hahaaaa.. Dr Wenu wa Kunguni Hana hoja Yaani hataaandiko anasahau kwa Uwanja, kisha bado anaandika Vivungu kwa karatasi kumaanisha bado akili ya Kushika maandiko iko chini sana.... Wacha Mwalimu Ndacha Atuwakilishe ... 😂😂😂😂😂😂😂
Why do you follow a person who will never come back... "mohamed," follow Jesus Christ. he will come back and judge the living and the dead, including mohamed!🤔 Isaiah 14:12 says Lucifer is the morning star, which, in other words, is the crescent moon. What religion has a crescent moon?
Wacheni kujipa moyo ety munajua ukweli,,, ukweli ni Bibilia Soma ndio utoe maoni maana mnajua aliyemsalimisha Shetani ni Muhammad mbona uzahau ilo jifunze kitu hapo nyie.
Nashangaa mbona mnatumia Biblia kama mnaamini imebadilishwa. Ningeomba mtumie Quran yenu inayoongoza nyie na majini ndugu zenu katika njia ya uongofu. Msijaribu kuilazimisha Biblia iandikwe vile mnavyotaka eti wapi Yesu alisema yeye ni Mungu. Sisi tunaamini Yesu Kristo wa Nazareti ni Mungu, Mwana wa Mungu, Mfalme wa Wafalme, Alfa na Omega atakayehukumu wote wakiwemo Muhammad na wafuasi wake wote
Mtumishi pr.ndacha Mungu akutumie sana tena sana nakuombea
❤mashaLLAH DR SULE ALLAH AKUPE KILA LAKHERI
Ndacha katolewa jasho kweli.....hoja zake dhaifu kabisa...kweli Yesu sio mungu wala sio mwana wa mungu...mungu ni mmoja tu...ALLAH
Allah naye anaomba Kwa Mungu hapo ndo sipataki
Kwel waislamu vichwa ngumu
Yaan mbatol3ewa hoja kutka kwenye vitabu vyen wenyewe na bado hamkubali.
Kwel waislamu vichwa ngumu
Sisi waislamu atunashaka na mungu we2 na kamwe a2wezi kumuacha mungu muhumba wa kila kiumbe hai a2wezi kumuabudu yesu na wakati aliumbwa kama sisi
Mungu akubariki na Aku zidishiye much. Ndacha, kwa mahana ume eleweka kumaneno Yako.
Hongera kwa Mkutano Na kesho iwe Bora zaidi Na kutengeneza
Nimeskiliza kwa makini nilichogundua dkr sule hajibu maswali anayoulizwa bali ni mjanja mjanja tu na kakomaa na wapi yesu kasema..akati jibu lishatolewa.jina la yesu litukuzwe milele amen 🙏
Allah akbar..mungu mkubwa,allah waahid mungu ni mmoja,hakuzaa wala hakuzaliwa..
..mungu hawezi kushindwa na mwanaadam(mungu hawezi kuuliwa na mtu)..
Yani ndacha hata anachojibu sikielewi
Wa esilamu wako sana kimwili, much. Ndacha Sisi was Christo tuko kiroho. Awawezi kubali.
Sule shukran sana leo umeweza Allah Akbar umejaa elimu ya kweli ndacha kabaki tuu na ROHO ROHO ROHO nkt
amejaa elimu ya majini
Halafu kesho mkatae Majini si Ndugu zenu,Maana Mfundisha Majini ni huyo huyo Sulle ambaye Leo unamsifia
@@trophywilson7211 hivi ndivyo walivyo, mara wanamkashifu mara wanamshabikia. Dr. Sulle mwenyewe alidhibitisha majini akitumia Quran kwa hivyo imani yao iko katika majini
Kama Yesu ni mungu kwa kuwa ni mwana wa mungu sasa miungu watakuwa ni wangapi?
inashangaza sana daktari anatumia mwakenya na mwalimu Ndeche anatoa vitu kwa kichwa 😆😅🙂🤔 big up Ndeche
Hishala ili la yesu kuwa Mungu si kweli inyi msio penda kwamini ila kwetu sisi twachie yesu wetu
Asante mwalimu Ndacha kwakuwasaidia apendaye na haokoke
kujuwa yesu sio mungu.hapahitaji akili... ni uhuru wa kujisomea tu...
Mungu akubariki Mchungaji Ndacha
Mashaa llah Allah alete kher in shaa Allah
Waislam takbiiiiiiiiiiiiiiiiir
Allahu Akbar ❤.........Dr. Sule Shukran Jazakallahu Kheyran
Kapigwa sana Sule
MashaLLAH❤MWAMBA HUYO DR SULE NDACHA ASIPOSILIMU NIKUSUDI YAKE TU LAKINI UKWELI WAMAMBO ANAUPATA KILASIKU
Walayi ndacha amejifanyiya kusudi tu, ni île mungu ka iyongeya katika baquara
Yaani Kabisaa Unaweza Ukasilimu Kwa Kufuata Maneno ya Sulle??labda Mvivu kusoma Maandiko,Waislamu Wengi Kwa sababu ya Lugha ya Kiarabu wanasomewa na Kukalili tu,
Alhamdulillah ala neemat liislam tushuku kuwa waislam hawa watakuja kujuta kesho wakati nabii issa ata wakana kama huja kwa watu wote alitumwa kwa wana wa izraili tuu peke take sio mtume wa watu wote mtume wa mwisho ni nabii Mohamed SAW
Yesu ni mtu na atabaki kuwa mtu. Atawakana siku ya qiyama.
Tena alikula kisu kwa kushikwa shikwa na wanaadam wenzie.Lakini MTUME wetu Mtukufu kazaliwa akiwa safi kabisa.
Aje mungu anyone matiti ya mwanadamu na aziliwe na tunajua mungu hakuzaa Wala hakuzaliwa
Dr Sule we proud of in Kenya, umefikisha ujumbe kwa ufasaha mkubwa, na watu wote wameelewa na hata huyo Ndacha ameelewa vizuri, analinda tuh maslahi yake ya mapato ya kidunia.
Hongera sule mungu unamjuwa kweli
Hongera ya nini wakati kashindwa
Wana macho lkn hawaoni wana masikio lkn hawasikii wana akili lkn zimesinzia hakika yesu sio mungu dhahri shahiri ndacha kashindwa kuthibitisha yesu ni mungu anaruka ruka t hongera daktur kwa somo zuri
Yesu amesema nyinyi ni wa dunia hii,mimi ni wajuu, kwenu aisemi neno ?
Nyinyi ni wa chini mimi ni wajuu maana yeke Nini?
Yesu siyo mutu kama mnavyo zania poleni sana
Mtoto yeyote anayezaliwa huwa ni muislam wazazi wake ndio watakayeamua abakie katika UISLAM au akabatizwe aondolewe kwenye UISLAM wake aliozaliwa nao katika UISLAM mtoto akizaliwa inatambua kuwa ni muislam ndio maana huwa hasilimishwi
The truth always remains to be truth
Good job dr
Hakika yesu,ni mwana wa mungu
Nawashangaa sana nyinyi Waislamu, leo hii mnamshabikia Dr. Sulle na kumkubali kuwa mmoja wenu lakini anawaposifu majini mnamkataa. Afadhali sisi tunamwamini Yesu ni Mungu nanyi mnawaamini majini (mashetani)
Majini na mashetani ni vitu 2 tofauti, elewa kwanza ndo ubishe...
Yohana 17:3
Huna elimu
@@YahayaMustafa-jg5jj hebu nielimishe hapa, tofauti ni ipi?
@@yohana1242 nielimishe basi, majini ni akina nani?
Allah akbar.
Njia ya kweli na uzima ni yesu
Sule bado mdogo sana kwa ndacha.. Oanga hoja zako zaidii n kama unazidiwa na hoja
ndacha haueleweki kabisa kwenye mada mada je yesu ni mungu simama hapo kwenye mada usiende kwenye mada😂😂😂 pole sana ndacha
Suleee peperusha bendera ya uislamu
Asante saana Kujua Sulle anapeperusha Bendera ya Uislamu na Yuko anaisema Kweli ya Uislamu maana Inaonekana Waislamu kazi yao Kupindisha Kweli
Naomba wote wabatiswe katika jina la yesu kristo mwana wa mungu halie
Mungu hana mwana. Yesu ni muislamu.
Yohana 17:3
Mwana wa mungu ao MUNGU ? Jani mwana wa muchungaji ni muchungaji?
wallahi ndacha ywajua ukweli kwamba islamu dini ya haki, tatizo ni mambo za Dunia lakini ipo siku atafika mwisho na atngaze ukweli anao ficha.
Ndacha anadanganya wa Kristo wake Dr sulle analomba andiko yesu anasema mimi yesu ni MUNGU siyo watu kumuita seyu MUNGU,
Kama Hukusikiliza Basi Acha Tuliosikia Tuendelee Maana Ameeleza Wazi lakin nimegundua Kitu Kimoja Waislamu kumbe wanapenda Mabishano hata kama kitu Kiko Wazi ni Nature yao Aise
@trophywilson mungu aliongea kutumia manabiii
Sasa mungu wa wakristo ana watoto wangapi maana ibrahim nae andiko limetoka kumbe nae ni mzaliwa wa kwanza😅 dah wakristo jamani acheni ushabiki
Sulle anajikanganya sana for those who can relate 'Risasi imebaki moja na itanasa sule' 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndacha anaforce
Tuwe wasomaji tena sana tusome marco 1:1_20 , Marco 14 usome yote utayaona maajabu ya Mungu
Mti ili kauka sasa mbona mti ukauke ku pitia maneno ya mutu, nyinyi waisilam vipi ?
Ukiendeleza hilo andiko mti ulikauka,kwa neno la Yesu kristo
Nyinyi waisilam amuna elimu fikiria zenu ni ndogo kabisa koroan 17 :75
Unasema mulipewa sehemu ndogo kabisa mambo ya roh akuna jinsi mujuwe uungu wa yesu kristo
Poleni sana
MUNGU HANA MWANA HAJAZAA WALA HAKUZALIWA NA AFANANI NA KIUMBE CHOCHOTE. YESU NI MTUME WA MUNGU ALIYETUMWA KWA MAKABILA 12 YA WANA WAISRAEL WA WAKATI ULE SIO SASA. ALIPEWA KITABU CHA INJILI NA ALIFUNDISHWA TAURATI YA NABII MUSA. MANABII WOTE NI WAISLAMU YESU AKIWA NI MIONGONI WAO.
Na Adamu mamake ni nani?
Kila mtume Ana baba na mama sasa yesu unamjua baba yake?
Uzima wa milele ni kumjua Yesu
Apana nikumujua mungu wapeke na yesu aliye mutuma
UYO NDACHA ANAJICHANGANYA YEYE MWENYEWE KUNA WAKATI ANASEMA YESU SIO MUNGU
Aisee msije kuuwana tu kwa ubishi, imani imani imani
Ndio tatz hp
Duh ndacha icho kijacsho😂😂
Hakika Yesu ni Mungu. Amina
Johana 17:3
Nenda ukachomwe
Asiyemuelewa Dr. Sulle aidha ni mtu jeuri tuu au mtu flani ana akili finyu sana... Hoja zimenyooka zikaenda shule.
Shuqran sana Dr. Sulle kwa kutuelimisha.
Wasotaka elimu wabaki kwao jikoni.
Weka akili huru,sulle kaudhalilisha uislamu.haku mwenye fikra huru atabaki muislam
@@BarakaZabron-py2fz Sitashangaa kuona hujamuelewa... Sio kila elimu baadhi ya vichwa vitabeba... Wengine uwezo wao kuelewa kiasi cha kuvuka barabara tuu
Tunataka ndacha awe muislamu kwasababu aliahidi eti atakua muislamu indapo atashindwa kujibu swali la Sule so asikwepi
Mmmh yaani hapo unaona Ndacha Ameshindwa ??Aise kumbe Mnaongozwa na Majini na akili zimekuwa za kimajini kabisaa
Ndacha wenzako wamesilimu akina pastor waziri waliokufunza ww maandiko alafu ww bado unakufuru mungu
Hataki kuwa ndugu ya majini 😂😂😂
SULLE HANA HOJA KANTU!
midahalo ya vumbi tupa kule 😇
☝️
Sasaa Yesu ni mwana wa mungu ama ni Mungu?? Mbona haeleweki huyu Ndacha?? Keleleee nyiingiii akijikoroga zaidi
DOKTA SULE
HILO SWALI LA YESU
KUPANDA MBINGUNI KWA
KUTUMIA MAWINGU
WATUTHIBITISHIE
WAPI MUNGU ANASEMA
USAFIRI HUO WA MAWINGU
HAUWEZI KUTUMIWA NA BINAADAMU
BALI NI MUNGU PEKE YAKE.
NA JE HAKUNA SIFA YA MUNGU WA BIBLIA
AMBAYO NA BINAADAMU
PIA WANAYO?
NAFIKIRI UNGEJUKITA HUKO
BADALA YA KUJIFUNGIA
KWENYE HOJA YA MAWINGU
PEKE YAKE
UNGEANGALIA MANBO AMBAYO
ALIFANYA MUNGU
LAKINI NA BINAADAM PIA WALIFANYA
NA BADO WAO HAWAKUA WAUNGU.
Sema kutokwa namajasho, Ndacha karibu kuanguka kwenye stage
Dah ni sw na mtu ananezunguka bila ya kujua njia ya kutoka mana analengalenga tuh na hujui ili andiko kambiwa nani kashushiwa nani yey akiona bwan bc ansema ni yesu inalilahi wa inalilahi rajiun.
Kina sule wamebebwa ufala na hawa wasimamizi wallahi
Wakristo ngoja mufe c mnaon mchezo uislam
Nimefulahi sana kuona waisilam wamekasilishwa na maneno ya sure ndio maana hata hawaja nitokeza kwakua wamemuona anaujinga sana hivyo ndivyo atavyo potea sure mpotoehaji
Ndacha huna hoja ya maana
Yaan ukimsikiliza Ndacha vizur kuhusu uungu wa yesu unaweza kuumwa kichwa ghafla.Maana havieleweki kaanzia wapi na amemalizia vipi mada yake.Mpaka anamchanganya msomaji wake.
Sahihi kabisa..
Wewe ndo unapata shida ndacha yupo clear sana na Sule ameshindwa
@@richardchimba3800 Sulle ameongea kisomi zaidi .Ndacha ameungaunga maandiko na kuvuruga mada
Shida ni waislamu hawanaga utulivu wa kusikiliza.
Hawataki kujifunza.
Wanawaza tu ushabiki. Hawasikilizi kupata uelewa, wamejawa tu na ushabiki.
Ndacha yupo loud and clear. Na kama kuna mmoja wenu anabisha aje hapa tueleweshane.
@@brightzone.Yesu ni Muislamu.
How can I be a Muslim am in Kisumu
You can be a Muslim find a true Muslim and ask him
Nimesoma Quran sitaki kupita kwenye moto ndio nifike heaven acha nibaki kua Mkristo@@AbuuSwalha
Ndacha una hoja, silimu tu
Asili ya muislam ni ubishi tu yaani swali lishajibiwa lakini wamekomaa tu wapi kasema wapi kasema wapi kasema dah hadi ndacha kachoka kuelewesha
Ndacha nikiboko anajua A na B sule anajua b tu
Yohana 14
Wakiristo ni sawa na maumbwa tu kekele tupu hawajui kama wamepotea
Namwuliza pastor ndacha yaani ana abudu ama ana amini mungu wangapi? Maana yesu ni mungu,babake ni mungu! This is a tragedy of highest degree. What an embarrassment!
Hapa dr.sulle kanyoroshwa 10:0
Alafu mmekata maneno mengine ya ndacha
Ndecha ni mkali baba ati Daktari Daktari vitu gani ARUDI SHULE KUJENGA HOJA VIZURI
Kweli ndacha ww ni moto sule ana chocho ni majini to mbaka anasau
I can testify here that the writer of the Quran missed it big on trying to quote the Bible which Muslims claim is corrupted, has been changed over time and has a lot of contradictions. There's no single story lifted from the Bible that has been accurately narrated.... the stories of Moses, Adam, Abraham and even that of Jesus differ so much. It is evident that the narrator lived where Christians and Jews were, he interacted with them, learnt from them then came up with a religion to counter their beliefs.
Verses like these can justify my opinion
An-Nisa' 4:171
O People of Scripture do not commit excess in your religion or say about Allāh except the truth. The Messiah, Jesus the son of Mary, was but a messenger of Allāh and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So, believe in Allāh and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allāh is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allāh as Disposer of affairs.
Aal-e-Imran 3:19
Indeed, the religion in the sight of Allāh is Islām. And those who were given the Scripture did not differ except after knowledge had come to them - out of jealous animosity between themselves. And whoever disbelieves in the verses of Allāh, then indeed, Allāh is swift in [taking] account
Al-Anbiya 21:7
And We sent not before you, [O Muḥammad], except men to whom We revealed [the message], so ask the people of the message [i.e., former scriptures] if you do not know.
Wewe sulete andiko yesu anasema mimi yesu ni MUNGU
Hiyo utapata kisha utatupea Yesu anasema mimi ni muislamu 😂😂😂
Yesu ni mwana wa mungu..kwani mtoto wa mungu sio mungu?
Kwahiyo unasema yesu si mungu
@@Annalisejg2ur mtoto wa mungu ni nani? jibu wewe
@@Mitama49 🤪
Sio Mungu kwani mtoto wa Samia ni Raisi?!!
Au Mtoto wa Obama alikuwa Raisi?!
Mbona Jaman kwangu mdahalo unaanza Katikati wenzangu
Kuna part 1
Kwahiyo Ndacha Anasema Mtoto Wa Mungu Na Yeye Ni Mungu,Kwahiyo Mtoto Wa Ndacha Na Yeye Ni MCHUNGAJI?
😂ndacha siku moja alipokua kwenye mdahalo yy na ramadhan kuria alisema zamani alikua akitia viraka akiunga unga lakini sasa ameacha lakini hajaacha bado anatia viraka mpaka sasa😂
islam ndio dini acheni kelele
Ny waislam nd wapinga klisto kw mujibu w biblia maana mmemkataa yesu
Hoja za ndacha hawa wezi kuzijjbu hata wazariwe upya
Nadcha awaje kukakata mandiko
Sule anajichanganya tu,waislam wenzake wamemkalia juu kuwatumia majini sasa anageukia kwa ndacha amechemsha😅😅😅😅
Swali liko apa wapi yesu anasema yeye ni mungu ndani ya bibliya msaidiye ndacha amelemewa achana na abari zamajini apa tunataka jibu
Sule ako sahi
@@abdoulkarenzo3138😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu sulle mweupe tuu yesu ni mungu kama unabisha kamuulize tomaso mtume wa yesu ndio utajua kama wewe unawaongopea wenzio
Kijana Acha upumbav unamuamini vp mungu asiejua kuhuma ki2chochote
Sule kazidiwa hana hoja za msing maswal meng ya ndacha hajibu, anabak anababaika tuu 😂
Leo ndacha kala kibado mada ya kesho haji
Jifariji tu,,
Ndacha silimu wewe
Nawaulizeni enyi ndugu zangu waislamu yaani hakuna hata mmoja wenu ambaye anaona kasoro kuu iliyoko katika kile mnachoita imani? Hebu mjiulize maswali haya;
1. Mbona shahada ikaandikwa kwenye bendera ya Saudi Arabia?
2. Mbona nikisali lazima nielekeze uso wangu Mecca ambayo pia iko Saudi Arabia?
3. Mbona nisali nikitumia lugha ya kiarabu ambayo ni lugha ya kitaifa ya Saudi Arabia?
4. Mbona kuitimiza nguzo ya tano ya uislamu ni lazima niende Saudi Arabia?
5. Mbona nijifunze lugha ya Kiarabu ili kuwasiliana na Mungu ( neno la Mungu na sala pia)
Cha nyongeza ni kuwa majini nikitaka kuwasiliana nao ni lazima niwaongeleshe kiarabu
Yesu wa Nazareti alitokea Israeli katika kabila ya kiyahudi lakini wakristo hawajalazimishwa kuwasilana na Mungu wakitazama Israeli, hawasali wakitumia lugha za wengine n.k
shahada kuweko kwenye bendera pana shida gani?
kuelekeza iso macca umeona ajabu kwa sababu labda hujasoma kum 12:5
Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika makabila yenu yote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe uende huko...
kumbe telipaswa kuelekeza nyuso wapi ?
@@omaar5693 inaashiria umiliki - dini ni ya wenyewe hapa hapana Mungu kabisa. Isitoshe hijja ni kuko huko, qibla kuko huko, maombi ni kwa lugha yao, kitabu kitakatifu kimeandikwa kwa lugha ya huko na majini mnawasiliana nao kwa lugha yao tu .... ndugu yangu hii imeenda!
@@omaar5693 Ni akina nani walipewa hiyo sheria - haiwezi kuwa waislamu hata na dawa. Soma kuanzia aya ya kwanza. Kadhalika mahali walipoagizwa wazuru sio Mecca. Nyinyi mnaenda Mecca kumpiga shetani kwa mawe kwa hivyo shetani anaishi huko. Pia anawezaje kuwa mjinga hivyo hadi angojee waislamu kutoka pembe zote za dunia waje kumpiga mawe!! Fungua akili ndugu yangu jiulize maswali tata usifuate tu bila kujihoji
Sule anatafuta pesa tu na huyu mwenzake mbongo wote hawana elimu ya dini wao wabaki kwenye bibilia tu
Mbona ndacha haulizwi maswali pia? Maswali yote kwa sule sio haki
SULE HUJUI KITU..😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuja ww ujuwao utowe hojazako
@@feiswalislam8465 Hahaaaa.. Dr Wenu wa Kunguni Hana hoja Yaani hataaandiko anasahau kwa Uwanja, kisha bado anaandika Vivungu kwa karatasi kumaanisha bado akili ya Kushika maandiko iko chini sana....
Wacha Mwalimu Ndacha Atuwakilishe ... 😂😂😂😂😂😂😂
Wewe ndio hujui lolote unakaa kama kibendera wafwata upepo
Afadali agesema kabla ya Adam Mimi Niko sio Ibrahim
Huyu ndacha ni uluminati kazi ni kuwapotosha wenzake yy kalipwa
Ndacha una hoja silimu tu basi uokewe nafsi yako
Ruto ni Rais je mwanae pia ni Rais nipeni jibu
Mtoto wa nyoka ni nyoka
LETE ANDIKO WAPI YESU KASEMA MIMI NI MUNGU?
Alafu wewe pia utupe andiko Yesu anasema mimi ni muislamu
Yesu ni mtume wa mungu tu wala xio mungu ua-cam.com/video/8LXQm7Ljj1g/v-deo.htmlsi=-L0yW_DlEEs_grFN
Why do you follow a person who will never come back... "mohamed," follow Jesus Christ. he will come back and judge the living and the dead, including mohamed!🤔
Isaiah 14:12 says Lucifer is the morning star, which, in other words, is the crescent moon. What religion has a crescent moon?
Jesus is Muslim. He will come back as Muslim and he will pray like Muslim pray.
Wacheni kujipa moyo ety munajua ukweli,,, ukweli ni Bibilia Soma ndio utoe maoni maana mnajua aliyemsalimisha Shetani ni Muhammad mbona uzahau ilo jifunze kitu hapo nyie.
Wanafunzi wa yesu wakamfwata yesu wakamwambia tumeona kundi la mapepo na wakatuamini na wakatufata chukua hilo kma ulikua huna
Nashangaa mbona mnatumia Biblia kama mnaamini imebadilishwa. Ningeomba mtumie Quran yenu inayoongoza nyie na majini ndugu zenu katika njia ya uongofu. Msijaribu kuilazimisha Biblia iandikwe vile mnavyotaka eti wapi Yesu alisema yeye ni Mungu. Sisi tunaamini Yesu Kristo wa Nazareti ni Mungu, Mwana wa Mungu, Mfalme wa Wafalme, Alfa na Omega atakayehukumu wote wakiwemo Muhammad na wafuasi wake wote
Yesu athubutu kuhukumu waislam
@@Annalisejg2ur una nguvu gani wewe? Phillipians 2:10-11
@@Annalisejg2ur naomba Yesu akusamehe maana akili yako ina upungufu na huna elimu katu
@@kennodhiambo yesu athubutu kuhukumu mtu
@@kennodhiambo yohana 17:3