BAYYINAT DM TV
BAYYINAT DM TV
  • 383
  • 3 990 325

Відео

HAKUNA SABATO MBINGUNI: AMRI,SHERIA NA HUKUMU ZINAPOTOSHWA NA WASIOJUA NENO
Переглядів 2,1 тис.5 місяців тому
HAKUNA SABATO MBINGUNI: AMRI,SHERIA NA HUKUMU ZINAPOTOSHWA NA WASIOJUA NENO
MAJINA YALIYOKO PEPONI: NI YA MASWAHABA WA YESU AU MUHAMMAD S.A.W?
Переглядів 1,1 тис.5 місяців тому
MAJINA YALIYOKO PEPONI: NI YA MASWAHABA WA YESU AU MUHAMMAD S.A.W?
MSALABA: NGUVU YA MUNGU INAYOUTESA ULIMWENGU WA KIISLAMU
Переглядів 2 тис.6 місяців тому
MSALABA: NGUVU YA MUNGU INAYOUTESA ULIMWENGU WA KIISLAMU
BIBLIA NI JIBU YAJA KIVINGINE KUELEZA UKWELI WA BIBLIA DHIDI YA MAFUNDISHO POTOFU YA IMANI
Переглядів 3,5 тис.6 місяців тому
BIBLIA NI JIBU YAJA KIVINGINE KUELEZA UKWELI WA BIBLIA DHIDI YA MAFUNDISHO POTOFU YA IMANI
QURAN YAMPINGA DR. SULE KUHUSU SAYANSI, ATAKIWA ALIPE MILIONI 200 ALIZOAHIDI, VINGINEVYO....
Переглядів 5 тис.7 місяців тому
QURAN YAMPINGA DR. SULE KUHUSU SAYANSI, ATAKIWA ALIPE MILIONI 200 ALIZOAHIDI, VINGINEVYO....
MDAHALO DAY 2: WALIMU NDACHA NA DANIEL WATUMIA BIBLIA NA QURAN KUTHIBITISHA KIFO CHA YESU
Переглядів 15 тис.7 місяців тому
MDAHALO DAY 2: WALIMU NDACHA NA DANIEL WATUMIA BIBLIA NA QURAN KUTHIBITISHA KIFO CHA YESU
SULEMAN MBOGO: EMANUEL MAANA YAKE MUNGU PAMOJA NASI, AKATAA HAIMUHUSU YESU, HAELEZI INAMHUSU NANI
Переглядів 3,7 тис.7 місяців тому
SULEMAN MBOGO: EMANUEL MAANA YAKE MUNGU PAMOJA NASI, AKATAA HAIMUHUSU YESU, HAELEZI INAMHUSU NANI
JE MADHEHEBU YAKO, INAMFUKUZA YESU KRISTO AU INAMKARIBISHA?
Переглядів 9277 місяців тому
JE MADHEHEBU YAKO, INAMFUKUZA YESU KRISTO AU INAMKARIBISHA?
Tamko Rasmi la Mitume na Manabii kuhusu UTATU
Переглядів 17 тис.8 місяців тому
Tamko Rasmi la Mitume na Manabii kuhusu UTATU
WAISLAMU WAMTUKANA MWENYEZI MUNGU NA NYUMBA YAKE YA IBADA, WAIKANA QURAN NA HADITHI.
Переглядів 2,9 тис.8 місяців тому
WAISLAMU WAMTUKANA MWENYEZI MUNGU NA NYUMBA YAKE YA IBADA, WAIKANA QURAN NA HADITHI.
JIWE JEUSI KWENYE AL-KAABA MAKKA DHIDI YA JIWE JEUPE LA YESU KRISTO LILILOKO MBINGUNI
Переглядів 3,1 тис.8 місяців тому
JIWE JEUSI KWENYE AL-KAABA MAKKA DHIDI YA JIWE JEUPE LA YESU KRISTO LILILOKO MBINGUNI
HUKUMU ZA MWENYEZI MUNGU ZAMSHINDA MUHAMMAD S.A.W KUZITEKELEZA , AAMUA KUMWACHIA YESU KRISTO
Переглядів 1,3 тис.8 місяців тому
HUKUMU ZA MWENYEZI MUNGU ZAMSHINDA MUHAMMAD S.A.W KUZITEKELEZA , AAMUA KUMWACHIA YESU KRISTO
JE, MAJINI YA KIISLAMU YALIMSAIDIA MFALME SULEMANI KUJENGA HEKALU HUKO ISRAEL?
Переглядів 1,7 тис.8 місяців тому
JE, MAJINI YA KIISLAMU YALIMSAIDIA MFALME SULEMANI KUJENGA HEKALU HUKO ISRAEL?
Shadraki, Meshaki, Abednego: miungu ya Babeli Inayoua Kiroho cha Wafuasi Wengi wa Biblia
Переглядів 8698 місяців тому
Shadraki, Meshaki, Abednego: miungu ya Babeli Inayoua Kiroho cha Wafuasi Wengi wa Biblia
MAJIBU KWA ISAYA MWAKILEMBE: WAISRAEL HALISI WAKO KWAO ISRAEL LICHA YA KUKATALIWA NA ANT SEMITISM
Переглядів 2,7 тис.8 місяців тому
MAJIBU KWA ISAYA MWAKILEMBE: WAISRAEL HALISI WAKO KWAO ISRAEL LICHA YA KUKATALIWA NA ANT SEMITISM
MDAHALO: JE, MWENYEZI MUNGU NI JINSIA GANI?
Переглядів 1,2 тис.8 місяців тому
MDAHALO: JE, MWENYEZI MUNGU NI JINSIA GANI?
HARMONIZE AJIBIWA: MWENYEZI MUNGU NI BABA, SI MWANAMKE!
Переглядів 2 тис.8 місяців тому
HARMONIZE AJIBIWA: MWENYEZI MUNGU NI BABA, SI MWANAMKE!
DOA JEUSI KWENYE PAJI LA USO: CHAPA YA MNYAMA KWA MPINGA KRISTO
Переглядів 1,7 тис.8 місяців тому
DOA JEUSI KWENYE PAJI LA USO: CHAPA YA MNYAMA KWA MPINGA KRISTO
MFUNGO WA RAMADHANI ZANZIBAR: KERO YA TANO YA MUUNGANO
Переглядів 1,5 тис.9 місяців тому
MFUNGO WA RAMADHANI ZANZIBAR: KERO YA TANO YA MUUNGANO
FREEMASON NA UISLAMU MAJIBU YA UKRISTO KWA WAISLAMU PART 1
Переглядів 1,4 тис.9 місяців тому
FREEMASON NA UISLAMU MAJIBU YA UKRISTO KWA WAISLAMU PART 1
MJADALA KUHUSU UNABII WA ISAYA 53 BAINA YA USTADH ShaffIy and MWALI MU DANIEL
Переглядів 1,6 тис.9 місяців тому
MJADALA KUHUSU UNABII WA ISAYA 53 BAINA YA USTADH ShaffIy and MWALI MU DANIEL
JE, KANISA CATHOLIC HUONGOZA SIASA ZA TANZANIA?-MAJIBU
Переглядів 1,9 тис.Рік тому
JE, KANISA CATHOLIC HUONGOZA SIASA ZA TANZANIA?-MAJIBU
Je, Kuna Adam wa Mwisho Katika Uislamu?
Переглядів 8852 роки тому
Je, Kuna Adam wa Mwisho Katika Uislamu?
ALLAH CREATED ADAM IN HIS IMAGE! HE IS EMMANUEL!
Переглядів 8232 роки тому
ALLAH CREATED ADAM IN HIS IMAGE! HE IS EMMANUEL!
KUMBE ALLAH S.W.T NI MFANO WA ADAM KATIKA KUUMBA
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
KUMBE ALLAH S.W.T NI MFANO WA ADAM KATIKA KUUMBA
LAANA YA YESU KWA MUISLAMU
Переглядів 1,7 тис.3 роки тому
LAANA YA YESU KWA MUISLAMU
YESU YUPI ALIKUFA SAA 3 NA SAA 6? MAJIBU
Переглядів 1,8 тис.3 роки тому
YESU YUPI ALIKUFA SAA 3 NA SAA 6? MAJIBU
"NIMEKUBALI YESU ALILETA AMANI"-UST. MAZINGE
Переглядів 2,7 тис.4 роки тому
"NIMEKUBALI YESU ALILETA AMANI"-UST. MAZINGE
NDOA: MWANAMKE MUISLAMU NA MKRISTO WANA HADHI SAWA KIIMANI?
Переглядів 9 тис.4 роки тому
NDOA: MWANAMKE MUISLAMU NA MKRISTO WANA HADHI SAWA KIIMANI?

КОМЕНТАРІ

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 49 хвилин тому

    alizaliwa ni kweli, ni tarehe 25???????😂😂😂😂😂😂😂 uu mekulwa

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 54 хвилини тому

    jibu swali, danieli,Yesu alizaliwa tarehe 255????

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 50 хвилин тому

      @@petermgonja8547 Ndiyo alizaliwa tarehe 25/12

  • @MayaGerald-j4i
    @MayaGerald-j4i 6 годин тому

    Wajumapil tuelewetu kua tumepuyanga

  • @MayaGerald-j4i
    @MayaGerald-j4i 6 годин тому

    Mt ndacha nmekuelewa mno

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 7 годин тому

    Yohana 21:25. ni ushahidi wa kutosha..., pia kusema kwamba kuna injili nyegine hazikukubaliwa na wazee wa makanisa kwa kuwa hazikukidhi vigezo walivyoweka ni ushahidi tosha kwamba si kila ambalo halimo kwenye bibilia basi haliko.Waandishi wa bibilia ni kama waandishi wote wa tarehe, hawashushiwi wahyi wala hawavuvuliwi kama mnavyoaminishana, bali wanakusanya khabari kutoka vyanzo mbalimbali ikiwamo masimulizi ya midomo na maandishi ya kale, na hivi ndivyo ilivyo andikwa bibilia, Na ushahidi mkubwa ni kauli ya Luka mwenyewe Luka 1:1--, Kama mengi hayakuandikwa ndani ya bibilia ni wazi yaliandikwa kwengine na mengine yalibaki kuwa masimulizi ya kupokezana tu. Anapokuja Mtume wa Mwenye ezi Mungu akakusimulia mambo akayanasibisha na Yesu, Wewe-kama unaakili- Unapata wapi ujasiri wa kuyapinga kama sio ushupavu bila akili?

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 7 годин тому

    Mimi kinachonishangaza ni pale muhamad alipokufa aliswaliwa na mungu aitwe alah sasa kama alah ni mungu je? Alikua anamswalia kwa alah yupi tena?

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 11 годин тому

    Danel Waislaam wanajua kua Kaburi la Mtume wao limo ndani ya Msikiti, labda wewe umechelewa kujua. Pia jifunze kiswahili vizuri, na ujifunze kuelewa kinachozungumzwa. Kunatafauti kubwa kati ya KUJENGA MSIKITI JUU YA KABURI na KABURI KUWA NDANI YA MSIKITI. Kaburi la Mtume limo ndani ya msikiti, kwa maana chumba alimozikwa kilikuwa ni sehemu ya msikiti, na hadi sasa sehemu hiyo ilokuwa chumba imezunguushiwa ukuta, Fanya utafiti kabla hujasema.

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 21 годину тому

    Kusema Yesu kashinda kifo-ilhali wamuita Mungu-ni kumdogosha. vp ashindane na kifo wakati kakiumba? Ujue kuwa maneno yako hayana mantiki.

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 21 годину тому

    Kabla uja sema fikiri, uache jazba za chuki. Kwani nyinyi mtu akifa hamumuombei? Mwampeleka kanisani kufanya nini? mbona hamumvalishi suti tu nakumzika?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 16 годин тому

      @@OmariShuli mbona unaiacha hoja ya msingi iliyojadiliwa hapa? Hayo maswali 3 anaulizwa Muislamu gani? Aliyekuwa anaswali kila siku au Muislamu mgeni?

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 11 годин тому

      ​@@BAYYINATDMTV Maelezo ya Ukrsto kuhusu kitakacho tokea baada kifo hayajatosheleza. "Neno baada ya kufa tu hukumu" halijatosha kueleze yatakayofuata baada ya kifo. Ukweli ni kwamba hukumu ni baada ya watu kufufuliwa. Baada ya kufa kuna maisha ya kaburini, maisha ambayo bibilia haiyajui. Hayo ndio mambo ya Ghaybu unayotakiwa kuyaamini kama yalivyopokelewa kutoka kwa yeye Mjuvi wa siri, Mtume Muhammad s.a.w. Katuambia Mtume "Kaburi ni kituo cha mwanzo ktk vituo vya Akhera na kituo cha mwisho ktk vituo vya dunia yenye kufa" Na pia amesema "...Kaburi imma ni Bustani ktk Mabustani ya Peponi na imma ni Shimo ktk mashimo ya motoni. Na maswali kaburini wataulizwa wote watakaozikwa, isipokuwa ambao Allah mwenyewe amewachagua. Pia kuombeana ni mapenzi tuliyofundishwa na dini yetu tukufu kwani ni ibada. Mtume s.a.w. ametuambia: "Mtu anapomuombea ndugu yake muislamu basi kuna Malaika wanaoitikia " AAMIN"(na wanasema) na wewe Allah akupe mfano wa hayo" Si hivyo tu bali kuna Malaika khaswa ambao kazi yao ni kuwaombea waislaam qur-an 40:7-9. Huo ndio udugu wetu wa kiimani, kama ambavyo tumefudishwa kusaidiana kwa shida mbalimbali za hapa duniani-mahala ambapo ni pakupita tu- ndivyo hivyo hivyo tumefundishwa kusaidiana kwa shida za akhera. Kwani kwetu sisi waislaam tulivyofunzwa ni kuwa kupumzika kutapatikana baada ya HUKUMU. Na hiyo hukumu ni naada ya watu wote kufa kwa kupigwa baragumu la mwisho, kisha wakae miaka mingi kisha lipigwe baragumu la kufufuliwa kisha watu wakusanywe, wahesabiwe na huko ndio kuhukumiwa na baada ya hapo ndio makazi ya milele, Mtu akiwa mkazi wa milele Peponi basi naamshukuru Allah, au akiwa mkazi wa milele Motoni basi naailaamu nafsi yake, kwani uongofu umemjia. Danel Ukisema kuna hukumu maana yake kuna Mahakama na ukisimamishwa mahakamani basi utaulizwa maswali. Na pia unaweza ukaanza kuulizwa maswali ukiwa mahabusu. Uislaamu ni nidhamu ya maisha. Unayoyaona ktk mipango ya serikali asilimia kubwa ni kutoka mafundisho ya uislaam.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 годин тому

      ​@@BAYYINATDMTVmwalimu hawajamaa kuwaelewesha ni kazi sana wameshapofushwa na mungu wao aitwae Alaah kawarundikia majini vichwani

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 7 годин тому

      ​@@BAYYINATDMTVMtume s.a.w. ametuambia "...Kaburi ni kituo cha mwanzo kati ya vituo vya Akhera ni nikituo cha mwisho kati ya vituo vya dunia yenye kwisha, Mtu yakimuwia myepesi hapo kaburini basi yatakuwa myepesi yanayofuata baada yake, na yakimuwiya mazito basi yatakuwa mazito yatakayofuatia. Pia Mtume s.a.w ametuambia "...Kaburi imma litakuwa bustani za peponi na imma litakuwa miongoni mwa mashimo ya motoni.." Maswali ya kaburi yatamuhusu kila atakaekufa, azikwe asizikwe. kwani hayo ni maisha ya kiroho khaasswa. Kusema " Baada ya kifo Hukuumu" ni kufupisha mazungumzo, wala haipingi kuwako matukio kabla ya kufikia siku ya hukumu ambayo ndio hatua ya mwisho. Mwanaadamu akifa atakaa kaburini(BARZAKH) kwa miaka mingi,kisha litafuatia baragumu la kwanza la kumaliza maisha ya dunia, kisha-baada ya miaka-litfuatia la pili la kuwafufua viumbe na kukusanywa ktk uwanja wa kuhesabiwa ndio hukumu hiyo, na hilo nalo ni baada ya miaka mingi. NB: Watu ktk kila kipindi au kiala hatua watakuwa wapo walio ktk mateso kwa kadiri ya matendo yake maovu, na wapo watakaokuwa ktk Raha kwa kadiri ya matendo yao mema. Mambo haya ni ghaybu upokelewa kutoka kwa mitume na kuaminiwa. Na mimi ninayaqini hata Yesu aliyafafanua kama hivi au inayofanana na hivi, ispokua waandishi huenda waliyaacha kama anavyosema Yohana 21:25.au Wakubwa wa makanisa-kwa vigezo vyao-hawakuyajumlisha ktk maandiko matakatifu kama mnavyo sema wenyewe. Nimemsikia askofu fulani kwenye kipindi "EZRAEL KTK UNABII" akisema kwamba kuna habari nyingi za Yesu hazikuchukuliwa kwa sababu Yesu alikuwa hajaanza huduma, miongoni mwa alizozisema ni suala la Yesu kufinyanga udongo shikli la ndege kisha akampuliza akawa njiwa akaruka. Pia muhubiri mmoja wa chanel Kokoto kwenye kiatu, nilimsikia akisema kuna maelfu ya Injili za Yesu hazikukidhi vigezo vya wazee wa kanisa, nayeye pia alisema ziko baadhi ya aya za Qur-an zafanana na baadhi ya injili zilizokataliwa. Baada ya hayo tuambie wewe hivi Wakristo hamuwaombei Maiti wenu? Ile misa mtu anapokufa kule kanisani ni ya nini? na kule kaburini? na pale mnapokwenda kuzuru mwafanya nini? Kama mnayomfanyia maiti wenu yote hayana manufaa kwake basi yanini kupotezea watu wakati wao?

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 21 годину тому

    Wazungu wakristo walipoingiza dini yao ukristo na wakapata wafuasi, kubwa walilolifanya ni kutunga uwongo juu ua uislaam na kuwalisha wakiwatisha wafuasi wao kwamba Qurani ni kitabu cha majini uislaam ni dini ya majini nk. Ikawa Mkristo hata akiona gazeti limeandikwa kiarabu aliogopa. Sasa-sijui nani alowang'ata sikio-wameona kumbe walifanywa wajinga miaka mingi, wanakurupa. wamekuwa "KIPOFU NA PUNDA" kila wanachokiona basi mbio..., utawasikia "Ooo waislaam haya waliyaficha, sisi twaysyos". Wasicho kijua-maskini-wao ndio walofichwa. Sasa hivi eti ndio wazinduka na kuona kuwa xmasi ni jumapili ni upagani. Ukweli ni kwamba Ukristo wote ni upagani wa warumi ulovishwa kanzu a Yesu tu.

  • @PaschalKiteaKitea
    @PaschalKiteaKitea 22 години тому

    Mwalim upo sahii ila waliokarrshwa dini hio hawatakuelewa

  • @SevenKarafuli
    @SevenKarafuli 22 години тому

    Mbona ambayo umesoma hayambatane nayale unayo sema

  • @SaidMaliatabu-n7q
    @SaidMaliatabu-n7q День тому

    Mwankemwa ulichoambiwa kalenda ya glegory ni ya kipagani je watu wadini mungu aliagiza mtumie kalenda ipi ?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV День тому

      @@SaidMaliatabu-n7q kalenda ya Mungu ni ipi na ina miezi ipi na ilianza mwaka gani?

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 День тому

    Waislamu wakati wa kufa Malaika wana wateremkia kuwapa tumaini wasiogope, soma aya hizi: Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu! Kisha wakanyooka sawa, hao huwateremkia Malaika wakawaambia: Msiogope, wala msihuzunike; nanyi furahini kwa Pepo mliyo kuwa mkiahidiwa. --haa meem sajdah 30 Na wanao amini utatu watapata adhabu: Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. --al_maa'idah 73

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV День тому

      Hao kaburini wanaulizwa maswali au hawaulizwi?

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 День тому

      @@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama, kwenye maisha ya kaburi na wakati wa kufufuliwa siku ya Kiyama na wakati wa hesabu mpaka kuingia peponi, Malaika wa Mwenyezi Mungu wamekwisha mpa habari njema kama asiogope wala asihuzunike, kwa hio hapatwi na shida, yote ni usalama juu ya usalama

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 День тому

      @@BAYYINATDMTV Kuulizwa kaburini haimaanishi ni adhabu, Muislamu aliye pewa habari njema za kuingia peponi na Malaika wakati wa kukata Roho atapita stages zote kiusalama.

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 23 години тому

      Halafu wewe Danieli unaongeza maneno kutoka kinywa chako, hakuna hadithi ya Mtume inasema waislamu wote watapata adhabu ya kaburi, na hio hadithi ulio inukuu inaongea kuhusu kikundi Maalumu wasio jitakasa wakati wa kumaliza haja, na nyinyi Wakristo ni miongoni mwao kwa sababu nyinyi hamujitakasi na maji mkimaliza haja zenu kubwa na ndogo, mnajifuta na tissue tu, kwa hio najasa mnabaki nazo 24 hrs. Nyinyi pia ni umma wa Muhammad kwa sababu hizi ni zama au nyakati za Mtume Muhammad, kwa hio Sheria ya kiislamu pia inawahusu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 23 години тому

      ​@@alyaqdhan5206 Wanaulizwa maswali au haulizwi?

  • @badruseif1318
    @badruseif1318 День тому

    Ukafiri kitu kibaya sana yaani wewe umekaa kupinga tu sasa hilo nalo jambo la kujadili? Ujinga mtupu

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 23 години тому

      Ni kweli, ameacha kujadili misingi ya imani akaingia kwenye mengine, msingi wa imani wa kwanza ni kumjua Mungu wa haki ni nani, Wakristo mpaka sasa wanabishana Mungu wa haki ni nani, Catholic wanasema Mungu ni mmoja lakini yuko kwenye nafsi tatu, Wasabato wanakataa

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 23 години тому

      Funguka akili la sivyo utakutana na malungu ya Munkari na Nunkari

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 23 години тому

      @@paulmushi2428Sasa nyinyi Wakristo mnadhania kama adhabu ya kaburi haiwahusu? Nyinyi pia mnaingia kwenye Sheria ya islamu kwa sababu hizi ni zama za Nabii Muhammad

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 21 годину тому

      @@alyaqdhan5206 ndio wanavojidanganya ivo

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 21 годину тому

      @@paulmushi2428 wewe unafikiri Pepo ya mjomba wako ukaingie kirahisi kama unavoingia baa?

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 День тому

    Ndasha makelele tu

  • @samxx411
    @samxx411 День тому

    Tatizo lako huna elimu ya kiislam ndio mana unasoma ikisha unauliza maswali ikisha unajijibu mwenyewe hebu subiri Ustadh Shafi akiipata inshallah atakusomesha na utaelewa...wewe unajihisi unajuwa lkn hujuwi na hutaki kujuwa hiyo ni sifa ya mtu mjinga

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 4 хвилини тому

      Huko Kuna elimu Gani na ilhali kiongozi alikua maamuma ,hata jina lake alikua hajui kuandika ,hujui alivyo mtu ndivyo walivyo rafiki zake?

  • @samxx411
    @samxx411 День тому

    Almuradi na wewe uwe mwalimu, kwani uislam unafundishwa hivyo??? au unawafundisha wakristo wenzio naona hufahamiki unarusha tu , kwa usoomeshaji huo bora tafuta mwalimu akusomeshe usivamie vamie tu mambo..

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 23 години тому

      Subiri malungu ya munkari na Nunkari😅😅😅

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 23 години тому

      @@paulmushi2428 Wewe ukifa na imani ya Utatu ni Motoni

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 годин тому

      ​@@alyaqdhan5206kakundanganya nani

  • @konandawise4550
    @konandawise4550 День тому

    Quran 4:171 Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha. Masihi hataona uvunjifu(udhalili) kuwa mtumwa wa Mwenyezi Mungu, wala Malaika walio karibishwa. Na watakao ona uvunjifu utumwa wa Mwenyezi Mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake.

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack День тому

    Hata mimi nimchungaji lkn hawa wasabato sio wakristo lkn pia waroma sio wakristo pia

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack День тому

    Polenii wasabato

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack День тому

    Yaanii hawa vitabu vimekuwa vingi mpaka wamepotea kbsaaa

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack День тому

    Mtafutenii roho mtakàtifu kwanza

  • @PeterYaro-f5r
    @PeterYaro-f5r День тому

    Kama wewe siyo mbumbu wa maandiko,ktk Luka 2:13-14 kuna krismas hapo,au unaweka wewe?kweli wewe ni shetani mtu

  • @PeterYaro-f5r
    @PeterYaro-f5r День тому

    Jina Yesu lilitolewa na malaika kwa Mariam wakati anampa habari za kupata mimba.,inahusikanaje na kirisimasi?kwani Luka 2:21 inazungumzia kirisimasi? Kirisimasi ni sikukuu ya wapagani,Wala Yesu hakuzaliwa tar 25/12,Wacha kudanganya watu.wewe ni wakala wa kanisa la mpinga kristo-Roman Katholiki.upo kazini mwa shetani,mtumishi asiyetaka kujifunza kwa wengine,unataka watu wafuate upotoshaji wako wa kijinga,maana wewe ni mjinga wa maandiko na kwa mwendo huo hutajua maandiko yanavyotumika,wewe unapanga uuonavyo.acho kujifanya mjuaji..(hata njia ya mpumbavu imenyooka machoni pake mwenyewe)ndio ulivyo ndugu.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 День тому

    Mimi nampongeza Jafar kwa jambo moja tu, kuachana na dini ya Muhammad kuja kwa Yesu. Kuhusu mafundisho sahihi ya Ukristo bado anahitaji kuendelea kujifunza ndipo na yeye aanze kufundisha.

  • @thevastking8851
    @thevastking8851 День тому

    We we akili auna mwankemwa .ayo mawazo mwanadamu

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh День тому

    sasa mtumishi Daniel unafundisha ao unafoka?wakristo ni watu wapole sana sasa ww Daniel iyo hasira umeitowa wapi?hasira ni alama ya kushindwa yani kifupi ujuwi kitu!

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 День тому

      Anatumia neno linalosema kemea karipia, 2Tim 4:1-2. Au umekariri mstari mmoja tu wa Biblia unaosema wakristo wawe wapole?

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh День тому

      @daudimichael7338 kukaripia manake ni kufoka?unashida na ww!

  • @bankuwungukabalthelemy
    @bankuwungukabalthelemy День тому

    JIFUNZE JINSI MTUME WARIVYO ENDEREA KUSALI NAKUFANYAKAZI MATENDO 3:1-26. SOMAVIRI JINSI MTUME WARIVYO FANYA KAZI WASABATO MUNAHUKU WAKRISTO KWAMBA WANAABUDU SIKU YA KWANZA YA JUMA MITUME WARIKUWA WAKIHUBIRI SIKUZOTE NYINYI MUNAHUKUMUJEE WANOABUDU SIKU AMBAYO HATA MTUME WARIKUWA WANAABUDU SIKUHIYO NASIKUZOTE MATENDO 5:42. NISIKU ZOTE TUNARUHUSIWA KUFANYA IBADA MANDIKO YANAONYESHA HADHARANI

  • @bankuwungukabalthelemy
    @bankuwungukabalthelemy День тому

    NAURIZA SWALI SIKU YA SABATO KWENYE AGANO LA KALE WATU WARIKUWA WANARUHUSIWA KUCHUKUWA MIZIGO NAKUIBEBA SIKU YASABATO MUFANO YEREMIYA 17:20-23. RINGANISA NAHAPA ARICHOKIFANYA YESU YOHANA 5:8-14. HAPA INAMANISHA NINI?

  • @bankuwungukabalthelemy
    @bankuwungukabalthelemy День тому

    YEREMIYA 17:20-23. MAMBO YA WALAWI 23:1- HASEYA 2:11. YOHANA 5:8-14. GALATIA 4:9-11. Wakolosai 2:16-17.

  • @LebahatiMollei-l3e
    @LebahatiMollei-l3e День тому

    Amen

  • @Abdirahman-1020
    @Abdirahman-1020 День тому

    🗣Actually truth is clear us a daylight 💥 Allah protected you brother Sheikh Ibrahim

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 День тому

    Mwakwemwa ANANJUWA SANA MUNGU WA KWELI,, NDACHA AMJUWI MUNGU ILA ANANJUWA MANDIKO TU

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 День тому

    Mwakwemwa ANANJUWA SANA MUNGU WA KWELI,, NDACHA AMJUWI MUNGU ILA ANANJUWA MANDIKO TU

  • @StephenMwijage
    @StephenMwijage 2 дні тому

    Jambo la msingi ni kuonyesha Mitume walikuwa wakiishelekea . Utupe fungu katika Biblia katika kitabu cha Matendo ya Mitume. Udanganye wajinga .

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 2 дні тому

      @@StephenMwijage Steven kwa nini unataka uone Mitume wakisherehekea Krismasi huku ukiwakwepa Malaika na wachungaji waliosherehekea Krismasi siku Yesu Amezaliwa? Hapo huoni una shida kiroho kulipuuza agizo la malaika la kufurahia kuzaliwa kwa Yesu? (Luka 2:8-14)

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 2 дні тому

      Steven ubishani wa kijinga usio wa maandiko siyo sawa. Nilitegemea uniambie maandiko niliyonukuu toka Luka 2:8-14 hayatoi tangazo la kuifurahia siku aliyozaliwa Yesu. Vinginevyo ni ubishi wa kijinga tu.

  • @khalidalkindy
    @khalidalkindy 2 дні тому

    Sikiliza ukweli wa Bibilia. Huyu msomi alisoma chuo kikuyu cha kimarekani awe Mchungaji; ana DD. ua-cam.com/video/kFjillznrZ4/v-deo.htmlsi=NVRE17JGCDID5Pal

  • @JesusisLord-j4o
    @JesusisLord-j4o 2 дні тому

    Romans 8: 11 But if the Spirit of him that raised up Jesus from the dead dwell in you, he that raised up Christ from the dead shall also quicken your mortal bodies by his Spirit that dwelleth in you.( KJV) ●Nimewaletea King James mnayoipenda 😊😊.. sasa hapo mumeelewaje wapendwa; Roho alimfufua au vipi??

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 дні тому

    😂😂😂😂😂mpaka kiama hii dini haitaungamwa na wakiristo kila mmoja anamungu wake ndani ya dini moja

  • @antonnoel3579
    @antonnoel3579 2 дні тому

    For your note; all of you.... The Roman Empire traditionally began in 27 BCE when Octavian, who later became Emperor Augustus, was granted supreme power by the Roman Senate. This marked the end of the Roman Republic and the beginning of imperial rule. Augustus effectively became the first Roman emperor, although he carefully maintained the appearance of respecting republican traditions. The Pope does not typically have a formal role in the official meetings of the United Nations Security Council. However, the Holy See, which represents the Pope, has a significant presence at the United Nations, though it is not a full member. Holy See's Role:( THE POSSIBILITY OF SEAT OF POPE IN U.N-----"THE HOLY SEE") Observer Status: The Holy See, representing the Vatican, holds permanent observer status at the United Nations. This means it is not a full member state, so it cannot vote on resolutions or participate in decision-making processes like Security Council votes. However, it can attend meetings, participate in discussions, and make statements. General Assembly: The Holy See regularly attends sessions of the UN General Assembly and can deliver speeches or make interventions, especially on matters related to peace, human rights, and ethical concerns. The Pope or senior Vatican officials may be involved in this capacity, particularly in advocating for humanitarian causes, promoting peace, or addressing global challenges. Special Invitations: In certain cases, the Pope or high-ranking Vatican officials may be invited to speak at the United Nations or participate in special events, but this is generally not part of the official decision-making or council meetings, such as those of the Security Council. Past Involvement:(HISTORICAL RECORDS OF POPE ATTENDANCE) The Pope has addressed the UN General Assembly several times, such as during historic visits by Pope John Paul II in 1979, Pope Benedict XVI in 2008, and Pope Francis in 2015. These addresses have usually focused on global peace, development, the environment, and human rights. CONCLUSION So, while the Pope himself doesn't participate directly in Security Council meetings or voting, the Vatican and its representatives are influential in the broader UN dialogue, particularly on moral and humanitarian issues. Hope you can be edified much more on this....am not fully biased at any sides. Though Charismas is purely wrong and it sprouted from HELL and those that take this day serious they are in greater danger. Much more, according to the availing testimony many peoples are in hell for celebrating this evil day.. For the records listen testimony as scriptures narrates in (1 Th5:19-21/Psalm 93:5, Psa.19:7--"The law of the Lord is perfect, converting the soul: the testimony of the Lord is sure, making wise the simple"., Psa.119:111)--"Part 5_FATHER CHRISTMAS KATIKA MOTO WA VYUMBA 351 VYA KUZIMU|USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA WA KONGO"----link ua-cam.com/video/peuzOzqkB28/v-deo.html Our great gentile apostle, Paul the Apostle, addressed this issues when church happen to commit fornication with past traditional customs, rites and believes etc. that seems to transcends through church and go against God's laws (2cor.6:14-18--"Do not be yoked together with unbelievers. For what do righteousness and wickedness have in common? Or what fellowship can light have with darkness? 15What harmony is there between Christ and Belial? Or what does a believer have in common with an unbeliever? 16What agreement is there between the temple of God and idols? For we are the temple of the living God") . As you remember we have been built under foundation of Apostles and Prophets and Jesus Christ himself is chief cornerstone (Eph2:20-22kjv and 1 cor.3:10-17).....No where in bible was written Apostles or Prophets were celebrated Christmas and never at any point Jesus, the Messiah; ordered them to celebrated Christmas day. More have learn through scriptures is that, not to add or take off for any decoration... (Prov.30:5-6) "Every word of God is flawless; he is a shield to those who take refuge in him. 6Do not add to his words, or he will rebuke you and prove you a liar". 2Pet.1:20-21 KJVAE "20 knowing this first, that no prophecy of the Scripture is of any private interpretation. 21 For the prophecy came not in old time by the will of man: but holy men of God spake as they were moved by the Holy Ghost". (Prov.22:28) "Do not move an ancient boundary stone set up by your ancestors". (Deu.12:29-31 ASV) 29 When Jehovah thy God shall cut off the nations from before thee, whither thou goest in to dispossess them, and thou dispossessest them, and dwellest in their land; 30 take heed to thyself that thou be not ensnared [a]to follow them, after that they are destroyed from before thee; and that thou inquire not after their gods, saying, How do these nations serve their gods? [b]even so will I do likewise. 31 Thou shalt not do so unto Jehovah thy God: for every abomination to Jehovah, which he hateth, have they done unto their gods; for even their sons and their daughters do they burn in the fire to their gods. And much else, verse 32 (Deu.12:29-32 ASV) It explicitly narrate this.. "What thing soever I command you, that shall ye observe to do: thou shalt not add thereto, nor diminish from it".

  • @ElizabethMick-u2j
    @ElizabethMick-u2j 2 дні тому

    Mwalimu danieli amesema egw mwongo kwa sababu amesema Yesu amesimama kando ya sanduku la agano, wakati biblia imeandikwa Yesu kakaa mkono wa kiume wa Mungu. Swali Yesu amekaa milele huko? Tuje kwa yohana. Ufunuo 1:9-18 "Nalikuwa katika roho siku ya Bwana nikasikia sauti nyuma yangu kama baragumu. Ikasema uyasikiayo andika uyapeleke makanisa saba. Akasema usiogope mimi ni alfa na omega nilikuwa nimekufa sasa ni hai". Swali. Yohana nae ni muongo kusema ya kuwa Yesu alimfata kisiwani patmo wakati biblia inasema Yesu kakaa mkono wa kiume wa Mungu?

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora 2 дні тому

    ROHO TAKATIFU, Zab 51:11 Mt 1:18. 12:32 Lk 3:22 Yn 14:26 Mdo 2:4, 11:16 Efe 4:30 Ebr 6:4 2petr 1:21 Isa 63:10 Mt 3:11 Mk 13:11 Mdo 20:28 Hayo yanahusu Roho.

  • @MichaelMaduhu-y6e
    @MichaelMaduhu-y6e 2 дні тому

    1- YOHANA 5;7 inamaana ngani? kama usipo elewa sema Tena nitume fungu jingine . Wako watatu niumoja.

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 2 дні тому

    Fundisho la utatu ni headache tu 😂😂😂

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 2 дні тому

      @@Shomariamuri1 kwako peke yako ndiyo headache lakini kwa biblia imelitaja ila sema wewe ndiyo hutaki. Hatukulazimishi

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora 2 дні тому

      1Yohana 5:8. Kwa maana wako watatu Washuhudiao: Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. Bisha na hapo, bahati mbaya sehemu nyingine nimeisahau nikikumbuka nitakupatia

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j 2 дні тому

      @@SimfolianKasokora Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 2 дні тому

      @@SimfolianKasokora Imesema waungu watatu 3?

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora 2 дні тому

      Lakini mabishano yanini, katika mwili wenye uhai yaani Mtu kinacho ongea na kutoa sauti ni Roho, na sio mwili. Mwili ukitokwa na Roho huo mwili hauwezi ukatoa sauti, ndio maana binadamu akifa akitokwa na roho mwili wake hauwezi kuongea kwani unaitwa maiti, Daima roho unauwezo wa kuongea kutoa sauti Soma Mathayo 17:3. Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye. Nikwamba hapo Musa alikuwa kesha kufa miaka Mingi kabla ya Yesu, kumbe hapo ilikuwa ni Roho wa Musa, au kimvuli au Mzuka. Elia yeye alikuwa Mwili na Roho. Waling’aaa wote hata Yesu aling'aa. Kwani walikuwa katika hali ya Roho. Mfano Yesu alipo kata Roho Mwili wake ulizikwa kaburini, haukuwa na uwezo wa kuongea, ila Roho wa yesu yeye Alibaki na uwezo wake uleule wa kuongea na kuhubiri kuzimu soma 1petr 3:17-20. Kumbe Roho wa Yesu alihuishwa (yaani alifanywa hai) akaendelea kuhubiri kule kuzimu bila Mwili ila Roho tupu. Nasiku ya tatu akafufuka Mt 27:62-63. Pia 28:1-10. Na siku hiyohiyo alipaa Mbinguni soma Yn 20:17. Kumbe kilicho fanya afufuke ni Roho kuurudia Mwili na kuingia katika Mwili na kuutia Mwili uzima.

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 дні тому

    Sasa huyo Roho mbona ni nafsi tiyari kwa maneno yako mwenyewe😂😂😂 basi kumbe shida ni kiswahili hata MUNGU unaita mugu

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 дні тому

    Sasa ndacha Roho kwako wewe ni nani?? Yani unashida sijui ndo ile mizimu ya while inakusumbua???

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 2 дні тому

      Biblia inatambua roho wa Mungu na sio Mungu roho. Ninyi mumelewa na mafundisho ya Catholic mpaka kiama 😂😂😂

    • @CharlesNyale-kr4fx
      @CharlesNyale-kr4fx 2 дні тому

      Ndacha anasema anatetea Mungu wa Biblia ,kumanisha amesomea biblia ila mambo ya roho hayajui

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora 2 дні тому

      ​@@Shomariamuri1hujui kanisa ni katholiki na Mengine ni matokeo ya upinzani, kama halitambui katholiki Basi iache hata Biblia usiisome, kwa maana niwao waliikusanya kutoka vitabu vingi na kuviweka pamoja, Mafundisho ya kikatholiki yanatokana na Biblia tena yaliyo chunguzwa kwa kina. Haya hebu kasome 1Yohane 5:7-8.

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 2 дні тому

      ​@@SimfolianKasokorahandika biblia yako ww mjinga ata akili una!

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 2 дні тому

      @@Shomariamuri1 kweli sio Rahisi mwanadamu kumchunguza MUNGU amjue

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 2 дні тому

    Mwenye nasfi 3 anaangaika kueleza 😂😂😂

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 2 дні тому

      @@Shomariamuri1 kwa nini ushindwe kuzieleza wakati ,iko wazi katika Math 28:19 kwani hapo ziko ngapi?

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 2 дні тому

    Nuru na Giza lazima vitajitenganisha.😂😂

  • @OsiahMwaipopo
    @OsiahMwaipopo 2 дні тому

    Muko vizuri watumishi wa Mungu, ila hakika dhamiri zenu zinajua kile munachowasilisha na MUNGU anayo yake siku ya mwisho

  • @Sabiyumva-mb3rh
    @Sabiyumva-mb3rh 2 дні тому

    Barikiwa mwarimu mafundisho Yako ni ukweri kabisa