Tunamshukuru Mungu sana kwa kutupenda Yesu,asante kwa unyenyekevu mkuu uliouweka ndani ya mtumwa wako kusema na watu wako Ulimwenguni kote,ili kuleta mtikisiko ktk ulimwengu waroho.
MUNGU wambinguni akubaliki, pia aenderee kukutumia kwamapenzi yake mwenyewe, nasi tuna zidi kupokea chakula chambinguni, sifa na utukufu nikwa MUNGU, amina.
Ubarikiwe sana Mtu wa MUNGU kwa utayri na Utii mbele za BWANA. Hakika umetengwa na BWANA ili umfae na sisi watu wake, mafundisho haya ni siri ya ajabu sana. Kweli kanisa limepotea kwa kuliacha Agano, Madhabahu na Mlima wa MUNGU. Ooooh ole wetu tusipogeuka, ni huzuni, MUNGU akubariki sana mtumishi amen

Amina mwalimu Tengwa ninabarikiwa nikiwa Kenya
Mungu azidi kukutumia km apendavyo,nakuombea sana mtumishi wa Mungu aliye hai.ubarikiwe na familia yako Mungu aitunze...
Amen Mtumishi natamani natamani kuwa mwombaji mwenye majibu
Natamani sana haya mafundisho Roho Mtakatifu nisaidie
ubarikiwe mwl .Tengwa kazi yako ni njema
MUNGU wambinguni akubaliki, pia aenderee kukutumia kwamapenzi yake mwenyewe, nasi tuna zidi kupokea chakula chambinguni, sifa na utukufu nikwa MUNGU, amina.
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mema
Amen, tuko pamoja
Amen Amen MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri. .
Necy ninaamini unajifuza.nena la uzima. Wa milele.amen
@@WinneAlenziameeen
Si wote wanaelewa haya bali ni waliobarikiwa na kuchaguliwa. Yesu tusaidie watumwa wako
Amen Amen
Ubarikiwe sana Mtu wa MUNGU kwa utayri na Utii mbele za BWANA. Hakika umetengwa na BWANA ili umfae na sisi watu wake, mafundisho haya ni siri ya ajabu sana. Kweli kanisa limepotea kwa kuliacha Agano, Madhabahu na Mlima wa MUNGU. Ooooh ole wetu tusipogeuka, ni huzuni, MUNGU akubariki sana mtumishi amen
Asante sanaaaaaa mtumishi
Amen niko hapa BWANA wangu, na iwe kwangu kama utakavyo amen
AMEN HILI NENO LINANIWEKA MAHALI PAKUBWA SANA
Tuko tayari Bwana atusaidie
Haleluya
Amen
Amen.
Amen