Watumishi wa Mungu tuko pamoja nanyi Jeshi la Mbinguni liko pamoja nanyi Yesu kristo yuko pamoja nanyi hakuna wa kutuludisha nyuma kwa Jina la Yesu tunasonga mbele
Mungu atusamehe kweli roho wa Mungu ameondoka ndani yetu kweli sikutegemea kwamba kwamaonyo Yale ambayo watumishi wa Mungu walilionya taifa pale Kilimanjaro hotel sikufikiri kwamba kunamtu atakuwa kinyume na watumishi wa Mungu hawa , malme Tengwa na nabii Alfa Mungu awatie nguvu watumishi
Tunamwamini Mungu na Neno lake ndani yenu ila piga kelele msiache japo wengine hatuna pesa za kusapoti lakini tunawaombea tu musonge mbele Mungu asiwaache maana neno lake la nguvu ya mabadiliko tunalisikia na tunabadilika ila naona vita ni kubwa mno japo Mungu wetu tuna mwamini hajawahi kushindwa, ijapo nchi inaonekana kufa siku yaja itakuwa hai maana Mungu ni uhai.
Mungu wa Mbinguni Atusaidie sana. Mimi na Nyumba yangu Tumtumikie na kuzidi kumpenda Yesu. Tufike juu Mbinguni. Asante Mungu wangu wewe ni Mzuri.
Mungu wetu turehemu tukaitende kazi yako kwa Uaminifu
Mungu awatunze. songa mbele bila kuangalia sura au cheo cha mtu Ushindi ni lazima
Shallom shallom,Mungu awatie nguvu na awalinde kwa kazi yake
Oooh ni furaha yetu sote Bwana ajapo kutuponyaaa,,uje Bwana Uje Bwana
Mungu watunze watumishi wako..kazi yenu sio bure
Watumishi wa Mungu tuko pamoja nanyi Jeshi la Mbinguni liko pamoja nanyi Yesu kristo yuko pamoja nanyi hakuna wa kutuludisha nyuma kwa Jina la Yesu tunasonga mbele
Mungu atusamehe kweli roho wa Mungu ameondoka ndani yetu kweli sikutegemea kwamba kwamaonyo Yale ambayo watumishi wa Mungu walilionya taifa pale Kilimanjaro hotel sikufikiri kwamba kunamtu atakuwa kinyume na watumishi wa Mungu hawa , malme Tengwa na nabii Alfa Mungu awatie nguvu watumishi
oooooh Yesu kristo uwe upande wetu
Tunamwamini Mungu na Neno lake ndani yenu ila piga kelele msiache japo wengine hatuna pesa za kusapoti lakini tunawaombea tu musonge mbele Mungu asiwaache maana neno lake la nguvu ya mabadiliko tunalisikia na tunabadilika ila naona vita ni kubwa mno japo Mungu wetu tuna mwamini hajawahi kushindwa, ijapo nchi inaonekana kufa siku yaja itakuwa hai maana Mungu ni uhai.
MUNGU awe pamoja nanyi watumishi wa MUNGU
Amen ameni
MUNGU aendelee kuwatunza watumishi wa bwana.
Eee Bwana uwatangulie watumwa wako
HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO WAPENDWA YESU ANARUDI KUNYAKUA KANISA LAKE
Mwenyezi Mungu Awatangulie Katika Ziara yetu ya Mkoa kwa Mkoa.
EE MUNGU UTUTIE NGUVU KATIKA NYAKATI HIZI, USITUACHE BWANA
Sauti ya kulola na mwakasege usiing'ang'anie itakuchelewesha,Safiri kwa voicelift yako
wana wa Mungu ni dhahiri na wana wa giza pia ni dhahiri hao kina kulola na mwakasege ni watumishi wa Mungu so hiyo ndo sauti ya wana wa ufalme