Yaani ! Daah. Hii ni kweli kabisa. Injili hii ni kweli, hakika na amina. Mungu akutunze sana zaidi Mwl Tengwa . Namtukuza Mungu muumbaji wangu tu kwaajili ya injili hii. Maana inanifungua . Amina.
Yesu Mwana wa Mungu umenisaidia sana kupitia Roho Mtakatifu. Na mtumish wako Mwl.l Tengwa.Utukuzwe Mungu peke yako.Injili ya mabadiliko ienee kwa kila MTU ulimwenguni!!
Ana heri kila mtu anayelisikia neno hili nakukubali kuliishi kwa msaada wa MUNGU MWENYEWE. NGUVU MPYA YA MABADILIKO HALISI DHIDI YA NGUVU YA UHALIBIFU ILIYOLIMEZA KANISA. UBARIKIWE MTU WA MUNGU AMEN
Yaani ! Daah. Hii ni kweli kabisa. Injili hii ni kweli, hakika na amina. Mungu akutunze sana zaidi Mwl Tengwa . Namtukuza Mungu muumbaji wangu tu kwaajili ya injili hii. Maana inanifungua . Amina.
Amen tuko pamoja, 🙏🙏🙏
Asante Mungu Mtakatifu kwa neno lako, mbariki mtumishi wako Mwl Tenga ili aendelee kutumika kuifundisha kweli, ya neno lako
Amen amen amen amen amen amen & amen
Hakika mungu atusaidie kubadilika amen
Utukufu una wewe Bwana Yesu Kristo Mungu mwenye nguvu zote.
Amina mtumishi injili hii haipiti bure kamwe
amina ubarikiwe mwl kweli hii ni injli ya nguvu ya mabadiriko .eee Mungu tusaidie kuipokea hii injili ya mabadiriko
Amina mtumishi wa Yesu Neno lake likatuimarishe tukaishi ktk kweli ili tuwe huru
Hakika leo ni km mara ya tatu naskiliza neno hili lenye nguvu...Mungu nisaidie ktk hii safari
Asante Yesu kwa neno lako
Yesu Mwana wa Mungu umenisaidia sana kupitia Roho Mtakatifu. Na mtumish wako Mwl.l Tengwa.Utukuzwe Mungu peke yako.Injili ya mabadiliko ienee kwa kila MTU ulimwenguni!!
Nijalie Bwana kuisikia sauti Yako weka utoaji ndani yangu
Amen mwalimu
Ee YESU KRISTO nisaidie kuelewa na kutenda
Amen, Amen, Amen, Amen Aaaaaaamen,
Ubarikiwe mtumishi
Ucjal mtumishi tunakfatilia japo wengne hatucoment
Amen neno hili limenifuza pakubwa sana barikiwa
AMINA Mtu wa MUNGU
Ana heri kila mtu anayelisikia neno hili nakukubali kuliishi kwa msaada wa MUNGU MWENYEWE. NGUVU MPYA YA MABADILIKO HALISI DHIDI YA NGUVU YA UHALIBIFU ILIYOLIMEZA KANISA. UBARIKIWE MTU WA MUNGU AMEN
Mungu baba tusaidie
Amen
Aminaa
Amen barikiwa mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri.
Amen mwl Tengwa songa mbele usichoshwe na wataabishaji
Ameen mtumishi wa Mungu
Amen.
Tulikuwa tunasubiri
Amen Amen Amen!!
But,nilkuwa nauliza chukizo la uharibifu nn?kwenye chapter ilyopita
Pia masihi atakatiliwa mbali mana ake na naye atakuwa hana kitu maana ake nini?
Amina mtumishi wa Mungu
Amen
Amém