Asante Yesu kwaajili ya mtumwa wako.. namshukuru Mungu muumbaji wangu kbu mafundisho haya yananirudisha kwy mfumo wa utendaji wa Kiroho wa Kiungu. Ambao ulipotea for about 7 yrs. Mungu akuinue zaidi Mwl uendelee kulitimiza kusudi la Mungu kwa ufasaha. AMINA.
Ni kweli mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai mimi bado narudia nyuma kwenye vol,za nyuma ili nielewe zote ni nzuri lakini ili nielewe narudia mara kwa mara. Na hayo yote unayofundisha ni amini na kweli,naomba Mungu anijalie kuelewa na kuyashika na kuyafanyia kazi na nipokee nguvu ya kunibadilisha
Wana wa nchi ya Agano tumpate wapi Mtu kama huyu! Ndg zangu tuombe sana juu ya Mtu huyu wa kipekee sana, waenda mbinguni tumepewa zawadi na BWANA tuombe tu juu yake ili kusudi la BWANA litimie, nasema haya kwa machozi. MUNGU AWABARIKI SANA AMEN
Tunakushukuru mungu kwa ajili ya mtumishi wako Tengwa
Asante mungu kwa kumpata mtumishi Tengwa, clip hii ina upako wa mungu aliye Hai ,❤
Barikiwa mutumshi nimeelewa Sasa,nimejua.
Injili km hii sikuwahi kuisikia Yesu kristo nisaidie kuingia kwenye agano la damu ya Yesu kristo
Oh my God ñisaidie
Amina mtumishi wa Mungu natamani pia Mungu anipe nguvu mpya ya mabadiliko 🙏🏿🙏🏿
Bwana nisaidie niweze kuomba sawa sawa na makusudi yako
❤❤❤messages nzuri sana ah AMA kweli Yesu ametufunulia hii
Asante Yesu kwaajili ya mtumwa wako.. namshukuru Mungu muumbaji wangu kbu mafundisho haya yananirudisha kwy mfumo wa utendaji wa Kiroho wa Kiungu. Ambao ulipotea for about 7 yrs. Mungu akuinue zaidi Mwl uendelee kulitimiza kusudi la Mungu kwa ufasaha. AMINA.
Mungu wangu nisaidie kutimiza kutimiza kusudi lako ktka maisha yangu.ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Sanduku la agano la damu ya Yesu
Amina
Tutaingia Bwana atusaidie
Haleluya
Amen,sawa sawa WANA WA MUNGU WAPO KILA MAHALI DUNIANI KOTE
Haleluya
Ni kweli mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai mimi bado narudia nyuma kwenye vol,za nyuma ili nielewe zote ni nzuri lakini ili nielewe narudia mara kwa mara.
Na hayo yote unayofundisha ni amini na kweli,naomba Mungu anijalie kuelewa na kuyashika na kuyafanyia kazi na nipokee nguvu ya kunibadilisha
Hakika wengi hawajachinjwa kabisa!
Bwana nipe kuzaa chanya
Hii ni injili ya toa uteketeze
Nipe kuingia kwenye agano la damu
Amen, Amen, sana Mtumwa Wa Kristo
Ameeen Ameeen MUNGU akubariki sana mwalimu kwa mafundisho mazuri ya uzima wa milele.
Nacy wewe Bona ujaniabiya wewe
@@Jane-tn5qq aje dadangu mpendwa.
Wana wa nchi ya Agano tumpate wapi Mtu kama huyu! Ndg zangu tuombe sana juu ya Mtu huyu wa kipekee sana, waenda mbinguni tumepewa zawadi na BWANA tuombe tu juu yake ili kusudi la BWANA litimie, nasema haya kwa machozi. MUNGU AWABARIKI SANA AMEN
Amina. Hiyo ni sawa dada Aggy . Umesawa sahihi.
Haleluya