FIMBO YA AJABU: INATIBU MAGONJWA, INAFICHUA SIRI, WANAUME 5 HAWAWEZI KUIZUIA, ANAYEMILIKI ASIMULIA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • FIMBO YA AJABU: INATIBU MAGONJWA, INAFICHUA SIRI, WANAUME 5 HAWAWEZI KUIZUIA, ANAYEMILIKI ASIMULIA..
    MAAJABU! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia 'FIMBO' ya Ajabu inayomilikiwa na kijana, Nurdin Muhidin Dongo (19), yenye uwezo wa kufanya mambo makubwa ya kushangaza ikiwemo kutibu maradhi mbalimbali, kufichua siri za mtu, lakini nguvu iliyonayo ni kubwa kiasi kwamba wanaume wanne walioshiba hawawezi kuizuia...
    Akizungumza na Global TV, Kijana Nurdin, amesimulia jinsi alivyoipata Fimbo hiyo akiwa na umri wa miaka tisa....
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 205

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +5

    Mashaa allah tabarakallah

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 роки тому +6

    Mashallah

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 3 роки тому +1

    Nakupenda sana ww kaka mana unahofu ya alla 🙏🙏🙏🙏

  • @mwanaumejasiri3835
    @mwanaumejasiri3835 3 роки тому +1

    MAASHA ALLAH

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 3 роки тому +4

    Allah akubariki na azidi kukupa nuru zaidi

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 3 роки тому +2

    MaalnshaAllah

  • @deejaymustaphar2544
    @deejaymustaphar2544 3 роки тому +1

    ningependa sheikh amwaagize fimbo kupaa angani, iwainue juu

  • @bravokingtz9073
    @bravokingtz9073 3 роки тому +2

    Allah Akbar

  • @khalidsalmin7682
    @khalidsalmin7682 4 роки тому +5

    Sawa kabisa mashaallah umesilimu Alhamdulillah lakini hao waliokuwa wakikuotesha hizo ndoto ni majini kwa mujibu wa dalili hizo hivyo sasa haipaswi weye kutumia fimbo hiyo kama eti ni maajabu hakuna cha ajabu apo hayo mambo wanayo fanya hivyo kwenye hiyo fimbo ni majini hao sasa weye ungeachana nayo hayo mambo ya fimbo kama kuona umepewa maajabu hapana kwasababu ukizungumzia miujiza asaivi waislam tumebakisha Quran tu na mpaka atakapo rudi NAbii ISSA A.S ndipo atakuja na miujiza itokayo kwa ALLAH S.W kwaajili ya watakao amini unaposema neno maajabu yatokanayo na ALLAH S.W basi hata shirki bila ya ALLAH S.W haiwezi kufanyika lakini yeye ALLAH S.W ametukataza hata tusiwe karibu nayo wazo langu madamu umeshaingia kuwa muislamu yatosha quran na sunna za mtume Muhammad S.A.W kuwa tiba na dawa katika desturi ya kawaida na si fimbo kwani kipungua nini kwenye hadi uwe una iamrisha na kuiuliza fimbo shida badala ya kumuuliza ALLAH S.W KWA kumuomba kipi kilichozidi kwenye hiyo fimbo achana na hiyo fimbo soma quran na kufuata hadithi na sunna za mtume Muhammad S.A.W ipasavyo yatosha Alhamdulillah.

    • @kherysamiry6716
      @kherysamiry6716 3 роки тому +1

      Ndugu ww huna elimu wala hekima ww ndio unatakiwa usome soma baba ww dini huijuw kabisa

    • @khalidsalmin7682
      @khalidsalmin7682 3 роки тому

      @@kherysamiry6716 kheri sijakuelewa apo

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 3 роки тому

      Tayb nimekuelewa sana yatakikana asimame katika Quran

  • @nusuratihamisi6524
    @nusuratihamisi6524 3 роки тому +1

    Subhannallah

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    SUBHANALAH masha Allah

  • @rayamuhene5246
    @rayamuhene5246 4 роки тому +14

    Jamani muwe waelewa huu sio unabii nikuonyesha uwepo wa allah

    • @khalidsalmin7682
      @khalidsalmin7682 3 роки тому

      Qurani inatosha kujua ALLAH S.W yupo pamoja na dunia angalia na vilivyo tuzunguka lakini hii bakora swali langu huyu kijana kapewa na majini ama weye unahisi nani walioenda kumuekea...ama nani kampa hapo hata yeye mwenyewe hajui inamaana ni majini hao...kwa mujibu wa kidesturi majini wanaweza kufanya mambo kama hayo...

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +3

      @@khalidsalmin7682 ingekuwa ni majini isingelewana ma Quran na isingeamrishwa kwa jila la Mwenyenzi Mungu ikafanya

    • @khalidsalmin7682
      @khalidsalmin7682 3 роки тому

      @@shantellemwanakombo3703 kueni makini sana nyie mitume walipewa miujiza na mtume alipewa na miujiza yake kwa maana bakora ulikua ni muujiza wa NABII mussa a.s kutoka kwa ALLAH S.W wapo hata baadhi ya masheikh wengi tu wanatumia majini na wanafanya mambo kuliko hayo swali langu ni moja tu hiyo bakora yeye mwenyewe hajui inapotoka pili mtume Muhammad S.A.W ni wa mwisho na ashakamilisha kila kitu na miujiza aliotuachia mtume Muhammad S.A.W ni quran tu sasa tokea aondoke MTUME MUHAMMAD S.A.W maswahaba wote wasipewe maajabu kama haya na ALLAH S.W aje apewe kijana huyu mbona haingii ata akilini fikirini vizuri jamani majini wana vitimbi kila aina na wanadanganya sana wanaadamu na hayo mambo yashatokea sehemu mbalimbali hivyo hiyo bakora ina utatanishi kwenye mawazo kwasababu haiwezi kujieleza haizungumzi vipi tukifuate kitu kisichoongea wakati quran ipo nijibu sasa...

    • @mwanaishamlima2047
      @mwanaishamlima2047 3 роки тому

      @@shantellemwanakombo3703 ukimtaja Allah kwa shiriki bila kua na imani sahihi shetani hupenya

    • @samiraamran1890
      @samiraamran1890 3 роки тому

      Habari kaka

  • @mohamedabdullahi3073
    @mohamedabdullahi3073 3 роки тому +2

    Subhanallah!! Allah husamehe madhambi mengi lakini sio Shirki kubwa cha kiwango huko. Ndugu Muislamu usipotoshwe na huyu mshirikina mkubwa!!

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 3 роки тому +1

    Hiyo fimbo haijaiyona kuwa dunia inateswa na corona

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 3 роки тому +3

    Jamani hii fimbo Wasaidie wangojwa wa maradhi makubwa jamani kama kasa walipoza mungu uwenda hataleta kheri yake

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 3 роки тому +2

    MaashaaAllah

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 3 роки тому

    Takbiiir

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 3 роки тому +1

    SubhanAllah

  • @nambasaashamiah9070
    @nambasaashamiah9070 3 роки тому

    Watching from Uganda

  • @rahemaiddi7344
    @rahemaiddi7344 3 роки тому

    Mashaallah huenda ikawa Allah amekutumia kama chombo uje kutusaidia hio ndio imani yangu na muomba Allah akuzidishie kwasaba tumerongwa vya kutosha,time hangaika vyakutosha,na tumelia vya kutosha

  • @kemalswaleh9527
    @kemalswaleh9527 3 роки тому +3

    Mashallah kijana nurdni mungu ndo alikuteuwa mwenyewe ili watu wajue una mungu akuna mungu mwingine wakuabudiwa ila Allah

    • @thelionwomen4970
      @thelionwomen4970 3 роки тому

      Akuna jina lenye nguvu dinia kama jina la Jehovah Mungu aliye hai waislamum munajidaganya sana uyo mtoto ni mrozi wa mutumikisha akiwa mdogo uyo ushirikina.

    • @kemalswaleh9527
      @kemalswaleh9527 3 роки тому +1

      @@thelionwomen4970 wewe huna uwezo wakumhukumu mwenye kuhukumu ni Allah

  • @rahmabakari8925
    @rahmabakari8925 3 роки тому +1

    As alaikum sheigh ninamzeewangu anasumbuliwa na miguu nahitaji nambazako

  • @fatmann6341
    @fatmann6341 4 роки тому +3

    Mashallah takbiiir

  • @nebulanhiijjj
    @nebulanhiijjj 3 роки тому +3

    Mashallah Allah akuweke .sheikh unatibu ?

  • @theroots2743
    @theroots2743 3 роки тому +1

    Hiyo fimbo ipeleke china au marekani ukafanye matibabu ya corona

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 роки тому

    Tunaomba namba zake

  • @hassanimwape2169
    @hassanimwape2169 3 роки тому +1

    Habari; Naomba namba zenu tafadhari Nina shida na shekhe ndugu Dongo

  • @rahemaiddi7344
    @rahemaiddi7344 3 роки тому +1

    Subhann Allah mungu akihifadhi kipaji chako,naomba unifanyie dua na mm Nina matatizo,maji na yangu Rehema idd

  • @dhayondrama9907
    @dhayondrama9907 3 роки тому

    ALLAHU AKBAR

  • @omarsaidy2474
    @omarsaidy2474 3 роки тому +1

    zama hizi za mwisho tutayaona mengi imani zetu zitatikiswa sana na tutayaona mengi sana ya uwongo kikubwa tu tusimame imara na imani zetu tusiteteleke maana tunakoelekea ni pabaya sana ndugu zangu

  • @z10jrtz47
    @z10jrtz47 3 роки тому

    MASHA ALLAH..!

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc Рік тому

    Tunaitaji namba zako kaka upo wapi

  • @asheracuteahmedi8700
    @asheracuteahmedi8700 3 роки тому

    Naomb namb shekhe nurdin dongo kwa matibabu

  • @rexythardy347
    @rexythardy347 3 роки тому

    Namba ya sim nurdin

    • @umimohammed1815
      @umimohammed1815 3 роки тому

      Assalam aleikum sheikhe nurudini naomba namba yako simu we chukuwa kwangu0712557748nipigie niambie mm shekhe nurudini nipate namba yako kusevu na matatizo yangu

  • @RoseRose-qj5pw
    @RoseRose-qj5pw 3 роки тому

    Pthooo Mungu sio wakujaribiwa na Mungu haitaji ushaidi ili ajulikane yupo .hell is waiting

  • @masjidhamzainstitute8890
    @masjidhamzainstitute8890 3 роки тому

    Na nyinyi wandishi wa habari kazi mnayo mbele ya Allah

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 3 роки тому

    Msiba huu🍇🍎🍎🍨🍧🍧🍰🍦🍦🍦🍎🍇🍇🍨🍧🍧🍧🍰🍰🍉🍉🍉🍎🍇🍇🍇

  • @hamjanikera1234
    @hamjanikera1234 3 роки тому +1

    Allah atuongoze kwenye njia ya haki.Hii zama tutaona mengi tu binadamu kumkosoa Allah

    • @kijikomuhammad2557
      @kijikomuhammad2557 3 роки тому

      tumche allah allah akuongoe huyo na mimi alafu huyo jamaa ametoka katika ukristo ameingia huku nae anawapoteza watu imani zao ewe Allah tuongoe

  • @antamc5559
    @antamc5559 2 роки тому

    Test ya kwanza ikaanze muhimbiri

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 3 роки тому +2

    Hayo ni mazingaombwe au Magic

  • @masjidhamzainstitute8890
    @masjidhamzainstitute8890 3 роки тому +1

    Jamani hii siyo sahihi hata kidogo nikiwa na maana ya kwa ni ushirikina mtupu ni njia mpia nyengine itatumiwa kupoteza umma

    • @dimzalajuma2346
      @dimzalajuma2346 3 роки тому

      Ukiamin ushirikia hata ukiombewa hutapona ng'o o
      B

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 2 роки тому

    Iyamuru hiyo fimbo iwanyanyue juu miguu isiguse chini, hapo ndipo tutaamini hiyo fimbo.

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 3 роки тому

    Subhanallah 254

  • @rickythobby
    @rickythobby 2 роки тому

    Aende nayo muhimbili kama vp kma inaponya tutaona co vdeo za kuhojiana youtube.

  • @bimlatyjuma4494
    @bimlatyjuma4494 3 роки тому

    Mimi bana ninacho taka kupona matatizo yangu, maswal fimb ya uchaw ya mung atajua she dongo. Mbona wakina mwaposa wanajiita manabii na zama za manabii zimeisha lakin wat wanaenda kufata uzima tu mpaka waislamu na makanzu wanaenda. Hvyo muhimu uzima wachawi nimewachoka jmn

  • @playstore790
    @playstore790 3 роки тому +3

    Km inatibu iyo vimbo mm nna mume wangu anaumwa huu mwaka kadhaa ajapona ashafika kukatiwa viungo alikuwa mzima Sasa Hana mkono namguu taabani Basi km inatibu nisaidiye

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 3 роки тому

      ile fimbo haitibi bali anaetibu ni Allah

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 3 роки тому

    Mbona Kuna Pete umevaa?

  • @fatmachiragdin1926
    @fatmachiragdin1926 3 роки тому

    Staghfrullah.. this is sihr

  • @joycemotela505
    @joycemotela505 3 роки тому +7

    Kama ni uchawi yy ndo anajua na mungu wake

  • @mamakealizecha9391
    @mamakealizecha9391 3 роки тому +2

    Kama inatibu tupatieni namba tuje tusaidike na sie

  • @sofiasetu4162
    @sofiasetu4162 3 роки тому

    Naomba namba ya shekh , natoka Kenya

  • @mbozibukuru2592
    @mbozibukuru2592 3 роки тому +2

    Ingelikuwa ni wa Cristo mngesema sana niatari kumbe ni wote tunataka maajabu

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому

    Dah nusu vifume vidondoke dah fimbo inatabia mbaya iyo

  • @gradjackson9168
    @gradjackson9168 3 роки тому +1

    Njee naweza kupat now na yuyo mweny vimb naitaj anitbu

  • @nasramohammed6716
    @nasramohammed6716 3 роки тому

    Atakaejitibu na hiyo fimbo ajue kuwa kashajiingiza kwenye ushirikina namaanisha utakuwa ushamshirikisha mungu mana anaetibu maradhi ni Allah pekeyake

  • @afrabiakisope6743
    @afrabiakisope6743 3 роки тому +1

    Muogopeni Allah mtu Kama uyoo habari zake msizieneze jamii ikapotea fimbo ya ajabu ni ya nabii Mussa ambayo imetajwa katika qur ani

    • @jumaramadhani1486
      @jumaramadhani1486 3 роки тому

      Yan mimi nachukia Mungu anisamehe kama nakosea huu ni upotoshaji wa hali ya juu nadhan bakwata watoe tamko kuhusu hiyo fimbo isiwe ni jambo linalowaweka watu biz nakukubali eti ina maajabu wangeichukua tu waitupe waone kama kuna lolote litatokea

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 3 роки тому

    Subhanallah astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah

  • @tauhidakhamis717
    @tauhidakhamis717 3 роки тому

    Naombeni no ya hyu kijana mwnye fimbo n mm ntk kutibiwa

  • @leahchoyo7580
    @leahchoyo7580 3 роки тому

    Kaka Mimi Ni Lea choyo nasumbuliwa na mapepo siku nyingi hebu nisaidie nilikuwa sikujui lakini Leo nimekuona mtandaoni wote Ni wa kwa luhumbika Mimi baba yako mzee choyo

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 3 роки тому +3

    Kwanini usingemwachia mtangazaji aibebe peke yake?

  • @SalumNasekapppn
    @SalumNasekapppn 3 роки тому

    Asalaam alaikum twaitaji nambayake shkh kifimbo

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 роки тому +1

    Yalaa🙄🙄🙄

  • @prosperkonokono9385
    @prosperkonokono9385 Рік тому

    sasa si uende mahospitalini ukaponye watu ?tunataka tuone madawa yanaeksipaya kwa kukosa wagonjwa

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 3 роки тому +2

    Hilo ni jini sio fimbo halali,ndio maana ukaslimishwa

    • @hashimmohamed3215
      @hashimmohamed3215 3 роки тому

      Nakubaliana nawe kuwa hilo ni jini linaloendesha hiyo fimbo. Kwa kuwa uislamu unatambua uwepo wa majini basi hilo jini limetumia hila kumsilimisha huyo kijana ili lijifiche kwenye kivuli cha uislam.

  • @rahmatnandule5796
    @rahmatnandule5796 Рік тому

    Uko wap

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому

    Ndiyo nnss kudhalilisha vidume

  • @MtilahBlog
    @MtilahBlog 3 роки тому +2

    Nimeangalia video zake nyingi,nimegundua huyo jamaa aliyevaa kanzu nyeupe ameshika fimbo yupo kila video.Means yupo nae na ndiye anaechezesha hiyo Fimbo .Hakuna muujiza wala nn hapo.

    • @zuhuraadinani8819
      @zuhuraadinani8819 3 роки тому

      Nauyo askali polisi alikua na nani alipo anguka nae angalia vzr

    • @sebastiankimendo8333
      @sebastiankimendo8333 3 роки тому

      hata mi nmeona hcho ktu hyo jamaa yupo kila video af ye haojiwi ye ndo anaendesha hyo fimbo

  • @joycemsuya1508
    @joycemsuya1508 3 роки тому

    Sasahivi unapatikana wapi

  • @rashidsanga4092
    @rashidsanga4092 3 роки тому

    Move,zilizo,tafisiliwa

  • @fubub3595
    @fubub3595 3 роки тому

    Yani fimbu lazima iguswe njo ina pata ngufu , peke yake ayi fanyi ?

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 3 роки тому +2

    ikatibu corona hiyo fimbo,siku hizi wasukuma ni mataperi na kiswahili chao cha ushamba

  • @furahajonas7425
    @furahajonas7425 3 роки тому +2

    Jini hilo

  • @jarofclay6458
    @jarofclay6458 3 роки тому

    Venye corona ilakuja hawa wateule sijui manabii where are yu to safe the world instead of myths

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому

    Huyo alikuwa ni Shetani wa Kijini alikuwa akikutokea ndotoni. " akikujieni mtu faski na neno/jambo lake mchunguzeni mtu huyo" " hawatokuwa radhi Makafiri na Manaswara mpaka mfuate Mila zao". But all in all, East and West Islamu will remaining the Best.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 роки тому

      Ndugu ktk imani kasome dini halafu ndiyo uandike na kutoa ushauri, si busara kueleza usichokuwa na elimu nacho. Je Hidhiri alikuwa ni nani?! Mtume, Nabii au muislam wa kawaida?! vipi kuhusu aliyokuwa akiyafanya mpaka Nabii Mussa (A.S) akawa anamuuliza maswali kwa mshangao?! je aliyoyafanya yametokana na masheitwani wa kijini au Mwenyezi Mungu?!, pia kuhusu visomo vya Ruqya vinavyosomwa sasa na baadhi ya watu wa makundi fulani ktk dini, je wapi imethibiti Mtume Muhammad (S.A.W) alisoma Ruqya kwa utaratibu huu na wakati anasoma aya za Qur'an alizipangilia kama hivi zinavyosomwa sasa kwa kunyofoa nyofoa aya?! Zaidi utagundua haya yamewekwa na baadhi ya watu fulani kwenye dini watu ambao wanapingana na watu wengine waliowatangulia ambao nao pia waliweka utaratibu kama huu wa namna ya kuwasomea watu!! Kujua nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi inahitaji elimu. Tusikurupuke, kukosoa dini sio kitu cha mchezo!!

  • @marysellawanza2315
    @marysellawanza2315 3 роки тому

    Nipe no. Ya huyu kijana mtangazaji

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 3 роки тому +1

    Quran inatosha kuonesha kuwa Allah ni moja na wapekee ni uisilamu ni dini ya haki. Usitudanganye na fimbo yako, ukweli wako unaujuwa mwenyewe.
    Masharifu ishakuwa old fashion
    Imekuja kikombe kwa babu
    Fimbo na mengine yapo nisiyoyajuwa
    Kuwa uyaone.
    Allah tuongoze kunapo hakki.

    • @abdullah-eq3lt
      @abdullah-eq3lt 3 роки тому

      quran ni muujiza wa Allah kwa mtume muhammad kwhio hakun ten miujiza baada ya mtume kuondok dunuan ila makarama bado yapo kwa waja wema wa Allah kwahio hio fimbo ni makarama kapewa kijana usimhusudu bure mwenzio

  • @marcntwari4012
    @marcntwari4012 3 роки тому

    Ushindwe kwajina ya yesu

  • @zulfazuberi7795
    @zulfazuberi7795 3 роки тому

    Kwakweli
    Ni
    Maajabu

  • @ashatanzanian7559
    @ashatanzanian7559 3 роки тому

    😂😂😂we mtangazaji umeniacha hooi mwisho eti ayo ndo ya musa aise nimecheka sana2 daa😁😁ebu naomba namba zake na mm kunaswari nimuurize

  • @playstore790
    @playstore790 3 роки тому

    Asalàm alaykm

  • @sarahmaganga7073
    @sarahmaganga7073 3 роки тому

    Tunaomba uje maeneo yacharinze ututibu marazi ukifika nitafute

  • @innomushi5994
    @innomushi5994 3 роки тому

    Hiyo sio fimbo ni majini hayo

  • @cookinglist1004
    @cookinglist1004 3 роки тому

    mashaalla walahaula walakuwata illa bilaa.

  • @abelsteven3189
    @abelsteven3189 2 роки тому

    Haya ndio utakuta ni yale majini mazuri, yaliyo sikia Koran yakasilimu.

  • @leahchoyo7580
    @leahchoyo7580 3 роки тому

    Hebu nisaidie mapepo kweli au uonevu tu

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 3 роки тому

    Inalillahi wainaillahi rajiun kwani hiyo fimbo ni ya mtume musa lol

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 4 роки тому +2

    Uongo mtupu una macho yak vile da inalllah wanaillilah lajiuni allah tuongoz ktk njia ilinyoook ishaalah allah

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 3 роки тому

    Siamini kabisa

  • @abdulazizal-mazroui3363
    @abdulazizal-mazroui3363 3 роки тому

    Asalam aleykum naomba number ya huyu kijana tafadhali

  • @jadihamad681
    @jadihamad681 3 роки тому

    Naomba number yako yacm

  • @cheupecheu5481
    @cheupecheu5481 3 роки тому

    Inna lilah waina illaihim rajyun jamani waislam dini tunaipeleka wapi mambo mengine tunatia aibu kwa tamaa za kidunia unayoo ongea mengine ni uongo mtupu na ni ushikina tu hiyo fimbo ni fix tu hamna kitu apo ila daawa jitahidi kulingania kalima ya lailaha ila Allah

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 3 роки тому

    Ushirikina mtupu hata aya aliyotaja haitetei upuzi wake, anaeponya ni MUUMBA tuu japo twatumia madawa kama sababu nisawa na kufanya kazi ila mtowa riski ni MOLA, wachavuzi wa dini laana za ALLAH ziwateremkie.

  • @muniramunira401
    @muniramunira401 3 роки тому +4

    tupenamba zake kunamtu anaumwa

  • @salimselemani6117
    @salimselemani6117 3 роки тому

    mashallah tunaomba aje na tanga

  • @somahmed123
    @somahmed123 3 роки тому

    Upuzi

  • @mankasoka7988
    @mankasoka7988 3 роки тому

    Huyu nurdini a napatikana wapiii

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому

    Majini wanasifa ya kuzungumza/kueleza habari za mtu, vitu, mambo nk. Kutaka michoro/remain ya michoro (picha ilivyo) nyumbani kwa mtu hizo habari wamepashana/wanapasha majini wa hao jamaa na Jini/Maji (Mashetani/Maibirisi) wako, kwavile binadamu hatuna uwezo wa kuwaona Majini na kuwasiki wakaelezana michoro hiyo na kupitia kinywa chako Jini/Majini ilikuwa nao wakatamka michoro hiyo. Hiyo ni Ramli ya kupitia Majini waasi (Mashetani/Maibirisi). Shikh tafuta Wataalamu wa Rukia ya Kisharia usomewe na upewe madawa inshaAlla yakutoke hayo Mashetani/Maibirisi. Shetani anapotaka kumpoteza mja hutumika mbinu nyingi. Majini waasi wanatupeleka msituni (baadhi ya makazi yao) na kukulisha vyakula vyao bila kuelewa (ulipumbazwa akili)akajiona unaishi/unaishi salama na kuzawadiwa fimbo bila kumuona anaekupa zawadi hiiyo ya mazingaumbwe., ungeikataa/ikatae na inshaAlkalkah ukuendelea na ibada zako za Kiislamu uone nini kingetokea/kitakea? Usipojitambuwa (tusipo jitambuwa) Majini hujatuma watu kazi nyingi za Kishirikina ikiwemo Utabibu/Uganga na kupewa masharti. Jiandae kwa masharti ya majini. InshaAllah Allah atuhifadhi na vitimbi vya Majini.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 роки тому

      Ndugu ktk imani kasome dini halafu ndiyo uandike na kutoa ushauri, si busara kueleza usichokuwa na elimu nacho. Je Hidhiri alikuwa ni nani?! Mtume, Nabii au muislam wa kawaida?! vipi kuhusu aliyokuwa akiyafanya mpaka Nabii Mussa (A.S) akawa anamuuliza maswali kwa mshangao?! je aliyoyafanya yametokana na masheitwani wa kijini au Mwenyezi Mungu?!, pia kuhusu visomo vya Ruqya vinavyosomwa sasa na baadhi ya watu wa makundi fulani ktk dini, je wapi imethibiti Mtume Muhammad (S.A.W) alisoma Ruqya kwa utaratibu huu na wakati anasoma aya za Qur'an alizipangilia kama hivi zinavyosomwa sasa kwa kunyofoa nyofoa aya?! Zaidi utagundua haya yamewekwa na baadhi ya watu fulani kwenye dini watu ambao wanapingana na watu wengine waliowatangulia ambao nao pia waliweka utaratibu kama huu wa namna ya kuwasomea watu!! Kujua nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi inahitaji elimu. Tusikurupuke, kukosoa dini sio kitu cha mchezo!!

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 3 роки тому

    Uchawi unaendelea imani iyo ndo maala pake

  • @saudaahmed6818
    @saudaahmed6818 3 роки тому +1

    Honzo mtupu huyo mwenye kanzu anasukuma wengine

  • @thelionwomen4970
    @thelionwomen4970 3 роки тому

    Ni kweli ni uchirikina walimutumia akiwa mdogo saaana utshawi kubwa

    • @daiay4128
      @daiay4128 3 роки тому

      Mbona hujaweka namba yako ya cm tutakupata vp