MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 кві 2020

КОМЕНТАРІ • 228

  • @ngosha1tv321
    @ngosha1tv321 4 роки тому +5

    Kwanza mm nashukuru umetoa somo kubwa saaaaaana,, ubarkiwe mtu wa Mungu

  • @EliahKayombo
    @EliahKayombo 19 годин тому

    Original comedian masaka ahaaaa

  • @petersagala7756
    @petersagala7756 4 роки тому +5

    Ila watu wawe makini ukitumiwa hela haiwezi kuja namba ya simu huwa ni jina kama M-PESA, TIGOPESA etc

  • @riziquiebravvy7030
    @riziquiebravvy7030 4 роки тому +2

    Asante kwa somo zuri

  • @alexkalonga3632
    @alexkalonga3632 4 роки тому +6

    Be blessed bro!!

  • @godlistenmaridadi754
    @godlistenmaridadi754 4 роки тому +6

    Kuna sababu tcra kusimamia hili maana wengi wanalizwa

  • @noelambondeka6942
    @noelambondeka6942 2 роки тому +3

    mungu awasamehe kwakweli

  • @abbasmoledina.
    @abbasmoledina. 4 роки тому +1

    Umewaweza Na ulivyo mpotezea mdaa ume waokoa nawengeni kutapeliwa good job I do the same

  • @mkopa26
    @mkopa26 4 роки тому +5

    Mie wamenipigia leo ila dah nikakosea nikawaambia sina kiti kwenye airtel money ningejua ningewazungusha washenzi hawa

  • @sajadkimwaga6663
    @sajadkimwaga6663 4 роки тому +4

    msanja bna mbadilisheni kitengo

  • @jacksonmakasi
    @jacksonmakasi 4 роки тому +4

    Wasanii wamekutana na msanii, vichwa gongana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @linussiwitilisitv4830
    @linussiwitilisitv4830 4 роки тому

    Asante sana kwa elimu mtumishi Masanja

  • @jacksonsendama9458
    @jacksonsendama9458 4 роки тому +13

    Me ni mfanyakazi wa halotel halafu wakanipigia kwenye namba ya voda halafu wanasema wametoka halotel

  • @daughterofgod9185
    @daughterofgod9185 4 роки тому

    Dah! Asante sana maana hapo ingekuwa Mimi tayari duh! Hatari sana.

  • @travisg.online3818
    @travisg.online3818 4 роки тому +1

    Hatarii sana watu wako very sirius maisha

  • @tjvuri4475
    @tjvuri4475 4 роки тому +4

    Daaa! Siku l moja ivi wangeniliza asee

  • @yohabumlelwa5894
    @yohabumlelwa5894 2 роки тому +2

    HALO WALINIIBIA 10000 WALINIFUNGIA NA LINE HALO XAMEKUA ADVANCED

  • @farajapeter9707
    @farajapeter9707 4 роки тому +5

    Hee ilinikuta nilihangaika kweli, ckuwa najua 😀😀

  • @joycentongani388
    @joycentongani388 3 роки тому +1

    Ahsante masanja

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 2 роки тому +1

    Usitapeliwe wew Nani Massanja Mateja nao wapo kazini

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 4 роки тому +4

    😀😀😀 mimi walinipigia cku moja wakanieleza hivyo hivyo, ile wananiuliza umeona msg ya muamala nasema bado, wakatuma tena kila wakiniuliza umeona msg nasema bado walirudia zaidi ya mara sita wakituma sms ya muamala wakipiga nasema bado sijaona sms yeyote, nikasikia wapembeni yake anasema duuh!! Akakata cm hawakunipigia tena 😀😀😀

  • @Isack_Leo
    @Isack_Leo 4 роки тому +18

    Ila umeyasumbua unaweza kukuta yanacheki hii video yako
    Jinga sana!😂😂😂😂😂

  • @shifumponda666
    @shifumponda666 4 роки тому +2

    Big up broo umeongea point sana broo

  • @pintymelodytz913
    @pintymelodytz913 4 роки тому +3

    😂😂😂 Pastor Umewaweza Sana

  • @johnayubusaidi4514
    @johnayubusaidi4514 2 роки тому +2

    Lakini Hawa jamaa ungewapeleka kwenye mamlaka husika.
    Wamewaibia wengi Sana.

  • @mjumbemwanda1113
    @mjumbemwanda1113 4 роки тому +1

    Haaaah masanja noma weeeeh nakubal broh😁😁😁😁😁

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 роки тому +3

    Kazi kweli kweli

  • @noelambondeka6942
    @noelambondeka6942 2 роки тому +2

    tenaaaaa hua wanahekima sana hao matapeli

  • @elizabethmwash5117
    @elizabethmwash5117 2 роки тому +2

    Da! me nimewahi liwa jaman

  • @stevenkambeytz2459
    @stevenkambeytz2459 4 роки тому +1

    Hivi inamaana hawajakufahamu kabisa kua wew ni Masanja mujanjaa

  • @beautfultanzania2596
    @beautfultanzania2596 4 роки тому +2

    Una mwandiko mbaya model angu😀😀😀

  • @husseinlatifa1443
    @husseinlatifa1443 4 роки тому +7

    Siku nyingine wakinipigia nitawazungusha na Mimi mpaka nitumie vocha yao ya elf 20, Tena ili kuwatia presha wakiniuliuliza account ina sh. Ngapi nawaambia Ina laki nane nimekopeshwa na chama Cha ushirika kwa ajili ya kilimo Cha ufuta

  • @naomijohn1273
    @naomijohn1273 4 роки тому +1

    Hahahaha uwiiii jaman nmecheka Leo na masanja Mimi

  • @zackrichard3617
    @zackrichard3617 2 роки тому +1

    Imenipata hii leo ...
    Nilivomwambia aache utapeli jamaa kanitukana bonge la mtusi.

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 4 роки тому +1

    kutapeli hajafanikiwa na kumsumbua umemsumbua vya kutosha safiiiiiii

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 4 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Naona Roho Mtakatifu alimgusa yule mwingine yule konkodi akakutambua.

  • @jacksonsaid237
    @jacksonsaid237 2 роки тому +2

    Imetisha mwanawane

    • @jacksonsaid237
      @jacksonsaid237 2 роки тому +1

      Nakuelewa Sana masanja by Evangelist Jackson msukuma god bless you

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 4 роки тому +1

    😃😃😃😃 walinipgia nkawambia sijapata mesej wakaniuliza salio lako kias gan,nkawauliza nyie customer care na hamjui salio langu shwain kabisa yakakata sim

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 роки тому +1

    Mashenz Sana kunasiku kidogo wanipige

  • @kipinguextra3940
    @kipinguextra3940 4 роки тому

    🔥🔥🔥

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 роки тому

    Saf sana masanja. Mchungaj wa mfano. Inabid wachungaj waelimishe jamii kwa vitu kama hiv

  • @Deumandelamatty
    @Deumandelamatty 4 роки тому +3

    😂😂😂😂 Wameshituka wenyewe

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 роки тому +2

    🙆🙆🙆 cornmen hawana adabu,daah wanataka kuimbia hata mchungaji..hata majina hawana eti fatma matakataka😂😂😂

  • @ditrickkomba9173
    @ditrickkomba9173 4 роки тому +1

    Kazi kaz

  • @emanuelbrysonshauritv.1638
    @emanuelbrysonshauritv.1638 4 роки тому +2

    Big up bro kazi nzuri

  • @jacksonmalolage9476
    @jacksonmalolage9476 4 роки тому +1

    Daaaah juzi wamenipigia nkawapa vitu vya moto 😁😁

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 4 роки тому +4

    Harafu iyo namba ya mataka inatumika sana kutuma SMS izo za wiz

  • @petrokomba1221
    @petrokomba1221 4 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣Broo mtesaji

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 4 роки тому

    Kwa kweli umeyaumbua Sana

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 mamae zao wameumbukaa hapo,nimekutana nao Sana ukiwajua ukawatukana aise wanatukana

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 3 роки тому +1

    Ina maana huyo tapeli anashindwa kutambua sauti ya Masanja?

  • @ashuramyonga90
    @ashuramyonga90 4 роки тому +5

    😁😁😁nawalivo serious kama kwel vle, hii naamini cos namm waliwah nifanyia hvoo daah nikashtukia af wanakwambia usikate simu ad ufike kwawakala😂😂😂

  • @Isack_Leo
    @Isack_Leo 4 роки тому +5

    Ngoja waendelee na watu wengine!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dumamnyama5131
    @dumamnyama5131 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣haki ya mungu jaman khaaaaa kazi inainaendelea

  • @johnvascogodfrey7070
    @johnvascogodfrey7070 4 роки тому +1

    Hata Mimi walishanipigia hao hahahahhaaha

  • @alphoncenaalphonce1667
    @alphoncenaalphonce1667 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂 masaka,hahahaha uwiiiii

  • @ibrahimlameckministry1867
    @ibrahimlameckministry1867 3 роки тому

    Good

  • @veronicaerasto7249
    @veronicaerasto7249 4 роки тому +1

    😁😁😁😁😁 et kama takataka masanja bhn unafurahisha

  • @thomasamosmaick248
    @thomasamosmaick248 4 роки тому +3

    Hao wezi kwel ila Mimi nalaum selikal

  • @lazarobituro8644
    @lazarobituro8644 4 роки тому +2

    Eti kazi inaendelea 😂😂

  • @yohanasainajoise8962
    @yohanasainajoise8962 Рік тому

    Daah me Juzi wamenitapeli laki 5 na 80 ctokaa kusahau

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 9 місяців тому

    Matapeli watafika mbinguni wamechoka sana

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 4 роки тому +1

    Una haribu biashara ya 2 😀😀😀😀😀😇

  • @djcalvin6320
    @djcalvin6320 4 роки тому +3

    Kama taka taka hivi 😂😂😂😂😂

  • @raymondrichard4622
    @raymondrichard4622 4 роки тому +1

    Kazi ina endelea hahahahaaaaaa,

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому

    Mara nyingi huwa wanapigwa wanawake tu dah 😀

  • @user-dc6yr4vq7y
    @user-dc6yr4vq7y 11 місяців тому

    Jmn kweli😢😢😢

  • @burundisgottalent2184
    @burundisgottalent2184 4 роки тому +2

    Eti kama unalima mpunga, mi nalima watu😂

  • @hustlerchembes786
    @hustlerchembes786 2 місяці тому

    Kaka SASA SELIKARI INAFANYA NN WAKATI SAUTU IMEFAAMIKA NA NAMBA WATAKAZOTOLEA

  • @boscofelix4004
    @boscofelix4004 4 роки тому

    Ngoja tuendelee na wengine.....

  • @babaelisha6620
    @babaelisha6620 4 роки тому +7

    Wajinga sana hao,serikali Ina maana haiwajui kwa nn isiwafuatilie?
    Tcra mko wapi, nn maana ya usajiri line kwa kitambulisho cha Nida kama utapeli huu bdo unafanyika?.chukueni hatua.

  • @Mariaclala536
    @Mariaclala536 4 роки тому +1

    😀😀😀 aisee

  • @ericwonder2449
    @ericwonder2449 Рік тому

    😁😁😁😁!!! Yaaani Masanja Masaka au Mataka.

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 4 роки тому +5

    Wamekutana na mtumishi mapepo yanawatoka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @simonamon5271
    @simonamon5271 3 роки тому

    Daaah jamani masanja umenishinda Tabia.😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @happinessmuhanza2005
    @happinessmuhanza2005 4 роки тому +1

    Jana tu yamefanya huo ujinga tumeyasumbua yametumia vocha yakutosha yalotutukana htr

  • @anthonitemba1519
    @anthonitemba1519 4 роки тому

    Uyo tapeli baada yakundua anae mtapeli amemalizia kwa busara mi niliambulia kutukanwa matusi ya kutosha kisa niliwashtukia michezo wao

  • @abdullaothman3772
    @abdullaothman3772 2 роки тому +1

    😀😀😀Hawa matapeli wanahic watu wote ni walemavu wa akili

  • @franceslenis4512
    @franceslenis4512 4 роки тому +1

    Huyo mbuzi anaacha kufanya kazi

  • @zagaronondo8130
    @zagaronondo8130 4 роки тому +1

    TCRA wanawafaham na kunapasent wanagawana

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 5 місяців тому

    Mimi Ni mtu mzima Sana lakini wananituma niwatukane

  • @shifumponda666
    @shifumponda666 4 роки тому +1

    Jamaa wanaibia wa2 pesa wenye hali ya chini

  • @ebenezerfreight3309
    @ebenezerfreight3309 4 роки тому +3

    Tcra Mko wapi au mnaangalia Post za Wapinzani?

  • @godfreyathumani9912
    @godfreyathumani9912 4 роки тому +1

    Hao wehu ata mimi ninazo record zao walivyo taka kunipiga

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 4 роки тому

    Yaani Mtumishi umenichekesha nakupendaga saaana .

  • @simonamon5271
    @simonamon5271 3 роки тому +1

    HAPO wanaamini pesaa imeingia🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-fx5mo7zq8s
    @user-fx5mo7zq8s 11 місяців тому

    Mungu anawaona waizi awa mangaidi

  • @profnditu1106
    @profnditu1106 2 роки тому +1

    Ha ha ha ha mecheka sana

  • @starickshaba6368
    @starickshaba6368 4 роки тому +1

    😂😂😂😂 hela ya sadaka

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 роки тому +1

    Noo mpeleke polisi

  • @sanifhesro2169
    @sanifhesro2169 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂 wamepatikana ase

  • @momepeter9161
    @momepeter9161 4 роки тому +1

    Kuna watu washa vurugwa na maisha😆😆😆

  • @cholomsury1548
    @cholomsury1548 4 роки тому +1

    Ukipiga tena unaambiwa mamba haipo not in service

  • @jescadaniel4716
    @jescadaniel4716 4 роки тому +1

    Et kazi inaendelea

  • @iddysimba9723
    @iddysimba9723 2 роки тому +1

    YAAN HAO NI WEZI

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 5 місяців тому

    Umenichekesha Sana

  • @barakaherman
    @barakaherman 4 роки тому +1

    Tumekushindwa ngoja tuendelee na watu wengine

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 роки тому

    Lakin nadhan wanasaidiana na tcra au wafanyakaz wa makampuni za mawasiliano , kiukweli walaaaniwe

  • @ilhamjulioo9655
    @ilhamjulioo9655 2 роки тому

    Hata mm huyu mataka alitakaga kunitapeli mpaka akanipigia cm nawapendaa hawa watu yani hawajui kama ujui 😂

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 4 роки тому

    Jamani nimecheka masanja weee siku niliwasumbua walivyogundua kua nimewashitukia walinitukana😂😂